KIPYENGA CHA MWISHO 24/10/2024 | Osman Kazi aondoa utata wa maamuzi Kariakoo Derby

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 дек 2024

Комментарии • 541

  • @KajunaJovinary
    @KajunaJovinary Месяц назад +4

    Kipindi changu pendwa👌.Narudia tena! Hiki kipindi ukikiangalia kwa ushabiki wa simba na yanga huwezi pata chochote ila ukija umeweka hisia pemben utapata elimu kubwa sana🎉🎉🎉. Asante sana #Othman Kazi elimu hii ni kubwa mnooooo👏👏👏

  • @noelwandera8617
    @noelwandera8617 Месяц назад

    Very very educative programme good people. Will be a keen follower.

  • @allyjuma9661
    @allyjuma9661 2 месяца назад

    Hongereni sana Kwa kazi nzuri hakika mnatujuza na kutuelimisha mengi sana hasa kuhusu Sheria za mchezo wa soka na hukumu zake

  • @benswai8099
    @benswai8099 2 месяца назад +5

    Teheeee. Hiyo ya Musonda imebidi nicheke

  • @YusuphMoses-i1l
    @YusuphMoses-i1l 2 месяца назад +10

    Mimi ni simba fans lakini hiki kipind naona kama hakina maana kwa sababu huja baada ya na hakibadili kitu chochote kwaiyo sion faida yake.

    • @mullamtupa9116
      @mullamtupa9116 2 месяца назад

      Nikweli akisadi zaidi ya uzuni tu

    • @VeronicaAdam-lx8yd
      @VeronicaAdam-lx8yd 2 месяца назад

      Ndo hivy

    • @ibrahimusagondo5228
      @ibrahimusagondo5228 2 месяца назад

      Ulikuwa unataka kipindi kije kabla ya mchezo 😂unatakiwa ujitafakari kama upo sawa

    • @PeterMdugo
      @PeterMdugo 2 месяца назад

      We huna akili mjinga mmoja hv kaa kule

    • @PeterMdugo
      @PeterMdugo 2 месяца назад +1

      Wee ngedere unatoka wp www

  • @IsaacPaschal-c9q
    @IsaacPaschal-c9q 2 месяца назад +1

    Great kazi

  • @Minjum-j5m
    @Minjum-j5m 2 месяца назад +1

    Tunashukur yalipita apo tunaganga yjayo,lov you kipyenga❤

  • @LeonardMpemba-n9j
    @LeonardMpemba-n9j Месяц назад +3

    Nimekuelewa sana hosman kazi kwenye inderect fri kick bod ya wamuzi kuweni makin sana mnatuumiza mashabiki

  • @greenambassador599
    @greenambassador599 2 месяца назад +3

    Nimetizama kipyenyenga Cha mwisho nilichojifunza binadamu tuwaoga Hadi .wisho wa dunia

  • @nashirkamugisha9425
    @nashirkamugisha9425 2 месяца назад +4

    Leo yanga kuambiwa ukweli leo KAZI hafai?!

  • @MACHOYATAI-jk6fu
    @MACHOYATAI-jk6fu 2 месяца назад +2

    Yanga wanabebwa SANA MUNGU YUPO

  • @mohddadi8881
    @mohddadi8881 2 месяца назад +2

    Osman kazi ww siyo rifa ww simba

    • @MashauriMaila
      @MashauriMaila 2 месяца назад +1

      Kuandika hujui mzee, kajifunze herufi kwanza😂😂

  • @LutangiloSamson
    @LutangiloSamson 2 месяца назад +4

    WASOMA COMMENT ZA SIMBA TUJUWANE😂😂😂😂

  • @hamzaibrahimu
    @hamzaibrahimu 2 месяца назад +1

    Mungu yupo atatuongoza 🤲

  • @revocatusmalimi4525
    @revocatusmalimi4525 2 месяца назад +88

    Mimi nashauri, FIFA /TFF wakubali sheria ifanyiwe mabadiriko kuruhusu timu inayodhani imedhurumiwa kukatia rufaa goli linlopingwa

    • @dafrosamselle7935
      @dafrosamselle7935 2 месяца назад +7

      makosa kwenye mpila yapo ndo maana ina itwa football kama unahisi kuna rushwa au upangaji matokeo unaruhusiwa kukata rufaaa namtu akawajibishwa au akafungiwa kuvheza mpira

    • @IbniAbbas-yz3kt
      @IbniAbbas-yz3kt 2 месяца назад +1

      ​@@dafrosamselle7935wee hujaelewa umekurupuka kama umebanwa na mavi!rufaa haibatirishi goli rufaa inamuhukum muamuzi!anachosema yeye ikionekana kuna kosa limefanyika sheria itengue goli lililopatina kwenye hilo kosa!alafu maana ya football sio hiyo uliyo sema!football maana yake ni mpira wa miguu haina maana nyingine!!

    • @vinny.morales
      @vinny.morales 2 месяца назад

      Mpira ukishamalizika goli huwa linabaki tu, hata ukate rufaa FIFA.

    • @mbaruku5942
      @mbaruku5942 2 месяца назад +1

      Yote yako sahihi sana lakini rufaa FIFA imejitahidi kuileta kwa kutuletea VAR ssa uwekezaji wa soka letu ndio unaopaswa kuongezewa nguvu

    • @odilomwemeziernest646
      @odilomwemeziernest646 2 месяца назад

      @@IbniAbbas-yz3kt asante kwa maelezo

  • @omaryally5555
    @omaryally5555 2 месяца назад +2

    Huyo Athumani Kazi muongo sana anachambua mpira lakini roho unauma simba kufungwa

    • @juliusurassa2136
      @juliusurassa2136 2 месяца назад

      Unajichanganya, ni muongo au roho inamuuma? Au vyote viwili? Uongo wake mbona haujausema?

  • @Edwardj4m
    @Edwardj4m Месяц назад

    Hii mechi ndio mungu hataki tushabikie lakini hiyo siku kasikitika sana aloooo we are simba😢😢😢

  • @regnbertymgina7164
    @regnbertymgina7164 Месяц назад +2

    Kipenga cha mwisho nikama darasa tu,lakini hakuna chamaana wala kubadili chochote timu moja ikizurumiwa nárefa

  • @jeremiamtawa3481
    @jeremiamtawa3481 2 месяца назад +7

    Kipyenga Cha mwisho hakina impact kwa sababu ni Yale Yale yanatokea, ni sehemu sahihi TFF wanachukua hatua ipi kwa maelezo haya wawe wanavunja mechi na zi rudiwe zenye makosa mengi na kupoteza Radha gharama zimebebwe na

  • @MabrouckMzee
    @MabrouckMzee Месяц назад +3

    bora iwe hivi wazoee, ili tukainjoi kwenye kimataifa huko

  • @benjaminsteven7350
    @benjaminsteven7350 Месяц назад +1

    Smg alikiwa mwamba sana nje ya kumi nanane alikuwa anafunga

  • @amadtraore3574
    @amadtraore3574 2 месяца назад +4

    Hujui Ata kanunioja ya mpira af unakuja ku ongea utumbo kweny comment ✍️

  • @JUMAKIJA-qx3vg
    @JUMAKIJA-qx3vg 2 месяца назад +1

    WA wili wa like apo tufike 1k😂😂😂

  • @hharyemanuel5144
    @hharyemanuel5144 Месяц назад +1

    Nimepeda huyu jamaa anachambua vzr

  • @jubilatembise8431
    @jubilatembise8431 2 месяца назад +1

    Halafu mnawaona wazee wa Simba km vichaa!!kila kitu maelekezo nchi hii!!!

  • @zakariakihwelo5703
    @zakariakihwelo5703 2 месяца назад +2

    Kipind hakina maana kwa sabb huja baada ya kichapo

  • @brayanjoel921
    @brayanjoel921 2 месяца назад +1

    Dah marefa wametuhujum Sana simba

  • @SaidSalum-n4o
    @SaidSalum-n4o 2 месяца назад +2

    Kwahiyo hapo simba walionewa kumbe nihaki yao kulalamikia refa hakutenda haki

  • @IgnatusBaganyenza
    @IgnatusBaganyenza Месяц назад +2

    Uyo kayoko ana jambo la kujifunza

  • @diegolegend3691
    @diegolegend3691 2 месяца назад

    Huyo Kazi simuelewagi bado ana kazi. Huyo hana tofauti na hao marefa wetu tofauti yao yeye ni mstaafu

    • @TumpeZakaria
      @TumpeZakaria 2 месяца назад +1

      Huyu akustaafu amefungiwa maisha kuchezesha mchezo wowote wa mpira wa miguu ndani na nje na kingine ni mshabiki mzuri wa Simba kwahiyo usishangae kwa uchambuzi wake

    • @diegolegend3691
      @diegolegend3691 Месяц назад

      @TumpeZakaria aaaha sasa mbona anachezashaga zile mechi za samakiba.

    • @TumpeZakaria
      @TumpeZakaria Месяц назад

      @diegolegend3691 kaka lile ni bonanza halitambuliki na TFF,FIFA wala CAF na pia sio shindano hakuna wanacho gombania.

  • @FARMERSCENTREAFRICA
    @FARMERSCENTREAFRICA 2 месяца назад +1

    Kipindi kimeenda powa. Lkn OSMAN KAZI AWAPE NA WEZAKE NAFASI YAKUONGEA ANAWAINGILIA SANA KATIKATI YA MAZUNGUMZO.

  • @MbwajiMgalla-f9t
    @MbwajiMgalla-f9t Месяц назад +1

    Mzee. Wa. Kipyenga. Cha. Mwisho. Nakupa. Heshima. Sana. Kulingana. Na. Hasa Unavyo. Dadavua. Maswali. Unavyo. Ulizwa. Na. Mzee. Wa. Unyonyo. Kwa. Unto. Hapo

  • @emmanuelkitadu120
    @emmanuelkitadu120 2 месяца назад +5

    Hii mechi nyuma mwiko walibebwa sana😂😂

    • @Abuu-gs1yi
      @Abuu-gs1yi 2 месяца назад

      Kweli ila tumeshawaPdidy tena bhana

  • @salimudaniel
    @salimudaniel Месяц назад +2

    Kipindi hiki ni kizuri zaidi.

  • @EliyaKudaga-u4q
    @EliyaKudaga-u4q Месяц назад +2

    HADI hapo SIMBA 3 yanga 0

  • @salimmohamed3177
    @salimmohamed3177 Месяц назад +1

    Kayoko na yanga

  • @NyasanaTv-ol4ix
    @NyasanaTv-ol4ix 2 месяца назад +2

    ukweli tanzania hatuna waamuzi kabisa tanzania mpira wetu ni rushwa na siasa je tunalikuza soka letu au tunalididimiza ebu lianalieni goli kegord na yanga k gold alifunga wakasema sio gol malefa waache njaa zao wanajiptezea sifa wenyewe ndo maana kimatafa sijaona refa kutoka anachezesha hiyo tu tosha kabisa marefa wetu hawana sifa za kuitwa marefa

  • @SelemanBilaly
    @SelemanBilaly 2 месяца назад +2

    Sioni umuhimuu wa hikii kipindii maana hamna kinachobadilikaa

  • @benswai8099
    @benswai8099 2 месяца назад +2

    Mezeni wembe basi mfe maana naona mlijiandaa kwa ajili ya simba. Kibu alivyodaka mpira makusudi mbona hukuona ni shida?

  • @a4afrika
    @a4afrika 2 месяца назад +1

    Mbona yeye mwenyewe anashindwa kutafsiri Nini maana ya Spirit of The Game. Kama kanuni zinataja nafasi ya spirit of the game katika kufanya maamuzi, basi ni wazi kuna nafasi ya maamuzi ya tofauti katika mechi ya simba na yanga na zile za timu ndogo.

  • @nemesjosephat5612
    @nemesjosephat5612 2 месяца назад +1

    Zahera aliambiwa avae suruali😂😂😂Yani Yanga tunateseka sana

  • @jofuture20
    @jofuture20 Месяц назад +1

    Azam Tv pleasee 🙏🙏tuwekeeni wachambuzi vijana huyu mzee akalee wajukuu mana ana mahaba mnoooo...😭😭😭🤣🤣🤣🤣🤣

    • @kapu_la_maarifa
      @kapu_la_maarifa Месяц назад

      Wachambuzi hawajui Sheria za soka wachambuzi wengi wanachambua matukio ya mpira ndani na nje ya uwanja

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 Месяц назад

      ​@@kapu_la_maarifahuyu si mchambuzi bali ni refarii wa kimataifa kuliko huyo refa wenu kayoko..!

  • @ElishaMaziku
    @ElishaMaziku 2 месяца назад +1

    Ukweli ni kwamba mwamuzi wa mechi alifanya makosa mengi na kunyima haki upande mmoja ambao ni simba alinyimwa haki na kupelekea kupoteza mechi

  • @HawaGhasia-tn4cr
    @HawaGhasia-tn4cr 2 месяца назад +2

    Kama kacheza kamara why Mpira uende nyuma Camara kachezaji hadi mpira uende nyuma yake hapo umechapia

  • @rwegoshoramichael3144
    @rwegoshoramichael3144 Месяц назад +1

    All in all Yanga didn't deserve the win over Simba sc Tanzania

  • @elisonmwaluko8468
    @elisonmwaluko8468 2 месяца назад +2

    Mage Mngefanya mpango Hao mareferee waona fanya huo upuuzi wawe wanaitwa kwenye vipindi kama hvi inaweza kusaidia kdgo

    • @AnthonyNyanda
      @AnthonyNyanda 2 месяца назад

      Kweli kabisa marefa wawe wanakuwepo hpo kuona Osman kazi akiwa anaxhambua makosa

  • @rajabually8894
    @rajabually8894 2 месяца назад

    Mm Niko sawa na said maurid tulete marefa wengine

  • @shijamakoye6013
    @shijamakoye6013 2 месяца назад +2

    😂😂😂😂 baada yakupigwa mkwala naona sasa hivi unapuyanga tu ili uwafurahishe yani hiyo ya msonda hata kipofu anaona kabisa mdoda ndiye alikuwa wakwanza kugusa mpira

  • @ukweli255
    @ukweli255 2 месяца назад +1

    Hichi KIPINDI AKIPEWA GEORGE AMBAGILE NA KIEMBA HUWEZI KUONA HAYA MALALAMIKO YA MASHABIKI WANAOKEJELI KIPINDI CHA KIPENGAAA
    ALIEPEWA KIPINDI NI MWAMUZI BORA NCHINI SASA SIJUI MAKASIRIKO YANATOKA WAPI ...JIFENZENI KUWA 50/50 WAKATI MKIPEWA ELIMU

  • @a4afrika
    @a4afrika 2 месяца назад +1

    Spirit of the game ndio imefanya refa asitoe red kadi kwa Hamza.

  • @YohanaMwakaje
    @YohanaMwakaje 2 месяца назад +1

    Naomba kuuliza ivi VR si ilifungwa uwanja wa taifa je? Hatujui kutumia mpaka wake wazungu .

  • @michaelmwikalo971
    @michaelmwikalo971 2 месяца назад +1

    Viongozi wa Simba ni wakati sasa wa kuwafundisha wachezaji sheria za mpira na kuwakumbusha iwe brush ya kila siku kabla ya mchezo wowote iwe wa kirafiki au mashindano...

  • @gavanankanabo8358
    @gavanankanabo8358 2 месяца назад

    Kipyenga cha mwisho hakina maana yoyote kwa timu ilioonewa kimaamuzi mabaya

  • @DavidPamba-jx5io
    @DavidPamba-jx5io 2 месяца назад +1

    Kibu kwa waamzi wa tanzania atapata shida sana maana anapenda kujiangusha

  • @Jarden-Mills
    @Jarden-Mills 2 месяца назад +2

    Sasa hapo kinapunguza na kinaongezeka nn mtu kashapoteza aina maana Tena mnawatonesha watu vidonda vilivyoanza kupona✊🤌

  • @timothmwakakusyu4563
    @timothmwakakusyu4563 2 месяца назад +1

    Huyu mchambuzi ni makolo by 100% hafai kuchambua kabisa hana tofauti na jemedari( jina zuri lakini kichwani hamna kitu). Mpira ni fearness kwasababu matukio yanaonekana wazi, kuna siku azizi alifanyiwa faulo kama hiyo hiyo ukasema refa anaweza kuammua fear kutokana na anvyoona vp leo mbona unasema ilikuwa penalty. Faulo kwa Yanga ni fear play lakini kwa simba sio fear 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @TumaVoda
    @TumaVoda 2 месяца назад

    Inauma sana marejeo ya mchezo Simba kaibuka mshindi wa mchezo ndio maaana mo kasema tuache fitina

  • @JumaYahya-q2n
    @JumaYahya-q2n 2 месяца назад +1

    Engekuwa mkimaliza uchambuzi majibu mnawapa wahusika nao wanayafanyia kazi ingekuwa vizuri ila mkicjambua mnaacha apoapo sioni umuhimu wa hichi kipindi

  • @GilbertGombeye
    @GilbertGombeye Месяц назад +1

    Mchezo mzuri ni riadha tu Haina mchezeshaji bari. Ni nguvu zako za kukimbia

  • @gogofilmstv5520
    @gogofilmstv5520 Месяц назад +2

    Kiukweli Yanga alikuwa amepoteza hii game. Siyo rahisi ufungwe magoli 2 then ukawa sawa kisaikolojia.
    Hata km kadi nyekundu ingetoka kwa Hamza, Yanga hana uwezo wakurudisha goli 2 kwani hata kwa JKT walishindwa kufunga goli japo kipindi cha pili chote, JKT walikuwa pungufu.
    Tena chakushangaza, walianza kushambuliwa wao kwa speed😂😂😂😂😂
    Sasa najiuliza, hawa Yanga wangekuwa nafasi ya ngapi sasa km sheria ingefuatwa ipasavyo!? 😂😂😂😂

  • @PlsGairo
    @PlsGairo 2 месяца назад +2

    Hakuna haja ya kumlaum mwamzi ikiwa yeye anaona tukio mara1 tu lakini nyie mnatazama matukio kwakuludia ludia mpaka mnapata kasoro mkumbuke kua mwamzi akiona ameona ila kama alivo sema kua hio krip kaangalia siku5 mpaka kupata kasoro inamaana mpaka kapata mda wakufikiria
    Cha kukosoa chamsingi suala la VAR lifanyiwe kazi ili waamuzi waweze kujiridhisha na maamuzi yao

    • @massuraja1796
      @massuraja1796 2 месяца назад +1

      ww ndo unaakili kwa wengi walo coment kaangalia mara mia anakuja kumkosoa refa ambae hana hata marudio

  • @ramajuma5620
    @ramajuma5620 2 месяца назад +1

    Hapo kweny maono yake yeye ndo ile kupokea bahasha sio😂😂😂😂

  • @WapenziYanga
    @WapenziYanga Месяц назад +2

    Ni rahisi sana kukosoa real time refereeing kwa kutumia picha za marudio. Refa uwanjani anaona vitu kwa haraka na anatakiwa atoe maamuzi bila kuona picha na pia ana angle moja tuu ya kuona tukio. Tuache masikhara

  • @ALBERTNyemba-uk3fr
    @ALBERTNyemba-uk3fr 2 месяца назад +2

    We mzee ni mkulima wa mahindi na mpira wapi na wapi.

  • @SHAMEAly
    @SHAMEAly Месяц назад

    Ww Huna uchambuzi wwte shidayenu simba ashinde mbona ngao ja mwka jana yametolewa magoli yanga ham kuxema 😢😢😢😢😢😢😢 kuku nyinyiiiii

  • @issaabdallah1205
    @issaabdallah1205 2 месяца назад +1

    Dabi refaree bora atoke nje ili tuzibe ufa kabla hatujajenga ukuta
    Tafakari hii. Sentensi

  • @yusuphmkwayu4105
    @yusuphmkwayu4105 2 месяца назад +1

    Mapenzi yatakuua Kazi

  • @mohddadi8881
    @mohddadi8881 2 месяца назад +1

    Ww tuna juwa simba tu

  • @ShilimaMagutano
    @ShilimaMagutano 2 месяца назад +4

    Yanga wanabebwa wanoogopa kuzalilishwa kwa vile mwakani kunauchaguzi mkuu timu ya chama tawara

  • @mchaudidas2249
    @mchaudidas2249 2 месяца назад +1

    Jamaa anaonyesha mahaba ya dhati kabisa kwa makolombwiso😂😂😂😂😂😂

    • @JosephatMassae
      @JosephatMassae 2 месяца назад

      Kakojoe ulale unajichekesha kiunaa

  • @donatusalfred582
    @donatusalfred582 2 месяца назад

    Kumbe hata var inahitaji var pia,leo kazi umechemka

  • @christopherobinya9874
    @christopherobinya9874 2 месяца назад +1

    Kwa musonda na Camara hapo naona kabisa hamjasema sawa, musonda aliukata mpira pembeni ili azunguke kwa nyuma ndipo Camara akamchezea foul lakini mnakosea kusema kuwa Camara aliucheza Moira huo ni uongo

  • @ElizabethVery-cc7tm
    @ElizabethVery-cc7tm Месяц назад +2

    Mimi niyanga ila kweli simba walizurumiwa pakubwa inaskitisha sana sisi yanga kubebwa

  • @NyasanaTv-ol4ix
    @NyasanaTv-ol4ix 2 месяца назад +2

    tanzania hakuna mpira njaa zinasumbua soka etu bovu ndo maana tukienda kimataifa tunapigwa mapema huko haki zinatendeka kana R jiga wala kayoko na haki tu mpira ndo unanesha kiwango kama mnajua kuhonga marefa hongeni na kimataifa tuone sasa tunaua vipaji vya wachezaji wetu tendeni haki

    • @hamisiismaili6342
      @hamisiismaili6342 2 месяца назад

      Hapana sio Tanzania tu Bali hata kimataifa kumbuka yanga walidhulumiwa goli na mamelod, lakin pia smba ilifungwaga goli la of side na Orlando piret Tena mbele ya vir

    • @MWATANOMOTEE
      @MWATANOMOTEE 2 месяца назад

      Yanga na Mamelodi je haki ilitendeka?

    • @Vascopasco-gh9ih
      @Vascopasco-gh9ih 2 месяца назад

      au sio mwanetu

  • @EnhardMchilo
    @EnhardMchilo 2 месяца назад +2

    Rafa angetowa red simba wangefungwa 5g

    • @DavidJoshua-hd8sf
      @DavidJoshua-hd8sf 2 месяца назад

      Wewe mpumbavu tuliwafunga 2-1tukiwapungufu mjinga wewe

    • @KulwaRichard-hs4ew
      @KulwaRichard-hs4ew 2 месяца назад

      @@DavidJoshua-hd8sf nakutukana kwa niaba yake wewe ni faraa, bure kabisa usikalili maisha

  • @chamyluna8030
    @chamyluna8030 Месяц назад

    Hussen kazi linapokuja suala la kuwazungumzia yanga unaweka ushabiki sana

  • @IddyRamadhani-u4h
    @IddyRamadhani-u4h 2 месяца назад +1

    Mbona ally mayai amlikua. Shabiki wa yanga rakin alikua hachambui kiushabiki

  • @vishariirungu-dr2rx
    @vishariirungu-dr2rx Месяц назад +1

    V A R inasaidia nn uwanjani kwetu Tanzania

  • @SamweliDaudi-k8n
    @SamweliDaudi-k8n Месяц назад +1

    Wachambzi fanyeni kazi yenu kwa umakini msichambue upande mmoja TU chambueni kote au mnachambuwaga inayo shinda TU tuwekeni wazi hapo

  • @Airan-yh3ew
    @Airan-yh3ew 2 месяца назад +1

    Kweli awa ni wataalam wa kuchambua mpila

  • @NicksonJohn-b9n
    @NicksonJohn-b9n 2 месяца назад +1

    ifike mahali dab ichezeshwe na marefar wa njee bongo wa mchongo ndo wapo

  • @emanuelmwampashi9009
    @emanuelmwampashi9009 Месяц назад +1

    Kayoko siku yake moja tu atakuja kujua Hasira ya maumivu ya mashabiki kwa Udhurumaji huo alioufanya😥

  • @frankshirima4029
    @frankshirima4029 2 месяца назад

    Only for the genius not for everybody

  • @MichaelMwakyusa-r8j
    @MichaelMwakyusa-r8j 2 месяца назад +1

    Marefa wandani Hawa fai kuchezesha dabi

  • @UmayyaMunisi
    @UmayyaMunisi 2 месяца назад +1

    Hapà utopolo hawakubali ukweli😂😂

    • @musamagulu2023
      @musamagulu2023 2 месяца назад +1

      Makolo ndo mnaumia,sisi wala,km mlivyobebwa kwa dodoma jiji si mlifurahia matokeo so now endeleeni kuandamana tu na wazee wenu

  • @TeddyMsafiri
    @TeddyMsafiri Месяц назад +2

    kwaiyo kusema hivyo utamaliza maumivu tuliyo pata sisi nakupewa yanga point 3 za bure na sifa kibao

  • @issapagali6530
    @issapagali6530 2 месяца назад +1

    Wanufaika wa makosa ya kibinadamu kwa waamuzi ni hao hao kila siku, aibu kubwa!

  • @deus8629
    @deus8629 2 месяца назад +1

    Kadhi ni Simba damu damu asante baba

  • @HalidiGregory
    @HalidiGregory 2 месяца назад +2

    Wengi ukiona wanafulahiya ainaya gori kamalile ujuee! Niwashangiriaji hawajui sheria za mpira fikiria ingekuwa upandewa2 ndowamefungwa gori lanamnaile wangekubaliana na maamzii aliyofanya mwamziii

  • @RandyThabiti
    @RandyThabiti 2 месяца назад +1

    Achaneni upumbavu nchi gani inapenda rushwa mpira rushwa uchaguzi rushwa yani hii nchi ya kipumbav

  • @benswai8099
    @benswai8099 2 месяца назад +1

    Huyu jamaa huwa anakuja kutengeneza mazingira ya ulaji kwenye vipindi vyake. Anaenda na upepo wa wengi. He is not objective but biased

  • @franknyange6769
    @franknyange6769 2 месяца назад

    Msimamizi wa kipindi cha kipyenga cha mwisho inabidi mjitahidi kuwa na mzani linganifu kwenye kujadili, maana inaonekana mnajadili sana matukio yenye athari chanya kwa timu ya Simba sc kila inapotokea wamekutana Simba sc vs Yanga sc.

    • @KennyYizzle
      @KennyYizzle 2 месяца назад

      Ndugu mwandishi inabidi kabla ujaongea unapaswa kuonesha matukio ya yanga ambayo hayajachambuliwa usilete ushabiki

    • @mbaruku5942
      @mbaruku5942 2 месяца назад

      Hata mm nakubaliana na wwe @kennyyizzle

  • @queenmwasanguti2370
    @queenmwasanguti2370 Месяц назад

    Ema anza na kutiiiisha Yanga, mpaka wenzio wamekushtukia😅😅😅😅😅😅

  • @queenmwasanguti2370
    @queenmwasanguti2370 Месяц назад +1

    Kaze sikusikilizi tena

    • @zaidihussein4311
      @zaidihussein4311 Месяц назад

      Ana kufanya anajuwa sana kumbe na yeye ajuwi chochotr

  • @muhammadmuhammad5043
    @muhammadmuhammad5043 2 месяца назад

    Naomba Tuekeeni Namba Ya Sim Iwe Tunapiga Hatakabla Ya Kipindi

  • @IdiBalakaijuka
    @IdiBalakaijuka 2 месяца назад +1

    Tunaomba Sheria za mpira zifanyiwe malekebisho asa kwa upande wa refalii maana wanakosea kwenye maamuzi Yao na yanaikositi timu nyingine kwaiyo ata akitozwa faini itakua Haina maana kwa kua yeye ni mtu 1 na uku wanaoumizwa ni watu wengi

    • @mbaruku5942
      @mbaruku5942 2 месяца назад

      😂 😂 😂 😂 😂 Sheria sio za TFF sheria ni za fifa labda kama ushauri wako uwe tuwekeze kwenye mifumo sahihi ya kutemgeneza marefra wenye weledi mkubwa wakutosha

  • @danieldeogratus1683
    @danieldeogratus1683 2 месяца назад

    Mara moja moja muwe mnawaita na marefa husika hapo studio, maana naona mnahukumu mengine bila kunpa mtu haki ya kujieleza!

  • @victorsanga2229
    @victorsanga2229 Месяц назад +2

    Kayoko arudi darasani

  • @edwindavid7037
    @edwindavid7037 2 месяца назад +1

    Huyo Hassan ni Simba mtupu rudieni hii crip utasikia anavyoshadadia makosa ya Yanga. Hii ya Musonda ni clear penalty.

  • @FilbertKalembe-fy4oq
    @FilbertKalembe-fy4oq 2 месяца назад +2

    Mbona ya yanga hamuyasemi wapuuzi nyie