Ila bongo bana!!!!! Hii ngoma ni yakupata 1M views ndan ya masaa... Sema all is good tunaopenda mziki mzur tutackiliza... Ngoma flan hiv ya kuombea maji ya kuoga... Big up bro
Mambo VP ndugu naomba support yako ndugu ni nafanya nyimbo na ninazo nyingine ila sina support naitaji nguvu zenu Jaman link yang ruclips.net/video/jqiShgqVnZE/видео.html kwa mawasiliano +255748306590 sina Meneja wala msimamiz ninazo nyimbo mpya naitaji Mwanga
Hemedy hapo ulitulia mzey..umeimba kitu ambacho kwenye life la kila siku vinatutokea..!!!eeebana eee..keep it up,kama ngoma ni Kali kwa kama ilivyonigusa mim gonga #like!!!
Sijui kwanini watu wapenda kumjudge mtu kwa matendo lakini huyu jamaa licha ya ulover boy wake anaweza sana kuimba ......Mimi ni shabiki wako zaidi ktk mziki brooo
Huyu kaka anajua sana kuimba ooooh you umefanya mwili usisimke
napenda nyimbo zote za hemed katulia saaaaaana hana vurugu yan gonga like kama unakubaliana na me
sikuiz sijui kawaje 2024
Mzee baba umetisha sana
Jamani na omba lik ata 10 from 🇧🇮🇧🇮
umetisha sana ngoma kali hii hatar
Jamaa huwaga namkubali sn aiseeee
Nyimbo nzuri Brother
Nipeni like wa kwanz kuview hemed km hemed in on fire
Wimbo mzuri sana unahisia kali mpka nimesisimka mwili
Pamoja sanas
hata mm
Ila bongo bana!!!!! Hii ngoma ni yakupata 1M views ndan ya masaa... Sema all is good tunaopenda mziki mzur tutackiliza... Ngoma flan hiv ya kuombea maji ya kuoga... Big up bro
Bongo wanapenda nyimbo za matusiii tu
Am telling u👌
Mambo VP ndugu naomba support yako ndugu ni nafanya nyimbo na ninazo nyingine ila sina support naitaji nguvu zenu Jaman link yang ruclips.net/video/jqiShgqVnZE/видео.html kwa mawasiliano +255748306590 sina Meneja wala msimamiz ninazo nyimbo mpya naitaji Mwanga
Nc song four phd.
Huyu jamaa ndo namba moja bongo kwa mziki mzuri na Safi sijui kwa nini asifanye mziki seriously
Nachokupenda hemedy unaimba kufurahisha siyo kushindana au biashara,,,pia kuimba unajua especially nyimbo za emotional an slowly
Nakubali sana PhD
ruclips.net/video/V7z9WM5rEEg/видео.html
Tisha sana Mzee ..
Nzuri sana
Msenge umenipa stress za ghafla......
Fresh bhana bonge LA ngoma#
Kila mtu ana nafasi yake kwenye maisha na kwenye vipaji pia. Hingera Hemed . Wimbo mzuri na unatizamwa na watu wa lika zote japo unahusu mapenzi
pap nation hemed hujawahi niangusha always wewe ni bora nakubali sana
Bonge 1 la ngoma congrats phd nazikubali sana ngoma zako broo unajua mpk unakera
Kama umeikubali gonga like 👍 ili tujuane 🇧🇮🇹🇿
Wimbo 🔥💯
Gd
Hemedy hapo ulitulia mzey..umeimba kitu ambacho kwenye life la kila siku vinatutokea..!!!eeebana eee..keep it up,kama ngoma ni Kali kwa kama ilivyonigusa mim gonga #like!!!
Yani inasikitisha kuwa sikuoni pale unapaswa kuwa good music 🎶 bro papi
😢😢😢duh unanikumbusha enzi hizo nilipokuwa na demu wangu
Hemedy broo napenda san nyimbo zako zimetulia kinyam
Nyimbo nzuriiiii ila sijui kwann viewers wanakunia
Safi sqna kaka nimekubali kazi nzuri. Nakuelwa kitambo
ila #pHdHemedy anajua sana ... mashabiki anao ila hajamuz kufany mol kua biashara Dah.. TUNAKUHITAJI NA HUKU
Seema Tanzania watu wanao fanya vzr hawafatiliw duh Mwamba ANAJUA angalia kila nyimbo alio itoa zote Kali
KizZi Sana Sana Kaka @Hemedy , kazi nzuuri sana sur
Hatare!!!fayaaa
ruclips.net/video/V7z9WM5rEEg/видео.html
Nyimbo kali sana bro, ila Far away naipenda sana kuliko nyimbo zako zote
Good song be bless!! nakukubali Sana Kaka
Safi kabisaaa master
Nakupenda hemed napenda ngoma zako nice
Am your no 1 fan bonge moja la song mapenz yanauma jmn dah
Kweli baba wemukali sana unakubalika Sana kweli 🎵🎵🎵🎵🎵💪💪💪💪🙏🙏🇺🇬🇺🇸🇺🇸🇺🇸
Nipoo na wewee nielewee uko mwenyeeweee na sipoo nikuache weweee uchezeeewee na mwengineweee🥰🥰🥰🥰🥰
Unauoneaga Sana mziki mzee baba kiwango chako kikubwa
Hongera Sana ngoma inapenya mpaka kwenye ubongo yaani
Kama kawaida Hemed mzee huwa hauungizi always unaivisha ✌
Daaàh nilimic San vi2 HV broooo nikikumbuka hil itabaki story daaaah we noma
Nakubali 🔥 ume weza kbx
PHD nakukubali sana brother songs zako zote zinagusa life yangu pig up
unajua saana kuimba kwa hisia phd hemed
Nazipenda nyimbo zako zote from Moçambique.
Hemed nakushauri imba sweeat regae unaweza sana
👍👍👍👍🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻 umetisha brooh
Waa,nmeshtuka bana,wimbo mtamu bana
Ww mzee unajua sana achana na bongo movie komaa huku this is dope
Nakubali sana mkali toka kitambo 🙌💣
Tokea Kenya🇰🇪🇰🇪 big love sir goma kali sana ni ngori🔥🔥
DAH sijui hemed hana bahati anatoa ngoma kali kwel ajawahi kosea sema RIZKI NA MDA WAKE
kali sana bro congraturation
Kazi nzuri sana 254 lit
Wengi wanassemaga eti broo ajuwi kuimba! Mimi naisi
Wamezoea vurugu tu!
Umeonaeee 😂😂hizi ndio nyimbo zimetulia za kubembelezea usingizi 🙊😎
Kabisa wamezoea vurugu
Huyu jamaa m namuelewa xn bac t
Huyu mjinga analadha zake amaizing sanaaaa....
Apo umenena hemed mkal San jmn ukwel lzm usemwe
emedi umeimba kwa isia sana nimeupenda
Watu kama hawakuoni hivi dah unajua saaana broh
That's ma boy never let me down ✌the voice is fire🎵
YANGU JEEE Hhhhh
Nice one
You know very much
Ulizaliwa kwaajili yakuimba hatar sanaaaaaaaa
Nyimbo chache but zote classics 🔥🔥🔥🔥🔥
We msenge sumu sana pabritho yezeee
My favourite singer hemed ur the best unaimba bwana 💘keep going 🔥🔥
Jikaze tena kidgo tuuu...utafikia level fulani iviii nzuriii mnoo!!.. Ila kwa apo umeimba tuu kama wasani kma hamorapa mkuu
Huyu yeye anaimba kama starehe tu sio kazi hajataka kusimama moja Kwa Moja na mziki🎉🎉
...ayyeyyeeyeeeeh..jamaa ni anajua et
*Ngoma kali sanaaa aiseeee daaa*
since day one...sisi hatuimbi imbi.... tunaimba ili uskie nn tunaimba...#good music hemedy✊
Asante hemed hii ngoma imerudisha mpenzi wangu 😘😘😘😘
Brooo hamia kwenye music wewe ni mkali sana
Duuh kwa hii nimekuelewa uko vizuri sana
Muziki mzuri utaupata kwa hemedy pekeyake
Kazi imeeleweka
Kazi nzur PhD
Kama umeona balaah la hemed phd gonga like zifike 100 🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥
Ngoma kalii sannaa. NAKUKUBALI
Balaaa na nusu nyimbo kaliiiiiiii
Tishaaaaaaaa
Best artist uwe unatoa nyimbo kila mara nakukubal sna mwamba
Uyu mwamba mm namkubali sana
Asant kwa mzik mzur💗@ 🔥🔥
Mzikiiii mzuriii🤞🤞
Ili jamaa hadi linajua hadi linaboa, sema shida ya nyimbo za hemedy aziendi mbali sana na yeye pia jeuri sana huyu dogo
Mm nakubali ngoma hasa nampa hongera Sapna Filoz kaigiza vizuri sana.
Bora ujaliwe kipaji duniani hufi njaaa
Mzee wa izikazi PhD good music mwamba wangu
Unauwa bro!! Big up sana!!! Bongo tunataka ngoma kama hizi
Hatareeeee
ruclips.net/video/V7z9WM5rEEg/видео.html
Kama unapenda RNB gonga like broo tuburudike wote
Uwezo sana🔥🔥🔥🔥
Nice hemedy
Yaani hemed unaimba alafu kama ngoma za nje unaweza sana
Hemed na linex ni waimbaj wazur sana lakn cjui kwann hawana unaarufu
🤘🤘🤘 ngoma kali nimeipokea
Brother pont xn pongezi sana
PhD wee ni fundi sana unajua unachokifanya I'm respect everyday
Good work
Dah kaka wew ni noma kabsa
Umetisha brother 👏👏👏
Mkali kazi imekamilika broh. Hongera sana.
Hemed ...unajua brother
Sijui kwanini watu wapenda kumjudge mtu kwa matendo lakini huyu jamaa licha ya ulover boy wake anaweza sana kuimba ......Mimi ni shabiki wako zaidi ktk mziki brooo
Say Pappination PHD umetishaaaaa....
hongera hongera phd nice song
Nyimbo dohizi waweza sikiriza na mama nyumbani siyo zire za jeje wakouchi ovoovo