INJINIA HERSI AAPA - "AFE KIPA AFE BEKI NIKIWA RAIS YANGA, LAZIMA YANGA TUJENGE UWANJA"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 июл 2022
  • INJINIA HERSI AAPA - "NIKIWA RAIS YANGA, LAZIMA TUJENGE UWANJA WA WATU ELFU 20, AFE KIPA AFE BEKI"
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • СпортСпорт

Комментарии • 95

  • @innocentmakala6542
    @innocentmakala6542 Год назад +8

    Mungu atufanyie wepesi. Wananchiiii💚💛💚💛💚💛

  • @mariamjason8319
    @mariamjason8319 Год назад +5

    Allah akuongoze💚💛💚💛💚💛💛💛

  • @mgorakatembo2642
    @mgorakatembo2642 Год назад +2

    Wewe unatufaa kua laisiwetu kifupi tumekukubali tunakuelewa tunakuamini na hatuna mashaka nawewe ❤️❤️❤️❤️🙏❤️❤️🙏🏻

  • @aminamsimbe4034
    @aminamsimbe4034 Год назад +5

    Mungu akubariki

  • @rehemaabdullah7606
    @rehemaabdullah7606 Год назад +9

    Allah akufanyie wepes na pia akurinde na maadui🙏🏼🙏🏼🙏🏼maana sio wote wanapenda wengne wanapinga wanajaribu kila mbinu kukuchafua ili ukate tamaa Tunakuombea usikate tamaa nia yako ilikubalike

  • @bonifacehamis4088
    @bonifacehamis4088 Год назад +5

    Injinia hersi ndooo RAIS WETU sisi wanaYANGASC 🔰🥳🔥🔥

  • @stevindany8497
    @stevindany8497 Год назад +6

    mungu akulinde

  • @user-hj6er2kt4j
    @user-hj6er2kt4j Месяц назад

    Mungu ambariki

  • @timetravellor5367
    @timetravellor5367 Год назад +6

    Ukweli usemwe injinia Hersi ni noma
    Kwa mipango

  • @uthmanmaluja7005
    @uthmanmaluja7005 Год назад +6

    Huyu jamaa ni ana uelewa mkubwa Sanaa..Wa mpira na uendeshaji naona amechelewa Sana kuwa kiongozi kwa wananchi

  • @Glove233
    @Glove233 Год назад

    Namkubali sana Engener 💛💚💥👊💪

  • @AgathaNdalichako
    @AgathaNdalichako 3 месяца назад

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @claudbusumilo3979
    @claudbusumilo3979 Год назад +2

    TUNAKUOMBA PIA TENGENEZA APP NA NAMBA YA MCHANGO TUKO TAYARI KUUJENGA UWANJA

  • @selemanrobi8027
    @selemanrobi8027 Год назад

    Asante sana kutuinua wana yanga

  • @kudrantegakaje7237
    @kudrantegakaje7237 Год назад

    Mungu akuongeze salama sn

  • @peterstanley4189
    @peterstanley4189 6 месяцев назад

    Tafadhari msimcoment inji herisi kuwa ataitumikia yanga tu uongozi huo ni timu. Zote za afrika wakiwemo hao makolo ambao huwa hawapendi mafanikio ya wengine mungu ibariki afrika

  • @naomijeremiamalamso8443
    @naomijeremiamalamso8443 Год назад

    Nammpenda sana injinia hersi jamani mungu akupe nguvu Zaid Yani unaongea vitu vya point tupu 💛💛💛💛💛💛💚💚💚💚💚

  • @tinabapemacho8650
    @tinabapemacho8650 Год назад +1

    Ishallah ikuwe herry rais wetu mtarajiwa allah akusimamie

  • @francisaidano1401
    @francisaidano1401 Год назад

    Gud

  • @DeogratiasAmos
    @DeogratiasAmos 2 месяца назад

    Tabulele laaaaaa

  • @neemamwasomola8663
    @neemamwasomola8663 6 месяцев назад

    Rais wetu Injinia tunakupenda siku zote mashabiki tunakuelewa sana miaka mingi kwako

  • @abdukalembo788
    @abdukalembo788 Год назад +1

    Mungu atuweke salama tuone

  • @malickabdy8266
    @malickabdy8266 Год назад +1

    All the best mr president

  • @deeswaggz8427
    @deeswaggz8427 Год назад +2

    We umesha pita bado tu majukumu

  • @petersynto2043
    @petersynto2043 Год назад +3

    Mungu akutangulie una malengo mazuri

  • @kapondamsita476
    @kapondamsita476 Год назад

    Uyuanatufaa

  • @congoboymbeyas2440
    @congoboymbeyas2440 Год назад

    💚💛💛💛💚💚💚💛💛

  • @LackossAmos
    @LackossAmos 4 месяца назад

    Kwell laisi we2 tunakuamini

  • @dadyhilaly6128
    @dadyhilaly6128 Год назад

    Namkubali sana rais wang

  • @petermahimbo378
    @petermahimbo378 Год назад

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Ndo Maana Halisi Ya Kuwa Kiongozi Msomi

  • @angellamwamlima6569
    @angellamwamlima6569 Год назад

    Shoshoshoooooo wataisoma makolo

  • @abdilahjuma2493
    @abdilahjuma2493 Год назад +3

    Enginear nina mtoto ana miaka kumi anasoma drs la vi naamini anakipaji cha mpira, naomba nikupe huyo mtoto aendeleze kipaji chake

  • @ahmadsalim4417
    @ahmadsalim4417 Год назад

    #Daimambelenyumamwiko 💛💚

  • @onesmojustice2348
    @onesmojustice2348 Год назад +1

    Wataelewa tu

  • @bakarinassoro5513
    @bakarinassoro5513 Год назад +1

    Unafaa kua kiongozi

  • @user-nj1ot1lc9e
    @user-nj1ot1lc9e 6 месяцев назад

    Kamanda nakubali sana kwenye majukumuyako unavoyasimamia we nikiongozi bola

  • @minskbelarus7255
    @minskbelarus7255 Год назад

    Kabla ya kufa kipa au Beki, mkumbuke ALLAH kwanza.

  • @jumannemasamia9824
    @jumannemasamia9824 Год назад +6

    Kwa kipindi cha miaka minne ya hyu jamaa kma rais wa yanga tukiikosa fainali ama nusu ya shirikisho ama ligi ya mabingwa Africa 😂😂 mninyonge hadharani

  • @andreajoseph5859
    @andreajoseph5859 6 месяцев назад

    Huyundiye kiongozi kijana mwenye uweledi mkubwa Sana endapo inge mpata muda makubwa sana yange fanyika Sana ...maneno yake niyankweli si ubaba ishaji..mm IPO hapa Yani ana waumiza Sana vichwa viongozi wengi wampira ...

  • @user-pg1xe1qs2g
    @user-pg1xe1qs2g Год назад +1

    😁😁😁😁😁 Rais Rais

  • @jamesmayala5491
    @jamesmayala5491 Год назад

    Ambae anadhan elimu ni paka kuajiliwa anachelewa sana uyu injinia ni msomi

  • @user-pg1xe1qs2g
    @user-pg1xe1qs2g Год назад +2

    Hersi ndio Rais sisi hatutaki mambo mengine hayo

  • @kellyngogo3319
    @kellyngogo3319 Год назад

    Eti mikkati😁

  • @alicenice1711
    @alicenice1711 Год назад +3

    Hersi ni handsome jamank

  • @kaisarimbisso5011
    @kaisarimbisso5011 Год назад

    Wananchiiiiii

  • @user-jx5ig9yj2l
    @user-jx5ig9yj2l 5 месяцев назад

    Kotawa hap naitakia leo yanga ushindi

  • @user-jx5ig9yj2l
    @user-jx5ig9yj2l 5 месяцев назад

    Nelson hap naitakia yanga leo mchezo mwema

  • @franksarakikya7012
    @franksarakikya7012 Год назад

    Viva eng helic

  • @graphicshome862
    @graphicshome862 Год назад +1

    Mtumakini anaonekana tu..... huyu jamaa ametuonesha kitu cha kutufanya kumwamini hatawsala la uwanja naon sio big ishu kwake.

  • @devothaanacreth5697
    @devothaanacreth5697 Год назад

    Yanga imara

  • @faidamasegenghe1253
    @faidamasegenghe1253 Год назад +2

    Nawapata vema sana yanga ndo bingwa bwakani

  • @EliasJacob-mz8nj
    @EliasJacob-mz8nj 6 месяцев назад

    Nakuelewa rais engener eris kira lakheeli na chama langu la yanga ?

  • @reganclarence4657
    @reganclarence4657 Год назад +1

    Kwa kweli.kwa hii mipango makolo watasubiri sana.....😂😂😂 helsi piga kazi...ngenga wachie waindi....😆😆

  • @alicenice1711
    @alicenice1711 Год назад +2

    Najiuliza msola kazi yake imekua nini?

  • @jannetjohn2592
    @jannetjohn2592 Год назад

    Kazi busy

  • @EdwardElikunda
    @EdwardElikunda 4 месяца назад

    Kocha gamondi hawapendi wachezaji wazawa

  • @isackkamnde1961
    @isackkamnde1961 Год назад

    Ela mmepata ila kadi hamjatoa kwanini na watu tumelipa ela zetu?

  • @wilbrodjkiria9358
    @wilbrodjkiria9358 Год назад

    Asa

    • @blasiomtweve.9670
      @blasiomtweve.9670 Год назад

      Engineer wetu chapa kazi kwani tumeona mipango Yako Iko vizuri kazi bila mikakati haiwezekani

  • @danielakyoo4522
    @danielakyoo4522 Год назад +1

    Naona Yanga mbali sana chini ya engineer

  • @johnmhaha5931
    @johnmhaha5931 Год назад

    YANGA HATURUDI NYUMA KUANZIA SASA 2022 NA KUENDELEA TUWAACHE WASEME , BAADAYE WATAONA WENYEWE

  • @kassimchuo5290
    @kassimchuo5290 Год назад

    May GOD protect you the coming president of young Africans inshaaAllah.....

  • @mariamhussein4707
    @mariamhussein4707 Год назад

    Naitwa Rashidi kutoka Tabora nahitaji yanga iwe zaidi ya msim uliopita

  • @martinmwakila6992
    @martinmwakila6992 Год назад

    Wachambuzi wa sport Arena w.sana jana mmeshindwa kabisa kuuliza maswali ambayo asipo kuwepo kiongizi yeyote mnaongea sana

  • @nabiimgongolwa8728
    @nabiimgongolwa8728 6 месяцев назад

    Rais Hersi NAOMBA SKUDO MAKUDUBELA MUMUANZISHE KUNA MAAJABU YA USHINDI YAKO KWAKE....HAMTAKI SAWA LAKINI MIMI KUNA KITU NAKIONA.

  • @ImanuelMwaipaja-wf7xq
    @ImanuelMwaipaja-wf7xq 4 месяца назад

    Uyu jamaa nimjanja sijapata ona

  • @alsaadyalsaady6838
    @alsaadyalsaady6838 Год назад

    Ni tapeli wa maneno tu apate urais awafir. utopolo

  • @daudmwaipasi5672
    @daudmwaipasi5672 Год назад +1

    Mi natamani uwanja tu kwasasa bc

  • @simoncharles5707
    @simoncharles5707 Год назад

    Anastahili kuwa rais ila pesa anayo?

    • @MITOBO
      @MITOBO Год назад

      Ata pesa za GSM zinatoka kwa Kikwete

  • @benosilwani5208
    @benosilwani5208 Год назад

    Politics

  • @daudkhatib4678
    @daudkhatib4678 Год назад

    Sisi. Wana. Jangwani. Tunataka. Ubingwaa. Uwendeleee

  • @mohamedjeizan5929
    @mohamedjeizan5929 Год назад +3

    Mwamba Hersi. Umetutowa kwenye utumwa wa kukosa makombe umetuletea bus kwenye sherehe hakuna Africa nzima isipokuwa Uganda umetuletea Aziz K.
    Tumeshaingia 18 zako IkiwA tulikubeba migongoni kutoka airport mpaka mjini tushindwe nn tena? Hata ukitaka tukumilikishe jengo la jangwani tuko tayari.
    Utopolo die hard fun

  • @saidsalum6101
    @saidsalum6101 Год назад

    Kampeni hiyo

  • @mohammedalinassor1803
    @mohammedalinassor1803 Год назад

    Instagram