Kweli aiseee Tz tunatukanwa sana ata uku nchi za watu eti (Tanzania is poor )kudadeki roho inauma nikisikia kauli iyo uwiii. Wakati tuna kila kitu cha kufanya uchumi ukakua .
Huyu nae cjui wa wapi wananchi tunataka tujue hizo ndege zinaponunuliwa bunge linakuwa limepitisha bajeti? Sio kila kitu mh rais amefanya!. Huoni kama anavunja sheria na katiba ya nchi, msituaminishe kuwa ccm wote akili fupi.
kwa kuongea wewe hujambo,fuatilia utekelezaji siyo kujikombakomba kwa rais kutafuta kikk,tunataka Mkuranga yenye jina kama enzi ya Malima,aliipaisha Mkuranga kwa mengi,kweli mkataa pema pabaya panamwita.
upo sawa mbungevwangu ulega
Kweli aiseee Tz tunatukanwa sana ata uku nchi za watu eti (Tanzania is poor )kudadeki roho inauma nikisikia kauli iyo uwiii. Wakati tuna kila kitu cha kufanya uchumi ukakua .
👏👏👏👍👍
nakuamin sana shujaa nape pga kaz achana na wapga kelele
huyu jamaa hawezi kukosa ubunge. coz anaongelea matatizo ya jimbo lake... na anayajua vizuri
Emmanuel Jbirage
sports
Huyu nae cjui wa wapi wananchi tunataka tujue hizo ndege zinaponunuliwa bunge linakuwa limepitisha bajeti? Sio kila kitu mh rais amefanya!. Huoni kama anavunja sheria na katiba ya nchi, msituaminishe kuwa ccm wote akili fupi.
Mikutano ya kisiasa binafsi staki kuiskia,tuteteeni humo humo bungeni mikutano mtaikuta wakati wa kampeni.
linda kazi usije kukosa kula
Tunataka wabunge wanaoangalia matatizo ya majimbo yao porojo hatutaki
Mwanaume wa mkuranga huyo
profesa wapi pumba tuuu
kwa kuongea wewe hujambo,fuatilia utekelezaji siyo kujikombakomba kwa rais kutafuta kikk,tunataka Mkuranga yenye jina kama enzi ya Malima,aliipaisha Mkuranga kwa mengi,kweli mkataa pema pabaya panamwita.
kanye
mxyuuuuuu😏😏😏
Jembe wa mkuranga.