Yesu azidi kuku inua dada, nyimbo zako zina ni bariki sana, nilikua mwima choir nikiwa mtoto,,ninge andika nyimbo nani imbe huo wimbo,,,dada nili rudi nyuma,,lakini kwa sasa niko kwaya,,,mungu akini wezesha nataka kutoa wimbo wangu,,,haki unaimba taratibu na barakiwa
Kiiukweli mi Da Neema namfuatilia toka anaimba na chibalonza mpk anatoa nyimbo zake akiwa mdada mdogo hakika mpk leo ananibariki sana na nyimbo zake pia nikiwa sina amani namsikiliza sana napata amani
Hakika mbarikiwe dada Neema na ndugu Sifael...hakika wakitaka kujua waje uwaeleze Siri ya Sadaka, Siri ya maombi na mkesha..mahubiri tosha..Ubarikiwe nyimbo zako kwangu ni uponyaji..hata nilipokuwa hospital ya Mountmeru Arusha..Nakupenda I hope ipo siku nitakuona kwa macho yangu na kuzingumza na ww
Dieu te benisse ma Soeur, tu es une benediction pour nombreux. J'aime tes chansons vraiment. Et au moment de me pienes, surtout celle de Nakuangalia wewe. C'est ma chanson favorite. Be blessed alot !
Mtumishi wa mungu nakuomba Sanaa ule wimbo wa tumrudie mungu ule wa zamani urudishe hum pia utanatuletea toba Sanaa ulipiga lile gitaa kwa uchunguu wa rohon kwa kumkaribia mungu unatuvuvia na sis

❤❤❤❤❤ songa mbele maman peperushe inch na utusaidiye kutuombea tupande kiwango tusaidiyane huku kupeperushe inchi
Kiiukweli mi Da Neema namfuatilia toka anaimba na chibalonza mpk anatoa nyimbo zake akiwa mdada mdogo hakika mpk leo ananibariki sana na nyimbo zake pia nikiwa sina amani namsikiliza sana napata amani
Dada na penda nyimbo zako sana,tena naku penda kwa sabambu una imba nyimbo na utaratibu mungu aku tie nguvu
Raha sana kuwa na mwimbaji kama wewe ndani ya inchi yetu ya congo
Mungu akuzidishiye maarifa kwakuwa nyimbo zako zinafariji moyo
Mungu akubariki sana neema kwanyimbo zako nzuri
Mungu Ni mwema
Iyo ni kweli kabisa mungu akubariki pastor
Nakupenda mno barikiwa sana
GOD BLESSED YOU MY SISTER
Barikiwa dada
Hakika mbarikiwe dada Neema na ndugu Sifael...hakika wakitaka kujua waje uwaeleze Siri ya Sadaka, Siri ya maombi na mkesha..mahubiri tosha..Ubarikiwe nyimbo zako kwangu ni uponyaji..hata nilipokuwa hospital ya Mountmeru Arusha..Nakupenda I hope ipo siku nitakuona kwa macho yangu na kuzingumza na ww
Jambo dada Neema cizungu,naitaji uwe nanitumia nyimbo hizi kwenye adrissi ailmel nimpasha habari kwenye redio vision shala FM kamituga
Très bien chetter
Ubarikiwé sana mama
Hongera Sana dada
Umependeza Mwinmbo mzuri, usimwache YESU WETU
Nimefarijika sana n'a hii mwimbo.
kazi njema mama, Mungu akubariki.
HAE NEEMA TWAOMBA WIMBO WA NANI KAMA WEWE PLZ
Mutiani
Cmci côté d ivoire
❤❤❤❤❤j'aime bcp vos chansons
Asante sana dada kwa nyimbo zako nzuri zinatufariji, Mungu aendeleye kukujaza nguvu ya kumuimbiya
amina. tafazali gawa link hii kwa watu 20 Ili ku support huduma yangu
Shalom hongera sana ndugu kwa huduma album imeshatoka? Nataka niipate barikiwa sana
Dieu te benisse ma Soeur, tu es une benediction pour nombreux. J'aime tes chansons vraiment. Et au moment de me pienes, surtout celle de Nakuangalia wewe. C'est ma chanson favorite. Be blessed alot !
God I decire you to an end
Amen
Ameen
Kazi njema dadangu, MUNGU akuzidishiye maono!!!
Courage vraiment maman
amen
❤
Halleluya
Yesu inua ❤️ wangu 🙏🙏💪💪👍
Thank you lord
Haleluyaaaa saaana wimbo umejaa mafuta saaana
amina
Mtumishi wa mungu nakuomba Sanaa ule wimbo wa tumrudie mungu ule wa zamani urudishe hum pia utanatuletea toba Sanaa ulipiga lile gitaa kwa uchunguu wa rohon kwa kumkaribia mungu unatuvuvia na sis
@@NeemaCizunguOfficial Bwana Yesu Christ asifiwe dada nyimbo zako zinani farijiyaka wakati wote ule
🙏🙏🙏🙏♥️♥️
Amen 🙏
amen
🇨🇩🇺🇬🇰🇪 AMEN
amen
Ameen