TUKESHE KILA WAKATI (OFFICIAL VIDEO) - Kwaya Kuu Mt. Cesilia Arusha, Tanzania
HTML-код
- Опубликовано: 14 дек 2024
- Download or listen online: mdundo.com/son...
Performers: Kwaya Kuu Mt. Cesilia Arusha, Tanzania
Publisher: Verony Productions Ltd.
Copyright ©Verony Productions Ltd.
Tukeshe - Tukeshe sote kila wakati,
Tukimwomba Mungu atupe baraka zake.
Tukeshe - Tukeshe tukeshe kila wakati,
Tukimwomba Yesu atufikishe Mbinguni.
Na tukeshe kama wale wanawali,
Waliozijaza taa zao mafuta.
Tukeshe tukiomba kwa moyo wote,
Tuupate uzima wa milele.
Watu wote tukeshe siku zote,
Tuziweke hazina mbinguni,
Siku ya mwisho tufike kwake Mungu,
Tuishi naye milele milele.
Dunia hii ni shida na mateso,
Tusidanganywe na raha za muda,
Ona dhambi maovu na magonjwa,
Yanatisha tena yahuzunisha.
Tujikane tutubu tuungame,
Tujaliwe huruma yake Mungu,
Tusali sana tuombe neema zake,
Tuwe tayari siku ya hukumu.
naliutafuta huu wimbo saana. Wimbo unabariki sana na kuwatia wengi moyo
Am from Kenya. Nyimbo zenu tamu kwa kweli.
Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu
Hii ni mojawapo Kati ya album Bora zaidi za kanisa katoliki muziki mtakatifu, muziki uliopangwa, muziki uliokamatana..
Aki nipeeni likes, am the 1st to view like and comment
Good morning! This is a true message to all of us to pray all the time to defeat the devil thank choir the beautiful message to entire young and old to serve our alight God who created us.
Amina 🙏🏾.
Asante kwa muziki mzuri wa Yesu
Huu wimbo nimeutafuta siku nyingi sana .Hatimaye...God bless you all🙏.
wimbo mzuri sana. hongereni wanakwaya
This song has a message to me I really like it
A great choir with vision.
Watching from Usonga Nyadorera Kenya 💃💃💃
One of the best choir in this country.
Been looking for this song... Thank heavens have got it
Have been looking for this particular song. It just blesses my soul
Thank you very much and God bless you for working on the two requests I made ie "Chenga ya Mwili and Tukeshe". Amen
Karibu sana.
Amina👏👏👏👏💯
Watching from Nairobi,Kenya...Great song...I love all the songs in that Album especially Mvua inarutubisha vitu vyote🤗🤗
Aiseee!! tuseme nini dada Wangui? Sifa na utukufu ni kwa Bwana.
Thanks
Yes
So nice.. watching it from Meru,Kenya.
Awesome! Thank you!
Great🔥🔥🔥🔥