Mashallah tabaarakallah professor fumau . Allah akuhifadhi kwa kila shari. Unafaa kupewa kazi kwa serikali ya mama samia. Hapa saudia kuna wasaudi wako amerika wanalipwa madola mengi sana kwa mashairi tu. Hicho ni kipawa kikubwa sana. Serikali immwinue azidishe kipawaji chake ndio ombi langu
Maandiko MATAKATIFU ya biblia Yanasema hupaswi kua vuguvugu au madabwajat, Kwa Mungu upo na Kwa shetani upo, mwisho WA siku Yesu atakutapika, na huo tunaita unafiki, unapojiita mkristo then unasaport maqafir, au kupenda mambo Yao🤷, tambua kua kuna dini nyingi zinautaratibu mzuri ILA sio za kweli, mfano Mabudha, washinto, confyushz, au wahindu, Kwanzia matendo mavazi, na utaratibu WA ibada, lakini , hazimwabudu Mungu WA kweli JEHOVAH, na Yesu Christo, Mwanae
Huyu jamaa anaonekana ni mtupu katika dini hivi unapata wapi ujasiri wa kumwita muislamu mwenzio mwenda wazimu hali ww hujui unanafasi gani kwa Allaah ndugu yangu maneno yako yachunge sana yasije yakakurudia mwenyewe
Yuko vizuri sana sana
Mungu akujalie umtumikie Mungu
Huyu jamaa anatunga hapohapo mashallah😊
Mkali sana
Mashallh kijana upo vizur 💚💛💚💛💚💛💚💚💛💚💛
Dah! Hongera sana kaka kazi nzur, usomaji fasaha yaani uko vizur kaka Allah akujaze kher inshaallah
Hakika😀😀
Ma sha Allah.
Allah amzidishie ndugu yetu.
Mashaallah mashaallah fumau💛💚💛💚💛💚
Mm ni shabiki wa Simba ila jamaa nampenda kwa ajili ya Allah
Ma sha allah tabaraka Allah Allah ahijalie ndowa zawo ndoa 100 mwaka kesho allah awatilie wepesi
Mashaallah ALLAH akubariki kwa kipaji
Aminaaaaa!!!
Fumau una kipaji kikali sana!! Hongera sana kaka
Sana sana
Allah akujalie umri mrefu na mwisho mwema inshaAllah
Maa Shaa Allah FUMAU Mungu azdi kukupambania na kipaji chako🎉🎉
Sherehe ina bila ya batra Wala zahma.
Maashallah.
Tujifunze.Kupunguza gharama ktk sherehe zetu.
Hao wahusika ndio wanaanza Maisha.
MASHA ALLAH 🇰🇪💚💚💚
Hongera Fumau unakipaji
Mashaallah Asante kakangu
MASHAALLAH 💚💛
😮 mashaallah Allah akuzidishie kipaji
Maashaallah ❤❤❤❤ mashaallah❤❤❤maashaallah
Ma sha Allah , akuzidishie kila lakheri
Mashall mungu akuongz❤
Mashaaaaalah❤❤❤❤❤❤ 6:40
Mashallah Mashallah
MANSHAALLAH ALLAH BARIK kijana unakipaji
Saaanaaa!!!
@@yusufumpako5364TATIZO LAKE NI UTOPOLO HUYO 😂😂😂😂😂😂😂 MIMI SIMBA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mashaallah mungu akujalie san fumau
MASHAALLAH.
Masha Allah akufanyie wepes
Hongera sana famau unajua kiukweli
Daaa vizuli sana kk
Mashaallah 🙏
Safi sana❤❤❤
Mashaalah fumau
Jazaka lahu kheir
Manshallah Allah akuwekee wepesi
Masha Allah lla😊
Jamaa anakipaji sana
Saana tu.
Allah akubarik kijana
MashaAllah jazakallahu khair❤😂
Mashaallah🎉
MaaaashaAllah
Ma sha allah
Mashaaaaalah❤❤❤❤❤❤
Masha Allah
Hongra sana kijana
Mashallah ❤
Mashallah tabaarakallah professor fumau . Allah akuhifadhi kwa kila shari. Unafaa kupewa kazi kwa serikali ya mama samia. Hapa saudia kuna wasaudi wako amerika wanalipwa madola mengi sana kwa mashairi tu. Hicho ni kipawa kikubwa sana. Serikali immwinue azidishe kipawaji chake ndio ombi langu
Manshallah
Safi sana
Mashalla
Hayupo msikitini ila yupo kwenye ndoa na ndoa ni furaha ,usiutie uzito uislam maana haya sio madufu Wala magoma,ni man'dhuma au mashairi.
acha ujinga dini na mipira wapi na wapi?
@@KekulebenzeneHIZO NI SHAREHE YA ARUSI NI FURAHA UTANI MASIKHARA KAWAIDA TU HUYO MTOTO HODARI LAKINI UTOPOLO 😂😂😂😂😂😂
Apo watu wapo ktk jambo la dini tena ndoa ni nusu ya dini usituletee matamanio yako
@@salimmalaka256unataka awe kolo ili autakeee
maashaAllah
Anajua 🌹
Mashairi kwenye uislam yanakubalika hata maswahaba walikuwa wanasoma
Wewe unaona mshahiri wakati kwako music imeja kwako
Huu ujinga Sasa, maswahaba walikuwa wanapanda magari? Maswahaba walikuwa wanakula biriyani? Soma dini uepuke aibu ndogo ndogo.
Mwenzawazim gam hali yakuwa kafikisha ujumbeee
Takbir
Nice
FAMAU HODARI LAKINI TOPOLO 😂😂😂😂😂😂😂
mashallah
mpira kila sehemu,pumbavu
nimemuona mangungu😂😂
Mashair yajakatazwa katika uislm
Fumau mtu wa maana kabisa 😂😂😂
🎉🎉🎉🎉
MUNGU azid kukujalia kipaj kikue zaid
Kwani anavofanya huyu kisheria haijuzu sheikh yupo sawa kisheria
Nyii khidma hio jenzi ya Mopira niya nini tafuteni viwas kwa kitu chengine
Kama gis Allah alivio watilia wapes
Jamaa kashatoboa masihara masihara
Ana stair kupewasifa zake jamaa ana jua sana
Radd is loading...........
Yeye akutaka wameaza wenyewe
Wewe chizi muimba MZIKI,😂
Sawaaa
🎉🎉🎉
Alikua ananyanyukia vizuri lakini sifa zimemporomosha hiyo fani ina taratibu zake
Sifa gani Sasa kazi majungu to
Wivu
Huyu kwa bara yupo vizuri lakini kwa visiwani huyu ukimpa maski 10 ktk 100 itakua umempendelea
Hasadi... si uende wewe
@@abou2607Bora ulivyomwambie aende yy
mmmh
Na mm naiyomba Al-hikma inijumuishe ktk ndoa
Daaaa mim n Christian sielew chochote kuhusu Muslim ila jamaa tunamchukulia kawaida sana ila anajua sana pia inaonesha n Mtu wadini sana
Maandiko MATAKATIFU ya biblia Yanasema hupaswi kua vuguvugu au madabwajat, Kwa Mungu upo na Kwa shetani upo, mwisho WA siku Yesu atakutapika, na huo tunaita unafiki, unapojiita mkristo then unasaport maqafir, au kupenda mambo Yao🤷, tambua kua kuna dini nyingi zinautaratibu mzuri ILA sio za kweli, mfano Mabudha, washinto, confyushz, au wahindu, Kwanzia matendo mavazi, na utaratibu WA ibada, lakini , hazimwabudu Mungu WA kweli JEHOVAH, na Yesu Christo, Mwanae
Mshairi alikuwepo hadi enzi za mtume swalallah ghalayhi wasalam na alokuwa akimkosha mtume kwamashairi yake mazuri
Kamq umemuona ngungu boy mkono juu
NIMEMUONA MWANZO MWANZO TENA MSITARI WA KWANZA SEMA NGUNGU MAN SIO BOY 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Fumau eee umenikosha kwakweri nimekubari kipaji kipo
Mashaallah
Munipe faida wa islamu mulizo zipata toka kwake uwo utoto2
Anasauti zuli mashahlla
Shurti kautani mambo yanoge
Macho yako yanaona kma mimi? Nmemuona mangungu
Mtoto unatisha Kwa vina
Dogo famau hongera sana umefunika
LAKINI USILETE UTOPOLO WAKO 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
huyo fumau wa UTOPOLO kajafata nn hapo kuwatia watu nuksi tuu 😂😂😂
Ila ndugu zangu haya mambo ya mipira hayafai pia haifai kumtambulisha sheikh kama ana timu
HIYO NAKUSIKIYA WEWE
jamaa yupo vizuri ila sio mtu sahihi
mambo ya dini wanatakiwa watu wa dini, huyo anachanganya haki na batili
mpira yeye dini yeye
Fact
KASOMA MASHAIRI YA FURAHA YA ARUSI AU UMEMUONA ANATOWA MAWAIDHA HAPO???
Binafsi huyu kijana naona sauti hana ,pumzi hana kipaji kwa mbaali tungo zake haziimbiki
Ungeenda ww
Huyo mtto hanaakili kbisa na huyo mc nae zime fyatuka kidog xaxa dini na mpira wap n wap mkipigw raddi mnasem mnatukanwa
HIYO SHEREHE FURAHA ZA ARUSI KUCHEKA KUTANIANA NA MASIHARA KAWAIDA TU AU UMEONA KUNA MPIRA UNACHEZWA HAPO???
masheikh wa bidaa utawajuaa tu, dini wanataka wao na mipira wanataka
KWANI UMEONA KUNA MPIRA HAPO UNACHEZWA???
din inachezewa jaman mambo ya din na mpira wap jaman
Mpira uko wapi hapo
cukitu narohombaya
Punguza jazba Hiyo ni Harusi
KUNA MPIRA UMECHEZWA HAPO??? FURAHA YA ARUSI UTANI MASIHARA KAWAIDA TU
😂😂😂😂😂hii ni ndoa broo siku raha acha roho mbaya
huyo dogo ni mihuni...
Huyu mwenda wazimu unaleta mambo ya munkari kwenye jambo la dini mpuuzi mkubwa wewe chunga sana utaharibu matendo yako kwa ujaahili
Ujahili gani shekh?
Huyu jamaa anaonekana ni mtupu katika dini hivi unapata wapi ujasiri wa kumwita muislamu mwenzio mwenda wazimu hali ww hujui unanafasi gani kwa Allaah ndugu yangu maneno yako yachunge sana yasije yakakurudia mwenyewe
@@abubakaromaryonlinetv6333 nashangaa aisee
Amekosea kipi hapo? Mashairi kwenye harusi hata mtume alikua akisikiliza nashairi
Au kwakua ametaja mpira? Tusomeni dini jamani tuache jazba
Msamehe kumuita mwenda wazimu kagusa kwenye kidonda
Mashaaaaalah❤❤❤❤❤❤
Mashaallah
Mashaalah fumau