phd kiukwel hii nyimbo nzur san pia ngom zak zot kali sem wabongo wanaxhobok na nyimbo zisizo kuwa na ujumbe mzur me kwa upande wng naikubali san hii nyimbo
Tatzo wabongo tunapenda vtu vya ujanja ujanja ila kama tunataka kufka mbal...We should recognoze this Guy coz anafanya mzk mzur,msimamo ktk mzk#rnb then Chupa kal xana tena within tz...."Brada am nothing but If i could be somebody else I could make the whole world to understand good music in tz is equal hemedyPhd"
Unajuwa mnoo... ukijua sana average ppo hawataelewaa.. then mziki unakuwa wa upande mmoja. unaimba mziki wa mbele sana.. vizazi vya kesho kutwa ndo vitakuewa vyema. saivi wachache.. Yu ar de Best brother.
Hemed PhD Niko China ala sijui vizuri kiswahili,,, daaaah hii ngoma nzuri sana , ASA hapo unapo imba Nana nanaaa,,,,
Kali sana nyimbo zako nazielewaga sana sana alafu n za maadiri sana siyo za kuonyesha maungo bila sababu
nimeikubali ooohh kumbe ukitulia uko poa hemed
phd kiukwel hii nyimbo nzur san pia ngom zak zot kali sem wabongo wanaxhobok na nyimbo zisizo kuwa na ujumbe mzur me kwa upande wng naikubali san hii nyimbo
Me nazipenda nymbo za huyu jamaa very much!!
Wabongo wanajifanya hawataki kukuelewa ila uhalisia unajionesha ww mkali tena kipaji sio fojari
nkwel suleiman Ahmed huyu jamaa anakipaji
Tatzo wabongo tunapenda vtu vya ujanja ujanja ila kama tunataka kufka mbal...We should recognoze this Guy coz anafanya mzk mzur,msimamo ktk mzk#rnb then Chupa kal xana tena within tz...."Brada am nothing but If i could be somebody else I could make the whole world to understand good music in tz is equal hemedyPhd"
Hautajua thamani ya ulichonacho mpaka kitakapotoka@please stand up and shake your buts cz sometimes tukiulizwa tumekalia nini hua tunajibu kiti.....
Braza nimesubri sana usikae kimyaaaa game imechange sana good song
The best RnB singer hapa bongo wanamu underrate sana ila phd hana nyimbo mbovu zote chuma🙌🙌🙌👊👊
PHD UMETISHAAAAAA...👏👏
Like zangu kutoka Jordanie ngoma kwakweli kali
Jamaa anajua sana sema nchi yenye utimu wakisenge ila yuko juu sana uyu mtu
Phd yan hzi bit hataaareeeee....znasisimua. Mzik flan mkubwa hivi unao fanya bro bt tyme itafka tyu wataelewa.
😍😍😍
Finally nimepata nyimbo kutoka Tz ambayo naweza kuifananisha na nyimbo za WCB. Nyimbo imeenda shule.
Pg keleleee kwa phd
Kwa wanao penda mapenzi Hiii Ngoma Kali sana Fanya Kumkubali PHD Wa TZ Tupo juu
Phd umeuwa hii ngoma tamu San asiekubali bx moyo lazima uchetu mkate auna ujeuri mbele ya chai bb
uyoo ndo hemedy PhD amewakimbza mpka tusker project fundiiii.. wa mafundiii
hemedy phd ni moja ya wasani naowapa heshima kubwa sana tz. kazi nzuri bro na mungu akusimamie inshaalllah
siku zote wa tz hawataki kitu kizuli ndo maana mziki mzuli kama huuu ni adim washazoa ndomboro samboro huu ndio mziki unae eleweka safi sana PHD
hii ngomaaa this is better than
big up phd
Ni noma sana PHD tuko pamoja 2023
Bro mm nakushauri komaa na muziki hakika utatusua bongo moves bese kidogo2
Watu wanamchulia poa sana hamed kwenye mziki
Huu wimbo ataipite miaka 100 huwezi kuisha ladha yani ni kama umetoka Jana ...... Big up PHD hemedy
Pliz tusaidian ku like subcrib views mingi mingi kama tupo pamoj na tumeikubr (Mkimbie)😘😘
Naweza sema mimi ni shabiki wako namba moja hujawahi niangusha broo nakukubali sanaaa
Iko vizuri nimependa kila kitu kwenye video
sema unamwonea sana gelly ujue kulee ukimchukulia demu na huku tena haaahaaaaa
KILONgo Jr straight outta cape Town
kumbe ilikuwa Bonge la palii mii nili stay kijijini
Izi ndo Real rnb en bluz kidogo brother mzki wako mkali 💪💪💪💪💪💪💪
Naenda nayo had 2019..
.Nakimbizana nayooo.....up to my last breath.....kwa zouk hii...tishaa saana PhD Big up
PhD nakukbal balaa yah mkimbieee
Much love from Kenya. Wimbo mzuri kweli
Nelson Mwaura exactly
daaaaah mzeee hemen hiu nyimbo INA sv hatal hii lazma ihit
Hemed phd on top tunaojua vitu vizur tunakufuatia kwenye njia yako
Watu wa +254 mpo?? Gonga like
Safii sana ngoma yawakubwa haina speedy
Good music bro haujawai niangusha🔥🔥🔥🔥
Jamaa Anakipaji sio kuigiza sio mziki. Vyote anaweza. Safi sana
Rudi kwangu mkimbie 2019 nice song
huyu jamaa hatoi nyimbo mala kwa mala ila akitoa vitu mi navielewa knoma
Huyu jama ni mkali sema tatizo ako under rated.
Afu ukimskiza anafanya real rnb n blues bhana .hemedy big uo
kbsa
huyu jamaaaa anajua Leo ndio nimefahamuuuu
Aaaaaayaa Sasa naomba like za #hemedy_phd hapa
sana sana up haujakosea
Wow!!naipenda hii sauti jamaniiii....mkimbiee uwe na mie duh...big up bro
Rudi kwangu mkimbie achananae mkimbie 😍😍 I like it
hawa ndo watu wakuwakilisha nchi yetu wakipewa nafas wengine wanambwela
Safi Hemed ww kweli msukuma mm mtoto wa kizanzibar ila nna msukuma ananila roho 😍😍😍
nkwel nzuriiii kaka phd umetisha
Umejaribu sana big up hemed
Walai tumekumiss ww ndio mkali wao...big up sana hzi ndio ngoma zakuskiza sasa
wimbo uko vzr big up
Nipo hapa kila saa kila daily😘😘
Hemedy nimekubali pin aisee!
kwanza mi nakubali kote tu on movie and music also... keep going
duuh hataree kwa kweli nimekubari and love yoooh papi
jamaa nakubali musiki wake aisee big up bro
PHD nakukubali sana kazi zako ni CLASSIC ndio tunachohitaji.
ngoma kali Hemed11big up
Upo level za mbali mzee baba nakuelewaga sana unajua vitu vikali niceeeee sana mkal
I knew it Nlijua lazimaa nyimbo utakuwa nzuriii Imepangiliwa vizuriii Sio kubabaishaa Safi sanaaaaaaaaaa 🔥 🔥
Mzee baba tuka ninachota ni mapenz mama kimbo she jest a friend na ngoma zote ujawahi niangusha mzee baba big up baba chose papi nation
Duuh sauti yAko imekuwa nzuri sana hongera
Like za hemed hiinyimbo niko homu nasikiriza na mm mkwe
muna jambo lenu wewe na mama mkwe wako.
Nyimbo zako uwa zmetulia sana adi moyo unasisimka....asante
fundi wa hizi kazi
Phd mzee uko vzr,,, naomba ufanye TV tour watu wajue uwepo na uwezo wako
Jama namkubari sana anaimba vizuri sana 👌👌👌👌
Mmmmh broo walai uko juu, iyo video tena
Big up zakutosha kwako hukoseagi hata siku moja
Kazi nzuri sana #Hemed kaza buti jombaa
nko south sijui swahili lakin hii ngoma kaliiii.
kama mm tu an nko Botswana xjui kiswahili lkn ii ngoma kali
dah PhD cjui nkwambieje bnge lanyimbo lov u so much
PHD ni qonqiiiii hii Ngoma bigup Pappinatio n
Fikra zangu ni kuwa Hemed Phd angekua kafocus kwenye kuimba tu peke yake, angekua kwenye level za Diamond.
Jamaa Sasa amerudi kivyengine.... Gonga like kama umeliona hiloo
I love you song
Bonge la nyimbo Bonge la video hujawai kukosea hemed
brother upo vzr tunakukubali xn
Usher Raymond wa Bongo
Nyimbo angu ambayo haijawah Isha hamu
Jamaa unajua xna mm nakukubal xna CIO kwenye bongo movie wala bongo flavour unajuwa
Nakupenda wewe nanyimpo zako na sauti yako pia na kukubali kinoma
+254 mark register for this guy#..good music
mwenye RNB yake big up PHD
daaah am so much in love wid de music of diz guy.....keep it up
Kwenye kuigiza sikuelewi ila ngoma zko zote ninazo babu
Wow congratulations😍😍😍😍
Phd ngoma zako zinanishika ile mbaya
Hongera sana bro.
Wow hio kali sana bro im in love it wo congrats 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
wimbo mkali hongera
Aaaa bro ngoma knoma noma sana phd
Safi Sana hemedy it's hot song.. God bless you... imetulia Sana kwa sisi tunao elewa
tunamaliza mwaka kidudu
Nlikua nasubir hadi mwisho lada dem atarud kwa hemed. By de way ngoma kali tuko pamoja tz to ae
Sarah Halfani hahahahaaaa
umeona nashangaa hajarud kakosea hapo tu
NICE SONG
NIMEIELEWA KINOMANONA
Unajua sana wakupe nafasi tu uko vizur sana
Mzee baba iko poa nimekubali
Unajuwa mnoo...
ukijua sana average ppo hawataelewaa.. then mziki unakuwa wa upande mmoja. unaimba mziki wa mbele sana.. vizazi vya kesho kutwa ndo vitakuewa vyema. saivi wachache.. Yu ar de Best brother.