Hongera Sana Sister. Mwaka 1998 nikiwa Form Six pale njombe nilitembelea Himiliwaha na nilipoona sister anacheza kinanda ilinipa hamasa yakujifunza kinanda.
Congratulations my Sisters for the nice song! You have really made me remember Mitundu!. Congratulation Sr. Adriana, Keep it up!. Thank you very much VIPAJI TV, you have done a good job!
Hongera Sana Sr Adriana kwa kipaji chako. Hakika umepiga kinanda vizuri Sana na Watoto wameimba vizur Mungu awabariki. Nakutakia utume mwema. Naomba jina la mtunzi wa huu wimbo au naomba copy ya huu wimbo.
Dr.Adriana your gifted from.God utafika mbàli sàna you have good songs Mungu akubariki!!!
Sio kwa kwa upigaji huo, hata malaika wamecheza kwa upigaji huo wa kufurahisha. Hongera sana Sista Digna
hongera sana, sauti tamu kweli,
na mpiga kinanda kapewa kipaji kweli....
nawezapata vipi nota za huo muziki
Hongera Sana Sister. Mwaka 1998 nikiwa Form Six pale njombe nilitembelea Himiliwaha na nilipoona sister anacheza kinanda ilinipa hamasa yakujifunza kinanda.
Hongera sana SR Adriano barikiwa sana
Naomba jina LA mtunzi jamn kazi nzr sana
This is incredible👏👏hongereni sana
Watching from Germany🇩🇪
Congratulations my Sisters for the nice song! You have really made me remember Mitundu!. Congratulation Sr. Adriana, Keep it up!. Thank you very much VIPAJI TV, you have done a good job!
Hongereni Mungu awabariki
Hongereni wanafunzi pamoja na masista .Tumeona mengi mazuri Toka kwenu .
Sister kazi nzuri sana..
Sr Kwanza kabisa nimeusikiliza wimbo huu nimeburudika mno hongera kwa utume ulotukuka
All the way from Kenya, much love and congrats Sr Adriana.
Upo vizuri sister...ubarikiwe na Mungu
Hongera Sana Sr Adriana kwa kipaji chako. Hakika umepiga kinanda vizuri Sana na Watoto wameimba vizur Mungu awabariki. Nakutakia utume mwema.
Naomba jina la mtunzi wa huu wimbo au naomba copy ya huu wimbo.
Samwel Abado
Asante Sana @Fausto Kazi🙏🙏
Mwl kazi samahan naweza nkapata copy ya huu wimbo? Nimechek swahilimusic kule naona haipo copy
Nicheck WhatsApp 0655543705
Hongera Sr. Adriana, kwa muziki na wanfunzi wameimba vizuri👌👌👌
Rev .padri Gideon hongera sana kwa utume hakika tumeona mengi mazuri Toka Vipaji TV.
Hongera sana Sr Andriana kwa uinjilishaji wako mzuri uliotukuka
Hongeraa wimbo mzurii
Best choir,Sr.upo vizuri sana
Ubarikiwe sister na wanakwaya wote
Nimeipenda hii ❤❤❤
Hongera sana Sr. Adriana na Wanakwaya wetu wote. Mungu awabariki
Hey sister andriana. Nawezapata music ya huu wimbo tafadhali
Well done sr Adrianna good touch ,huu ndo muzik mtam na wenye ladha
Thank you so much Viapaji TV. Sauti za malaika kweli. Hongera sr Adriana
Waoooo nice
Namkumbuka Fr Makutu Paroko wa kwanza Parokia ya Mitundu Jimbo Kuu la Singida .
God bless you Sir Adriana
Together with your students,,I'm proud of you
Sister umeniongoa kwa kucharaza miwaya hongera
Yaani wimbo huu unanifurahisha sana kila ninapowatazama. Sister Hongera sana. Soprano waongeze nguvu! "
Alto wapo juu sana
Hongera Sana Sisther
Congratulations sister.
Mo congrats to you sr.Adriana Adriano keep it up.
Hongera Sr mungu akubari sana kwa utume wako
Ongera sister Adriana .
Wimbo safi sana
Hongera Sana sr.Adriana na hongereni sana Masista wa Vincent wa paulo
Kazi nzuri. Anayejua mtunzi nani atujulishe. Au vyema zaidi atuwekee nota humu
Abado Samwel
Akuna cd yake Sr nimependa sana
Asanten na hongeren sana kwa wimbo mzuri sana
Hongeleni sana
Hongera sana Sr, naomba kopi ya wimbo huu jamani
Sister Adriana unajua kweli hongeraaa
Beautiful choir!
❤❤❤
Hongeraa sanaa
Hongera Sr. Adriana👏👏👏
Woow much blessings to you
Fantastic
This is the best choir of all I ever uploaded before.
Good
Watot wamefundishwa na wameimba kwa kiwango bora hongera sr adrianna
Hongera Sana sista kwa uinjilishaji,
Naomba nota
Good job 👍 Sr.Adriana
Well and nice
nice one👏👏👏
Hongera Sr Adriana
Stay blessed
I don't know why I'm crying, (Catholic blood)
Mimi pia...nice song
Hata mimi machozi ya furaha yamenilengalenga
Hongera sana
Tunaomba jina la mtunzi tafadhali
Wimbo mtamu sana huu..mtunzi nani? Nawezaipata nota Kyle SMN?
Wanaojua huu wimbo naomba Nota au kiungo katika Swahili Music Notes
Mtunzi samwel Abado ... Sadaka yetu ya leo
Sr hongora sana
Ni wake Abado Samwel?
Umecheza kinanda kwa utulvu
Wimbo umetungwa nani nimeusikiliza basi nahitaji copy niuimbe nitumie 0744009846
Ulifaulu kupata huo wimbo?
MUNYAO bado sijaupata mkuu
Samwel abado
Huu unaitwaje na umetungwa na nani
Sadaka yetu ya leo
@@vincentmunyao4911 wajua mtunzi?
@@davidmuinde2566 nimetafta kwa utunzi wa samwel adabo hakuna wimbo Kama huo
Nmeupata bro
+254712088243 nitumie kwa WhatsApp. Will appreciate
Hongereni wanafunzi pamoja na masista .Tumeona mengi mazuri Toka kwenu .
Ongera sister Adriana .
Hongera sana
Wanaojua huu wimbo naomba Nota au kiungo katika Swahili Music Notes
Uliupata? Hata Mimi nautaka pia