Nyimbo yangu ya kila siku kila dakika 2024 mko wapi najishi niko mbinguni aki huu wimbo😢😢unifanya nikaripie mungu wangu kila saa vya dunia ni ovyo tu yesu ndiye njia tu ooo hallelujah stay blessed forever brother keep the fire burning
Kwa Yesu raha sana nakushauli wewe ambaye bado hujaingia kwenye lango hili njooo upesi uwingiye bado neema ipo karibu sana Mungu akuinuwe zaidi mtumishi
I woke up this song singing in my heart. I remember the testimony of nyisak nchaula from Tanzania,, who saw a large, beautiful door in heaven, and when she came back, she said"nilikumbuka mwimbaji mmoja aliyeimba" liko lango moja wazi". kumbe ni kweli hili lango lipo mbinguni!!!
Mungu ni mwema alitukomboa kwa kumtoa Mwanae Yesu Kristo ili atukomboe kutoka ktk nguvu za giza na kisha kutuhamishia kwenye Ufalme wake tusemi nin Bwana Bali tunashukuru kwa jinsi Pendo lako lilivyo Kuu Ujitwalie Sifa na Utukufu Ee Mungu Ufalme wako uje Utawale Milele na Milele
Lango ndie YESU BWANA wote tuingie kwake 🙏nahis kubarikiwa nahis uwepo wa MUNGU eee Mwenyez MUNGU utujalie waja wako tukujue wewe na kutenda yaliyo mema 🙏Amen
Tukipita lango hili tutatua mizigo tuliyochukua kwanza na tutavikwa uzima haleluya....napata faraja sana kupitia tenzi hii ubarikiwe sana mtumishi Wa mungu na uinuliwe kwa viwango vingine
Wow I can't explain how I feel ..when I hear this song..Hallelujah 👐👌👌❤Lango ndiye yesu Bwana wote waingie kwake lango..........niwazi Amen Amen..May God bless u abundantly!
nyimbo hiz nazitafuta hatimae leo nimebahatisha asante sana kaka kwa wimbo mzuri lango ni mojaa tuuu tena la rehema kila mtu anapita tena kwa majonzi lango hil lazim upite ili kutua mzigo mzito amen
Omba mguu akuchukuwe ..we ear lying our selves .. truly ...James changole ..Judy moi ... Emmanuel Kipkoech ..kiprop ...mumanyi u are blessed u have a God heart ...But people will mistake you humans leave in deception ...Find God ..This song is the real true ... Muslims ..china ..all people all over the world will confess Jesus is the one ..
1. Liko lango moja Wazi,Ni lango la Mbinguni, Na wote Waingiao Watapata nafasi. Lango ndiye Yesu Bwana Wote Waingie Kwake, Lango! LangoLa Mbinguni ni wazi. 2. Yesu ndiye lango hili,hata sasa ni wazi, Kwa wakubwa na wadogo, Tajiri na maskini. 3. Hii ni lango la raha, Ni lango la rehema, Kila mtu apitayeHana majonzi tena. 4. Tukipita lango hili Tutatua mizigo Tulichukua kwanza Tutavikwa uzima 5. Hima ndugu Tuingie lango halijafungwa likifungwa mara moja halitafunguliwa.
Very Powerful, Let's surely enter Now while that very Door is still Open, the Great Day of the Lord is the Day of Shutting the Door. Be Blessed of God Please. THE MESSIAH IS COMING
nyimbo hizi nikizisikiliza najihisi kumuona mungu, km na wewe zinakubariki fanya kulike ili twende pamoja
Hakika
kweli nyimbo ni nzuri sana
Yasinta David hata mimi limenigusa
Yasinta David nnabarikiwa sana moyoni mwangu
Yasinta David nazama kweli
Nyimbo yangu ya kila siku kila dakika 2024 mko wapi najishi niko mbinguni aki huu wimbo😢😢unifanya nikaripie mungu wangu kila saa vya dunia ni ovyo tu yesu ndiye njia tu ooo hallelujah stay blessed forever brother keep the fire burning
My brother be blessed,how many are blessed by this song like me🙋
Thanks. To God be the Glory
Kwa Yesu raha sana nakushauli wewe ambaye bado hujaingia kwenye lango hili njooo upesi uwingiye bado neema ipo karibu sana Mungu akuinuwe zaidi mtumishi
I woke up this song singing in my heart. I remember the testimony of nyisak nchaula from Tanzania,, who saw a large, beautiful door in heaven, and when she came back, she said"nilikumbuka mwimbaji mmoja aliyeimba" liko lango moja wazi". kumbe ni kweli hili lango lipo mbinguni!!!
Napenda hizi nyimbo sana kwa ajili zanibariki ninapozisikiliza naomba unitumie via whatsapp tel no. 0768223296 na nitashukuru
Nzur sana hizi nyimbo,,, zimebadilisha maisha yangu sana sana,,,nitumie WhatsApp kwa namba 0765014339
Bukard chares from igunga whatsup no 782732798
Hakika hizi nyimbo ni nzuri ajabu
Amen
Lango ni moja tu aki huu umenifanya kumjua mungu na kubarikiwa sana
Kweli Mungu uabudiwe milele
Hakuna lango lingine zaidi la hili tunaloliamini la mbinguni haleluya
Ubarikiwe sana muimbaji
Nabalikiwa sana
Kumbe hata baba angu yupo mbunguni maana naamini alipita lango .... limpasalo RIP dady najua uko mbunguni in jesus name😭😭🙏
Amina pole dea
😭😭😭😭😭
Mungu ni mwema alitukomboa kwa kumtoa Mwanae Yesu Kristo ili atukomboe kutoka ktk nguvu za giza na kisha kutuhamishia kwenye Ufalme wake tusemi nin Bwana Bali tunashukuru kwa jinsi Pendo lako lilivyo Kuu Ujitwalie Sifa na Utukufu Ee Mungu Ufalme wako uje Utawale Milele na Milele
Lango ndie YESU BWANA wote tuingie kwake 🙏nahis kubarikiwa nahis uwepo wa MUNGU eee Mwenyez MUNGU utujalie waja wako tukujue wewe na kutenda yaliyo mema 🙏Amen
Thank you my lord for everything 🙏 🙌 l love these songs of praise the almighty god .May god bless you all choirs🎉🎉🎉
Ubarikiwe Sana yani Hakuna siku inapita sijasikiliza uimbaji wako
Barikiwa sana,, napenda huu wimbo Wanifanya kama naweza pawa juu mbinguni
Kweli lango la mbinguni li wazi.thz songs conforts me through thz hard tym of covid 19
Ahsante kwa ujumbe mzuri ubarikiwe katika kazi ya bwana
I thank God for His servant for the work He has laid before them actually this songs are blessings to me, may God continue using you people
Tukipita lango hili tutatua mizigo tuliyochukua kwanza na tutavikwa uzima haleluya....napata faraja sana kupitia tenzi hii ubarikiwe sana mtumishi Wa mungu na uinuliwe kwa viwango vingine
Huu wimbo huwa naupenda sana hata akiimba ambeye hajui kuimba ntacheza na kuimbanaye
Dinu Zeno but naitaji audio nijaribu kuitafuta nafeli
Nipo shinyanga
🙏🙏🙏🙏
🙏🙏🙏🙏
Me huwa naskia kulia halafu naogopa kufa
Here in 2024. Woke up with it in my Spirit. On loop. Feeling blessed🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
DINU ZENO, liko lango moja wazi brother nalo ni YESU KRISTO wate waingie kwake, this is so powerful. Amen
When I listen to this song...najikotana kua karibu na Mfalme wetu Yesu Kristo...Amen
namkumbuka mama mzazi. alikuwa akiniimbia. 2004 Mungu akamchukua ningali mdogo. mpaka Leo natafakari nyimbo alizokuwa akiniimbia
Pole sana
Asante sana Gladness
Uko vizuri my friend
l hardly listen to gospel music, but l trembled across this beautiful song, thanks for uplifting my spirit when l am down
To God be the glory
vyema
Amina ubarikiwe sana
liko lango moja wazi nalo ni YESU KRISTO wate waingie kwake, this is so powerful. Amen
Who's with me here 2020 till Jesus Christ come back
Am here
We are together
Even me am with you
Haleluya
Me
Du nmeanz sabato vizuri wimbo mzuri sana tena sanaaaa🇹🇿apa
My childhood friend has just passed and am dedicating this song to her rest in peace diano chepoisho
Let God be with you
@@DinuZeno iam humbled
Wimbo mzuri lakini hata wewe mtumishi umeutendea haki kabisa, ujumbe mzuri pia
Wow I can't explain how I feel ..when I hear this song..Hallelujah 👐👌👌❤Lango ndiye yesu Bwana wote waingie kwake lango..........niwazi Amen Amen..May God bless u abundantly!
Lango ni Yesu kristo.
Amina
Nimebalikiwa na na lango mungu akuzidishie huduma hii kutupatia
Ameeeen Tunamuamini Mungu atatenda maaana nyimbo za tenzi ni adimu mno......tukiona hivi kama wewe umeguswa kuimba tunafurahi kwa kweli ubarikiwe mno
Mungu akubariki
I'm always here. Good singing, Nazipenda nyimbo za injili sana. Mungu akubariki sana na tenzi za rohoni. Ahsante sana
Asante sana na Bwana ni mwema
A good song that makes to focus on Jesus because He is the only way....Nashukuru sana kuisikia wimbo huu
Mungu ameweka kitu kikubwa moyon mwako kwa sababu hiyo kuwa imara sana na uwe na bidii ktk yesu
Ahsante sana kwa wimbo mzuri hizi nyimbo nazitafutaga naomba uniunge Kwenye group lako
Kweli ata mimi naomba
Nabarikiwa Sana kupitia wimbo huu mungu atupe neema na rehema.
Amen mbarikiwe Sana watumishi wa Yesu, Mungu naomba lango labinguni na mimi niingia Yesu 🙏🙏🙏
Mungu ni mwema
Dinu Zeno amen 🙏
@@rhinaregina5806 no one
nyimbo nzuri sana zanibariki
nyimbo hiz nazitafuta hatimae leo nimebahatisha asante sana kaka kwa wimbo mzuri lango ni mojaa tuuu tena la rehema kila mtu anapita tena kwa majonzi lango hil lazim upite ili kutua mzigo mzito amen
Ubarikiwe Kaka,nahitaji CD yako
nyimbo nzri sana
sante san nyimbo nzuri
zainabu yasin wrote waingie kwake hBagui yesu
wimbo huu ndg unanigusa sana tena mungu kweli akuongoze pale unapo fanya kazi yake..
Barikiwa Mtumishi..Napenda nyimbo za tenzi sana
Bwana ni mwema
Nyimbo zako zanibariki sana,God bless you mchungaji
Amen.
Karibu whatsapp 0625954315
Betty Khasandi
nice
AMENI
Barikiwa sana mtumishi pia wimbo umenibariki Sana
A real encouragement to those who have fallen into despair the door is still open. The Lord bless you Sir
Amen and you too man of God
Mamkubali
Omba mguu akuchukuwe ..we ear lying our selves .. truly ...James changole ..Judy moi ... Emmanuel Kipkoech ..kiprop ...mumanyi u are blessed u have a God heart ...But people will mistake you humans leave in deception ...Find God ..This song is the real true ... Muslims ..china ..all people all over the world will confess Jesus is the one ..
1. Liko lango moja Wazi,Ni lango la Mbinguni,
Na wote Waingiao Watapata nafasi.
Lango ndiye Yesu Bwana Wote Waingie Kwake,
Lango! LangoLa Mbinguni ni wazi.
2. Yesu ndiye lango hili,hata sasa ni wazi, Kwa
wakubwa na wadogo, Tajiri na maskini.
3. Hii ni lango la raha, Ni lango la rehema,
Kila mtu apitayeHana majonzi tena.
4. Tukipita lango hili Tutatua mizigo
Tulichukua kwanza Tutavikwa uzima
5. Hima ndugu Tuingie lango halijafungwa
likifungwa mara moja halitafunguliwa.
Amen mpendwa barikiwa sana
hujambo mtumishi.napenda nyimbo zako sana ubarikiwe na BWANA
I always feel God's power In this anointed song. God increase you. Much love from Kenya.
Thank you, thank you, thank you.
4
yes
@@DinuZeno thinks my brother
Ninazidi kubarikiwa na huu wimbo, Mungu akubarik sana ndugu nawote ambao walifanikisha wimbo huo
Amen
Mungu akuongoze daima na Milele mpendwa.
Ubarikiwe kwanyimbo nzuri
Nice song inanibarki sana kutoka kwa mawazo machafu naona utukufu 2 cjiskii nkibanduka kwa krsrto
Mungu akusaidie
HALLELUHYA .THE HOLY SPIRIT LED ME IN SINGING THIS SONG .I HAD TO LOOK FOR IT .AM BLESSED.SHALOM
I love ur all songs somuch may God bless u and ur family ..Ameeeeen
Thank you very much for your love.
The voice lango lango calls all sinners to get in that lango.... li wazi..
Furaha yangu ni KUONA unazidi kubarikiwa,ubarikiwe sana mtumishi
I can't stop listening to this song everyday
Wimbo umetulia, hakika kutubu ni sasa.🙏🙏
Hakika
asante sana kwa nyimbo zenu zenye baraka, kuna nyingine zaiidi ama ni hizi pekee, niko Mombasa kenya
peter nandwa poa to get her bro faith
mungu akubariki mwanangu huduma njema by mtume macha
Asante
amen sina chakusems
Sijui umezipata ngapi au unazo ngapi za kwetu tafadhali
Mubalikiwe sana kazi yenu ni njema ❤❤
Very Powerful, Let's surely enter Now while that very Door is still Open, the Great Day of the Lord is the Day of Shutting the Door. Be Blessed of God Please. THE MESSIAH IS COMING
Amen amen amen
Mercy Too
Ubarikiwe mtumishi nami naomba unitumie hizi nyimbo nimebarikiwa sana na nyimbo zako
Namba yangu ni 0755704778
Bwana yesu asifiwe nimebarikiwa na nyimbo zako naomba unitumie zote
Asante Kwa nyimbo hizi ,tamu mno God bless you
Amen.
Grace Kimani
Mungu awabariki watumishi wote mnaomsifu na kumwabudu mungu nabarikiwa sana
Good sound,good song,God bless
you I love this song so much..
This song 🙌🏽🙌🏽🙌🏽 really makes my heart break
This song 🙌🏽🙌🏽🙌🏽 really makes my heart break
Mungu hawabariki sana ndugu,dinu,zenu, keep this song up, again, thanks again ❤
Amen
One of my late dad Rev James Ngunyi’s songs! I love this song!
To GOD be the Glory
hakika liko lango moja wazi nabarikiwa sana na nyimbo,zako mpendwa mungu akuinue kwa viwango vya juu sanaa Be BlesseD
Am listening to this song 😭 while praying for the soul of our lovely dady and honourable president to rest in peace 🙌
To God be the Glory
mungu azidi kubariki kazi ya mikono yako,hakika nyimbo zako zinanips faraja kubwa iliyopotea when I hear ,Amen
Ubarikiwe mungu azidi kuwa nae katika kusambaza injili kwa njia ya uiambaji
miko Aloyce AMINA
nabarikiwa sana na huu wimbo barikiwa mtumish
Oooh blessings bro, lango la neema Amen.
nimependa nyimbo zako mtumishi nimebarikiwa sanaa
mungu akujaze roho mtakatifu uwe chombo cha kueneza habari kote ulimwenguni .
Na iwe hivyo hakika
Amazing, such a blessing.barikiweni sana watumishi
Amen. Karibu sana.
Wicky Paul
Naitaji nyimbo 10 my Whatsapp number is 0759146867
Natamani na mm kujiunga nanyi katika kumuimbia Mungu, najisikia kuomba niposikiliza nyimbo zako, Mungu akubariki
Amen nimebarikiwa tena sana.
Hakika Yesu ndio lango
Amina nimebatikiwa sana kwa wimbo mzur
Wimbo unanifarijii sana nikiusikiliza nasikia san amani moyoni mwanguuu
Be blessed brother, it's only one way, Jesus Christ,,msalaba,💒👆🙌
Amen amen.
vane samwel
nauhitaji wimbo huu kaka langolango ubarkiwe mtumishi
feeling blessed this day. my GOD CONTINUE TO BLESS YOUR WORK
Amen
Am as blessed as you 🙏
Ukipita hili langu unatua mizigo yako
Amen
Blessed is he that seeks refuge at the Throne of mercy! Shalom
Amen
@@DinuZeno Hallelujah!! Natuma kwa email nipate nyimbo za tenzi,,,
@@DinuZeno Na kama ni sawa mbele ya Mungu na mbele yako nitoe mchango kuendeleza injili:Kwa ajili hii Mungu ametuumba
Hello naomba namba ya mchango,ile ya mpesa
Bwana yesu wewe ni mkuu na fadhil zako ni za milele,, tuokoe kwenye midomo ya shetana,,
Asante sana ndugu huo wimbo wa langoungu akubariki sana ni
margaret Kenya
Amen. Asante sana na karibu.
Unaweza wajulisha rafiki zako pia. Asante sana.
Bwana. Mwema sana naomba wimbo wa nitembee nawe bwana
Lango ndiye Yesu bwana, ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
Amen
Amen
Kwakweli nabarikiwa na nyimbo zako mungu aendelee kukupa neema
WOW AMEN, THIS IS SUCH A WONDERFUL PIECE OF GOSPEL....GOD AT WORK, BLESSINGS BROTHER DENU
Amen
mungu ni mwema lango ni yesu IMA tuingie kabla lango alijafungwa
X jjiik hhgffdf
Nbvvc my resume
Gghnvbbb
Cvcxz to contact
Nabarikiwa sana sana na wimb hil halely
Am blessed with this hakika lango ni Yesu.
wimbo huu umebeba utukufu sana ubarikiwe sna napata faraja
2021 And still fresh, bado hu wimbo unanibariki tu.
Ooh! God is Good
Touching worship ady nimepona
Uishi milele kaka Dinu !
Amen, kwaajili ya utukufu wa Mungu.
Dismas Chukilizo
hakika umeimba vzr sana wimbo Mzuri unatubariki.ubarikiwe sana
Asante sana
This truck blesses my soul like fresh n the desert b blessed bro and continue serving our beautiful God
Amen & amen.
IRENE MAKOKHA
Naziomba
Amen
Hongera kwa kazi nzuri ya kumwimbia Mungu. Nimependa wimbo huu sana.
I'm much blessed with thy song,may God reward you abundantly mtumishi
Amen amen na utukufu umrudie mtakatifu wa Israeli
Lango
@@DinuZeno ameni nimebàrikiwa
@@deograciousetyangopidi9809 Amen asante sana
Amina mutumixhi wamungu lango mojatu
Hakika lango liko moja barikiwa sana mtumishi wa Mungu
kaka dinu zenu nimebarikiwa sana na tenzi zarohoni hakika umewainua kwenye kiburi wakatambua kuwa yupo mesia amen ubarikiwe sna kaka
Asante sana.Mungu ni mwema
barikiwa sana wimbo mzuri naupenda unafariji nasikiliza kila kuchapo unafariji