Tatizo ni washambuliaji siyo timu yote. Hasa Mukwala na Ateba hovyo kabisa. Che Malone anawaumiza wenzie kwa mizaha yake aonywe la sivyo atafutwe centre back mwingine asiye na mzaha kama Dickson Job au Bacca
Mechi ya bravos na constantine imejibu hii hoja imeongezwa dkk 4 imeisha dkk ya 7 tena hakuna aliyejiangusha sasa why simba tofauti ya dkk 1 na bado maarabu yalikuwa yanalala lala
@gibsonjosephat6352 wasisahau pia ilikuwa tuwatoe wydad dkk za nyongeza ziliisha wakapata goli tulitulia tukajua wakubwa ndivyo wanavyocheza ukisikia mtu anapiga domo huyo ananyea nepi kwenye haya mashindano
Simba raha 🎉🎉🎉🎉.Manchester united raha❤❤❤❤
KIBU NI FIGHTER SANAAA,
Yani nyie wachambuzi wetu wa kibongo hamna tofauti na pilipili kiswaswa
😂😂😂😂 ndio nasikia leo aina yapilipili hio
Waarabu wanapenda kupoteza muda sana kwakujiangusha uwanjani sasa refa amefanya kazi vizuri sana kwakufidia muda.
Mumeongea point na ukweli kuusu kupoteza muda
Mwamuzi kafanya vyema sana warabu wanapenda sana kupoteza muda leo kimewalamba
Kocha hana mbinu za kutengeneza washambuliaji kila siku anataka apewe straika mpya. Kocha ajitathimini.
Kafundishe wewe
Wangefunga wawo utaongea nni
Mwamuzi tunampongeza walilala na kupoteza muda,refa kabalansi
Tukiendekeza kupoteza muda uwanjani mpira wa miguu utapotendeza maana yake halisi.
Kwenye muda mbona hata ulaya iko hivo
Mwamuzi apongezwe kwa lipo hapo acheni kulopoka ingekua yanga hapo mungeiponda acha kusifiia ujinga wewe wachambuzi ivyo kabisa nyie
Nyuma mwiko utateseka sana@@mustafamandindi6434
@@mustafamandindi6434 pole sana ndugu yangu vipi unaumia ukiwa wapi?
Mda ulikuwa kwa timu zote wangefunga wawo
acha kchambua kinafiki ww
Mbona unaumia Pole sana
Mbona unaumia Pole sana
KWANI NYIE HAMJAONA WARABU WALIKUWA WANAPOTEZA SANA MUDA HATA HVY REFA AMEWAHURUMIA SANA ILIBIDI AONGEZE HATA DK 12 NA ZAIDI
Kocha simba hanambinu za kutengeneza nafasi za kufunga.
HAYO MAGOLI WANAYOKOSA WAKIWA NA GOLI JE, LABDA TUSEME MAFOWARD WA SIMBA MAWENGE WAKIWA KARIBU NA GOLI
Jamani sio kila mtu anaujuzi wa mpira zile nafasi zote walizokosa kufunga wachezaji unamlaumu kocha?😮
Kumekuchaa
Aliongeza dakika 8 sio 7
Hapna Alijuhani aliongez 7
Kocha simba ni mbovu.
Tatizo ni washambuliaji siyo timu yote. Hasa Mukwala na Ateba hovyo kabisa. Che Malone anawaumiza wenzie kwa mizaha yake aonywe la sivyo atafutwe centre back mwingine asiye na mzaha kama Dickson Job au Bacca
Kamfukuze
Mnazingumzia muda mnshindwa kuzungumzia uaribifu ulio fanyika uwanjani.wachambuzi wahovyo sjapata kuona
Unaongelea uharibifu Kwani we unachangia nini
Uaribifu hautuhusu sisi tunataka point 3. Waarabu wanapoteza muda makusudi kwakujiangusha na hii ni tabia yawaaarabu
Caf itakufurahisha usijali kwa hilo
Kwahiyo kazi yao ni kuchambua uharifu?
Mechi ya bravos na constantine imejibu hii hoja imeongezwa dkk 4 imeisha dkk ya 7 tena hakuna aliyejiangusha sasa why simba tofauti ya dkk 1 na bado maarabu yalikuwa yanalala lala
Uko sahihi na hata gori la 3 limefungwa baada ya dakika 4 zilizoongezwa kuisha
@gibsonjosephat6352 wasisahau pia ilikuwa tuwatoe wydad dkk za nyongeza ziliisha wakapata goli tulitulia tukajua wakubwa ndivyo wanavyocheza ukisikia mtu anapiga domo huyo ananyea nepi kwenye haya mashindano
@gibsonjosephat6352 okay kwaiyo hili group simba tumebak no 2 sindio