Matumizi sahihi ya mbolea katika zao la mahindi../ Utapenda !!! Mbolea za kupandia na Kukuzia

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 ноя 2024
  • CONTACT US
    EMAIL: RUBABAIMANI@GMAIL.COM
    PHONE: +255(0) 764148221
    SUBSCRIBE KUJIFUNZA MENGI ZAIDI

Комментарии • 17

  • @yusuphjulius1638
    @yusuphjulius1638 2 года назад +2

    Je ukitumia mbolea ya samadi ya ng'ombe kuna sababu ya kuweka tena mbolea za kiwandan?

    • @RubabaTv
      @RubabaTv  2 года назад +1

      Inategemea na ardhi yako.
      Wasiliana nasi kwa ushauri zaidi 0764148221

  • @OnesmoSabinii-xm2dz
    @OnesmoSabinii-xm2dz Год назад

    Habar kaka ety NPS nimbolea ambayo inatumika baada ya mbolea gani kuwekwa kwenye mahindi

    • @RubabaTv
      @RubabaTv  Год назад +1

      Wasiliana nasi kwa usaidizi zaidi 0764 148 221

  • @eliachungwa7672
    @eliachungwa7672 2 года назад

    Hujui unacho kiongea

  • @mngulangwa
    @mngulangwa 3 года назад +1

    Bro rekebisha sauti ya mic yako. unasomo zuri ila sauti inaharibu somo lako unalotoa

    • @RubabaTv
      @RubabaTv  3 года назад

      Asante
      Kwa Sasa tumeboresha zaid

  • @yeremiahngonyani6212
    @yeremiahngonyani6212 Год назад

    Hamnakitu hapa kumaliza emb

  • @brudatv3539
    @brudatv3539 Год назад

    Ni baada mda gani unaweka mbolea ukishapanda mahind

  • @florencempinga7692
    @florencempinga7692 Год назад

    Kama nimeweka mbolea ya kupandia dapu baada ya wiki 4 nitakuwa nimechelewa kuweka mbolea ya kukuzia au hapo inakuwaje naweka mbolea gani
    Mimi nilimeweka mbolea ya kupandia tu ya kukuzia sikuwa najua muda wakuweka

  • @rajumisomia1841
    @rajumisomia1841 2 года назад

    Natumiaje mbolea samadi pekee mpaka kuvuna?

    • @petermaniche1009
      @petermaniche1009 Год назад

      Weka kabla hujalima,.. then lima kuichanganya na udongo ukitumia tractor

  • @phatackbatange4988
    @phatackbatange4988 3 года назад +1

    Ekari m2 -10000,ekari m2- 4000, minjingu mifuko 2 kwa ekari,mfuko 1na nusu kwa Shanna lenye ukubwa wa ekari, ???? Unatuchanganya