Mungu Awabariki sana wanawake wenzangu tufunguwe masikiyo yetu ujumbe mzuri kutoka kwa Mungu.tusiwe wa Vivu Mke mwema ujenga nyumba yake mwenyewe tusiwape nafasi wengine Amen Amen.
yaani huu wimbo nilikuwa wapi kuuona jamani, wimbo mzuri mnoo, Mungu awabariki sana, wanasema kweli hakika inabidi kujipanga upya.Mungu atusaidie sana tuwe bora kuliko jana.
tunawashukuru nyote mbarikiwe sana
nashukuru sana kabisa marafiki zangu mbarikiwe
Mungu Awabariki sana wanawake wenzangu tufunguwe masikiyo yetu ujumbe mzuri kutoka kwa Mungu.tusiwe wa Vivu Mke mwema ujenga nyumba yake mwenyewe tusiwape nafasi wengine Amen Amen.
yaani huu wimbo nilikuwa wapi kuuona jamani, wimbo mzuri mnoo, Mungu awabariki sana, wanasema kweli hakika inabidi kujipanga upya.Mungu atusaidie sana tuwe bora kuliko jana.
Mwanamke jishughulishe usije ukampa nafasi mwengine. Wimbo murua. Barikiwa Neema.
Nakupenda sana dada Neema uwa nakufuatalia sana kila siku nyimbo zako ni faraja kwangu yaan sana mim ni mroma lakin nyimbo zako zinanijenga sana.
Wale ambao hatujaolewa tunasikiza kupata mafundisho wekeni like... 2020 Corona na iishe
Ubarikiwe mpendwa na endelea.c'est fr.kalkis
Nasema amen kwa sahuti kubwa mubarikiwe sana wa pendwa 🔥🔥🔥🔥🔥
Amen! Aaamen papa chabani na Maman Neema Mubarikiwe saana.❤❤❤❤❤❤❤
Wimbo wa kweli na mafundisho
Félicitations papa Shabani. Nyimbo nzuri saana. Tunapokeya shauri tusiwe wa vivu. Tatashugulika saaana sana. Mubarikiwe
Wimbo nzuri, ukiweka wimbo huu kwenye tv, radio etc.. na mkewe akinuna basi ujuwe ana vijitabiya
Hahaha kabisa na mtu asiyenipenda kukemewa hataki kubadilika
Hahahahaa...Ni kweli kabisaaa
Amen pia hivo mammy uwao niukweli tu
Nyimbo za Neema Cizungu zilinifanya niokoke. Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu
Ubarikiwe sana
KENNEDY IMBUGA Amen
Huyu mama anajua kuimba nampenda sana
Asante
@@NeemaCizunguOfficial Mungu aibariki huduma yako
Napenda nyimbo zako,utukufu kwa Yesu Kristo
mwanamke jishuhulishe
Barikiweni jameni
Mbarikiwe wapendwa, wimbo una mashauri mhimu mengi
Amen,muke mwema ujenga nyumba yake.mubarikiwe
Mwenyezi Mungu awabariki na kuwa Linda katika maisha yenu yote nakuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote zamaisha yenu amina
Mbarikiwe sana watumishi
nice combination shaban ft neema wimbo unabariki sana from RPCT boko chama Dar es saalam Tanzania
Ubarikiwe sana
Wimbo mzuri Sana jamani💯💯
Mungu Aku bariki
mbarikiwe san nyimbo nzuri san kbs iyo mungu awe nanyinyi pmj san 🙏🙏🙏
Huu wimbo ulijificha wapi? we need you to minister in 🇰🇪 both of you..much love.
Jaman kuna wanawake wagum kuelwa hatar utafikir hawasikilizi nyimbo wara kuangalia movie duh
Shukrani kwa nyimbo hii
Love you dada neema 💞💞💞
hiyi nyimbo ni nzuri
Always heats
matendo mema
AMEN AMEN! MUNGU AWABARIKI SAAANA. asante kwa wimbo
Soyez richement béni
Very nice song
Que le bon seigneur puisse vous bénir car, vous êtes toujours à l'évangélisation.
Camarade Jules
Mubarikiwe saaaaaaana
Neema cizungu wimbo mzuri sana ila ungeuimba peke yako
Que Dieu te donne la force ma Soeur.
Amen Amen,Nawapenda sanaaaaaa,Mungu Awa bariki.
Amen amen
munguabarikiwe sana maman nelly na mutumishi wa mungu shabani
Be blessed man of God
Ameni lovely so much
Wow nice song
mungu akubariki Sana
Mubarikiwe sana
Amen
The Vocalist Amen
❤❤❤
Amen
God bless you guys
🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏
❤️❤️❤️❤️❤️
Thanks
Ameena
Mubarikiwe sana