Alikiba - Mbio (Official Music Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 апр 2019
  • Rockstar Africa introduces the Africa King introduces MBIO, a love ballad he wrote about 10 years ago when he first visited Oman, fast forward to 2019, Alikiba returned to Oman for a Grand Concert at The Intercontinental Hotel and got inspired to finalise the song and shoot the Music Video at Jebel Sifah, one of several great destinations in Muscat.
    Mbio is a "love gone wrong" ballad that explains the feelings of a man who is still in love with his woman, who has fallen out of love with him. What to do? sometimes it's better to just walk away.. MBIO!!
    Stream/Download:linktr.ee/Alikiba
    Listen to Alikiba on Digital Streaming:
    Audiomack: audiomack.com/alikiba
    Apple Music: / alikiba
    Boomplay: www.boomplay.com/share/artist...
    RUclips: / alikibaofficial
    Spotify: open.spotify.com/artist/2nGoK...
    Follow Alikiba on Social Media:
    Instagram: / officialalikiba
    Facebook: / officialalikiba
    Twitter: / officialalikiba
    Snapchat: / officialalikiba
    TikTok: / officialalikiba
    Triller:triller.co/@alikiba
    +For More Information Booking Alikiba:
    Contact:emailalikiba@gmail.com
    ©2019 Kings Music Records.All rights reserved.
    #Alikiba #Mbio #Kingkiba

Комментарии • 10 тыс.

  • @salahadinshariff2276
    @salahadinshariff2276 5 лет назад +804

    Alikiba vs dimomd
    ALIKIBA=LIKE
    DIAMOND=COMMENT
    Thanks everyone didn't expect that🙏....team kiba🔥

  • @giziberthjakobo7856
    @giziberthjakobo7856 5 лет назад +45

    Moto juu ya moto jaman japo nimechelewa naomba like zangu

  • @TswagZ
    @TswagZ 2 месяца назад +16

    TULIO RUDI KUITAZAMA NGOMA YA KING 2024 GONGA LIKE TUKISONGA🔥👍

  • @esseesse2348
    @esseesse2348 3 месяца назад +16

    Ambaye tupo naye p1 2024 agonge like

  • @duniayetu6272
    @duniayetu6272 5 лет назад +74

    mzigo umeandikwa miaka Kumi ilopita lakin bado hatari.
    kama wewe ni fan wa good music gonga like bas..

  • @lamecksmernestntaki3894
    @lamecksmernestntaki3894 5 лет назад +43

    daaaah hamna king mwingne zaid ya king kiba tz namkubali sana huyu jamaa forever am team kiba

  • @MalegesiMakunja
    @MalegesiMakunja 4 года назад +225

    Tuliokuja kuangalia mwaka 2020 tufahamiane

  • @allyhassan8131
    @allyhassan8131 4 года назад +40

    Nmerudia zaidi ya mara 15 ngoma kali wajina mziki mzuri bro respect da legend

  • @lazarophilipo925
    @lazarophilipo925 5 лет назад +126

    Motooooo like zenu jaman I love good music

  • @mziwandaraur5594
    @mziwandaraur5594 5 лет назад +55

    saruti King utazeeka na eshima yk naomb like zen

  • @godyjustine443
    @godyjustine443 4 года назад +68

    Kama unaamini hii ni Super natural talent
    Like!!

  • @mrholela7906
    @mrholela7906 4 года назад +287

    Who is still watching this video in 2020? ...#KingKiba

  • @josekabati9426
    @josekabati9426 5 лет назад +71

    Kingkiba siyakuelewa vizuri we star gan mbona nyimbo zako zote Tam pia nikali jamani rockstar

    • @fettymsuya340
      @fettymsuya340 5 лет назад +1

      Jose Kabati sanaaaaaaaa

    • @benardmanyama3415
      @benardmanyama3415 5 лет назад +1

      Kweliii aiseeee hiii ngoma imeandikwa miaka 10 iliyopita jamniiii fundi ni fundi

  • @lilianekeny7819
    @lilianekeny7819 5 лет назад +153

    From Kenya with love...Alikiba We love your music...😘😍😘😍😍...King Kiba endelea ivo ivo

  • @taylorrae3922
    @taylorrae3922 Год назад +3

    Mimi siwezani nawe Ali Kiba.....much love from Kenya❤️

  • @zakariamachibula488
    @zakariamachibula488 3 года назад +10

    Hii ngoma naipenda sana

  • @fetymwamba8685
    @fetymwamba8685 5 лет назад +65

    King!nishida#hatari fire#utabaki kileleni utabaki mawinguni its nice song

  • @muwongevincent238
    @muwongevincent238 5 лет назад +55

    King wetu huyoooo wapi like za kenya

  • @daktarimkamba3033
    @daktarimkamba3033 3 года назад +17

    Kiba the king piga like yako hapa jameni kama ndio king

  • @jameskasekele1705
    @jameskasekele1705 5 лет назад +170

    The only musician u listen to and never get tired or bored,, respect Alikiba

    • @nitaally2190
      @nitaally2190 5 лет назад +1

      😘😘

    • @stephanoiddy696
      @stephanoiddy696 5 лет назад +1

      ruclips.net/video/nZSp_0Dn_jg/видео.html,, PLEASE
      SUBSCRIBE ,, SHARE LIKE AND COMMENT THIS CHANNEL.

    • @annkamau5338
      @annkamau5338 5 лет назад +1

      Sure

    • @stephanoiddy696
      @stephanoiddy696 5 лет назад +2

      Naitaji kupiga wimbo na alikiba nipo marekani nahongeya swahili na kingereza natowa 15.000 dollar

    • @babasupa4035
      @babasupa4035 5 лет назад +1

      True.

  • @easyfarming4314
    @easyfarming4314 5 лет назад +52

    This is how many times I’m going to watch this video again
    👇🏾

  • @zainabubakari3630
    @zainabubakari3630 3 года назад +11

    Jamani huu wimbo naupenda sana yaani kwenye huu wimbo KIBA ameimba mambo ya ukweli kabisa. Ni bonge la ngoma

  • @Victor-ix4ml
    @Victor-ix4ml 4 года назад +7

    Music mzuree sana huu isee hongera sana Kingkibaa

  • @seifhilal9489
    @seifhilal9489 5 лет назад +61

    Hiii ngoma iwe namba 1 mwezi mzima au vp Tim kiba

  • @hamidahamadi3609
    @hamidahamadi3609 5 лет назад +128

    Nyimbo kali Sijakosea kuwa team kiba wallah!! 😘😘😘

  • @heritiertristantoralba2579
    @heritiertristantoralba2579 4 года назад +4

    Love from CONGO KINSHASA

  • @halunamaneno9986
    @halunamaneno9986 4 года назад +3

    Moyo wangu niufiche hii ngoma inanikumbushaga mbali Sana kweli wewe ni king

  • @Kijosh854
    @Kijosh854 5 лет назад +47

    King atabaki kuwa Ali kiba good music Rockstar for live#+254

  • @youngkingbaddmankiller3006
    @youngkingbaddmankiller3006 5 лет назад +60

    Wewe kama unamkubali 👑 kiba like apo chini twend sawa yebaba

  • @checkflame077
    @checkflame077 4 года назад +62

    Alikiba is just a Legend!
    I can't get enough of this song and Kadogo

  • @ommybrown5719
    @ommybrown5719 3 года назад +9

    Duuuuu leo nime hachana na piss Kali lakini huu mwimbo ndoo una ni fariji leo 30. 8. 2020

  • @lucyhonore9050
    @lucyhonore9050 5 лет назад +117

    You’ve got to love this man 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪

  • @jimson53
    @jimson53 5 лет назад +45

    Big up king kiba...from Tokyo 🇯🇵🇯🇵🇯🇵

  • @ramadhanyassin4644
    @ramadhanyassin4644 4 года назад +3

    Unamiaka mingne kumi mzeee naomb unshangazeee kam hiiii mzeee #mbio kam ilivykaa ndan miaka yot bac kwang ndio mgom ya miaka yoteeeeeee

  • @mbmussa_fashionstyle9824
    @mbmussa_fashionstyle9824 3 года назад +3

    Kama unaangalia mbio mdaa huu nipe like hapa

  • @godwin-daudmusika2697
    @godwin-daudmusika2697 5 лет назад +161

    Alikiba ndiyo msanii pekee Tz anaye jua mziki Gonga like kama zote hapa.🔥🔥🌟

  • @fadhilikangusi
    @fadhilikangusi 5 лет назад +69

    Kama mapenzi yako kwa KIBA yanaenda mbio gonga like

  • @Freddie619
    @Freddie619 2 года назад +4

    🌋🌋🔥🔥🔊🇰🇪King

  • @MalegesiMakunja
    @MalegesiMakunja 3 года назад +11

    Leo tarehe 16.12.2020 natizama huu wimbo, Umebeba history flani juu ya mahusiano yangu, Ambao bado wako still wanasindikiza machungu yangu kwa kuitazama #Mbio like hapa.

  • @josephwafula6171
    @josephwafula6171 5 лет назад +54

    Wakenya wote tupitie hapa, gonga like tukisonga🔥🔥🔥

  • @georgepetermfalme4600
    @georgepetermfalme4600 5 лет назад +44

    1 On trending gonga like chap chap

  • @stanyscaseringer2990
    @stanyscaseringer2990 4 года назад +4

    Nice Sana my brother

  • @ruthwanjohi6926
    @ruthwanjohi6926 3 года назад +3

    Love as always 💝🥰

  • @kuntahkhan2696
    @kuntahkhan2696 5 лет назад +131

    Yea baba 🎶🎤🎶 10 years song buh still rocking today..... Nibora unipe moyo wangu niufichee

  • @bellaferrer3390
    @bellaferrer3390 5 лет назад +95

    From Spain Valencia... We are loving it!!! Sweet song!!!

    • @mikeboss2441
      @mikeboss2441 5 лет назад

      valencia should start before saying spain

    • @bellaferrer3390
      @bellaferrer3390 5 лет назад

      @@mikeboss2441 .....heeee!!! Mwalimu wa walimu!!!!

  • @wambuguwanjiku4880
    @wambuguwanjiku4880 4 года назад +8

    Ali Kiba Always my Favourite since ❤❤❤💕💕

  • @alicenice1711
    @alicenice1711 3 года назад +5

    My best song🤴🤴himself

  • @mushabisajrvictor7781
    @mushabisajrvictor7781 5 лет назад +78

    The king 🤴🏾 only speaks by actions ❤️#Alikiba🔥🔥🔥🇦🇺🇦🇺

  • @mutevas7624
    @mutevas7624 5 лет назад +118

    mamaaa sisi ndio mabilionea wa malove kama na ww bilionea wa malove like twende sawa

  • @stargirlbah7234
    @stargirlbah7234 4 года назад +58

    I can’t hear what my crush is saying but all I know the words of love even the dum knows it. And yes Mr Alikabai you’re my only Africa crush I love you even you have lot of woman you’re hero in Africa trust.

  • @altonogola2827
    @altonogola2827 3 года назад +3

    King kiba this' a great stuff.always on top of the game.

  • @haibasalehe3568
    @haibasalehe3568 5 лет назад +60

    Kizur hakina prom
    🔥🔥😍😘 wanakukubali ila kusema ndo wanaumia sanaa

    • @ngeaplatenumber4692
      @ngeaplatenumber4692 5 лет назад +1

      Kiba banha Ujawai koxea aixeee we ni xhida wi love ma boe

  • @shaniaamida3310
    @shaniaamida3310 5 лет назад +49

    I can't believe this song means my life now 🤔🤔 . Alikiba how did know my right moment?? . Walah watu wanasumbuwa

  • @karimjuma8671
    @karimjuma8671 4 года назад +5

    Nawa na kufikir....dope song...his ability to play with vocal range n codes is amazingly beautiful

  • @yassirjailan2720
    @yassirjailan2720 3 года назад +21

    ngoma nzuri toka ilivyotoka mpaka now bado naskiliza tujuane team kiba jamaani kwa like

  • @anjelineonjoma6325
    @anjelineonjoma6325 5 лет назад +57

    I just love Kiba's talent. He gets it right with no too much effort. Mungu akuwezeshe

  • @rukundorehemarehemarukundo5353
    @rukundorehemarehemarukundo5353 5 лет назад +55

    I can't explain how much I love you alikiba 😭😭😭😭 tusio penda matusi tunakuelewa💃💃💃💃

  • @hildam3031
    @hildam3031 4 года назад +5

    Nice song nice video,location looks like beautiful Muscat.

  • @nurumwangoka7424
    @nurumwangoka7424 3 года назад +4

    Huwa sichokiiii kuusikiliza huuu wimbooo!!!! Kama na ww unapita pita huku gonga like tujuaneeee❤️❤️❤️❤️❤️

  • @mimokassim1887
    @mimokassim1887 5 лет назад +100

    From South Africa 🇿🇦 live zenu pls jamani

    • @sheikhnambilili4269
      @sheikhnambilili4269 5 лет назад +1

      Nimehiyelewa ngoma hii king we ni msanii bolla na sio bola usaniii watasubili kote kote 2po #weka #like we km team #KIBA. 👑👑👑👑👑

  • @abdiyathe6221
    @abdiyathe6221 5 лет назад +55

    Rockstar since enzi za senderalla paka sasa hivi u still rocking

  • @ambiamash2194
    @ambiamash2194 4 года назад +18

    This guy's simplicity and humbleness makes him African Hero,wagwan Aly

  • @crispusmuriithi7028
    @crispusmuriithi7028 4 года назад +449

    I feel like this song is somewhat underrated. It has to be one of the best songs Kiba's ever done, in my opinion.

  • @organicchiaseeds.tanzania8993
    @organicchiaseeds.tanzania8993 5 лет назад +116

    Best song of the week,best song of the month,1st Tz song to my gallery this year..& I bet itakua best song of the year..big up 👑 for the good song.

  • @kanejafari379
    @kanejafari379 5 лет назад +50

    Xaxa hapa kwenye number one ndio sehemu yetu na huwa wanjua tikikaa hapa kazi inakuwepo let us keep in watching #mbio ndio habar ya town ukibisha kunya jiwe then limeze tena

  • @manigombajulius9847
    @manigombajulius9847 4 года назад +2

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥King is king yeeeeeeebaba

  • @supertallone1902
    @supertallone1902 3 года назад +2

    ORGANIC KING🔥👑✔🙌🎶

  • @rhouzieosore5143
    @rhouzieosore5143 5 лет назад +71

    Who else believes in King Kiba as I do
    This guy just know when we need soothing music n boom its out. U never disappoint . Much ❤❤❤❤❤ frm 254 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @aminajoshua9522
    @aminajoshua9522 5 лет назад +71

    wew ni wa juu, i can't explain my appreciation to u❤❤❤😍 king kibaaa

  • @muganzababingwa2434
    @muganzababingwa2434 4 года назад +258

    TEAM KING 👑 KIBA
    Naomba hata like hata kumi tu asante sana
    🙏🙏🙏🇹🇿🇨🇩🇺🇸🇨🇦🇰🇪🇲🇦...

  • @adamhashimu4462
    @adamhashimu4462 3 года назад +2

    Tuache masihara Alikiba anaimba sana Vocal SjaonA kwa Bongo🔥🔥🔥

  • @joekenya
    @joekenya 5 лет назад +204

    Alikiba wetu.. Kenya loves you so much 🇰🇪 🇰🇪
    Your music always on top kwa playlist yangu
    Nipeeni likes wadau.. Alikiba fans!!

  • @davieyulemkenya301
    @davieyulemkenya301 5 лет назад +80

    basi na mimi naomba like senu hapa wakenya tuyuane plz🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @allyday4411
    @allyday4411 3 года назад +3

    King forever guys for good music is kingkiba nothing more yaaaah me siwezani na wewe #mbio

  • @chrissjoel7752
    @chrissjoel7752 3 года назад +48

    Hii ngoma miaka buku watasikiliza 🔥🔥🎶🙌🙌🙌
    2020 nani yupo APA mwezi wa 10 agonge like
    Bayern 8-2 Barcelona 😭😭😭😭😭😭😭

  • @okothsavan8849
    @okothsavan8849 5 лет назад +96

    I'm both Team Kiba and Diamond. Sina chuki.👑👑

    • @dullajuma9171
      @dullajuma9171 5 лет назад +2

      Okoth Savan ngoma Kali sana kaka

  • @Bigkissafricano
    @Bigkissafricano 5 лет назад +60

    ALI # BILLIONAIRE # wa love
    Big up sana #KING KIBA# much love to you
    Naomba Like# kama umekubari ngoma hii kali

  • @shabanisaidi6294
    @shabanisaidi6294 4 года назад +54

    My brother king kiba we are together forever no matter what people talking about you

  • @wrendor9465
    @wrendor9465 4 года назад +31

    Love this song soo much 🇭🇹

  • @djsalazza8779
    @djsalazza8779 5 лет назад +83

    KingKiba on top always...
    much love from Mogadisho..
    nipeeni malikes if you are big fan like me...👊😍

  • @hyasintakundy369
    @hyasintakundy369 5 лет назад +42

    Nilishaapa hata uimbe visivyoeleweka i will still be your fans..love you kiba😘😘

  • @bernardmwikola2242
    @bernardmwikola2242 4 года назад +3

    Kazi juu ya kazi king wao!!!!

  • @dicksonherman1205
    @dicksonherman1205 4 года назад +80

    Leo tarehe 26/10/2019 kamatupo pamoja gonga like team mziki mzurii

  • @henrymulengera
    @henrymulengera 5 лет назад +89

    Number one on trending RUclips now #AlikibaMbioOfficialVideo

  • @nelsonthomas3811
    @nelsonthomas3811 5 лет назад +68

    Wowwwwwwwwww king always is king ❤️ gonga like hapa kama wewe huu wimbo umeupenda kama mimi nilivyo ukubali

  • @danochieng1910
    @danochieng1910 4 года назад +19

    My favorite artist all the time... you're always my mentor King kiba

  • @rommiemontana1782
    @rommiemontana1782 4 года назад +19

    If u want good cool music ......join in king kiba's music and get to enjoy n Know what good music entails....king kiba forever

  • @bonniventuresylivester3133
    @bonniventuresylivester3133 5 лет назад +42

    Kama unatamani km Mimi hii ngoma iwe 1 Trending week nzima gonja like tuendelee kuiinua juu mawinguni

  • @alexadam1219
    @alexadam1219 5 лет назад +62

    Mziki muzuli hujiuza wenyw hii ngoma sasa ivi iko namba 1

  • @eggyanton8491
    @eggyanton8491 4 года назад +32

    huu ni wimbo wangu no 1 mwaka 2019

  • @alimngeta2539
    @alimngeta2539 3 года назад +2

    My favourite song

  • @justinepaulomaheomahe3582
    @justinepaulomaheomahe3582 5 лет назад +149

    Congratulations to you king kiba for the beautiful song

  • @aishawanjiku9911
    @aishawanjiku9911 5 лет назад +37

    Mziki ulioenda shule na kuhitimu. Big up king kiba🕺💃🕺💃

  • @josephjrchuma5111
    @josephjrchuma5111 4 года назад +4

    Hii ngoma ya moto sana 💥💥 gonga like kubwa then tukutane! RUclips

  • @zainabnassor962
    @zainabnassor962 4 года назад +2

    King kiba❤ 👑 huna mpizani

  • @jimmiehunter7755
    @jimmiehunter7755 5 лет назад +147

    I love you Ali Kiba. Rock star for life. +254

  • @joelyemmanuel8530
    @joelyemmanuel8530 5 лет назад +88

    Yeeeh babaaaa nyan ni fire respect 4 blood Kings music.... Ni motoo

  • @passianjulla1226
    @passianjulla1226 2 года назад +8

    2021 usipete bila kulike jamn like zangu plz kwa mwaka huu

  • @littleboss3428
    @littleboss3428 4 года назад +9

    Mbio is the best song for africa 👑🎶🎶🎶💯

  • @naymahemed110
    @naymahemed110 5 лет назад +43

    wale wanaorudi verse ya pili kama mimi naomba likes zenu hapa .
    #kingisback

    • @Ahmed-fm5fr
      @Ahmed-fm5fr 5 лет назад +1

      Here i come😅😅😅👌