ENG. HERSI AFUNGUKA KUWA" AUCHO NI MCHEZAJI WA KUIGWA KATIKA CLUB YETU |

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 янв 2025

Комментарии • 124

  • @Bro_vin1
    @Bro_vin1 8 месяцев назад +34

    Nikimaliza hii interview narudia yena mech ya simba na yanga zote mbili. Yanga ni raha sana💛💚💛💚💛💚

    • @thepilot2530
      @thepilot2530 8 месяцев назад

      Sanaaaaaaaaaaaaa

    • @ezekielfrank2434
      @ezekielfrank2434 8 месяцев назад +1

      Alooo Mungu akupe Maisha Marefu!😂😂😂😂😂😂 Hat mm kabla Cha break fast na dinner huwa narudia match zote mbili

    • @pastorgodwinchengula7848
      @pastorgodwinchengula7848 8 месяцев назад +1

      Hatari sana 😂😂

    • @gibogb5637
      @gibogb5637 8 месяцев назад +1

      😂😂😂😂watakulogaa shauri yakoo

    • @NunuKupela
      @NunuKupela 8 месяцев назад

      😂😂😂

  • @RebekaChard
    @RebekaChard 8 месяцев назад +5

    Uko vizurii sana rais wetu upewe maua yako

  • @lucasjohnmabanda5858
    @lucasjohnmabanda5858 8 месяцев назад +1

    I think Hersi is just the only distinguished professional football president we had never experienced in the football history of our country. We aspire you send our team to international reputation 💚💚💛💛

  • @LeylatVlogs
    @LeylatVlogs 8 месяцев назад +33

    Mimi ni simba damu damu,ila kwa huyu jamaa ni miongoni mwa watu ninaowakubali saana namuona mbali saana 👏👏👏

  • @AziziManji-ib4yv
    @AziziManji-ib4yv 8 месяцев назад +2

    Hongera Sana.. kiongozi imara.💪

  • @jogoomohamed2652
    @jogoomohamed2652 8 месяцев назад +2

    Eng Hersi saidi mtu sahihi sana,kiongozi sahihi,hapa tumepata kiongozi.Wallah

  • @ALFREDYMABUSI
    @ALFREDYMABUSI 8 месяцев назад +1

    Hakika tutakukumbukaa sanaa ktk kipindi cha uongoz wako WA uraisi Ni WA mfumo pia WA kuigwaaa ATA Kwa kizazi kijachoooo my president of young African club❤

  • @nahimjumanne8188
    @nahimjumanne8188 7 месяцев назад

    Nafikili Nilishaa Waambia Siku Nyingi Sana Huyu Enjinia Here's Ni Akili Nyingi Halafu Mpila Anaujua Vibaya Mno Kwenye Uogozi Ndo Usiseme Mungu 🙏 Akuogoze Hivo hivo Raisi Wetu Wa Yanga Bigap Sana kaka💛💚🖤💪😅😅😅😅😅

  • @ibrahimabdullah1887
    @ibrahimabdullah1887 8 месяцев назад +17

    Huyu bwana kakombora basi ni samarat 2 ya putin japo mimi simba nampa🎉❤

  • @upendomtui6544
    @upendomtui6544 8 месяцев назад +44

    Ninakupongeza president upo vizuri, ila nina ushauri kidogo tu, kwakuwa upo more professional unatusaidiaje kama taifa kupitia club yako kwa kuandaa vijana wadogo?? Kama mlivyofanikiwa kwa Mzize.... Hapo pia tukiangazia 2027

    • @hamisramadhan-eb3ie
      @hamisramadhan-eb3ie 8 месяцев назад +5

      Hii ndiomana yaklabu kubwa😂😂

    • @FabianPiusMghanga
      @FabianPiusMghanga 8 месяцев назад +3

      Swali zuri sana

    • @godfreybarnabakapten4407
      @godfreybarnabakapten4407 8 месяцев назад +5

      Wow jambo zury sana kijana mwenzangu

    • @Zaynab-ny6gr
      @Zaynab-ny6gr 8 месяцев назад +5

      Ndio maana kuna shekhan na Vjana wengine wapo yanga B naamini msimu ujao wataingiza wengine

    • @HafashyOmmy
      @HafashyOmmy 8 месяцев назад

      Nikweli ndugu unacho kisema kuhusu vijana lakini club inajiendesha kwajili yakufikia malengo yake pia kwajili ya kulinda viwango vyake sio rahisi kwa soka la tz kuwekeza kwa vijana na ukategemea kufanikiwa sio kweli kutokana na utamaduni wetu hivyo ata hivi vilabu vijana wanao umeona wapi wanawaamini au kuwapa ata dk kaza kwawatz itabaki ndoto labda tubadilike presha ndio tatizo mashabiki hatuna uvumilivu ndugu

  • @AthumaniNtemo-v6d
    @AthumaniNtemo-v6d 22 дня назад

    Hongera Eng Rais Kwa mipango yako kk yanga

  • @GodfreyMhando-gn7ok
    @GodfreyMhando-gn7ok 8 месяцев назад +1

    mmm nisimba lakin jamaa anajuwa mpira sanaaa kweli kiongozi mzuri hongera sanaaa

  • @ramadhanikambalame5185
    @ramadhanikambalame5185 8 месяцев назад

    Great thinker,, Tanzania tuna mtu wa maana sana,, tumuombe mwenyezi Mungu ampe umri mrefu ili vizazi vijavyo vije vifaidi matunda

  • @OscarGregorymosha
    @OscarGregorymosha 8 месяцев назад +2

    Nakupongeza Sana raisi wetu mungu akutangulie kwenye kila jambo lako

  • @--------GEO_SPORT_EARTH_EA
    @--------GEO_SPORT_EARTH_EA 8 месяцев назад

    Engineer #hersisaid
    Very smart person .
    #daimambelenyumamwiko

  • @kabujeasukile5462
    @kabujeasukile5462 8 месяцев назад +1

    Asante sana RAIS WETU 💛💚💛💚💛💚

  • @Kimweri_tz
    @Kimweri_tz 8 месяцев назад +5

    The president we waited for a last long epochs

  • @JastinAlphonce
    @JastinAlphonce 8 месяцев назад +4

    Kazi iliyopo ni kulinda tulichonacho👏👏👏👏

  • @rajabunahembe
    @rajabunahembe 8 месяцев назад

    Hongera rais kwa kweli tuna jivunia uwepo wako mwenyezimungu Akulinde na mahasidi amin

  • @Danielmayunga
    @Danielmayunga 8 месяцев назад +2

    Congratulations Mr president we trust you coz you very pafect

  • @Obedy-er8ih
    @Obedy-er8ih 8 месяцев назад +30

    Huyu mwamba apewe tu uraisi WA MILELE yanga au mnasemaje wadau??

    • @recholukas2342
      @recholukas2342 8 месяцев назад +4

      Upo sahihi Eng.Hersi Ana IQ ya management ya Timu za ulaya yani huyu jamaa ni ASSET NO.1 YANGA ANA UBONGO YANI THINKING CAPACITY YAKE NI KUBWA MNOOOOOO 💘

    • @Dula707
      @Dula707 8 месяцев назад +2

      Kweli mwanangu

    • @mathewtwimanye92
      @mathewtwimanye92 8 месяцев назад +3

      Dah hii kichwa ina madini mengi sijui ss wa upande wa pili tunaferi wapi? Kuibia jambo zuri sio kosa

    • @NEEMAMSIGWA-d1z
      @NEEMAMSIGWA-d1z 8 месяцев назад

      Sana

    • @emmanuelzwallo3933
      @emmanuelzwallo3933 8 месяцев назад +1

      Una akili kama ya mimi mkuu

  • @MuhungaMasengo-og3vk
    @MuhungaMasengo-og3vk 8 месяцев назад +2

    Ahirini kiyango Dada yangu mungu awe nanyi dahima mbele nyuma mwiko

  • @ezekielsaid9536
    @ezekielsaid9536 8 месяцев назад +3

    Hongera san Rais wetu wa club ila nina ombi moja tu huyu kocha wetu wa viungo hayuko sawa msimu huu wachezaji wengi wamekuwa na majeruhi

    • @patrickngalya5884
      @patrickngalya5884 8 месяцев назад

      Yey ndo anaesababisha majeruhi? angalia ufinyu wa ratiba hao ndo wahusuika mchezaj anakosa recovery so hata akiwa na injury ndogo mwisho wa siku inakuwa injury kubwa

  • @ABDIRISAKNoor-pp6oo
    @ABDIRISAKNoor-pp6oo 8 месяцев назад

    Smart & intelligent.

  • @BiasharaZetuPoint
    @BiasharaZetuPoint 8 месяцев назад +1

    Elimu ya bure hii ❤❤

  • @rajabumohamed5606
    @rajabumohamed5606 2 месяца назад

    Icho kitu kolo hawakijui😂😂😂😂

  • @lshayo1658
    @lshayo1658 8 месяцев назад +1

    Background playback inakelele sana bhana si mngezima hiyo sound!!

  • @marthageorge5043
    @marthageorge5043 8 месяцев назад

    💚💛💛💛

  • @cletusdeusdedit6740
    @cletusdeusdedit6740 8 месяцев назад

    Kongoreeee engnia

  • @edrickrugrabamu1122
    @edrickrugrabamu1122 8 месяцев назад

    Kaka hers mungu akupe nguvu na uzima we utakuja uwe mtu mkubwa zaidi ya apo

  • @AbdulkareemaliyseifSeif-ob1lm
    @AbdulkareemaliyseifSeif-ob1lm 8 месяцев назад +4

    Huyo ndio kiongozi muhuni km alivosema Yule kipara pale e fm

  • @JohanesEmily
    @JohanesEmily 8 месяцев назад

    Engineer Hers Said Ally ni mmoja tu.Wengine wanaigiza

  • @magrethmakauki235
    @magrethmakauki235 8 месяцев назад

    Big up hers

  • @fitinakisamuhagakisamuhaga693
    @fitinakisamuhagakisamuhaga693 8 месяцев назад +1

    Huyu ndiyo kiongozi wa socca sasa siyo unaleta watu hawaelewi chochote kwenywe mpira kama jaribu tena nandugu yake mangungu alafu unasema hapo unakiongozi wa mpira muulize swali lakiweledi kuhusu mpira uone kama ujaambuliwa kujibiwa matusi au maneno yakukera ila kwa heris atakuacha nafuraha juu hata kama hayupo kwenye timu yako

  • @domisonrichman6499
    @domisonrichman6499 8 месяцев назад

    Safi raisi makolo wako so emotional😂😂

  • @NjileNgusa
    @NjileNgusa 8 месяцев назад

    eng nakupa 🎉 yako

  • @KassimMaunde
    @KassimMaunde 8 месяцев назад +7

    Rais wa mpira uyo na sio Rais wa heshima kama wenzetu baba unajua Wana yanga atukudai auna deni

  • @omarysalehe4912
    @omarysalehe4912 8 месяцев назад

    👏👏👏

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 8 месяцев назад +1

    Kitu injinia anataka kusema, kwa ufupi,,, Yani usiifananishe yanga na takataka zingine,, sema katumia tafsida ndefu 😂

  • @maryelias9674
    @maryelias9674 8 месяцев назад

    This guy 😂 daah anajua san

  • @JescaMuyabi-ix8ly
    @JescaMuyabi-ix8ly 8 месяцев назад

    Akilinyingi uwezo Mkubwa hongera

  • @juliasloomu5926
    @juliasloomu5926 8 месяцев назад +2

    Mimi kama shabiki wa Yanga please ninaomba tukishajihakikishia ubingwa kabla ya mechi moja au hata mbili, ninaomba kiongozi wangu mfanye total rotation kuanzia namba moja hadi 11: Tuwape vijana japo mechi kadhaa

  • @bezalelibaraka
    @bezalelibaraka 8 месяцев назад +1

    💚💚💛💛

  • @afidhi5598
    @afidhi5598 8 месяцев назад

    Huyu hels kweli kiongozi wa kuigwa kabixaaaa

  • @mafioso26411
    @mafioso26411 8 месяцев назад

    Mimi kama Faisal aondoke Heris mimi ni baki😂

  • @afidhi5598
    @afidhi5598 8 месяцев назад

    Yangaaa

  • @NadyaMfaume
    @NadyaMfaume 8 месяцев назад +2

  • @JumaOmar-ku6cr
    @JumaOmar-ku6cr 8 месяцев назад +4

    Raisi unatoa elemu jamaa zetu waibe kidogo ila usitowe elimu yote

  • @bahatichikoko6362
    @bahatichikoko6362 8 месяцев назад

    Kweli kabisa wengine hatuwezi kuvaa tishet kweli tuletewe khanga na vitenge tujiachie.

  • @benjaminsumuni3802
    @benjaminsumuni3802 8 месяцев назад

    kiukweli wew ni kiongozi mweny maono unapaswa kuwa serikalini

  • @nemesjosephat5612
    @nemesjosephat5612 8 месяцев назад

    Hii studio ni kama baa,watu wanaingia na kutoka

  • @Amoszaguli-oy9ye
    @Amoszaguli-oy9ye 8 месяцев назад

    Kiongoz wa mpira safi san

  • @deomusyebi9930
    @deomusyebi9930 8 месяцев назад

    Eng. Kila mara huwa nasema wewe ni wa mfano wa kuigwa shule imekusaidia sana lkn nahisi hii ni pamoja na malezi ya wazazi wako niwape hongera sana wazazi wako wametupa kitu

  • @SuleimanChief
    @SuleimanChief 8 месяцев назад

    Kukiwa na uwezo wa kifedha na Hersi kama atabaki Yanga kunauwezekano mkubwa Yanga kufanya makubwa Africa.

  • @alnasmwalingo4670
    @alnasmwalingo4670 8 месяцев назад

    Unatoa madini Kwa hawa watu hawakawii kuiga mwee😢

  • @godfreylushiku3081
    @godfreylushiku3081 8 месяцев назад

    Kipindi kinaitwaje vile?😂😂😂

  • @mathiaskizwili1552
    @mathiaskizwili1552 8 месяцев назад

    Hivi Feisal alisemaje vile et,,Akitoka HERSI Yanga…………,,,Shenzi zake kabisa akafiee huko😠😠😠

  • @JohnMussa-lr4hw
    @JohnMussa-lr4hw 8 месяцев назад

    Upo vzur Rais wa mpira cha kaz

  • @hashimshaqur9363
    @hashimshaqur9363 8 месяцев назад

    Aucho alikuwa mkali sana akiwa Gor mahia

  • @rajabvuaimussa7049
    @rajabvuaimussa7049 8 месяцев назад +1

    Hapa ange hojiwa yule mpuizi wa wekundu wa msimbazi ange ongea utumbo kuliko MANGE KIMAMBI !

  • @iddimngazija1957
    @iddimngazija1957 8 месяцев назад +3

    Enginear akili mingi

  • @alnasmwalingo4670
    @alnasmwalingo4670 8 месяцев назад

    Kanga ziwe nyeusi na njano zitapendeza sana

  • @sulehamad8700
    @sulehamad8700 8 месяцев назад +2

    Rais wa mpira huyo

  • @Ayubmakame
    @Ayubmakame 8 месяцев назад

    Yaan mie nimebaki mdomo wazai huyu jamaa abaki kuwa RAIS miaka yote ama mnajemaje WanaYANGA jamani

  • @LevisMk
    @LevisMk 8 месяцев назад

    Huyu jamaa ana akili sana, kwakweli Yanga tuna mtu

  • @abdallahkaggy1452
    @abdallahkaggy1452 8 месяцев назад

    Kitend cha Eng kuhojiwa jamaa wameongeza Subscriber from 10.01 to 10.6 up to now😂🎉

  • @jafarimchili8148
    @jafarimchili8148 8 месяцев назад

    Iyu mtu anajitambua sana

  • @rukaya-jg7hj
    @rukaya-jg7hj 8 месяцев назад +1

    Mohammed hyssen toka 2014 yan makolo chukueni elimu hiyo

  • @YASINBENDERA
    @YASINBENDERA 8 месяцев назад

    Huyu ndio Rais wa Boli anajua anachokifanya pia anatia Darasa kwa Timu nyingine wafatilie Hii Interview Viongozi wa Timu nyingine

  • @josephmathias7021
    @josephmathias7021 8 месяцев назад

    Jina la kipindi na madini yanayotoka kwa Eng., nmemind hadi nimezira kula😡😡

  • @joycemmassi5046
    @joycemmassi5046 8 месяцев назад +1

    Mwamba uko vizur mnooo yaan wewe Ysnga ni asset tosha ni Rais wetu milele kaka injinia

  • @MahandaJr527
    @MahandaJr527 8 месяцев назад

    Alafu anatokea mtu2 amshiba makende anasema hawez kurud hadi engineer aondoke Shenzhenency

  • @masoudmpenda9058
    @masoudmpenda9058 6 месяцев назад

    Chukua nagasi ya tff utusaidie nchii

  • @abbasmussa4306
    @abbasmussa4306 8 месяцев назад

    Huyu ni Raisi wa Mpira Anajua nini Anafanya ndio maana Anajiamini kwenye Uongozi

  • @mohanmashine3518
    @mohanmashine3518 8 месяцев назад

    ndo maana binafsi sijawah kurizishwa na kuona khalid aucho kutokuwa captain wa young Africans

  • @williamreuben4866
    @williamreuben4866 8 месяцев назад +1

    Usiongee sana kutoa mipango mikakati

    • @amaniomar1755
      @amaniomar1755 8 месяцев назад

      Muache atoe elimu Rais wetu ni role model wa viongozi wote wa ball Tz

  • @charlspius4661
    @charlspius4661 8 месяцев назад

    Awe rais had awe mzee kabisa

  • @MustSee55
    @MustSee55 7 месяцев назад

    yanga wamempataje huyu jamaa

  • @rajabumohamed5606
    @rajabumohamed5606 2 месяца назад

    Apa ndio utajua msomali na muhindi nani Zaid

  • @CleopaRobert
    @CleopaRobert 8 месяцев назад

    Boos kwa usajili waokra sijapenda

    • @smtaffordmaregesi2749
      @smtaffordmaregesi2749 8 месяцев назад

      Elewa maana ya downfall.climax perfomance na peak perfomance

  • @scopy0428
    @scopy0428 8 месяцев назад +1

    Eng anakuambia haupaswi kuiongoza timu kishikaj na kama utaiongoza timu kishikaji bas ujue haupo mbal na timu yako kukufia

    • @musamagulu2023
      @musamagulu2023 8 месяцев назад

      Wewe unamfundisha eng?
      Nenda kafundishe makolo wenzio huko mlofeli

    • @mustaphahassan589
      @mustaphahassan589 8 месяцев назад

      @@musamagulu2023 we hujamuelewa pia aliyeandika hapa, yeye amequote maneno ya engineer😇😇

  • @EdwardSemwenda
    @EdwardSemwenda 8 месяцев назад

    Rais wa yanga mtu wa mpira simba kuiga sio dhambi

  • @YusuphAkosi
    @YusuphAkosi 8 месяцев назад

    Kiukweli jamaa analijua boli

  • @speciallvoice8091
    @speciallvoice8091 8 месяцев назад

    Uyu jamaa balaa kweli hapa wanamnch Rais tumempata

  • @BakariAdam-on7cn
    @BakariAdam-on7cn 8 месяцев назад

    We nimwamba injinia unajua mpaka unkera

  • @ramadhanikambalame5185
    @ramadhanikambalame5185 8 месяцев назад

    Apewe nchi tu

  • @marymoshi572
    @marymoshi572 8 месяцев назад +1

    Rais

  • @hamisiali796
    @hamisiali796 8 месяцев назад

    Kweri

  • @SaidiMboje
    @SaidiMboje 8 месяцев назад

    Dum sana yanga

  • @ManjaHisani
    @ManjaHisani 8 месяцев назад

    Hatutaki rais wetu utowe siri za undani wa wachezaji unawafinuwa vichwa kwa viongozi wanao kukopiya

  • @saidmilanzi45
    @saidmilanzi45 8 месяцев назад

    Kunawatu wanamvi kilamahali lakini akili hawana kabisa

  • @kinyutatonha8831
    @kinyutatonha8831 8 месяцев назад

    rais mbona unatoa codi za uongozi

  • @natunganatunga7510
    @natunganatunga7510 8 месяцев назад

    Chafu hiyo

  • @brandinamwakasendeka4756
    @brandinamwakasendeka4756 8 месяцев назад

    Kumbe kipindi kinaitwa bao la asubh

  • @Issa414
    @Issa414 8 месяцев назад

    Injinia mtu yaboli