Sisi tunaye Mfalme Mmoja-Dr K B Bongole l Kwaya ya Mt Benedicto Bugando (Official video)
HTML-код
- Опубликовано: 7 янв 2025
- Sisi tunaye Mfalme mmoja wimbo uliobeba ala za makabila saba ya kitanzania kueleza ukuu wa Mfalme mmoja mtawala wa Mbingu na Dunia. Yesu Kristo ndiye Mfalme wetu mmoja tu.
Wimbo: Sisi tunaye Mfalme mmoja
Mtunzi: Dr Kelvin B Bongole
Waimbaji: Kwaya ya Mt Benedicto Bugando
Audio: NADI Pro
Video: MOZEN Pro
Instrumentation: Dr Bongole, Greyson & Dr Arnold
We have one King, a song that carried the instruments of seven Tanzanian tribes to express the greatness of one King, ruler of Heaven and Earth. Jesus Christ is our only King.
Song: We have only one King
Composer: Dr Kelvin B Bongole
Singers: Mt Benedicto Bugando Choir
Audio: NADI Pro
Video: MOZEN Pro
Instrumentation: Dr Bongole, Grayson & Dr Arnold
Kindly
Subscribe, Like, Comment and Share
ONYESHA UPENDO WAKO KWA KUSUBSCRIBE NA KULIKE NDUGU KATIKA KRISTO, USIPITE BILA KUTUPA TONE LA UPENDO. KAZI NA SALA
@@kwayayamt.benedicto-kmbpar1202
Naachaje kwa mfano! Mungu awabariki sana❤️🙏
Some lyrics please, I like singing while following along 🙏🙏
Kuna ladha nzuri ilochanganywa na ngoma za baadhi ya makabila ya Kitabzania... Yaani ni 🎺🎤🎵
Greetings from Oklahoma city, Oklahoma USA. Very nice vocals. Enthusiastic dancing. Praise God for your Gift of musics. Tight percussion. Well blended.
Thanks be to God who has given us a victory @ Asante sana Kayroserey
🙏
I had brain tumor surgery in January and again in November this year 2024. I talked to Dr. Bongole and assured him of my prayers for his work. Now I'm completely deaf on right and losing left. Dr. Bongole's work feels like stereo in my head now. God has given me a consolation this way, it seems. My continued prayers for the Church in Africa.
ILAAA BONGOLE SI TULIAMBIANA MWAKA HUU TUSITOE NYIMBO KALIIII ZA MOTO 😂😂😂😂 MBONA SASA UMENIYUDAA UMETOA KALII KABISAAA🎉🎉🎉❤❤ HONGERA SAANA MTUMISHI🎉🎉💪💪💪
Mungu ni Mwema @Conrad
😂😂😂😂😂
Nmetafta kionjoooo cha kihaaaaa kama nmekosa hivi...au mm ndo sjui ngoma yetu. Ila hongereni sana wanakwaya, mtunzi na wote walioshiriki kufanikisha burudani hii kali na bora kabsa.
Kweli mfalme ni mmoja tu
🔥🔥❤
Hongereni Sana KMB🎉
Kazi nzuri sana hakika nyimbo hii yapasa kuwa nyimbo bora ya mwaka, hongereni sana KMB kwaya kwa kuzidi kuinjikisha kwa njia ya nyimbo.
Wanyamwezi ndembele
Good job👍🔥🔥🔥♥️
❤❤❤kmb hamna show mbovu
Mfalme wetu hana show Mbovu🙏
Fam ❤❤❤ ..Mungu azid kutukuzwa katika uinjilishaji wetu🙏
Duuuh huu wimbo kama inawezekana serikari iangalie uwe WA taifa Ivo. 🎉 Hongera Sana Dr k bongela
Mfalme wetu ni Mtawala wa yote
Kazi murua.
Mfalme tunae mmoja tu, Hongereni sn KMB mmefanya vzr Dr. Bongole Dr.Bongole yan Kelvin nakuita tena Dr.Bongole
Huu ni wimbo katika nyimbo za kunena Lugha maana huu ni upendo ndani ya upendano kweli Mungu ni mmoja, huuuuuu alaleya aleleya mwimbie Mfalme wetu❤❤❤❤❤🎉🎉😢🎉
Mfalme wetu ana roho wake mtoaji wa vyote msaidizi wetu wa Daima @Ivona
Kongole snaaa🔥🔥🔥
Mungu Mwema @Benjamin
Mmenoga sana❤❤❤❤
Amina @ Sarah Mfalme wetu anatupendezesha
Mungu aendelee kuibariki nakuiongoza vyema kmb
Safiii sana
Tamu sana.
Umepangika ukapendeza.
Baraka tele.
Hongereni sana kwa kazi nzuri, utunzi mzuri kongole sana kwenu
Aseee ni 🔥🔥🔥😂
MMEIMBA VZR SN HONGERENI SN DR. BONGOLE WW NI MTU NA NUSU
Mfalme ni Mmoja tu😊
Mtawala wa Vyote Barikiwa sana Kaka @Johnnestory
Mfalme ni mmoja tu Yesu Kristo ❤
Kali sana 🔥🎉
Jamani uwiiiii KMB kiboko
Mfalme wetu ni Mkuu sana@Jack
Aiseee kitumulua sifa nautukufu zimendee mungu
Bongole music 🎉
I don't even have words to describe This🙌❤️🔥.
Congratulations guys, Keep praising God though your Amazing Talents and May He multiply Them 🙏
Mfalme ni mmoja tu Yesu Kristo ❤❤❤😊😊😊 KMB mmetisha sana ila Dr. Kelvin Bongole umetisha sio kwa tungo hii
hongereni sn kazi nzuri mmetisha sn
Mungu ni mwema @Venance
Nimesikia melody moja ya kichaga hapa😅. Bongole ni shiiida🙌😂
Mungu ni mwema @Erick
Mambo ni motoooo
Kabisa Mfalme wetu ni moto @Ester
Kazi nzuri hongera sana Wana Benedicto Bugando
Hongera sana Bongole, John na waimbaji kwa pamoja... Kazi njema.. hakika mfalme ni mmoja
Good job comrades
Wangoni mko wapi na ngoma yetu tuserebuke
Kitu standard kimeimbwa na watu standard. Kabla mwaka ujaisha na zawadi yetu❤❤❤
Uwiiiiiii kitu hiki kinapigwa hata ukweni uwiii Mungu ni mwema
Bongole kama kawaida yetu
Wacha Mfalme atawale ukweni atawale na Familia zetu
Bongole🙌
Hongereni kaz nzuri
asanteni sana familia kwa kutubariki hongerni🎉🎉
Kazi kuntu❤
Hatari sn mmefanya vxr sn
Amina Ndugu @Christian
Kiukweli Dr. Bongole unajua sana Kuna vionjo vingi umeweka yan Kuna Wangoni, wasukuma, wahaya, wanyamwezi, na kionjo cha kigogo yan hapo nimefurahi sana kujua na kusikia ubunifu
Mungu ni mwema @Kulwa
Waooo just waoooo mmetisha
Wow
wazito🙌
Sichoki kuusikiliza.. Hongereni Sana KMB.. Greetings from KMC Arusha
Ila Bongole unajua sana
Hongereni sanaaa watu wa Mungu wimbo mzuri sanaaaaa
Mungu ni mwema sana
Hongereni sana kazi nzuri
Nyimbo nzuri sana, big up from Arusha
Congratulation wanangu mmefanya vizuri naicha aliruka alitaka aende wap
Mungu ni Mwema @Ester
Utamadunisho ❤
Muda haufiki tu
Wahaya mko wapi akanana
Wow wow beautiful tune and videos
Amen Brother
@kwayayamt.benedicto-kmbpar1202 thank you
Wimbo mkali sana hongereni sanaa
Tunamshukuru Mungu @Castory
Hongera kwenu wapendwa🎉🎉🎉
Amina @Mnyone
Mungu azidi kukutunza Dr bongole
Tunamshukuru Mungu @ Japhet
kila mtu atakuwa anasubiria kipamfe chake ila mimi sasa vipande vyote vinanihusu ha ha haaa ubunifu mzuri sana
Hakika Mfalme wetu ni tajiri @ Deo
Hakika Mfalme ni mmoja tu kongole nyingi kwenu
Hakika anatawala kote @Kipanga
The best song of the year 2024
Amen @Augustine
Hongera sana kwa kazi ya uinjilishaji nzuri kabisa
Tunamshukuru Mungu @Zitta
Jaman munaniluhs niendlee huuu wimbo wa Taita nadunia nzimaaa🎉🎉🎉🎉🎉
Mfalme wetu ni Mtawala wa nyakati zote mwache atawale
Ongera sana kwaya kubwa mambo makubwa
Mfalme wetu ndiye anayetupa ukubwa @Patrick
Mmetisha BMC
Hongereni saaanaa ila hapo kwenye Ngoma ya kichagga tungewasiliana niwape kitu org kitamu sanaa
Hongereni wimbo ni mzuri
Mungu ni mwema @Florida
🔥🔥🔥🔥🔥🙏🙏🙏
Chumaaaa🎉
👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
Congratulations to you guys.
Tunamshukuru Mungu @Baraka
🎉🔥
❤❤❤❤❤❤❤
🔥
❤
Nimeielewa hii remix😅😅😅😅
Amina ndugu @Kashatila
Qui Bene Cantat Bis Orat
❤❤❤❤🎉🎉🎉
🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥👏👏👏
Kigongo cha kutolea mahari
😘😘🙏🙏🙏
Wasukuka mko wapi mwanike shoka kaya ila hii kitu tunaita kitaalamu Creative Ethnomusicology using traditional motifs for new musical composition
🔥🔥🔥🔥💪
🎉🎉🎉
💥
🙏🙏
Kazi nzuri,ila audio zenu huwa na "Low Quality" yaani audio Iko chini sana kisauti,mwambieni producer aangalie hili swala , wimbo mtamu lakini sauti wapi
🎉🎉🎉🎉
Kama kawaida haujawahi kuniangusha ndugu yangu KAZI nzuri @bongole
Mungu ni Mwema ndugu @Msigwa
Hongera sana Bongole, John na waimbaji kwa pamoja... Kazi njema.. hakika mfalme ni mmoja
Tunamshukuru Mfalme wetu @Andrea
Hongereni kaz nzuri
❤❤❤
❤❤❤❤❤
❤❤❤
❤❤❤