Yees naendelea kuinjoy kila niutazamapo wimbo huu.... kongore waimbaji wote.... Regina unajijua,Vero mdogo wangu Tabasamu kama lote..... Mc dady sitaki kukuzungumzia wewe unajua......
😂😂 I'm happy to see this work Congratulations to St.Benedicto choir, Mozen Productions kwa kazi nzuri, Maestro E.F Nyanza & Dr. Kelvin Bongole big up 🔥🔥🔥🔥🔥💪
nimeshawishika kumuimbia bwana Mungu nhoja nikatafute kwaya
Mko vizuri sana
Nimependa sana... Hongereni sana
Ee nafsi yangu umsifu Bwana Mungu ❤
F.E NYANZA Mungu aendelee kukuweka
❤❤❤ ni hatari 🔥🔥
Dah🤔🤔🤔mnatisha mmeweza sana 🎉 hongereni waimbaji na style deadly 🤣🔥💯🔥 hatari 😅bonge la wimbo...Mungu awatimizie haja za nyoyo Zenu🙏🙏🙏
Daah nikajua tayari mzigo kwa hewa 😅
Safi sana hongereni sana 🎉🎉❤❤❤❤
Moyo wangu umevutiwa kwa dhati ❤❤
Taaamu sana❤❤kazi nzuri
Mpo fire sn mpo vzur sna mmeniinjirisha vyema sn
Safi sana ....hongereni saaaaaana
Watching from Kenya 🇰🇪 😍 proud to be a Catholic faith 🙏 very sweet 🎵 🎶
Mmetisha Sana sema jack umeua Sana vibe liko juu
Au sio😄🤌..Hiii imeenda 🔥
Kazi nzuri Sana dada Angus @jackline tupo nyuma yako wadogo zako... Mnazindua lini huu mzigo
Hakika mmejua kuutendea haki nakazi nzuri ❤
Safi sana uinjilishaji mzurii
Tumshukuru Mungu David
Kazi safi sana❤❤❤
Safi mwz tena bungando hapo mambo poa tumechelewa sana Mungu awabariki sana 🌹🌹🌹
This is epic, love my catholic church. Also love the amapiano beat in the song it vibes so well
Kazi mzuri wakuu. Any other song of yours. Very well blended voices. God bless.
Sichoki kutazama hii nyimbo inabariki sana hongereni kmb mpo vizur
Mpo vizuri nashukuru sana kukuona dada angu da @jackline.
Kichupa Safiiii kimetuliaa❤🔥🔥🔥🔥🎶🎶
Amazing❤❤
KMB,NYANZA,DR BONGOLE& MOZEN PRODUCTIONS YOU HAVE MADE AN AMAZING TALENT SOLUTION THE CHEMISTRY IS JUST WOOW 🔥🔥🔥 LET'S ENJOY THE END PRODUCT 😊
Kumbe nyanza anayarudi namna hiyo😅😅 dah katisha sn 🔥🔥🙌
Extremely Creative & heart touching
#When two Great Composers meet❤
Thanks Alban
Sasa nawaona mbali sana mungu azidi kuwasimamia
Hii combination ya F.E. Nyanza na K .A. Bongole ni moto mwingine ahsanteni KMB BUGANDO
Hongereni sana 🎉
Mpo vizuri sn jamani mtaniua
Nyanzaaaaaaaa Mungu anakuonaaaaa❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤BONGOLEEEEEEE NAKUITAAAAAAAA NJOOOOOOOOOOOO
The best of the best
My best Choir ,Mungu aendelee kuwabariki 🙏
Hongereni sana ❤
Tumshukuru Mungu hakika Kwa kazi nzuri. HONGERENI SANA🎉
Asante ndugu Fredrick
Nisingekubali kulala bila kuona hii. Mungu awabariki sana wanaKMB
Shukrani ndugu Gosbert
Congratulations nice song
Thanks Electin
Amaizing jamani hongereni sana 👏👏👏👏👏👏👏
Asana ndugu Philbet
Very nice 👍👍👍
Safi sana aisee
Ni hatar asee❤❤🎉
Hongereni sana wimbo mzuri ❤❤❤ hongera kwake mtunzi
Amina ndugu Tumaini
Aiseee! Hiyo midundo nimeielewa.
Amina ndugu Augustine
Kmb nawapenda sana❤❤ Mungu azidi kuwabariki
Shukrani ndugu Japhet tunakupenda pia sana
Mbarikiwe sana
Waiting........
Hongeren sana mmetoka kivyenu vyenu
Shukrani Liberatus
Yees naendelea kuinjoy kila niutazamapo wimbo huu.... kongore waimbaji wote....
Regina unajijua,Vero mdogo wangu Tabasamu kama lote.....
Mc dady sitaki kukuzungumzia wewe unajua......
hongereni sana
Hii combination siyo powaaa ni moto saana aiseee🔥🔥🔥ON REPEAT🙌🙌🙌
Shukrani ndugu Simbeye yote ni kwa Neema ya Mungu
Ni hatari. Amapiano dance❤❤
Haloooow!👍
Hongereni KMB kwa kazi nzuri👏👏💪
Shukrani ndugu edphonce
Kali sana
Ni motooooo ni motoooooo hizi ngoma zikipigwa kanisani sijui mi sijui kabisa
Ni utukufu tu ndugu zetu Catholic Echoes
Hatimaye Tz itaanza kutambua kwamba Mwanza napo kuna kwaya 😂😂😂🙌🙌
Hongereni sana kwaya yangu pendwa 🎉🎉🎉
Mmetisha sana bugando hongereni sana 🎉🎉
Amina Mungu akubariki ndugu@Grace tusaidie kusambaza nawengine wapate Injili
Hakika kazi nzur Mungu awatie nguvu muendelee kwa umoja na mshikamano
. Mungu nj mwema ndugu Daud
Barikiwa sana wana wa Mungu kazi nzuri sana
🎉🎉🎉 Hongeren san kwa mziki mtakatifu... big up san kwa Mzee wang Nyanza🎉 kazi nzuri san
Duuuh hiii kiboko😅😅❤❤❤
Mambo yangu kabisa haya😊😅 Hongereni kwa kazi nzuri waimbaji, mtunzi, ila Bongole sikupongezi 😂🙌 nawapenda ❤
Shukrani Jackline tutampongeza Daktari kwa niaba yako
Waoh kazi nzur sana ubunifu wa hali ya juu🎉. Great ❤
Katoliki sihami....kwa mziki huu mtakatifu🔥🔥
Hakika Ni Moja Kanisa la wote ndugu @Janeth sambaza upendo kwa kusambaza link ya wimbo huu
@@kwayayamt.benedicto-kmbpar1202 sawaa
Pini imesimama Sana Hongereni wanabugando
Shukrani ndugu Benedict
Ni byeee hatari🎉
Huyo dada sio jack misosi kweli
Kaz nzur Hongeren sana wana KMB
🎉 You nailed it
Hii imeenda.
Boom💥
Hongereni sana wakuu
Shukrani ndugu Kipanga
From Moshi Kilimanjaro Tanzania,,hongereni sana mwl nyanza,dr bongole na wanakwaya wote
Shukrani ndugu Nestor Barikiwa sana # Sambaza Upendo
Kazi nzuri Sana🔥
Amina ndugu Meshack sambaza upendo
Sasa haya ndo mambo….Mungu lazma atukuzwe tu…..ni motoooo
Kabisa ndugu Jordan sambaza upendo
So good
Good job comrades......🎉
wimbo mtam ad unatami usiishe jamn. KAZ NZURI
Amaizing
Aliendika Script ana akili sanaaa 😂😂😂 kafanya kitu ambacho Kwaya nyingi hazifanyi big up ❤❤❤❤
Amina ndugu Mfumo media Mungu akubariki
😂😂 I'm happy to see this work
Congratulations to St.Benedicto choir, Mozen Productions kwa kazi nzuri, Maestro E.F Nyanza & Dr. Kelvin Bongole big up 🔥🔥🔥🔥🔥💪
Shukrani ndugu Essence pro ni baraka tu
Shukrani Mkuu
Jaman mtaniuwa kwa raha hizi za mungu yani mnajua sn
Kifo cha Mtakatifu wa Bwana ni furaha Mbinguni @Ada sambaza upendo kwa wengine
Haya bana mko vizuri
Them moves 😊
Asante ndugu Anthony
My favorite choir. I hope one day I’ll join you
Karibu sana ndugu
@@kwayayamt.benedicto-kmbpar1202Asante sana family
Mwl nyanza safi
Nyie nyie wimbo bora mwaka
Jisong la maana Sana hili🎉❤❤
Proud to be Catholic
MOZEN PRO KAZI NZURI KWAYA NA STUDIO KILA UPANDE UMEUTENDEA HAKI WIMBO
Asanteni ndugu.Tumshukuru Mungu
Amina ndugu Angel
❤🔥🔥🔥
Jamani nangojea
Chuma hichi❤🎉🔥
mooootooooooo 🔥🔥🔥💯
Nice one