TUMRUDIE MUNGU-NEEMA CIZUNGU SMS SKIZA 9868498 to 811

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 янв 2025

Комментарии • 420

  • @joashfrank1985
    @joashfrank1985 2 года назад +24

    Mtumishi Wa Mungu Hakika katika huu wimbo ulifunga na kuomba, nautumia sana kwenye mikutano ya Injili na watu wanapokea mnoo. Mungu azidi kukuinua mnoooo🙌🙌🙌🙌🙌

    • @ezraassumani6108
      @ezraassumani6108 2 года назад +1

      Amina Asante sana

    • @AnneHarold
      @AnneHarold Год назад +2

      Mungu akubariki kwa kufanya mikutano waombee na wenye maono kama hayo wafanikishe kama ulivyoweza

    • @musamwafongo3430
      @musamwafongo3430 Год назад

      Amen Neema Mungu akubariki

    • @NellyBintu
      @NellyBintu 5 месяцев назад

      Mungu Aku bariki

    • @asanianselm6759
      @asanianselm6759 3 месяца назад

      Amen uyi nyimbo nayisikilizaga nikitaka ku omba Mungu

  • @meshackntoga1566
    @meshackntoga1566 2 года назад

    Asantesaaana NJIA MBAYA, SAWA KABISAA,nipoDodomanaskiliza zaidiyammara6

  • @RafikiMpolee-n8i
    @RafikiMpolee-n8i 5 месяцев назад +2

    Yaani unavyo imba kwa pozi kama vile hutaki huna mambo mengi dada yangu nyimbo naipenda miaka mingi na haijawahi kufutika moyoni mwangu Mungu azidi kukutumia

  • @PapaoHabamungu
    @PapaoHabamungu Год назад +1

    Mungu dada huyu anastahili mshahara wakazi yake nimerudiliya mwimbo huu zaidi ya maraine injaa utukufu wamungu
    Mungu aongeze upako mu karama yako dada tunakufata kutoka Kampala

  • @BeatriceMezza-w2j
    @BeatriceMezza-w2j 3 месяца назад +1

    Mungu wa mbingini akubariki utunge nyimbo Zaidi. Unanibariki sanaaa

  • @mwanzajosephine468
    @mwanzajosephine468 2 года назад +9

    Ameeeeen barikiwe mtumishi wa Mungu ni saaa ya kutubu na kuanguka kwa Bwana uovu ambao umekuwa mwingi katika dunia hii

  • @joaniteblessings1265
    @joaniteblessings1265 2 года назад +3

    Bwana aongoza hatua za wenyehaki....wapedwa tumrudie mungu

  • @salvinaseif6151
    @salvinaseif6151 2 года назад +2

    Wanaorudia rudia Mara nyingi kusikiliza Kama mimi gonga like

  • @apallangyo
    @apallangyo Год назад +1

    Huu wimbo ni mzuri sana kwa kwel💞💞👏👏

  • @ignasbukombe5903
    @ignasbukombe5903 2 года назад +1

    Yaani umeimba kwa ku relax hadi raha 💕💕

  • @EstherCharo-lc3md
    @EstherCharo-lc3md 4 месяца назад +1

    Mungu akubariki sana sana usimuache Mungu endelea kumtumikia Mungu dadangu hii nyimbo huwa inanibariki sana sana❤❤

  • @davidshauritanga1204
    @davidshauritanga1204 2 года назад +5

    Amen Amen dada!!MUNGU akubariki sana

  • @Reginajohnson-1988
    @Reginajohnson-1988 2 месяца назад

    Unaimba vizuri sanaaaaa , usibadilike penda kuishi maisha ulioitiwa na MUNGU, maana hii ni injili , wako wengine wanapenda kukutamanisha kwa pesa , mwisho unamwacha Mungu, si mama na BWANA YESU wako atakufanyia mtu makuu na utapata vingi, maana waimbaji, wanamwamuacha MUNGU wako busy kuimba nyimbo za shetani… ubarikiwe

  • @stellahanyo3137
    @stellahanyo3137 2 года назад +2

    Wimbo unanibariki sana huu jaman ubarikiwe mno mamaa mungu azidi kukupandisha viwango vya juu tuendelee kubarikiwa zaidi na zaidi😍😍🙏🙏

  • @dafrosamonko8254
    @dafrosamonko8254 2 месяца назад

    Kwakweli, mtumishi Unatupa tafakari kubwa sana.
    Mungu Baba aendelee kukusimamia na kusimamia wito huu mkubwa. Barikiwa mtumishi. Nabariikiwa mno

  • @nsimiresimba7941
    @nsimiresimba7941 2 года назад +1

    Amina Amina Mungu atu saidiye tumu Rudi yeye njo Samani ya maisha yetu🙌🙌🙌🙌🙏🙏🙏

  • @rechosteven9244
    @rechosteven9244 2 года назад +1

    Barikiwa sana dada neema Mungu akuinue utukufu kwenda utukufu❤ uzidi kumuimbia Mungu hongera kwa ujumbe mzuri Roho mtakatifu azidi kukutumia tena na tena na tena hadi ukamilifu wa dahari Mungu aibariki kazi yko🎶🎧

  • @boniphacechiwambo1011
    @boniphacechiwambo1011 Год назад

    Talanta iliyotumika vizuri, Mwenyezi Mungu akubariki na kukuinua zaidi na zaidi Mtumishi wake, Wimbo mzuri saana 🙏🙏

  • @brigeitwambo6214
    @brigeitwambo6214 2 года назад +3

    Atleast nimefika

  • @laurenciamwalongo3668
    @laurenciamwalongo3668 2 года назад +2

    Nilkua naisubr sana

  • @anitanapewa2012
    @anitanapewa2012 2 года назад +2

    Amen 🙏
    Bwana akubariki kwakazi mzuri unayo ifanya
    Nabarikiwa na nyimbo hiii 🙌🙌🙌🙏🙏🙏🙌Jina Labwana lipewe sifa

  • @madammesatalks6913
    @madammesatalks6913 2 года назад +2

    Amen mpendwa Mungu akubariki naazidi kukuinua zaidi ktk huduma.

  • @nelsonmassawe6153
    @nelsonmassawe6153 2 года назад +2

    what a nice song, inanibarikigi sana hii nyimbo tangu nlipoisikiaga for the first time nayakubali sana maneno, hako kasebene sasa ,yaan nabarikiwa na lafudhi ya kiswahili ya kongo mupo vizuri sana barikiwa mtumishi wa Mungu aliye hai from Tanzania

    • @estantalimbo5117
      @estantalimbo5117 2 года назад

      Ubarikiwe sana mtumishi nyimbo hii inaachilia amani na furaha moyoni mwangu

  • @furahabusanga3554
    @furahabusanga3554 2 года назад +1

    Huyo ndiyo my super star ⭐️ @neemacizungu# mwengine ni fake big up for you my dear I am blessed 👏👏👏🙌🙌

  • @StellaMasanyiwa
    @StellaMasanyiwa Год назад

    Nabarikiwa sana na huu wimbo Mungu alikaa na wewe akakufunuriaa neema yakufikisha ujumbe kwa watoto wake, pia nikisikiliza huu wimbo naona wokovu umechukua mwili wangu mzima

  • @glodiinternational3147
    @glodiinternational3147 2 года назад +1

    Mungu ni mwema sana huu wimbo ni muzuri sana naomba kila mutu aufunguwe kabisa

  • @sylviaoum2943
    @sylviaoum2943 2 года назад +1

    Njooni tusemezane hakuna jambo Mungu asiloliweza. Ni muda wa kutubu na kumrudia Mungu. Nabarikiwa sana na nyimbo zako Neema toka miaka hiyooooo na nimefurahi sana kwa hii Remix . Nakupenda sana na endelea kumtumikia Mungu kwa uaminifu🙏🙏

  • @louiseneemamparanyi6574
    @louiseneemamparanyi6574 2 года назад +1

    Mungu nisaidiye nitakase mwenendo wangu baba🙏🏽🙏🏽🙏🏽

  • @elitekabarati6389
    @elitekabarati6389 2 года назад +1

    Mungu aku bariki saaana mtoto wa MUNGU
    barikiwa ndani ya yote na katika yote,Umeni bariki saana

  • @Simply_alin
    @Simply_alin 2 года назад +8

    I’ve been listening to this beautiful song for the past 13 hours and can’t listen to anything else 🥰🥰❤️🙏🏾

  • @mulindabukuru7336
    @mulindabukuru7336 2 года назад +4

    Amen dada

  • @izackambale4234
    @izackambale4234 2 года назад +2

    Sifa za kazi hii zimurudilie mungu baba

  • @MarthaChuwa-o6b
    @MarthaChuwa-o6b 9 месяцев назад +1

    Huu wimbo dada ulitulia ukautoa na Mungu alikuwa pamoja nawewe unanibariki sana sana Mungu azidi kukupandisha viwango namna hii

  • @elnessyambakisyeft.essauel694
    @elnessyambakisyeft.essauel694 8 месяцев назад

    Neema unanibariki uimbaji wako, uvaaji wako, uchezaji wako. Hlf mrembo mwenyewe. Hakika nakupenda mno melody zako . Nasikiliza nyimbo zako ywani nimekuwa teja wa nyimbo zako. Hasa huu TUMRUDIE, AMETENDA TENA NA MAPITO NA nyingine . Mungu akuinue kipenzi.

  • @achiengjane354
    @achiengjane354 Год назад

    Much love my dear❤❤❤❤❤huu wimbo ndio ulifanya nikakujua miaka mingi ya pale nyuma. Leo niko mjakazi wa Bwana na theme ya ministry Aliyonipea Bwana ni huu wimbo wako kabisa.....2Chronicles 7:14🙏🙏🙏🙏nakupenda bure wangu❤❤❤❤❤remix iko bien kabisa👌👌👌👌kitoko makasi🥰🥰🥰🥰🥰

  • @pascmedia1713
    @pascmedia1713 2 года назад

    Ubarikiwe Sana Dada yangu kwa ujumbe mzuri Mungu alioniambia Leo ktk ndoto imenibidi niutafute huu wimbo Hadi nimeupata Mungu akubariki sanaa

  • @benadetasarungi1840
    @benadetasarungi1840 2 года назад +1

    Napenda huu wimbo Mitsubishi ameuimba ametuli mpaka raha ubarikiwe

  • @esthersamwel8716
    @esthersamwel8716 Год назад

    Nimeusikia huu wimbo kwenye upendo tv na mara moja nimeupenda Sana!!! Nimependa jinsi mwimbaji alivyotulia na hakuna matakataka ya wachenza Disco wasiojielewa na michezo yao ya aibu. Ujumbe upo very clear...God bless you.

  • @EmmanuelMgovano-x9q
    @EmmanuelMgovano-x9q Месяц назад

    Nasika raha saana huku kwa Yesu,pamoja sana mtumish wa Mungu

  • @NellyBintu
    @NellyBintu 5 месяцев назад +1

    Nyimbo zako zina ni jengaka saaaaaana 🎉🎉

  • @fideliemugombozi209
    @fideliemugombozi209 2 года назад +1

    Barikiwa dada.
    Sauti nzuri saana
    From 🇨🇩 Kinshasa

  • @ntole7431
    @ntole7431 2 года назад +1

    Hey Dada Cizungu. I have been listening to your music. The people of God who is living in sins should listen and come back to God .
    We noticed a lot of divorces among gospels singers this is a shame.
    A lot of unholy behavior, among people of God.
    May God bless you dada Neema and your husband Asumani hoping for you the best work in holiness.

  • @oscarmukoko9878
    @oscarmukoko9878 2 года назад +2

    Yabariki sana.this is one of my favorite.nice remix

    • @NeemaCizunguOfficial
      @NeemaCizunguOfficial  2 года назад

      God bless

    • @annamkude9039
      @annamkude9039 Год назад

      Mungu akubariki dada kwa ujumbe wenye kutukumbusha nyakati tulizonazo naupenda sanaaa huu wimbo

  • @meshackntoga1566
    @meshackntoga1566 2 года назад +2

    Mwaka mpyaNi kutakasaMioyoo

  • @meshackntoga1566
    @meshackntoga1566 2 года назад

    SAFI SAAANA , SAFI SANA Mtumishi wetu, Nasikiliza zaidi ya mara saba,7 wala sipungukiwi na Baraka za Wimbo huu. Safi sana Dada/ Mjomba. nipo Dodoma

  • @dennisjimmy9625
    @dennisjimmy9625 2 года назад +5

    This song is a bless to me ❤️...A very nice song may Almighty Jesus Christ bless you more to write those kinds of lyrics my sis Neema. Shalom

  • @mashalaebogod8647
    @mashalaebogod8647 2 года назад +1

    Mungu azidi kukuinua Da Nelly

  • @apocarevelado3931
    @apocarevelado3931 2 года назад +1

    Mrudieni Mungu ……wooooow 👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿

  • @mpelwamanyama3972
    @mpelwamanyama3972 Год назад

    Wow dada unajua umetulia kweny video haki umeitendea haki nyimbo na video pia lakn pia wew ni mrembo ❤upako wa Mungu uzid kujaa zaidi na Zaid na akufunulie maono mapya kila iitwapo Leo👌🥰

  • @sylviaoum2943
    @sylviaoum2943 2 года назад +1

    Mungu wetu atupe neema hii ya kutambua ni wakati wa kumrudia Mungu. Kwaresma hii 2022 ikawe mwanzo mpya kwa kumrudia Mungu🙏🙏🙏

  • @evelynmsoma764
    @evelynmsoma764 Год назад

    Glory to God

  • @ericsamuel2217
    @ericsamuel2217 2 года назад +2

    best song, best video, wimbo.utaishi huu

  • @joshtembo8073
    @joshtembo8073 19 дней назад

    MUNGU akubariki maman, kweli ndani yazambi Akuna faida

  • @MWANE2-MKANDAMIZAJI
    @MWANE2-MKANDAMIZAJI Год назад

    Na atukuzwe MUNGU muumba wa mbingu na nch na vyote viijazavyo. Wimbo wa viwango wimbo mzr sana, tumrudien MUNGU

  • @chakupewayaumeni3981
    @chakupewayaumeni3981 2 года назад +1

    Amen amen dad !! Mungu akubariki sana dada and you are my favorite singer i love you so so much amen

  • @dansfamily5402
    @dansfamily5402 2 года назад +4

    Tout est perfect 🤩 juste ton sourire qui manque. Que Dieu te bénisse et te redonne le sourire

    • @NeemaCizunguOfficial
      @NeemaCizunguOfficial  2 года назад +1

      Amen

    • @ntole7431
      @ntole7431 2 года назад +3

      Normal Dan qu elle n affiche pas son sourir. Il s agit d exprimer la tristesse que Notre Dieu resent lorsque son peulple est plonge dans les peches.
      Ici ds cette chanson Il s agit de confesser nos peches et retourner a Notre Dieu tellement aujourdhui l Eglise est dans le monde et le monde dans l Eglise.
      Je crois que dada Neema has a right attitude singing her song.

  • @lydiapaul4459
    @lydiapaul4459 2 года назад +1

    Ameen kubwa Ubarikiwe sans

  • @justinkasonde6217
    @justinkasonde6217 Год назад

    What a wonderful song?

  • @ndimamsuya9709
    @ndimamsuya9709 Месяц назад

    2yrs now.. but to me, everyday the song is new. Sweet melody, STRONG MESSAGE. GLORY TO ALMIGHTY GOD

  • @LoversOfworship
    @LoversOfworship Год назад

    Ubarikiwe zaidi maman, wimbo huu ina maneno ya uzima,

  • @epifaniamilinga2848
    @epifaniamilinga2848 Год назад

    Namshukuru Mungu kwa ajili yako.kwa kutimiza kusudi la Bwana.kuwarudisha wakosaji kwa Bwana.Naipenda sanaa sauti yako.

  • @gladnessshola2718
    @gladnessshola2718 Год назад

    Aisee huu wimbo huu ni mzuri sana, kuna ujumbe mzito sana Mungu atusaidie kuufanyia kazi

  • @RUBENMASUHUKO-ef7pw
    @RUBENMASUHUKO-ef7pw Год назад

    Nyimbo hii naipenda nabarikiwa sana nikiisikiliza mungu akubarki

  • @zizinamuzongo907
    @zizinamuzongo907 2 года назад

    Amina ,Tusaidiye Baba tufanye mapenzi zako Mungu

  • @samuelmaneno2681
    @samuelmaneno2681 2 года назад

    Ubarikiwe saana mutumishi kwa hii kazi nzuri 🌹🌹

  • @ndimamsuya9709
    @ndimamsuya9709 Год назад

    Daah...Mtumishi, nabarikiwa sana. Napata nguvu, Ujumbe mzito umeuwasilisha kwa viwango. BARIKIWA

  • @adophine1063
    @adophine1063 Год назад

    Ameeeeen mama ubarikiwe kwa nyimbo zako zina tugusa sanaaa

  • @claudinehatunga7022
    @claudinehatunga7022 2 года назад

    Mngu wambinguni akubariki sana nabarikiwa nanyimbo de 🙏🙏

  • @emanuelyPetro-yk5ic
    @emanuelyPetro-yk5ic 6 месяцев назад

    Nataman sana kuimba unanibariki mtumwa wa mwokozi

  • @sethvasuwa3101
    @sethvasuwa3101 6 месяцев назад

    ubarikiwe Dada NEEMA kwa wimbo huu ,kwa kweli ninabarikiwa sana na wimbo huo
    Mungu azidi kukutumikisha kama chombo chake

  • @komandowayesu3642
    @komandowayesu3642 2 года назад

    Barikiwa kwa wimbo mzuri 🔥🙏 Amen

  • @lupungadispensary4354
    @lupungadispensary4354 Год назад +1

    Mama nakupenda wewe wimbo u anifaliji saana huu

  • @verroallex9144
    @verroallex9144 Год назад

    Nabarikiwa sana na huu wimbo.. Bwana Yesu akubariki

  • @FadhiliSanga-gq1yy
    @FadhiliSanga-gq1yy 5 месяцев назад

    Mungu akutunze sanaa . Nabarikiwa sanaa na msg zako kwa nyimbo

  • @JeanMarieMoyo
    @JeanMarieMoyo 4 месяца назад

    Na decouvrir sikoyo Soeur Neema i'm bless with your songs Glory to God

  • @ombenimmbando3205
    @ombenimmbando3205 3 месяца назад

    Mungu ana kila kitu kizur tunachokuka jamani atusanehe YESU 😢

  • @souzannahchombeofficiel2809
    @souzannahchombeofficiel2809 2 года назад +4

    Très jolie avec une voix angélique que Dieu vous bénisse

  • @ngabodeborah9560
    @ngabodeborah9560 3 месяца назад

    Mungu akubariki dada ,wimbo nzuri sana❤

  • @GraceBinja-rm9mb
    @GraceBinja-rm9mb Год назад

    Kweliiiiii kabisa mutumishi wangu nisikiya iyiiii manyimbo Yako yote kama nilikuwa na mastress zinaisha zotee mungu aendeleyeee kuku wezesha mukila kitu

  • @AniphaMatatala
    @AniphaMatatala 7 месяцев назад

    Mungu akubariki Kwa huduma unayotoa ya neno la mung Kwa njia ya nyimbo

  • @RafikiMpolee-n8i
    @RafikiMpolee-n8i 5 месяцев назад

    Nabarikiwa na sana na nyimbo zako Mungu azidi kukupaka mafuta dada

  • @geofreyngerenge367
    @geofreyngerenge367 2 года назад +1

    Amen Amen dada

  • @georgesfortune7646
    @georgesfortune7646 6 месяцев назад

    Neema prays for me please i am Haitien i think haitien from congo africa

  • @ev.wyclifeomboka9205
    @ev.wyclifeomboka9205 2 года назад +3

    Amen

  • @DanielMussa-u6w
    @DanielMussa-u6w 5 месяцев назад

    hakika unasaut ya kubembeleza nainjoi sana kuziskia sichoki nabaki nalia tu

  • @ev.wyclifeomboka9205
    @ev.wyclifeomboka9205 2 года назад +4

    Hallelujah 💕 seben Love it

  • @janetmkwizu5759
    @janetmkwizu5759 2 года назад +1

    Nimependa wimbo mama hongera❤️🙏

  • @Shakiraamri
    @Shakiraamri Год назад

    Yaani mungubazidi kukutia nguvu nakupenda sana neema

  • @bienvenumuhindovuruka1183
    @bienvenumuhindovuruka1183 2 года назад +2

    From DRC Butembo ,Nakupenda Sana nyimbo Zako huwa zinatubariki sana katika familia Yangu.Mungu akuongezee Baraka zake.

  • @monicesthela6316
    @monicesthela6316 2 года назад

    Zambi ndizo zinazo tutenga na Mungu ni samehe Mungu wangu

  • @henrindagano
    @henrindagano 2 года назад

    Mungu wangu akubariki sana kwa njimbo nzuri sana kama na hiyi asante saaaaaana kabisa

  • @GraceMtiki
    @GraceMtiki 8 месяцев назад

    Ubarikiwe Neema kazi yako ni njema🔥

  • @gaudenciamaghanga
    @gaudenciamaghanga 2 года назад +2

    I used to sing this song A to Z when I was in primary. God bless you mama , I love your ministry

  • @victorkuziganika291
    @victorkuziganika291 Год назад

    Dada hii nyimbo hainichoshi kabisa, natamani na kutamani saaana kusikiliza

  • @CleriseKaji-cc5ml
    @CleriseKaji-cc5ml Год назад

    Que Dieu te bénisse ma sœur

  • @NeemaGhaule
    @NeemaGhaule Год назад

    MUNGU wa mbinguni azidi kukubarikia sister. Napenda sana huduma yako❤️🙏

  • @Privia-s8s
    @Privia-s8s 10 месяцев назад

    Ooooh waooo atimae nimeupata wimbo wangu❤❤❤

  • @DieumerciBononga
    @DieumerciBononga 6 месяцев назад

    Mungu akubarikisana kwa enjili unahotupa

  • @glorygodson
    @glorygodson 2 года назад

    Barikiwa Neema hakika Wimbo unaujumbe mzuri sana Nimebarikiwa sana kupitia wimbo wako

  • @grace2757
    @grace2757 2 года назад

    Amen kumbwa Yesu niguse baba🙏🙏🙏🙏🙏