Kwa ukweli asanteni sana kwa wimbo huu.... huwa nautafuta siuoni... Leo hii nimeupata....Mbarikiwe. Mie napenda nyimbo zenu zote. Wimbo wa TUKESHE KILA WAKATI pia nautamani sana.
@@VeronyProductions Nashukuru sana.... Mwenyezi Maulana awajalie mema mnapomtukuza kwa nyimbo.... Huwa sikosi kusikiliza nyimbo zenu, ziko tamuuuu.... PONGEZI kwa WANAKWAYA NA MPIGA PIANO ...napenda sana KWAYA
Thank you very much verony production for working on my request,may God bless you all and kindly remember to also upload"Tukeshe kila wakati" of the same album or upload it as the full album (combination)
Kwa yeyote anayesoma hii..
nakuombea Baraka na maisha marefu yenye mafanikio tele. siku njema iwe kwako na kwa familia yako YOTE.!
Amen
These Tanzanian songs are always amazing.. Full of blessings. Yes, Nimempokea Yesu, Amina. From Kenya🇰🇪
Congratulations!! Waa nigewajoini nivye nko Kenya wimbo uko sawa
Thanks St Cecilia nataka ule wimbo tumeishia kusema dunia mbaya
Huu hapa. Halafu subscribe kwa channel yetu ndo unapata notified tuki upload kazi mpya.
ruclips.net/video/QWdPO9FVSic/видео.html
Ujimbe mzuri... Hapo kwnye step xx ndipo nawapendag mnatendeag nyimbo zenu hak 👏👏👏
Lord, help us fight the powers of the evil one
I love your songs, I blessed here in kenya
wimbo mtamu sana. Hongera. Napendezwa Sana vile mnacheza na mavazi yenu mazuri ajabu. mpiga kinanda hongera Sana.
Hongereni sana Mungu awabariki mno, ila mmenifurahisha Sana na hizo uniform
Halleluja mbarikiweni sana. Wimbo mzuri sana. Mpikaji kinanda heko kwako
Napenda huu wimbo Sanaa
Hapa mmenitendea haki. 💯 💯 💯 💯💯 💯 Niishi uzima wa milele
After a long wait.
Nimempokea Yesu moyoni mwangu.
Asanteni sana wanakwaya.
Kumbe wimbo huu watu waliutamani sana hivi!!! Haya kaka Edwards ndo huu hapa, enjoy.
After a long wait. Thanks kuiweka nakumbuka nilkua naomba wimbo huu radio maria sana
Ariiiiiiiiiiii nimempokea YESU moyoni mwangu thanks.
Always lovely songs nimempokea yesu moyoni mwangu 🙏
Yes was the first one leo.....nmetaguta hii video sana,finally
Indire, ndio kweli tulikawia sana kuiweka video hii lakini ndo hivyo basi leo tumeiweka. Ubarikiwe sana.
Ubarikiwe pia
Hakika Mungu ameifanya Tanzania mahali pake pakuu pa kutukuzwa na hasa kwa kwaya zote za Kikatoliki
Yes, without Jesus, we are nothing. Let's all try to live what we proclaim in His name. Amen
My favorite ❤️🥰
Powerful song, powerful lyrics. Mt Cesilia always gets its right in its pieces.
Kwa ukweli asanteni sana kwa wimbo huu.... huwa nautafuta siuoni... Leo hii nimeupata....Mbarikiwe.
Mie napenda nyimbo zenu zote. Wimbo wa TUKESHE KILA WAKATI pia nautamani sana.
Asante. Tutauweka hivi karibuni.
@@VeronyProductions Nashukuru sana.... Mwenyezi Maulana awajalie mema mnapomtukuza kwa nyimbo.... Huwa sikosi kusikiliza nyimbo zenu, ziko tamuuuu.... PONGEZI kwa WANAKWAYA NA MPIGA PIANO ...napenda sana KWAYA
Saf sana kwawimbo mzr
Thank you very much keep it up we need more songs from you may God bless you 👏👍
Thanks for listening.
Thank you very much verony production for working on my request,may God bless you all and kindly remember to also upload"Tukeshe kila wakati" of the same album or upload it as the full album (combination)
Will upload soon. God bless you.
@@VeronyProductions Amen
High five to that keyboard guy
Huyo jamaa wa keyboard ni mambo mbaya
Asanteee najivunia kuwa mkatoliki
Kwaya nzur sanaa
MUNGU Awabariki
Amazing