Mwana FA aimba freestyle kama sio waziri vile usiku wa tuzo za Tanzania Music Award
HTML-код
- Опубликовано: 28 апр 2023
- Unaweza kututembelea instagram @bingoonlinetz
#bingoonlinetz
#sisisiowepesi #TunakupaKwaWakati
Ahsante kwa Kuiamini na ku SUBSCRIBE BINGO ONLINE TZ Na kuifanya ifikishe Subscribers Milioni 1 - Развлечения
Daah noma sana fa
Nakukubari saana mwana F A
Ipo cku utaniheshimu ama utaheshimu hera zangu sasa hivi kweli wanamuheshimu huyu mwamba
Rap wangu bora muda wote bongo hutaki utajua hujui
That is legendary
Yeeeeah bado nipo nipo kwanza hatar sana ulitisha sana bro
Fa nakukubali sana bro
Profeesa jay yupo wap
Kipaji hakizeeki hongera
Mwana f.a.profesa jey.mmemuweka wap jamani
Eti jamani!!!!!!
Makofi mengi kwa mzee jk
Uko vizuri kurap Mzee baba
Kweli kipaji kipo!!
Kweliiii na Leo wanamuheshim, ndoto imetimia
Uki muongelea jukwete tuna tapika wew
Mbona kikwete kikwete tu
Saf
Na ndie Aliemkabidhi vyombo vya Dansi Mzee wa Baba na Mwana
Naqubar sana F.A...👊👊
Fact, hilo neno la maua yao
Hahahaaaa ila ROMA
Mrithi wako nipo ila hujui tu toka muheza
Mbona makofi hayaonekani
Kuwapa maua yao 🤣🤣mpeni tuzo o
MKULUNGWAAA MWANA FA.FALSAFA
Wa nyumban wape ripot ya tanga muheza
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
Tuzo za wcb ft basata
Mpeni maua yake
❤❤❤❤
Kwisha tukupe maua yako🎉🎉
Kwamba JK alitoa hela mfukoni mwake kumpeleka rehab msanii,hiyo ibakie tu kama ilivyo,kwani hapa bongo ni vigumu sana kutambua hela itolewapo na rais kama ni yake ya mfukoni/au ni ya bajetini,mwe!
Kikwete leo kachambuliwa kwenye engo nzuri ila ukifika kwao mtaani wanalia mpaka hatembei kwamguu ktaan yan aibu nandiomaana watu hawapigi makofi manaake kavurunda
🤣🤣..kumbe