Simba 3-0 Tabora United | Highlights | NBC Premier League 18/08/2024

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 дек 2024
  • СпортСпорт

Комментарии • 252

  • @hasheemomary4507
    @hasheemomary4507 26 дней назад +83

    TULIO RUDI HUKU BAADA YA VYURA KUPIGWA TUJUANE KWA LIKE 😂🎉

  • @BenjaminFranklinGondwe
    @BenjaminFranklinGondwe 25 дней назад +26

    Tuliorudi Huku baada ya vyula kupigwa tujuane 😂😂

  • @dickMassawe
    @dickMassawe 3 месяца назад +90

    Mwana simba like kama umeridhika na Simba yetu

  • @MohdOmar-w4r
    @MohdOmar-w4r 22 дня назад +4

    Asante refa kwa kupunguza idadi ya magoli

  • @KhamisDunia-rx4gp
    @KhamisDunia-rx4gp 26 дней назад +11

    TA
    YANGA 1-3 TABORA UNITED

  • @VenanceMasimba
    @VenanceMasimba 3 месяца назад +3

    Ntaipemda simba daima hata kama bado tukiwa hatupo sawa ntaipemda simba ❤

  • @more_stanzas
    @more_stanzas 24 дня назад +4

    Hii mechi Baraka Mpenja hakuitangaza kwa vibe

  • @MpuyaMayunga
    @MpuyaMayunga 2 месяца назад +2

    Simba ni moja tu duniani

  • @FaridaMwamlima
    @FaridaMwamlima 3 месяца назад +9

    Nyieee simba bingwaaaa ubay ubwelaaa

    • @issajuma910
      @issajuma910 3 месяца назад

      Ubaya ubaya tuu sio ubwela

  • @KulwaRajabu-b6w
    @KulwaRajabu-b6w 24 дня назад +1

    I love simba❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @EsterBartazal
    @EsterBartazal 28 дней назад +3

    Simba yamoto tutawaua watu❤❤❤

  • @ibrahimalharthi4599
    @ibrahimalharthi4599 23 дня назад +6

    Simba 3 Tabora United 0. Yanga 1 Tabora United 3😂😂

  • @moizjohnston3841
    @moizjohnston3841 18 дней назад +4

    Na mm nimerudia baada ya Utopolo kupelekewa moto maana nilikua najiuliza kwa ubora Gani Tabora

  • @VinletTanzania
    @VinletTanzania 22 дня назад +2

    Simba yetu❤

  • @AthumanSeleman-zz3im
    @AthumanSeleman-zz3im 19 дней назад +1

    Safi 🎉🎉🎉🎉

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe 12 дней назад +3

    NYUMA MWIKO walimtuma Aziz Ki aje ausome mchezo na bado wakasosomolewa 😂😂😂😂

  • @ShaulinShaurikumi
    @ShaulinShaurikumi 3 месяца назад +6

    Jaman tusiwe na halak man time ndo inajijenga ko tutafurh 2😂😂😂😂

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 3 месяца назад +1

    GOLI 3 POENTS 3 AL HAMDULILLAH ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @ChristinaAloyce-pp6vj
    @ChristinaAloyce-pp6vj 10 дней назад +3

    Nimerudia leo baada uto kushenyentwa na nyuki wa Tabora

  • @EzraMwalame
    @EzraMwalame 3 месяца назад +2

    Azizi ki anafurahia simba

  • @nyondomwaulambia9593
    @nyondomwaulambia9593 3 месяца назад +11

    Hata Kama bado hiyo ndo Simba badae mutaijuwa tu simba.nyie tuachieni Simba yetu

  • @ibrahimalharthi4599
    @ibrahimalharthi4599 23 дня назад +4

    SImba 3 Tabora United 0. Yanga 1 Tabora Ynited 3😂😂😂

  • @yussufmohamed7437
    @yussufmohamed7437 22 дня назад +5

    Tusikanyagane bc hii mechi ishachezwa

  • @GreysonGodfrey-ox2vz
    @GreysonGodfrey-ox2vz 22 дня назад +5

    Kwaiyoo hawaa ndioo waliwafungaa yangaa ciooo 😂😂😂

  • @DanielMwamakula
    @DanielMwamakula 18 дней назад +4

    Mm najikuta narudia tu baada ya mobeto fc kupgwa na nyuki wa tabora bwn😂😂😂😂

  • @jacksonjackson4532
    @jacksonjackson4532 3 месяца назад +2

    Haya hapa Magoli yote ya Simba.
    Goli la kwanza 1:23
    Goli la pili 5:50
    Goli la tatu 7:00
    Hizi pia
    Azizi Ki Akitabasamu 3:24
    Msanii JB pia alikuepo 5:15
    Ahsanteee.

  • @richardmichael7523
    @richardmichael7523 3 месяца назад +1

    Jambo zuri sana kuona overlap za Zimbwe na Kapombe. Pangekuwa na VAR tungefunga mengi zaidi

  • @juliusevance
    @juliusevance 3 месяца назад +3

    Spider kamara

  • @Lastronin62
    @Lastronin62 3 месяца назад +1

    Ila hayo ya offside duh😢ila bado powa tu UBAYA UBWELA ❤❤

  • @Minjum-j5m
    @Minjum-j5m 3 месяца назад +1

    ALHMDHULILLAH❤

  • @aminajumashakombo8307
    @aminajumashakombo8307 3 месяца назад +3

    Mi ni mwana yanga ila all of all ❤

  • @MkungwaNgwarumbwa
    @MkungwaNgwarumbwa 3 месяца назад +1

    Hilo goli zuri la header mfungali afupishwe jina wanasimba tumwiteni Tinyo kwa msimu huu ubaya ubwela tunarudi kwenye himaya yetu 💞💞....

  • @MrTop-wj7no
    @MrTop-wj7no 23 дня назад +4

    Baada ya Nyuki hawa kuwatafuna wale jamaa 3 nikarudi huku kucheki tulivyowatafuna nyuki hao 3 pia daah😂😂😂😂

  • @AgnesNjau-iq3gf
    @AgnesNjau-iq3gf 22 дня назад +2

    Azizi ki na kwenda kuangalia kote mechi ya Simba na tabora Bado akakosa penalt

  • @juliusevance
    @juliusevance 3 месяца назад +4

    Simba yangu ,,,,,ila anacheza mpira talented Deborah disconnecter

  • @AbdallahKarata
    @AbdallahKarata 3 месяца назад +2

    Yes this is simbaa which we want it?god bless Simba sport club

  • @rehemakiula
    @rehemakiula 2 месяца назад

    Naipenda simb a sanaaAaa

  • @naimasbuguza2395
    @naimasbuguza2395 3 месяца назад +2

    Kiwanja Cha kmc kizur sannah na location nzr

  • @marchymaziku6234
    @marchymaziku6234 3 месяца назад +4

    Offside si offside na penye offside siyo offside hii Sheria ya offside bongo inawaumiza wachezaji wengi marefa wamekuwa wavivu sana kuitafsiri hii offside

    • @robinchristian3125
      @robinchristian3125 3 месяца назад

      Kwa uchezaji wa Simba kwa msimu watanyimwa si chini ya magoli kumi kwa ukilaza wa marefa wetu.

  • @AmaniKasekwa-uw8hp
    @AmaniKasekwa-uw8hp 3 месяца назад +1

    Simba nguvu moja

  • @mathematics-o4i
    @mathematics-o4i 3 месяца назад

    Simba nguvu moja❤

  • @DomitilaJeremiah
    @DomitilaJeremiah 3 месяца назад +3

    Simba mwamba

  • @GeorgeNikodemo
    @GeorgeNikodemo 19 дней назад +2

    Ilikua bonge lameche ila naji uliza vyura wali pigwa pigwaje😂😂

  • @jamesraphael9581
    @jamesraphael9581 3 месяца назад +2

    Akuna kitu kinani kera kama mpira ya kuwaka dakika 8 😢

  • @MFMinds
    @MFMinds 3 месяца назад +2

    Al ahli tripoli is waiting for you :D will be exciting games

    • @anthonymilinga8696
      @anthonymilinga8696 3 месяца назад +1

      Al Ahli tripoli doesn't have football that simba has, I'm sure simba will win that game home and away.

  • @CityBoy-r1h
    @CityBoy-r1h 3 месяца назад

    Nakubari

  • @saiddotto5496
    @saiddotto5496 Месяц назад +3

    Mnaweka dk chache mnoo ongezen muda azam

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 3 месяца назад +2

    ❤❤❤ SIMBA NGUVU MOJA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ UBAYA UBAYA UBWELA UBWELA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @MustaphaSwai
    @MustaphaSwai 3 месяца назад +1

    Simba,nguvu moja

  • @CyprianKinyala
    @CyprianKinyala 3 месяца назад +2

    Kiujumla tumeshinda ila Bado safu yetu ya Ushambuliaji haijakaa vzr

  • @MarthaBura-or8fe
    @MarthaBura-or8fe 3 месяца назад

    Chamalon Yuko happy hii simba ni ya mafanikio Simba nguvu Moja tuwape wachezaji wetu morali na siyo kuwaponda.timu hii ni mpya. Pamoja tutafika mbali

  • @AishaMussa-md6jq
    @AishaMussa-md6jq 19 дней назад +2

    utopolo walichonga sana lchaajabu wao wameshindwa nakulambishwa asali chupa 3 safi kabisa usimkatie mtu tamaaaa

  • @Irshad-h3r3w
    @Irshad-h3r3w 24 дня назад +3

    Simba damu niacheni

  • @AllyRAJABUNYEMBEKE-cb1fn
    @AllyRAJABUNYEMBEKE-cb1fn 3 месяца назад

    Kaz nzur

  • @rithadonatus8110
    @rithadonatus8110 3 месяца назад +1

    Mmmmmm😢😢😢😢

  • @Thekidp3702
    @Thekidp3702 3 месяца назад +4

    Tunaanza

    • @MUSSA-r8j
      @MUSSA-r8j 3 месяца назад +1

      waaambie hao

  • @harunigibson
    @harunigibson 2 месяца назад

    Ndiyo

  • @AshuraHamad-c2n
    @AshuraHamad-c2n 20 дней назад +1

    Hii mechi ilisha isha ila mimi bado nipo na iccheki kila siku

  • @charlesmahuna
    @charlesmahuna 3 месяца назад +5

    Nawachawi walowekewa nyuma mwiko wamekuja bila kuchamba

  • @Omarymussa-pg8ue
    @Omarymussa-pg8ue 3 месяца назад

    Unyama ni mwingii🎉

  • @ElnestJohn-nh6yy
    @ElnestJohn-nh6yy 3 месяца назад +3

    Kwasimba tunayoifahamu badosana

    • @Clyton593
      @Clyton593 3 месяца назад +1

      Upo sahihi lkn ndio tunapoelekea

  • @MkwizuMkufya
    @MkwizuMkufya 3 месяца назад

    💪💪💪

  • @stn4873
    @stn4873 3 месяца назад +1

    SGR inakimbia inatoka hadi kwenye reli😅😅

  • @LeilaIssah-d3v
    @LeilaIssah-d3v 3 месяца назад +3

    Tunaweza simbaa ila pasi za kuludisha nyuma zipunguzwe

  • @deogratiaspatrick913
    @deogratiaspatrick913 3 месяца назад +2

    Zingatieni muda wa highlighs, 4 min inatosha

  • @PauloDaudi-b1s
    @PauloDaudi-b1s 3 месяца назад +1

    Ipo tu

  • @dechemisttv5064
    @dechemisttv5064 3 месяца назад +6

    Simba yetu wachambuzi uchwala acheni ujinga

  • @BarakaOchuu
    @BarakaOchuu 3 месяца назад +1

    Simba timu la kichawi sana , kapombe na mzamiru wa nn

  • @REGISGUNNER001
    @REGISGUNNER001 3 месяца назад +3

    Kenya tutafika apa kweli

    • @africadrilltv
      @africadrilltv 3 месяца назад

      With time na organisation fiti tutafika tu

    • @REGISGUNNER001
      @REGISGUNNER001 3 месяца назад +1

      @@africadrilltv it will take time

  • @naimasbuguza2395
    @naimasbuguza2395 3 месяца назад

    Kuna tofauti kati ya mutale na saidoo... Mutale akidrible anaangalia chini ndio maana anaona unacheza Hadi nje ya uwanja akijua yupo ndani, LAKIN saidoo ananyanyua macho na nihatari sana langon

  • @mbundujilugu6030
    @mbundujilugu6030 3 месяца назад

    Sawa

  • @YusufuMakuri
    @YusufuMakuri День назад

    Simba iko Sawa na ikikamilika vema timu nyingine zitakuwa zinaikimbia. Tunaoombea mema yote

  • @AyubuLaizer-q6b
    @AyubuLaizer-q6b 3 месяца назад +2

    Hiii ni simba bwanaa

  • @eleneokaguo6867
    @eleneokaguo6867 3 месяца назад +2

    Tunaongoza ligi😅😅😅😅

  • @RamseykingGenius
    @RamseykingGenius 3 месяца назад

    Simba ni mbovu qumamake 😢😢😢❤❤😢😢

    • @skyleryung7555
      @skyleryung7555 3 месяца назад +1

      We ndo mbovu

    • @rukaiyakondo5265
      @rukaiyakondo5265 3 месяца назад

      mbov mwnyw, jinga san ww, Yan unaweka n mbz kbs ili utukane🚮

    • @ambwenenkini2900
      @ambwenenkini2900 3 месяца назад

      Wewe umepima afya kama na wewe mzima usikute wewe ndio mbovu kuliko simba mamae

    • @Fofo-z6t
      @Fofo-z6t 3 месяца назад

      ​@@ambwenenkini2900tena akapimwe na mkojo atuachie smba yetu mishabiki mingine bwana bure kabisa

    • @RamseykingGenius
      @RamseykingGenius 3 месяца назад

      @@ambwenenkini2900 🤪🤪

  • @MrTop-wj7no
    @MrTop-wj7no 3 месяца назад +1

    OffSide zimekua nyingi wangeweza kuji control wangefunga mabao mengi mnooo

  • @boxdad
    @boxdad 3 месяца назад +3

    Naiona Simba ikileta mabalaa mbeleni

  • @AllyRumela-cg2qu
    @AllyRumela-cg2qu 21 день назад +2

    Bado najiuliza awa 🐸🐸Fc walishenyetwa vip?

  • @sosomacharles9920
    @sosomacharles9920 3 месяца назад +2

    Mechi inayofuaya kolo anakalia.

  • @wilbard-vv9nx
    @wilbard-vv9nx 3 месяца назад

    🎉🎉🎉🎉

  • @JosephKimaro-u7d
    @JosephKimaro-u7d 3 месяца назад

    Hii ndo simba ya 2024_2025

  • @theresiamahuma2000
    @theresiamahuma2000 3 месяца назад

    Simba yetu

  • @neemaraphael8732
    @neemaraphael8732 3 месяца назад +1

    Ushauri kocha akae mukwala streak wetu ili amjenge sreka mzuri sana huyo

  • @leonard.N.Y
    @leonard.N.Y 3 месяца назад +2

    mechi ya simba na tabora video thumbnail unamuweka azizi ki hii ni professionalism kweli?

    • @mussamusa8027
      @mussamusa8027 3 месяца назад

      Yupo lakini jukwaani

    • @leonard.N.Y
      @leonard.N.Y 3 месяца назад

      @@mussamusa8027 ndio yupo lakin hii mechi haimuhusu yeye ni kama shabiki

  • @Samo_love
    @Samo_love 3 месяца назад +1

    Mimi nacho kiona kocha hana muda mrefu hapo simba .. mtaniambia mimi niko paleeee nawa subiri

  • @DoriceJohn-w8g
    @DoriceJohn-w8g 3 месяца назад

    Mwambieni awesu awesu anywe supu ntalipa🎉

  • @RhobiMwita-tl4kg
    @RhobiMwita-tl4kg 3 месяца назад +3

    Was hogeren Sana nyote

  • @CSMAPESA
    @CSMAPESA 3 месяца назад +6

    Ubaya umeanza unafatia ubwela

  • @CharlesWanyeche-er6rw
    @CharlesWanyeche-er6rw 22 дня назад +2

    Kimewaponz yanga aziz kutazama hii mechi😂😂

  • @AbisinaRashidi-c8d
    @AbisinaRashidi-c8d 21 день назад +1

    Ninekuja maada ya msichana wa jangwani kubakwa kinyume na maumbire ya nyuma mwiko kwao bao tatu na kupakwa asali

  • @leobusungu1230
    @leobusungu1230 3 месяца назад

    Bado simba tunajitafuta, tungetoka bao kuanzia sita na kuendelea, fowadi hatuna kabisa, pia wakuwalisha pia hakuna , Acha tuone Mungu ni mwema.

    • @AgnesJohn-f1r
      @AgnesJohn-f1r 3 месяца назад

      Mshukru Mungu kwa Kila jambo

  • @victorcephas3618
    @victorcephas3618 22 дня назад +1

    The same team imepigwa tatu ikampiga utopolo tatu

  • @brayanhogohogo
    @brayanhogohogo 3 месяца назад

    Wakwanza kutoka nchi ya kutombana🇲🇰🇲🇰🇲🇰🇲🇰

  • @thadeusmarkiminja2282
    @thadeusmarkiminja2282 3 месяца назад +1

    Siidharau T.U lakini timu kubwa ilitakiwa itoke na 5 au zaidi .Tulieniii

  • @EzraMwalame
    @EzraMwalame 3 месяца назад +2

    Mbna namuona aziz ki

  • @AmisiMaenge
    @AmisiMaenge 3 месяца назад

    Nimefuhi saan

  • @YusuphBupamba
    @YusuphBupamba 3 месяца назад

    Mnajisahau xana

  • @StadiAbdul
    @StadiAbdul 3 месяца назад

    ❤❤❤❤ubaya ubwera

  • @Dadu-i6v
    @Dadu-i6v 3 месяца назад

    Yanga naona ni wazuri zaidi

  • @ansarradjabu2726
    @ansarradjabu2726 3 месяца назад +2

    😅