Mjadala Bajeti Kuu ya Serikali kufikia fikia tamati leo

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 июн 2024
  • Mjadala wa Bajeti Kuu ya Serikali inafikia tamati leo baada ya wabunge kuchangia kwa siku sita wakishauri maeneo ambayo serikali iyafanyie marekebisho ili bajeti iwe bora.
    Wabunge wameendelea kuishauri serikali kuhusua upatikanaji wa dola, uwekezaji sekta ya elimu pamoja na uangalizi wa watu wenye ualbino.
    #AzamTVUpdates
    Wahariri | Onike Masayanyika, John Mbalamwezi

Комментарии •