❤Nano anaangalia na mimi leo hapa kabla ya kuaga mwaka hahahahaa my favourate song ever my brother napenda sana kazi yakoooooooooo....Happy new coming year everyone
Ni mwaka 2024 nimerudi kutazama tena. Kuna kiwango cha heshima alichoonesha Linah (heshima ya Kikinga hasa) na kuna kiwango cha utu alichoonesha Mwana FA. Mungu azidi kuwatunza.
Linah anaposema "Niliotea!" Ni kama kusema kwamba "nashukuru kukuheshimu na kuishi vizuri na wewe." Somo: tujitahidi kuishi na watu vizuri mana huijui kesho ya mtu!
ENDELEENI KUISAPOTI RUclips CHANNEL YETU📌
Vzr
Ambao bado tunaitizama hii nwaka huu 2024 gonga like👍
Tupo
Hata Mimi Bado naitizama
🎉
🎉
Namesake 😂 we are together
Nilichokipenda zaidi ni kitendo cha mheshimiwa kumpa lina zawadi alizopewa, big up sana mheshimiwa
Kila nkija RUclips lazima ñifike hapa, nataman mtu a like tu Ili niludi Tena na tena
❤Nano anaangalia na mimi leo hapa kabla ya kuaga mwaka hahahahaa my favourate song ever my brother napenda sana kazi yakoooooooooo....Happy new coming year everyone
Hivi ni mimi tu mchozi unanitoka kwa furaha au na wengine 🥰jaman Mwana Falsafa apewe maua yake anajua huyu kaka Jaman alaf yuko very humble ❤❤❤
Ametisha
Hata me machozi yamenitoka aisee😂
So ww tuh ata mm .Machoz yanenitoka
Tupo weng
Mh.. !!Anajua sana.
asee nmejikuta natabasam kuanzia mwanzo mpaka mwisho.... ni chemistry ni fire sana
Mm mpaka 😭😭
Really appreciate uchaguz huu wa Mh. Rais kwa naibu waziri pmj na waziri wa MICHEZO wanafanya kaz nzur sana kwa kwl ni watu wa watu 💜❤️
Profesa Jay,Mwana FA na NIKI WA PILI nawakubali sana
Yan huu mzik ukiuskiliza unajiskia Raha mpka kwa moyo mwez wa 8 talehe 10 MWA 2024 ❤. Like hapa
The minute Mwana FA alipanda stage, Linah glowed and just blew kabisa.......power of chemistry in music
Nimependa bureee, it was a good moment! Linah ft Mwana FA
From thika ngoingwa KIAMBU COUNTY in Kenya bigup this song bado kwangu naipenda Sana
Ni mwaka 2024 nimerudi kutazama tena. Kuna kiwango cha heshima alichoonesha Linah (heshima ya Kikinga hasa) na kuna kiwango cha utu alichoonesha Mwana FA. Mungu azidi kuwatunza.
Amemsitiri kwa kumpatia maokoto, what a gentleman!
My favourite...natabasamu watching this. More love from Kenya 🇰🇪
Nimependa FA alipopotea Maokoto then akambarikia Linah 🎉❤
Ambao mnaangalia mda huu like hapa
PURE TALENT...🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿💚💛💚💛💚
uzuri wa kujiandikia mistari ni huu hata uamshwe saangapi usiku, you just flow... Fa so humble ❤️,,,, sio kuandikiwa halafu ujidai
You're my sunshine, my moonlight and everything I dream about, Linah let's go...
Kwa wanaojua muziki mzuri
Hivi ni mimi mwenyew nacheka cheka ka fala au tupo wengi 😂😂😂
Hata mimi dyaadyaa me nimecheka kwa furaha hadi machozi et😅😅
Tupo weng😂😂😂🤣🤣🤣😂
This is on fire. Love from Papua New Guinea ❤️🇵🇬🎼🎶🕺💃
I like where you gave the money to Lina.. you've supported her.. love you❤
Ivi ni mm pekeang naerudiarudia kuangalia...
2/1/2024 apa still watching
Sio pekeako bro😊
Hiii ikopw sana
Aisee hata mie bado naipenda hii ngoma love mtt wa kitanga ❤❤❤
Tupo wengi😅
Niko hapa pia
Nimependa apo mweshimiwa alivyochukua maiki.kizazi Sana god bless you wazuri unapenda ukitabasam .
Sana yani
NILICHOKIPENDA PESA KAMWACHIA LINNAH, GENTLENESS
Dah kuna wanamuziki alafu kuna wasanii 🙌🙌linah❤
Nimeishiwa maneno.kikubwa zaidi upendo upo ❤
Dah! Yaani Mwana- fa asingepanda stejini angemuangusha sana Linah, na ndio watu wajifunze hapa kuhusu maisha...!
Yan linah alivyoomba jamaa aje stejin
Hako ka heshima kusema thank you bro na magoti kidogo jaman❤❤
Hadi rahaaaa❤❤❤
Aiseeeee.... Tamu hii. Mwana FA, Prof Jay, Chege, Ferouz nawazimia sigara siku zote.
Safi mwana FA mheshimiwa nzur sana kuitazama hata mara mia rais kaona mbali ikimpendeza uwe boss wa hiyo wizara mungu akubariki sana
Apo brother Kaka kafikishwa Mtu na fani yake hongela dam yangu
Nice kila mara naangalia hii video mwana FA ana utu sana
Mwana FA be alive 100 yrs brother
Like you from Louisville Kentucky USA 🇱🇷🇱🇷
It's really a good show of love to music mwana FA salute, Linah salute, uliotea kweli jamani@ watch ing all the way from IS
I love this song.well seng
Ikiwa mungu itampendeza namuombea aje kua raisi
Safi sana naibi waziri umeonyesha mapenzi Kwa dada ako linnah
Linah anaposema "Niliotea!" Ni kama kusema kwamba "nashukuru kukuheshimu na kuishi vizuri na wewe." Somo: tujitahidi kuishi na watu vizuri mana huijui kesho ya mtu!
Nawaombea linah na fa ingieni studio mtoe Ngoma nyingine bado tunahitaji kitu kizur Toka kwenu love you fun
They can
Pure talent nakubali waziri❤❤
Kwa hiyo play back ?
Angeimba live
Ntarudi 2025 mtu aki like comment yangu ❤
😂😂
MIMI NTARUDI 2050
Mimi 😂😂😂201000
🤣😜
Alivyo kua kwnye kiti amekaa alikua ndio mbunge...alivyoshika Mike ata mwendo ulibadilika...ukawa mwendo wq wana F.A.
Naibu waziri sio mbunge
@@florencejames-jo1czni mbunge pia wa muheza Tanga
Inawezekanaje mtu mmoja kushika nyazifa mbili kwa wakati mmoja labda ilikua siku za nyuma
Inawezekana, huwez kua wazir mpk uwe mbunge.
Mfano Ummy mwalimu ni wazir wa afya na ni mbunge wa Tanga.
Mwana FA ni mbunge wa kwetu muheza
@ florencejames
Nilichopenda mm sana sana mwana fa aluvyompa pesa linna ni kama amemsapot good naibu wazir wa Michezo na utamaduni
Sure
Hakika inapendeza sana kwa muheshimiwa kufanya vilee❤❤
Waoooo! Mmenipa raha sana nilivyoangalia natabasamu mwanzo mwisho
Hivinipo siku ntsjipsta namimi hafra zahivyo niwe napata frusa za kuhuzulia jamani 😢😢😢😢 ❤❤❤❤
Mungu nimwema ipo siku amini ata mbuyu ulianza kama mchicha,ipo siku tu utafanikiwa 6:38
@@MagdalenaHoja-jh9qg 🙏🙏🙏
Ooow
Great performance of the year
MWANA FA ni likaka na nusu😘😘
Mweshimiwa naibuwaziri mwana FA kwaheshematu tafadhali achilia ngoma atamoja mshirikishe profesa tafadhali.
Sema wizara iko na mtu makini mshikaji anatakiwa kuwa waziri husika
Wajina wangu linnah sanga nakupenda 🎉
Big up Mheshimiwa wetu sambaza upendo ❤
29/02/2024 tujue apa aiseee
Mungu awape maisha malefu zaidi
Congratulations keep it up good job ❤
Wangap wamependa waendelee kuimba
Nmerudia mara kibao❤❤
Mja asili Aachi asili yake Wazuri mzuka umepanda amekumbuka mbali sana
Hapa kuna cha kujifunza,sote tujifunze kujiheshimu na kuheshimiana,maana hakuna ajuae kesho❤...fa mwamba sana,linah,nidham sana.
this how leader should be to be humble and kind even if he was an artist back then,he waited a little to take some action
Safi sana Mhe. Usiache asili Yako bhna.❤❤
Mwana fa namkubali toka kitambo jamaa anajua na hana majigambo
huu wimbo umebeba historia na hisia za maisha ya watu kipindi hko, hizi ndo nyimbo sasa
Anayejua anajua tuu jmn ❤❤❤❤❤❤
I real feel the vibe ❤️🔥
Huyu Ndio Kiongozi Anaejitambua Hana Papara Na Vijisenti Kaona Amwachie Linah Safi Sana Hamis Mwijuma
I swear hii nyimbo lazma ipigwe kwe harusi au engagement😊😊
😊😊
RIP ruge😢THT ilkua na watu mahili sana pamoja na mapungufu ya hapa na pale
Yaani maisha ya mtu yanapangwa na Mungu mwenyewe...usimdharau yeyote kwa hali yeyote ile, maisha yana fumbo kubwa sana
Hongera sana nyiewatu❤❤❤
Fa ❤
5:42 MAASHAALLAH 😍😍😍😍😍
Umetisha Sana mwana fA
Nimependa sana... Mheshmiwa ulivonyamyuka
Emotional xn.....mheshimiwa asantee kw kujishusha
I can watch this 10000000 times, when music was music
Binamu nakukubali sana Tena sana kk. Hunaga kujisikia, kwa mtazamo wng, hata ukiwa rais utaperform ti!
Nimefika nakukumbuka xn kwny game mheshimiwa mwana fa respect for u in hip hop forever
Uko vizuri Linah ft Mwana fa naupnda wimbo
Daaaah this dude is talented
Nawakubali sana nihatar ogopaaaa
Hiii n nomaa kabsaa ❤
Combination ilikua 🔥🔥🔥🔥🔥 san wamtish kinyam
Linah sanga sauti natural bless
Ila hiyo ni Play back hiyo
Where is the voice!? I can't hear
Mungu aukuze usanii wako ufike mbali kabisa Linah Sanga binamu!!!😂😂😂😂😂
I love it❤
Sema kwa sauti ya Lina alivyomwomba jamaa daah hata Kama Mimi ningeenda
😂😂😂😂😂
Kweli kabisa yaani upendo na unyenyekevu wa hali ya juu...Linah ylikuwa very emotional!
So social 🎉🎉🎉🎉🎉 nimempenda Bure maana hana majigambo hata kidogo kiongozi wa kuigwa
2024 from mozambique
Hii nyimbo niliipenda sana!❤😢
Daah nimeikubali sana hii performance 😂😂😂
Mwana FA hapo safi sana
Nimeipenda❤
I love your
Mwana FA hana baya ❤❤
Mheshimiwa Mzuka ulikuwa ushapanda. Llikuwa suala la muda tu😂
Yaan wew
Hii ndo bongo wachana siku hizi sijui wanaimba nini
Safi sana nakupendraa❤❤
Nakubali sana Mana Fa