Dodoma Jiji 0-1 Simba SC | Highlights | NBC Premier League 29/09/2024
HTML-код
- Опубликовано: 16 ноя 2024
- Goli pekee la mkwaju wa penti kutoka kwa Jean Charles Ahoua limeipa Simba pointi tatu muhimu katika mchezo mkali, uliopigwa kwenye Dimba la Jamhuri, Dodoma.
Hii ni Ligi Kuu ya NBC #NBCPremierLeague - Спорт
Naipenda simba sports club leo siku yangu ya kuzaliwa asante simba kwa kunipa furaha
Happy birthday kwako kipenzi❤❤❤❤🎉🎉
Wakwanza ku comment,nipeni like Wana simba
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😂❤❤
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
oky
This is siiiiiiiiiimba ❤️🦁🇹🇿🔥
Tuna mshukuru Mungu kwa ushindi huu mzuri , na kutufanikishia point 3 Muhimu , asante Mungu ,uinuliwe upewe sifa Mungu wetu ulie juu Mbinguni.
Kuna watu wanaumia sana kuona Simba ikishinda, mtasubiri saaaaana, ubaya ubwela mauwa msimbazi🌹🌹🌹🌹🌹💐💐💐💐💐
Mungu atusaidie wana simba🎉🎉🎉🎉🤲🤲🏼
❤️ALHAMDULILLAH❤️MR MVP AHOUA❤🇹🇿 🇦🇪 UBAYAAA UBWELAAA
Kama umemwona beki wa dodoma anafanya kama anacho fanya jean Charles ohua gonga like tukitembeaga😂😂😂😂
Kama kweli unampenda mnyama uspite bila kudondosha kopa❤❤❤❤
Taften VAR msilalamike sana refa ni binadamu na hana marejeo ila ile ni penat dhahiri
Kwa hiyo alietoa mpira kuenda corner ni nani? Shabalala? Au sheria mpya aitaki contact?
Niebebe ni mbeleze nibebe ewe refa ni bebe
Simba nguvu moja asante MUNGU tumepata ushindi 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Nikweli hiyo nipenat sahihi
Mdogo mdogo tuttafika,Simba oyeeee
Adjust the flood lights,...players should not have 4 shadows
Hizi zinazojiita timu kubwa soon zitaenda kupoteza mechi..na wa kwanza itakuwa yanga 👀😳
We nouma umejuaje
Good job
Penati saaaafi kabisa iyo
Hongera ahuwa❤
Waoo wana simba yareonileo2 ngojatugage yajay ten
Mbn ni penalty ya Halali au macho yangu yanaushabiki😊
Mwenyew naon ni hvooo au nina ubaya ubwelaaa machoni😅😅
Simba kipa tunaye
Penalty halali kabisa Simba moja nguvu mojaa❤😂😂😂 let's go wanyamaq
🔥🔥🔥
Wamwisho kukoment na sitaki like zenu.
❤❤❤
Hii ni ukweli kabisa penati
Wamechoka sana simba
Mungu mwemaaaa
Tutafika Kwa uwezo wake allh
Uchoyo ndo umewafanya simba waondoke na goli moja
2:19 2:24 2:25
Mtangazaji nae kiazi, eti alicheza miguu..unaona kabisa ni takloling hiyo
Alianza kugusa mpira japo Hadi uvute video ndo utaona
😂😂😂
Unazingua dogon
Kuna takloling ya kuanza kucheza miguu kama hujui mpira kaa kmy
Unaifaam taklonling wewe inachezwaga ivo hujui kacheza kihatali unawezamvunja mchezaji
Sijaona hata mukwala akigusa mpira😂😂
Hujaangalia mpira basi 😂😂😂😂
Usitusumbue
Mukwala unyama nimwingi kwake😅😅😅😅😅😅
JEAN CHARLES AHOUA T'ES GARCON PAPA!
Mbeleko fc😂
Ule mpira hujatoka nje kwa kuguswa na beki ule mpira umeenda direction ambayo imetokana na pass ya Awesu
Mwisho wa siku tuanze kukubali timu zetu zinaanza kuimarika na kuleta ushindani ss hv mechi zote km darby tu hakuna mechi rahisi
Love mnyama❤❤❤❤😂😂😂
Bado ujasema
Alhmdhulillah
Yan huyo kapiga magoti nimeumia mno
Hiyo nipenat kabisa
💣💣💣💣⚽️⚽️🦁🦁💪
Ninaona kama mpira ulichezwa, naona hivyo labda macho yangu mabovu
Nikweli kabisa kabadirishe matokeo
Mpira ulisukubwa Na kasi YA mguu baada tu yakucheza madhambi, hiyo Ni penalty halali
Yani Mzinga unaona kabisa beki kautoa mpira corner lakini unatudanganya kuwa ajagusa mpira? SHABALALA Alikuwa anaelekea upande gani na mpira umeenda upande gani? Je ni yy Mohamed hussein ndio kautoa mpira kona? Au kisa contact? Aibu aisee
Ile ya Chemalon v Tripoli mbona ulisema ni penalty!!?
Bwana wewe, uzuri wa marefa sio ma robot , ni binadam Wanafanya maamuzi kwa utash wao na kwa kipindi tukio lilivyo onekana, ime amuriwa penati , bac ni penati. Hata upige mayowe. Goli lisha soma.
Hii penalty acheni kulalamik
Unyama mwingi nguvu 1 burudan kwa wote
Simba nguvu moja
Hii ni kwa jina la baaba na la mwana na la roho mtakatifu
Hakuna penati hpo
Hizi penalt zitawakosti mwishoni wallah yaani dhuluma haijawahi kumwacha mtu salama
@@marryfelician1426 dhulma unaon ikfny tmu nyengne tu ikfany tmu yko aaah 😂😂 gol lenu na kengold offside na gol lao mliwanyma ungeanzia hpo kwnz kuongelea dhulma 😂😂
Kocha anatakiwa amwambie MAVAMBO aache uchoyo mbona mechi ilikuwa imeisha mapema
Wataijadiri hiyo penat wikinzima
Wenye roho mbaya tunawajua tu wasopenda maendeleo ya ximba
Kinyo wa bunju@
Hapo kulikua na kadi nyekundu kama tatu hivi Kwa wachezaji wa Dodoma jiji. Unaendaje kumgusa refa Tena unamsukuma Sababu ya maamuzi ya penati!!!! Wachezaji wa Africa tujiangalie Sana..
Leo tumepiga kamoja ka afya
Malefa wa tz wanamatatizogani???????????????????????????????????
Nenda polisi
Unaumwa wewe
Mbaka unye
Mnasema hakuna penalty Kuna nn?2 kumbe ubaya ubwela
Uwongo
Kwan mbona inachelewa kufanya kaz tumechoka kuona penàlti za mchòngo
Kawekeni malalamiko kwenye sanduku la maoni pale tff naona mnateseka😂😂😂😂
UBAYA UBWELA, Hiyo ndo SSC, Timu kubwa, inafanya vitu vikubwa, goli moja tu ! Kikubwa tunaondoka na point 3 ugenini! Simbaaaa NGUVU MOJAAA!😅😅😅
Milioni moja moja zimewaponza tena mshukuruni Mungu uwanja sio rafiki mngejua hamjui😂😂😂😂
Ndomaana ligi yetu inabak pale pale sababu ya marefa wasojua kazi zao.. Takoling mtu anaeka penart😢😢
Kasomee nawewe uje uokoe hili janga laurefa sawa
Takoling kwenye miguu ya mtu una jua maana ya takoling ni kuucheza mpira , na sio miguu ya mpizani beki wa dodoma alicheza miguu hakucheza mpira una tegemea refa ata fanya vipi marefa waki fanya vzuri mna kemea waki kosea mna tukana this is football
😂😂mbona Ken gold Ali funga wakakataaa afu nyuma mwiko offside ni goli
kichaaa wew
@@Qaswidazanzibar441 Azam Tyr wamepost angalia vzr kwa faida yako .. kip kimeanza kuchezwa kat Mpira na Miguu ya Hussein
C penalt jamaa kagonga mpira sio anavyo sema gharibu mzinga
Ways sematu
Deborah aache ubinafsi na uchoyo anataka kufunga yeye tu
Huyu mtangazaji hanisi au naona hajui ata anakitangaxa kitu gani apo
unyama uendelee
Debora asitafte ufungaji Bora sis tumeshamridhia kama kiungo tu asijipe mzigo
Kibu angepewa pale angepaisha. Kufunga kazi nyie
Simba wamebebwa 😏
leo kama kuku2 kimoja kinatosha
Mbeleko fc
simba hajawai kumgarim refari kufungiwa michezo ila nzi wa kjan kasha mpaga tab arajiga misimu mitatu yote mchongo
Huu uchoyo utakuja kuwagharimu Simba mech ingeisha kirahis kama Debora asingeleta uchoyo
Wanaosema sio penalty kajoeni mlale
Mwenda pole?
Waliosema wanatula nyama tumewala wao.UBAYA UBWELAAAA
Penat yamchongo
Ndani ya box rafu lakini mijinga tu flani matoto ya nnje ya ndoa, yatabisha 😂
Sema Ateba nae anakauchoyo fulani hivi
Wameanza kutepeta makolo haooooo
Kama wewe ulivyotepeta
@@AgnesJohn-f1r Kolokwinyo mmoja hivi
farat ww
@@mariamomari-cl6jc Hujui mpira kazi matusi tu,dunduka mmoja hivi mkia,kolokwinyo mpuuzi anayetukana hovyo
@@matrida.lunyilija5196 utopwinyo
Kuna Watuu mnachukia simbaa tuuuu
kuna mbwa anateseka um jaman
Uchoyo umezidi
Hawa jamaa wametusumbua sana
Bila refa kuzawadia penalty ya mchongo ngoma ilikuwa droo hii
MPIRA UNATOKA BADO UNACHEZWA NA IYO PENATI UONGO MBELEKO SANA
Ubaya ubwela
Mwanakibutaas
Kagoli kamoja tena penalty Hahaaa
Kamoja kanaleta mimba shaur yako😅😅😅😅
KAMOJA KA POENTS KATATU 😂😂😂😂😂
tena kimoja cha asubuhi ukizubaa mimba
Kojoa ukalale
Mbeleko F.C
Kama unaona nimebebwa, wew kazana kutembea.
❤❤❤❤ SIMBA NGUVU MOJA ❤❤❤❤❤❤
Hakuna penalt
Ubaya ubwela
Kakojoe ulalee
UTAJIJU SUPU CHAPATI FC WEWE
Ubaya ubwela