AWESU AWESU apigiwa Simu na rais wa Yanga KUSAJILIWA, ATOA SOMO mashabiki wa SIMBA/amtaja ALY KAMWE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 ноя 2024

Комментарии • 39

  • @EmmanuelKishiwa
    @EmmanuelKishiwa 8 месяцев назад +2

    Oooh waooh MUNGU akutangulie sana na Karibu Kwa wananchi the club above all in Tanzania
    We are waiting for you
    We expect you to sign up in our club it's a club suits you alots than any where brother

  • @paulnyingo7316
    @paulnyingo7316 8 месяцев назад +1

    Utulivu 100% nadhani nidhamu yake ktk kazi ndo imemfikisha alipo anajibu kwa kujua mimi a kwa utulivu mkubwa keep it up AWESUA & karibu kwa wananchi.

  • @ernestkatyega5781
    @ernestkatyega5781 8 месяцев назад +3

    Joh makin of football

  • @maliadii4829
    @maliadii4829 8 месяцев назад +2

    MANSHAALLAH KIJANA UNAJUA NA ACHANA MITANDAO SHIKANA NA MUUMBA WA MBINGU NA ARDHI TU ALLAH BARIQ

    • @IjumaaIjumaa
      @IjumaaIjumaa 8 месяцев назад

      Aondowe mirasta anakuwa kama kafiri

  • @arafatmbaruku8927
    @arafatmbaruku8927 Месяц назад

    Wachezaj wa bongo kujielezea tabu sana

  • @arafatmbaruku8927
    @arafatmbaruku8927 Месяц назад

    John bocco na dickos Job ndio wajua kujielezea kwa wachezaj wa ndan

  • @majidyahya3720
    @majidyahya3720 8 месяцев назад +5

    Yanga wakimchukua huyu mchezaji Aweso watakuwa wamepata mbadala wa kumpumzisha Aucho yaani ni muhimu kumsajili mchezaji huyu kwa maslahi mapana ya club..

  • @mrsultanzimbwe6746
    @mrsultanzimbwe6746 8 месяцев назад

    Aweso njoo YANGA japo msimu mmoja

  • @gililwise
    @gililwise 8 месяцев назад

    nilikuona Moro mbio unazo uwanjani. njooo yanga

  • @theuniversetv2870
    @theuniversetv2870 8 месяцев назад

    Sad to see Awesu not in Big clubs

  • @ISAACMBAGO
    @ISAACMBAGO 8 месяцев назад +1

    Huyu awesu awesu! Aje yanga tu, huu niwakati waku ongea nae na pia kumalizana nae mapema sana ili dirisha kubwa liki funguliwa: tunae na mchukueni jean baleke, Moses phiri, na chama.

    • @EmmanuelKishiwa
      @EmmanuelKishiwa 8 месяцев назад +1

      Uwakika aseee man ni jambo la muda tu

    • @Jumahally
      @Jumahally 8 месяцев назад

      Hoa chama na phiri baleke watachukuliwa n timu ya bab ako

  • @mrsultanzimbwe6746
    @mrsultanzimbwe6746 8 месяцев назад

    Ww njoo YANGA hachana na maneno ya wakosaji

    • @afroKayombo
      @afroKayombo 8 месяцев назад

      hunabaya kaka pambana kilakitu kitakua sawaaaaa

  • @daudkhatib-qn5tr
    @daudkhatib-qn5tr 8 месяцев назад

    Awesu hapo umesma uwongo hakuna mchezaji duniani asie drop iweje wewe kituicho hakipo funiani

  • @ISAACMBAGO
    @ISAACMBAGO 8 месяцев назад

    Awesu! Fwata kile unacho kiamini na utimize ndoto yako, hatuku lazimishi kuja yanga: ila WELCOME kwani hatuna baya na wewe.

  • @SheilaJonson-n2n
    @SheilaJonson-n2n 8 месяцев назад

    Tulia uliko uliko ulinda azam tim kubwa mbn hautoboa mm sikushaur uje yanga nenda ulaya bn

  • @habisnasalum-nz4zo
    @habisnasalum-nz4zo 8 месяцев назад +1

    Kk wenzio wanatupiwa majini jichanganye morisoni alitumiwa busha

    • @Mary-fs4mc
      @Mary-fs4mc 8 месяцев назад +1

      Wewe umetupiwa mangapi mpaka sasa?

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 8 месяцев назад +1

      ​@@Mary-fs4mclabda yeye katupiwa popo bawa.

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 8 месяцев назад

      😂😂😂 una iabisha oblongata yako ndo matatizo ya kuchanganya vilevi.... Madunduka duuuuuu

    • @Geraldissasaid-wt7md
      @Geraldissasaid-wt7md 8 месяцев назад +1

      Mko
      😮 13:06 13:06 ​@@mwanangusana

    • @daudkhatib-qn5tr
      @daudkhatib-qn5tr 8 месяцев назад

      Wewe wacha ujinga wako naona wewe ni muumini mkuubwa wa makolozidadi

  • @IjumaaIjumaa
    @IjumaaIjumaa 8 месяцев назад +2

    Ogopa azabu ya allah nikali fuata maadili ya mtume mohamad sw acha mila za wavuta bangi

  • @babycandycharles7816
    @babycandycharles7816 8 месяцев назад

    Ananii uwesu teali ameshazeeka kwenyetimuyake kafanya nn hadiyanga wamsajili

    • @edwardmaguluko6541
      @edwardmaguluko6541 8 месяцев назад

      Kamlete ndugu yako ambae bado kijana ili aje achezee Yanga

    • @زيتونتنزانيا
      @زيتونتنزانيا 8 месяцев назад

      Hii COMENT mnavunja moyo wachezaji we timu yako inamafanikio gali nyau wewe

  • @SimbaJumanne
    @SimbaJumanne 8 месяцев назад

    Uyo boyaa yeye na mabeki wakipewa milion 3 kila mtuu .mkauza mechi pumbavuu nyiee😊

    • @kurumwagodfrey7052
      @kurumwagodfrey7052 8 месяцев назад

      Vipi Ile 1_5 ooooohhh ndy maana mkamtimua chamaa😅😅😂😂

    • @زيتونتنزانيا
      @زيتونتنزانيا 8 месяцев назад

      Wewe chizi sio bure mbona nyie mlikalia

    • @Mary-fs4mc
      @Mary-fs4mc 8 месяцев назад

      Kwahiyo hata simba nao walipewa million 3 au 😂😂😂

    • @NeemaRajabu-ux6bl
      @NeemaRajabu-ux6bl 8 месяцев назад

      Nababa katupiwajini matakonini

    • @stevenemwakasimba-pt8er
      @stevenemwakasimba-pt8er 8 месяцев назад

      Kwani mabeki wa makolo walipewa bei gani walipofumuliwa marinda 1/5?tuanzie hapo