Hakika serikali ilitudhurumu sisi na mashehe zetu .Elimi hii tumeikosa kwa Muda wa miaka takilbani 9 Allah atawalipa wanachostahikhi maana siyo kwa dhurma hii waliyotufanyia.
ruclips.net/video/I2qePRBbrHI/видео.htmlsi=bwWm0C5AKhuR-Xcl MANENO MAZITO ALIOONGEA SHEIKH MSELEMU NI HAYA HAPA MTAZAME HAPA KAMA UNA MATATIZO YA KICHAWI BASI MTAFUTE
shukran sheikh wetu Allah akupe maisha mema
Jazakumullahu khaira,Allah akujaalie shehe Mselemu
Mashalwah mwenyezi mungu akupe umri mrefu na afya njema shekh wetu mselem
Tunamshukuru mwenyezi Mungu kwa kutoka masheikh wetu
Mashallah Allah akujaze yalio mema inshallah
Mashaallah Allah akubariki sheikh msellem.Na hii Adil tv Allah aitilie kheri na barka nyingi na kila penye uzito awafanyie wepesi.Amiin
Mashaallah Allah akupe umr mrefu ututafsirie juzuu 30 zote inshaallah
wanafunz bado wengi sana wanampenda kwa ajili ya Allah
Alhamdulillah, aahsante kwa elimu
Masha'Allah
Allah atuongoze penye kheri na atukaalie elimu yenye manufaa
Allah akubariki shekh
Mashallah Allah akubariki
MashaAllah Nakupenda kwa ajiri ya Allah
Shukrani sana kwa ukumbusho 🌙💟
Suleiman k
Alwaa akupe maisha marefu
Tupate darisa yako
Mashallah mashallah mashallah
Hakika serikali ilitudhurumu sisi na mashehe zetu .Elimi hii tumeikosa kwa Muda wa miaka takilbani 9 Allah atawalipa wanachostahikhi maana siyo kwa dhurma hii waliyotufanyia.
Shukran sheikh
Nauudhu billahi min dhalika, minan nnaaar
Jazakalau Kher
Allah akuhifadhi
Mashallah
Mashallaah
Mashaallah
Mashallah
Hatari
Habali
Good lecture but Maisha ya motoni is wrong title, he never mentioned life in hellfire
pia mashekhe mjifunze kwa sheikh mselem tangu akiwa kijana anatafsir mpaka umri huu anatumikia dini ya Allah msahafu wote ametafsir
Kila nikiwaon mashkh wng chozi la furah lanitok jmn .
Mbona aifunguki video
ahlan msikiti wa maeneo gani na huwa anatoa darsa saa ngap
Sahiv kwanza anazunguka misikiti kitoa shukuran kwa watu na kuwasalimia,lakin msikiti wake mkubwa anaofanyia darsa zake ni MASJID SWAHABA,mtoni kidatu
Ok
ruclips.net/video/I2qePRBbrHI/видео.htmlsi=bwWm0C5AKhuR-Xcl MANENO MAZITO ALIOONGEA SHEIKH MSELEMU NI HAYA HAPA MTAZAME HAPA KAMA UNA MATATIZO YA KICHAWI BASI MTAFUTE
Box wetu tunakubali mafundisho yko
Una maana gani kumwita shekh Box?
Sheikh Allah akuhifadhi
Pole kk