Kwa kutulidhisha ungechagua tu ALIKIBA BROTHER😂😂😂 Mbona kwa billnass vs janjaro wote ni wanao ila umechagua janjaro just kwa kuturidhisha tu? au ndo tuseme pale kwa Kiba Vs Mondi ni PAGUMU SANA KAMA ULIVYO TANGULIA KUSEMA?😆😆🤔🤔
Kwa wale wapenzi wetu wanaopenda ku angalia the Story Book hii ndio account mpya ya the story book basi fanya ku subscribe video tunapost kila ijumaa asanteni
Hongera saana barnaba umefanya vizuri kwa Diamond na Ali hukutaka kumchagua mtu
Ila barnaba nimekuelewa vizuri sana unaakili za kujiongezea. Nakukubal sana ingawa mm ni team mond.
Nimepanda sana barnaba alivyo goma kwa Simba na kiba
Hahaha mi sijibu, hvyo vchwa viwili vyaheshimika diamond na alikiba ni 🔥🔥
Nakukubar sana
Nmekuwa wa kwanza nipeni like zangu kabla sijawafokea😂😂nimependa apo kwa kiba na mond umetia mgomo kuchagua atari
Hata Mim amenifurahisha
Mi pia kanikosha
😂😂😂😂😂ameshinda kujibu
@@opk3943 😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
Jaman japo nimechelewa kdgo Barnaba katisha, Naombeni likes zenuu 🙏
Barnaba wakwake alimchagua kimoyomoyo angemtoa hadharani ingekuwa mbaya sana kwa mashabiki asante kaka ukutaka ugomvi
Umefanya vizuri sana kutochagua kati ya kiba na mond wangepata pakusemea
Nimecheka sana alivogoma kuchagua Simba Na King
Hii inaonesha ni jinsi Barnaba n mtu wa watu coz maswal meng kwake yalikuwa na uzto hakuwa na wepec wa kuchagua haraka.Saluut kwako we love you bro
❤️
Barnaba nimekupenda bure kwakugoma dai na ally wasikuchonganishe babaaa
Sana kaka barnab upo vzuri kabsa apo kwa Alikiba na Diamond🙌🙌💯💯👊⚡⚡⚡
Alikiba hana mbwembwe lakini level yake haishuki...angekua nazo Mond angekosa usingizi
Kwa lipi
Mbn mnataka tuwafokee.........mumpe nafac mtu (Simba baba Laoooo)
Nikweli
Umeongea....point
Kaulizwa barnaba we nan unajibu
Umejibu kwa akili ,love you Barnaba 😍
ÂeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeéWhy
Diamond vs alikiba sijibu✋🙈🙈🙈🏃🏃
Huwa na puuzia hichi kipindi kumbe kitamu du😂naomba msinifokee
Yan na mimi ndo first time nakiangalia
Nakipenda jamani
Ustutetemesheeee
@@partnersah8802 ⁹⁹⁹⁹
#barnaba boy kagoma mzee baba unahekima kwakweli duh mbaka umeeleweka upo vizuri sanaaa
Hii kitu itajenga chuki na watu, sio nzuri kabisa. Niuchonganishi
Kweli kabisa
Barnaba ungekomaaaaaa🤣🤣🔥
Ali
Ali
Ali
Ali
Nimejibu mm Alikiba
Nakubali barnaba uko vzl kweli wange kuchonganisha
WEKENE SOUND TRANK KWA CHINI ...KIPINDI KINAPOAAA----BUT HATUA NZURII
Hahahah mbona kwa mond na kiba umekataa kujibu
Kati ya kiba na mond mi naenda kwa kìbawise mondi atulie
Mm mondi
Mondi
Kiba
Uko sawa ata mm ningegoma ao jamaa wachonganish sana
Haha hatari sana hapo kwa Mond Ali
Nimependa sana braza
Leo ndiyo nimekuona barnaba
Una akili nyingi sana sana upo vzl
Kwenye D vs A ulikuw makin sana
Barnaba umefanya kitu kwa diamond na alli kiba real nmekipenda Sana
Umetisha Barnaba, wangekuchonganisha.
Wewe umetisha sn kweli hongera sn barinaba
He is very smart amejibu kisiyasa sana
Akili mingi Sana Barnabas Lukas
Yaani nimecheka sana king na mond
Umewakomesha kak nakupendaga htr 😂😂
Mwasit imesha hiyo
Kwa mond na kiba 😁😁pomoto harmonz unakazi kaka😂😂
Sio kidogo
Harmonize hawezi kuuzima mziki wa mondi na kiba hataweza
Umeonaeeenh!!hhhh wacha nikupe like👍
Umetisha Barnabas boy
Kwa mond na kiba daaaah sijawah ona skip ila barnaba kakaza
No comments
🤣🤣🤣Mond vs Kiba hii ni hatar sana
Umefanya vizuri sanaaa
Daaaaa we mwamba kaka kizazi sana
Kwa kutulidhisha ungechagua tu ALIKIBA BROTHER😂😂😂 Mbona kwa billnass vs janjaro wote ni wanao ila umechagua janjaro just kwa kuturidhisha tu? au ndo tuseme pale kwa Kiba Vs Mondi ni PAGUMU SANA KAMA ULIVYO TANGULIA KUSEMA?😆😆🤔🤔
🤣🤣🤣Apo pa moto nakukubali Sana bboy maana ungeshambuliwa Leo wewe so kwa Wana dsm hawaaa
This guy is real man
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 nomaaaaa sanaaaa
Nampenda kwa kila k2
hapo kaogopa mafanikio chagua mmoja acha mwengine upate tabu
Wow so beautiful and lovely ❤️❤️❤️❤️💯
Ii nimeipenda barnaba kagoma
nabaaaa uk sawaaa
Upo vzr sana barnaba...
Huyu ni team mfalume king kiba
🤣🤣🤣🤣✌️Barnabas leo umecheza Kama ww
Hii channel ni ya kichonganish wallah😌😌
Barnaba ungechangua kati ya mond na kiba ungeacha breaking news ‘’BARNABA KAMPIGA CHINI KIBA MBELE YA MONDI’’ hahah
Nimeipenda😘😘😘😘😘
Unaakiki sana kaka uo good
Kasema Alikiba ni mwanangu sana miyeyusho sana yaani kamchagua live
Eeeeeenh!!! Sijibu wote wanangu mtanisamehe nimesema sijibu.Hahahahahh
Bora hajajibu nimependa mm aliacha kam lulivyo safiiii sana nimependa mno
Nimecheka Kam mjnga
😁😁😁😁
Noma sana
Barnaba ungejbu tu hilo la kiba na mondi tungekuweka kwenye mabano bora ulivyolikwepa,🤣🤣🤣
Ukitaka kujuwa barnaba kamchaguwa nani kimoyo moyo, hebu angalia vizuri kwenye macho yake ni pic ipi anaivizia sana
Anampenda kiba 😄😄
@@nasibupascal1889 kweli
Hhhhhh
Kiba
Ditto na amin wote brother hahahaha
Mzee kaona mashabiki wa Diomond na Alikiba wanaweza kumuhaki akichangu mtu😂😂
🤣🤣🤣ukweli ataoga matusi wananzengo wanasubiri
🤣🤣🤣hii sijibu yan sijibu😂😂zmeni screen🤣🤣💯💯
Barnaba akili nyingi broo,,,, ni jokes but inasababu nyuma yake if you choose one,,,, huu uhasimu tumwachie Mungu tu
Jamaaa anamaakili sana
MAFANIKIO:-
Fanya mambo haya matano (5) kabla hujaingia mwaka 2021👇👇
www.mrbunduki.com/2020/12/fanya-mambo-matano-5-kabla-hujaingia.html?m=1#more
Kwa wale wapenzi wetu wanaopenda ku angalia the Story Book hii ndio account mpya ya the story book basi fanya ku subscribe video tunapost kila ijumaa asanteni
Nampenda barnaba sana
Barnaba daah
Sisi wabongo wanafiki sana😮
Haha wowo inamata... lakin kwa wale wenye matumizi
Eti sijibuu umenifrahisha
Uko sawa
Nimecheka😂😂😂😂🤣🚹🚹, ..et walllah sijibu😂😂😂
Wowoo wakt girlfriend wake ana
Kiba atulie twende na mond
Weng tupo kwa mond na barnaba boy nae yup kwa mond
Tumekusamehe coz wao n kings wote hhhh
Maamzi mazuri
Hahaha nimekupenda xana
hik kipindi kizur lkn kwa mtu asie elew anawez kufikiria vibay mchezo wa uchonganishi huo
Haya bana
Kimsingi yeye sio rafiki wa alikiba wa diamond, changamoto ilikuwa ni huko insta kwa mashabiki wa msanii aliyem cancel, wangem CANCEL pia
Unaweza jikuta kwenye wakati mgumu bora kawa kimya 😂😂
Hahahaaa
Katumiaaaa akili saanaa mi ni team mond angechagua kiba nilikuwa na muunfollow na yeye
🤣🤣🤣🤣🤣
@@chawalive hata mimi angepita na mondi afanaleki ningemu unfollow huko Instagram harakatu bila kuwaza bora kaweka ndita , #kiba4life
King ft simba ndiyo habari ya mjini
❤✔️
Kwa jux umetisha
UMEFANYA POAH SANA BRO UMEBALANCE 😃😃 NIMEKUKUBALI #BARNABA
Anampenda mondiii ila akutakaaa tuu
Akili mingi Sana barnabas
Unaupendo sana
😅😅😅😅😅sijibu msinitetemesheee ase,, kama laizer anatoa jiwe mgodini ase
Safi sana
Uchebe achia hapo😂😂😂😂
Wowowo
🤣🤣🤣🤣🤣🤣hapo kwa mondi na kiba
Kali
Wee mnafiki tu..yaan wee msanii wa clouds ushindwe kuchagua kat ya kiba na mondi..mbn kwngne umechagua ..
mbona mi naona pa kawaida tu..
alikiba he's best..
Kawaida kwako
Kwendraaaa