Hapo ni Bomani Mahenge pana historia kubwa sana ya nchi yetu, wakati wa vita ya Majimaji wapogoro wakiongozwa na chifu wao walifanikiwa kuteka Boma hilo na ndiyo maana ukajengwa huo mnara wa mwenge. Mpaka sasa Boma linatumika kama ofisi za halmashauri ya wilaya , Polisi na Magereza..
Ukaya