NAMNA NGUVU ZA GIZA ZINAVYOFANYA KAZI - PASTOR SUNBELLA KYANDO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 фев 2025
  • Nguvu za giza hufanya kazi kwa namna nyingi.Sio zote hukaa ndani ya mtu,zingine hufanya kazi zikiwa nje ya mwili.Na watu wa aina hii mara nyingi hata wakienda kuombewa huwa hawakutwi na pepo hata moja ila wakiangalia maisha yao wanaona kabisa kuwa kuna sehemu nguvu za giza zimeshikilia.
    Unataka kujua ni jinsi gani unatoka kwenye tatizo hilo?Karibu ujifunze somo hili kutoka kwa Mtumishi wa Mungu Pastor Sunbella Kyando.
    UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0657 173 322
    Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii
    Like our Facebook: / therealityof. .
    Follow our Instagram: / realityofch. .
    Subscribe our RUclips: www.youtube.co....

Комментарии • 38

  • @TheAngelofGod-b1q
    @TheAngelofGod-b1q 9 месяцев назад +2

    Allelujah nimepata ufunuo sana kupitia mafundisho yako,,my brother alikaliwa na udaifu miaka nane ivo hadi akafa,i wish ningekua nimepata mafundisho yako,angekufa ningemuombea hadi nitoe coz now nimekua so powerful kupitia all your teachings nilipoanza kufuatilia nikaanza kufunuliwa mengi

  • @petermunuo1657
    @petermunuo1657 Год назад +1

    Amen mtumishi barikiwa sana

  • @annahkiswili5325
    @annahkiswili5325 2 года назад +1

    Niko Kenya PST mafuzo Yako yananiinua kiroho niombee sana mimi ni ANNAH Mwisiwa.

  • @starluzenja9861
    @starluzenja9861 3 года назад +1

    I love this channel....

  • @justusmusango9977
    @justusmusango9977 Год назад

    Praise the Lord
    Mungu akubariki kwa mafundisho.Hakika rohi wa bwana anaudumia wengi

  • @stellanamunaba813
    @stellanamunaba813 2 года назад

    Shalom Man of God.Thankyou so much for allowing God to use you to bless me with this deep knowledge of the word.This is what the church needs to understand.

  • @annandossi1022
    @annandossi1022 3 года назад +5

    Mungu umlinde mtumishi wako Sunbella siku zote! Mjalie maisha marefu azidi kutufungua.

  • @blessedaggie9159
    @blessedaggie9159 3 года назад +1

    Amina.Mungu akubariki Mtumishi Sunbella

  • @monicahmwalozi
    @monicahmwalozi Год назад

    Be blessed baba 🙏🙏🔥

  • @maryjohn-pu9ci
    @maryjohn-pu9ci 3 года назад +1

    Mbona mwishoni unapunguza sauti sana

  • @lwanjiedna5233
    @lwanjiedna5233 3 года назад

    Powerful word,God bless you mtumishi wa bwana

  • @gracekisaka8461
    @gracekisaka8461 3 года назад +1

    Ameen

  • @robertmakau1555
    @robertmakau1555 3 года назад

    May God bless you most for your a good message to us growing youth

  • @jamesmhagale8794
    @jamesmhagale8794 3 года назад +1

    Blessed is the name of the Lord Jesus

  • @elishasoka6692
    @elishasoka6692 2 года назад

    emen

  • @philipojangama
    @philipojangama 3 года назад

    Ameen,Nimeelewa Pastor.

  • @robertpropheticchild2941
    @robertpropheticchild2941 3 года назад

    Powerful message thanks Papa

  • @marsianamsunza8172
    @marsianamsunza8172 3 года назад

    Amen, Asante ubarikiwe

  • @esaiehakizimana5783
    @esaiehakizimana5783 3 года назад

    Nikweli mutumishi wa Mungu mimi Nina jitoa kumutumikia Muumba wangu kwa iwezo wa Roho Mutagatifu

  • @jesusreignsrestorationministry
    @jesusreignsrestorationministry 3 года назад

    Bwana Yesu Akubariki sana, Mtumishi wa Mungu🙏🙏

  • @dollamtui5849
    @dollamtui5849 3 года назад +1

    Roho mtakatifu kanifungue mimi na familia yangu

    • @maggymutevu3305
      @maggymutevu3305 3 года назад

      Roho mtakatifu nifungu mimi nafamilia yangu amen

  • @winnieanan2773
    @winnieanan2773 3 года назад

    Amen

  • @graceoisso3238
    @graceoisso3238 3 года назад +1

    Tufungue ufahamu baba

  • @emilychisina1995
    @emilychisina1995 3 года назад

    Roho mtakatifu anisaidie

  • @hassanbukambu8279
    @hassanbukambu8279 3 года назад +4

    MI nashukuru MUNGU pepo la uzinzi limeiisha baada ya kukutana na pastor mmoja akaniombea hadi Sasahivi naona miujiza maana nilikuwa najiuliza inakuaje niko kanisani nasali halafu ikitokea ile akili ya kuchepuka inanijia nashindwa kuishinda nalia nasema MUNGU unioni nafanya nisichokitaka lazima nashukuru MUNGU Ile Hali imeisha hadi najiuliza ilikuwaje kuwaje hadi nafanya vile lakini Sasahivi nimeshinda nashukuru MUNGU

    • @Janekiboma
      @Janekiboma 3 года назад

      Hongera na Mungu azidi kukulinda kwenye agano lako jipya

    • @ltoirenlekupanai1178
      @ltoirenlekupanai1178 3 года назад +1

      Mungu abariki pasta na ampee nguvu

    • @dianaisack9202
      @dianaisack9202 3 года назад

      Mtumishi una patikana wapi?? Mawasiliano napataje??

    • @realityofchristchurch
      @realityofchristchurch  3 года назад +2

      @@dianaisack9202 Kanisa lipo Sinza Mori karibu kabisa na ofisi za TAMWA.Karibu sana.

    • @dianaisack9202
      @dianaisack9202 3 года назад

      Siku unazopatikan mtumishi ni zip,mbali na jpili??

  • @georgebugangazpoa4975
    @georgebugangazpoa4975 3 года назад

    Amen

  • @lispafulgence9983
    @lispafulgence9983 3 года назад

    Amen

  • @rwesimbibicharles8994
    @rwesimbibicharles8994 3 года назад

    Amen

  • @babumollel370
    @babumollel370 2 года назад

    Amen