Wimbo huu umenikumbusha 2017 nilipo mzika mume wangu my friend...yni kila mtu uliniacha.. niliangaika kwa miaka 7 na watoto maisha magumu😢but Mungu ni nani...last year alinibariki na kazi maisha yangu kwa sasa nasema Yesu ni Bwana... 🙏🙏🙏Barikiweni sana guys 😊
Nani amani kwako hakuna kisicho wezekana kwako ninaweka matumaini yangu eh Yesu Nina baki na wewe alfa na omega Dada Neema barikiwa kwa wimbo wenye kutia moyo From Johannesburg
Dada mungu azd kuonekana kwako hii nyimbo inanitoa machozi sana maana moyo wangu umekata tamaa ila inanipa nguvu yakusonga mbele zaid nikibaki nayesu hawez niacha njiani
This song touches the core of my heart. Nikiskiza huu wimbo huwa unanitia moya sana... I am so blessed and encouraged. Nina imani yote yanapita, asante sana mama Mungu azidi kukuinua na uzidi kuwa wa baraka kwa watu wote. My prayer is that after all these issues of life, when God blesses us, tusimsahau tukajiingiza kwenye anasa zadunia. Lets keep on seeking God. He's the same God in the valley and on the mountain. Be encouraged.
Na neema na mke wangu nae njo neema ❤❤❤dada kazi yako naipenda sana sana mungu azidi kukubariki sana iyi nyimbo niamaisha yangu kabisa wakati.nilikuwa bado sija mungu katika maisha yangu wanadamu siwatu wakutimainia mwenyezi mungu ndie baba yetu katika maisha yetu sisi wanawake🎉🎉🎉
My current situation after losing my job last month😢😢even my friends they don't talk to me like they used to it like I'm bothering them..my bf told me he can't date a jobless person it'll be wasting his time .I'm just losing it 😭😭sometimes life can be so mean to us but it's life ,,but I still have hope I'll never give up.the grace that has carried me this far will not leave me😢😢
Dada Neema nyimbo yako ya MAPITO nimeipenda ninapo isikiriza nashundwa kuikinai napenda kuisikiliza mala kwa mala kutokana na ujombe wa nyimbo yako mungu akubariki akupe nguvu ya kuimba nyimbo nzuri.
Wimbo hu unanibariki nakumbuka nilipopata ajali mwaka 215 mwezi wa 6 nilikuwa kama kichaa lakini baada ya mda nikabaki na yesu ni jemedari wangu katika maisha yangu
Gloire à notre Seigneur pour ce merveilleux message. Je glorifie l'Eternel pour ta vie ma soeur NEEMA tu es une benediction pour nous tous que l'Eternel Dieu te benisse abondamment et continu de guider par son esprit Saint. Amen
Wow, this is my song, God bless you woman of God kilicho na mwanzo kina mwisho wake glory to God
Amen
Barikiwa sana kwa kazi hii njema
Mama ubarikiwe sana
Barikiwa Sana mum🙏🙏
More grace 🙏🙏
Wimbo huu umenikumbusha 2017 nilipo mzika mume wangu my friend...yni kila mtu uliniacha.. niliangaika kwa miaka 7 na watoto maisha magumu😢but Mungu ni nani...last year alinibariki na kazi maisha yangu kwa sasa nasema Yesu ni Bwana... 🙏🙏🙏Barikiweni sana guys 😊
Mungu akuzidie dada.. hakuna life ngumu kama kua single mom
Mungu wetu ni mwaminifu
Mungu ni mkuu sana, atukuzwe milele na milele 🙏🙏🙏
Mungu n mwema
Bora walikuacha Sana Mungu akikupa kakupa
Who else is from TikTok direct to RUclips to listen to full song 😢😢😢Don’t be discouraged everything that has beginning has an end.
Am here oo 😢
Me here
✋✋✋✋✋✋
Me here😢😢😢😢have cried
I pray that someone will be encouraged by this song and trust God for a move. Usijiue tafadhali lipo tumaini
Sure
Nani amani kwako hakuna kisicho wezekana kwako ninaweka matumaini yangu eh Yesu Nina baki na wewe alfa na omega
Dada Neema barikiwa kwa wimbo wenye kutia moyo
From Johannesburg
Napitia kipindi kigumu mume wanguu kaaga
Pole sana ndg usilie futa machozi mama yanaitwa mapito
Pole sana kila kitu n wakati wake
Pole sana kila kitu n wakati wake
Tokea Kinshasa, najengwa sana na huduma yako dada!
Mungu azidi kukutia nguvu
Wimbo mzuri sana umenigusa kwa jambo langu ivi
Dada mungu azd kuonekana kwako hii nyimbo inanitoa machozi sana maana moyo wangu umekata tamaa ila inanipa nguvu yakusonga mbele zaid nikibaki nayesu hawez niacha njiani
Panda zaidi yakawaida.ongeza viwango vya juu sana
Amina asante
Bariwa mummy kwa wimbo wa kutia moyo na kuongeza imani yangu,tunakupenda huku 🇰🇪🇰🇪
Chenye mwanzo kina mwisho....aki huu wimbo unanizungumzia kabisaa.....am yet to find out Neema cizungu n nani na kutoka wapi????
Wimbo umenituliza moyo jamani.ahsante sana barikiwa
Amina sifa kwa Mungu
Sauti tamu auntie 🥰 zidi kusifia huyu Mungu🙏🙏🙏
l like that song❤❤❤
Huu wimbo ni ombi langu la moyo ewe Mola lisikie hata sasa kwa jina la Baba, Mwana na Roho mtakatifu
Mungu aku zidishiye uko na maneno yenye ku fariji 😢😢😢
Kumbe ilikuwa ni kwa muda tu🎉🎉🎉
Hakika kilocho na mwanzo kina mwisho wake naendelea kubarikiwa kwa hi wimbo Dada
It's came to me at the right time to me thanks sis for this
Acha nibaki na wewe mungu
Mungu abarikiwe nyimbo zuri Amina da2
This song touches the core of my heart. Nikiskiza huu wimbo huwa unanitia moya sana... I am so blessed and encouraged. Nina imani yote yanapita, asante sana mama Mungu azidi kukuinua na uzidi kuwa wa baraka kwa watu wote. My prayer is that after all these issues of life, when God blesses us, tusimsahau tukajiingiza kwenye anasa zadunia. Lets keep on seeking God. He's the same God in the valley and on the mountain. Be encouraged.
ubariki was Sana Dada mung u akuzidisie ❤❤❤❤
Waoooooooooooo nabaki na ww yesu good ujumbe
Ooh hallelujah all the way from TikTok be blessed 🇰🇪🇰🇪🙏🙏
Ubarikiwe dada nimekuona ongera Sana kwa huduma mungu akubariki,
Très belle chanson mais très triste je ne comprends pas ce qu'il chantent mais j'adore ça 🫂😰😰🎶👌👌💔🇳🇨🇳🇨
RUclips recommend me this song
You sang for me 💓 God bless you
Haya ni mapito Tu
Amina
Your singing about me dear be blessed woman of God you're going far neema
Nakupenda sana dada,Mungu azidi kukuinua.
Na neema na mke wangu nae njo neema ❤❤❤dada kazi yako naipenda sana sana mungu azidi kukubariki sana iyi nyimbo niamaisha yangu kabisa wakati.nilikuwa bado sija mungu katika maisha yangu wanadamu siwatu wakutimainia mwenyezi mungu ndie baba yetu katika maisha yetu sisi wanawake🎉🎉🎉
My current situation after losing my job last month😢😢even my friends they don't talk to me like they used to it like I'm bothering them..my bf told me he can't date a jobless person it'll be wasting his time .I'm just losing it 😭😭sometimes life can be so mean to us but it's life ,,but I still have hope I'll never give up.the grace that has carried me this far will not leave me😢😢
Amen,Bwana ameshafungua milango
Amen i know when it is the right time He will make it happen 😢😢
Amen
Asante sana dada ubarikiwe wimbo tu umenifariji kweli
Wimbo huhu unanikumbusha mbali ubarikiwe dd
WHAOUU THIS IS A BLESSING SONG. SALUTE MY SISTER
Amen. Nyimbo kali sana. Tuipe comment nyingi sana
Mmmh I am encouraged to continue on with moving forward. Kweli mapito yangu yatafika mwisho
This song it's so powerful and annoited more than it wàs. Vile umeimba pekee yako with your full passion itatembea kila Mahali.
Love you neema
Amen
Yanaitwa mapito maana hayadumu
Amina
Perfect job dear. Be blessed by our Jehovah
Hata mimi napita tu, ni mda tu mungu aibadili stori yangu, nimebaki na yeye mungu
Dada Neema nyimbo yako ya MAPITO nimeipenda ninapo isikiriza nashundwa kuikinai napenda kuisikiliza mala kwa mala kutokana na ujombe wa nyimbo yako mungu akubariki akupe nguvu ya kuimba nyimbo nzuri.
amen dada mungu hakuongezeya mafuta
Ubarikiwe
Amen, Mungu akubariki, na kupenda sana.Umenibariki na huu wimbo.Only Jesus Christ's grace and mercy is sufficient for us
Mama nakupenda sana .najengwaka sana nanyimbo zako
Wimbo Uhu ni sehemu ya maisha yangu mungu ata baki kuwa mungu❤❤
Very powerful song may God bless you so much 🙏
Amen
Ameen this song really blessed me
Be blessed 🙏 This song is really talking about the situation I have gone through
Wouwooooh Wimbo mzuri sana, nimebarikiwa sana🙏
Amen
I see you my sister You deserve to get congetration
Glory to God
I listen to this song daily bila kuchoka be glorified lord today till forever more Mummy neema shine shine may God uplift you higher
this one of the best songs so inspiring. may God bless u so much
Very powerful song may God bless you so much 🙏 ❤️ ♥️ 💖
Nice song ,am in this situation of sickness but i know he will heal me 😢😢
When I remember I just shade tears,then I say God it's all about you 😢😢
A very veery anointed song bigup
From TikTok to here 😰this song 🎉so touching en encouraging 🔥🔥🙏keep the spirit your blessed mum❤
I love the song so much...I play it daily
Hallelujah 🙏 praise God napenda hii wimbo inanibless
Yesu niyeye mwenye upendo wa kweli Hallelujah,
Mungu akibariki kwa n'importe zuri dada
Napenda sana nyimbo zako ubarikiwe sana
Amina
Wimbo hu unanibariki nakumbuka nilipopata ajali mwaka 215 mwezi wa 6 nilikuwa kama kichaa lakini baada ya mda nikabaki na yesu ni jemedari wangu katika maisha yangu
This has reminded me yenye nimepitia waaaa 😢😢😢😢 it's only God because now am happy thankyou lord 🙏🙏
Nakumbuka Maisha yangu ya zamani
Iyi wimbo inani jenga sana mungu akubariki dada yangu
😢mimi imagine God is faithful... beblessed my little sister
Wimbo kama huu unahitaji kua in millions viewers 😢😢
Nabarikiwa sana na nyimbo zako
Amen Amen Amen, nmefarijika kwa wimbo juu mtamu, Mungu akupe neema Zaidi🎉🎉
Nyimbo hiyi yasema Maputo nimwondani Napata faraja asant
From Kenya imeshikaaaaa
Nili baki na yesu kabisa,nilipo pitia magumu ya kipindi kile.
Ooo mungu akuinuwe kiwango cha juu sana kupitia ujumbe na nyimbo nzuri sana
Amina
Finally tiktok brought me here to watch such a great song🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Congrats 👏👏👏👏 nice one... Hana mipaka anaitwa Mungu.... 🔥🔥🔥
Amina
Nyimbo nzuli Sana
Wajina wangu 💜 Mungu akubariki hujui tu jinsi Gani huu wimbo unanigusa natamani siku nikuone live
Ubarikiwe saana
Très profond le texte ainsi qu'une musique qui nous aide à prier
We bwana nitoke kubitia wimbo huu
Bjr mama jtm bcp napendaga nyimbo zako Sana🙏 Mungu akupe maisha marefu mama
Félicitation d'avoir pensé à revoir la chanson,sinon la première version était un vrai échec.
Courage maman et félicitation encore
May God bless you servant of God 🙏🙏, nikikumbuka maisha nimepitia, na penye no mefika namtukuza mungu. Nyimbo zako zaubariki moyo wangu sana
Dada Ney Mungu wangu akujalaalie kuishi sanaa🙏,nakupenda sana 🫂
Amina asante saana
This has lots of blessings mum
Wow great songs god bless you so much
Ni weww tu YESU ,nimebaki nawe 😭🎸🎸
Mama mungu akumbariki san..unanimbariki sana
Ubarikiwe umenitiaamoyo
Thanks inanikumbusha kipindi nilipitia apo mpaka nikapenda Wimbo wa sema nami u are such a blessing to me .May God bless you in every step
Une très belle et bonne chanson ma soeur
Wow..hii song unitia nguvu kila siku siwezikosa kuiweka
Ni mkweli mapito lazima tupitie,Mungu katuandalia mlango wa kutokea, tujipe moyo mkuu tusikate tamaa.
This song is so encouraging my heart,marafiki wanadhani nitaishi kwa mashida lakini mungu ni nani all shall be well in Him
Amina tumebaki nawe bwana barikiwa sana wimbo wako mtamu ndio kilakitu kina mwisho wake
Unakuwaga nanibariki sana kwa nyimbo zako zote dada unanivutiaka sana hongera
Bariki Mum ♥️ neema cizungu unanitia nguvu na songs zako❤ nakupenda sana m'y Mum ♥️😊
Barikiwa saaana nyimbo zako zina ni jengaka saaaanan