La msingi waandishi wa habari wamekosa ethics na huyu jamaa anajuwa anachokifanya hata majawabu yake katika interviews hazina ubaguzi wala uchochezi. waandishi wa habari wanapotumia chombo hichi vbaya madhara yake huwa makubwa na yanapotokea wao kwa kweli hukaa mbali sana. Jamiii sasa iamke kuwatambua waandishi wa habari wenye ethics na wale wasio na ethics.
Alikiba nakupenda San majibu yako king upewe ulinzi wakutosha ❤❤❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
❤❤❤❤❤❤❤❤
Hapo kwa zuchu nimependa jibu lako👍
Leo ndo nimeamini wanaogombanishaga wasani ni ninyi waandishi wa habari yaani maswali yote yanayoulizwa nia kichochezi tu na ugombanishi . So sad
Wajinga sana hawa wadishi
Uko sahihi kaka
Hawa watu wote wako kwa biashara elewa ivo wasanii nawaandishi wote wanatafta mashabiki ili kuimarisha biashara na kazi zao
Waandishi wa wabongo wanapenda umbeya hawana jipya
Umesikiliza kama mimi, nimeamini hilo pia. Maswali ya uchochezi. Wnaacha maswali ya msingi....😂😂😂😂
Nimerudia alivyojibu kuhusu zuchu, Ali kiba is the best❤❤
It is the Yell for me🎉kuonesha kwamba huyo dada amehisi raha sana kumhoji Ali King ❤❤❤tangu enzi za Nakshi Mrembo Kiba ni Fire🔥🔥🔥😍
Hayo ndio majibu ya mtu mwenye akili .bila kejeli tena alikiba anajuwa kuzibiti maswali ya wandishi .Safi sana Ali K
zuchu namuheshimu sana.. that is nice👊
nimeikubali hii ya zuchu kwamba unamweshim hutaongea chochote kumhusu i appreciate you king ki
I like this dude he's so humble...mungu akulinde bro
huyu anawivu sana
Hilo jibu la kiba linafurahisha sana jamani. Na nyie waandishi mungu anawaona😂😂😂😂😂❤❤❤❤
Huyo dada sijui wa media gani ana sauti nzuri MashaAllah
Umeongea vizuri, ni waandishi Tu wanakuza Mambo,,,,,
Heshima yako vidooooooo🔥🔥🔥
Asante sana
Uyo ndio king ilove you kiba❤❤❤
King king nakukubali sana
Kiba Ndimu😄
You're so mature kiba I wish ungeenda tu ,because you're the 🤴 king
Dah! Alikiba ana busara sana ,, wanajaribu kumgombanisha anaruka na Hana wasiwasi anavyojibu ase
Yani kiba kupndeza huwa ni vigum kwake
Nakupenda san king mwenyez mungu akuongozee
Waiting
Yaaaan maswal yoote ni wasafi kwan hamnaga maambo mengine ya kuuliza 😂😂😂😂
King
Jamani mond akusema vibaya mbona mnakuwa ivyo
Kiba ukimheshimu nae ana kuheshimu
❤❤❤❤
Nakupendea hapo tu bro
King 🤴 👏👏
Yani nimependa alikiba jameni ❤
"Thanks king,we love you bro" ✍️👏✔️
Kiba unanibamba leo❤❤
Alikiba ana akili sana.
Anajibu kikubwa@Bif up King
safi broo alikiba ilanatamani ufanye corabo na diamond nitapenda
Alikiba ni mtu na nusu ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Alikiba nimoto namkubali Sana
jamaaa ana zarau sana
Kaka umekuja ku support au kuonesha una support.
Okay
King 👑 saluti kwako
Hapa kwenye kolaba kajibu vizuri 😅
Vile amesema Niko busy 👍👍👍👍👍👍👍
Nice
King 🙌🏻❤
Keeling huyu ni King eti acha ujinga ww kitajiri flaaani hivi I love that
Hi
Kaka umejibu vzr sanaaaa
Ila kiba hua anazarau sana majibu yake tu jibu tosha
Anajibu hivyo kwasababu wanamuuliz maswali ya kichonganishi. Hata ningekua mm Tena hapo ni kawajibu very wisely
dude got brains!!!
King kiba nimeipenda hyo zuchu namuheshim sana..umeonesha uwanaume...mwanaume hashindan na mtt wa kike....jamn..nimekaelew hako
💪💪💪❤️❤️❤️
Aisee umekomaa aka akili yako imepevuka sanaa.keep it up.umejibu kila kitu kikubwaaa😂😂😂😂
Safiiiii unajibiwa kama unavyoulizwa...hakuna kupindapinda..king
Uyu naye ndo maneno gani eti debe tupu😅😅
Ila alikiba daaah
The real king👑🇰🇪
❤
King ni king tu 👏 👏 👏
good
King kama king ❤❤❤
Akili za hawa waandishi zina sensor kuliko hizo mic 😂😂😂
Kwa jinsi Ali Kiba alivyo muongelea Zuchu inaonesha ni jinsi gani ana heshima na wanawake we like kama umeona kama mm
The king himself 😍😍😍😘😘
Niko bize na shughuli zangu 👏
❤❤❤
❤❤❤❤
Mimi ni Team Mond lkn nampenda sana King Kiba anaakili mno
Ila kiba,et debe tupu😂😂😂😂😂😂
Sasa Mimi napenda Ali kiba wa ivi yupo sawa kabisa
Hii imeenda
Kaka nakupenda San nafulah kusikia mamanen yak hay kuhus huy ndg yet
Yebaba 🔥
Mmmh king hatoboi kimataifa🤣🤣
Roho mbaya sanaa mshikaji uko busy acha Roho mbaya amna usanii wa ivoo
Yaap yaap❤❤❤
Ukiskia msanii mkubwa ndio huyo hana kelele za kubishana na kina zuchu yani Dah nakukubali sana kiba
😂😂😂😂😂Na hiyo kofia ya kapelo
Muongo
@@queenmollel6739😂😂😂😂nimejua kucheka wewe
Nakupenda sana kwa majib mazur umeonesha upendo mkubwa
Vido mbea jamani
Naitaji saport zenu
Big up king 🤴 Achana na wanazi kina mama hao pambana mzee ✌️
Nynyi wahandishi wa bongo viazi Amna maswali ya maana kumuliza kifupi amjielewi
Alikiba hana mbamba mba sema w Vido vidox unatafta ugomvi
Ehhhh...Waandishi wa habari jamani,mbona wagombanishi Sana🙌🙌🙌
Mm ndomana NAMPENDA KIBA SAABAB MUELLEWA NA MSTAARAB
Njoo utumbuize kwenye show
King kafanana na air tz Manula
😅😅😅😅😅😅😅😅😅 Alikiba bhana
Kwa mr blue hajenda kuma tu uyo
Alikiba akir kotentena nguvu kisoda nakukubali kinomanoma huna mkuu bro🙏🙏
King kiba
Yeye siyomtu wakubaliki NYIMBO 😂😂 Kiba bhn
Nakupenda kiba uyo zuchu tumuace njisi alivyo hhhhhhhh
Duh waandishi wa habari wallah😂 kiba et sasa mm ndo niwabariki tena🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Pumba
Kazee kazima ovyoo kanaroho mbaya sana toka muujana wake🤣🤣
good sanah broo
Waoooo nimependa sana😃😃😃
worry out
waandishi wa media ndoo mnaforce bfu za wasanii ziendelee
ALIKIBA NI MTU NAUGUA WIVU YAANI ANMUONEA DIAMOND WIVU vile amefanya mambo mengi ambayo yeye hajafanya NAWIVU SANA
Mwambaaaa hakose majibu yake ❤❤❤❤
Ce achanté vraiment,
Wajiga sana wandishi yani wanamufosi mu2 alopoke 2 mamb wapate cha kusema
Alikiba ni msanii wa kuigwa
Mdada una sayti nzuri ila code mixing na code switching zife hizo utafika mbali
La msingi waandishi wa habari wamekosa ethics na huyu jamaa anajuwa anachokifanya hata majawabu yake katika interviews hazina ubaguzi wala uchochezi. waandishi wa habari wanapotumia chombo hichi vbaya madhara yake huwa makubwa na yanapotokea wao kwa kweli hukaa mbali sana. Jamiii sasa iamke kuwatambua waandishi wa habari wenye ethics na wale wasio na ethics.