DK KUMBUKA AMCHAMBA MWIJAKU BAADA YA KUENDA HIJA, PESA ZA HARAMU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 апр 2024

Комментарии • 23

  • @SelinaMdoe-jv1pu
    @SelinaMdoe-jv1pu Месяц назад +1

    Umeongea vizuri sana dr kumbuka

  • @twalebleboss9687
    @twalebleboss9687 Месяц назад

    MAASHAALLAH...BIG UP BRO.... #NIMEKUELEWA... Allah akulinde na akuzidishie kila jema..INSHAALLAH...🙏🤲🤲

  • @fatmaabdallah7709
    @fatmaabdallah7709 Месяц назад +1

    Mashaallah mtangazaji umependeza kuvaa hijab kuliko makofia unayovaa

  • @user-mw5xs2wx8n
    @user-mw5xs2wx8n Месяц назад +2

    Nikweli kaka matajiri wajifunze kusaidia wanyonge na Yakima nasio machawa wanaoweza kutafuta na wanavyo

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 Месяц назад

      😂😂😂😂 jamani machawa siwale wanokaa kwenye nywele? Au wako machawa wengine???? Au ni kupe hao??? 😂😂😂😂

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 Месяц назад

    Ni kweli Kumbuka❤❤❤

  • @ummiissaabdulissaabdul8117
    @ummiissaabdulissaabdul8117 Месяц назад

    Ati kwenda hija umra au hija nanyì nyinyi kambae muko usingizini

  • @katabaroonlinetv9688
    @katabaroonlinetv9688 Месяц назад +2

    Sio sihiri ni Siri ukisema sihiri tafsiri yake ni uchawi

  • @badmanno.1650
    @badmanno.1650 Месяц назад

    Sio hija.. ni umra

  • @mwawekomiuda9779
    @mwawekomiuda9779 Месяц назад +1

    Dr kumbuka , Hapana waislam na wasokua waislam hatuamini Mungu mmoja mpaka kiama.

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 Месяц назад

      nyoo waislamu tunajua mungu mmoja labda nyiye

    • @mwawekomiuda9779
      @mwawekomiuda9779 Месяц назад +1

      @@sabihaibrahim143 sasa mbona wanitukana wakati mm ni muislam kindaki2? Nimemrekebisha kumbuka lbd haelewi. Wengi wao ambao sio waislam wanasema Mungu moja tu. Sio kweli M'mungu wetu ni wa hakhi na mmoja hana utatu. Haya Roho na ikutulie.

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 Месяц назад

      @@mwawekomiuda9779 pole si kukuelewa itakuwa

    • @maryammdoe5801
      @maryammdoe5801 Месяц назад

      ​@@mwawekomiuda9779huyu hakukuelewa ameelewa pengine umemaanisha na waislamu tuna amini ktk utatu mtakatifu 😅 ndo ameelewa hivyo so tumsamehw N Allah atuongoze sote ameen yaarab

  • @IdrisaTuppa
    @IdrisaTuppa Месяц назад

    Sihiri ni Uchawi, Au Umemaanisha Nini Wewe na Mwiijaku ndy WaleWale

  • @faizanassor9400
    @faizanassor9400 Месяц назад

    Kwendraa

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 Месяц назад

    Mtangazaji ukiwa hujuwi usiseme. Hijah gani inofanywa sasa😂😂 Ni Umrah. Semeni Mungu awahidi wacheni kusema watu kila mtu na amali yake.

  • @Ambeniwatano
    @Ambeniwatano Месяц назад

    Haya nayo ni magazijuto ( ) / * + - = watumiaji wa iftar wameangalia Zaid msosi kuliko ibada muangalie muandazi anatumia mkono gani kuweka chakula🤭

  • @binthkhamis8042
    @binthkhamis8042 Месяц назад

    😢😢

  • @maisarayyan5913
    @maisarayyan5913 Месяц назад

    😂

  • @OmanOman-dn6dj
    @OmanOman-dn6dj Месяц назад

    Pesa alipew na GSM.KWahiyo ni za haramu?