Balozi Liberata Mulamula: Chanzo cha Mgogoro wa Congo (Part 1)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 фев 2025
  • Akizungumza katika mjadala ulioandaliwa na taasisi ya DUPSA katika chuo kikuu cha Dar es Salaam, leo Februari 08, 2025, Balozi Liberata Mulamula amechambua mambo yanayoisumbua Congo:
    1. Ukubwa wa nchi na idadi ya watu
    2. Utajiri wa nchi ya Congo na jiographia yake
    3.Historia ya kiungozi.
    Mulamula alikuwa katibu mkuu wa kwanza wa Kongamano la kimataifa la maziwa makuu. Kongamano lililoundwa kwa ajili ya utatuzi wa kudumu wa mgogoro wa Congo.
    Unaweza kutufuatilia kupitia;
    TWITTER: / thechanzo
    INSTAGRAM: / thechanzo
    FACEBOOK: / thechanzo
    TIKTOK: www.tiktok.com....
    Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
    Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
    The Chanzo Initiative, 2025 © All Rights Reserved.

Комментарии • 36

  • @izidolikivyiro8424
    @izidolikivyiro8424 28 минут назад

    Shukrani sana Balozi Liberata kwa historia hiyo

  • @humphreylaban6871
    @humphreylaban6871 Час назад +1

    Hongera sana Balozi Dr. Leberata Mulamula

  • @rosebudkurwijila1092
    @rosebudkurwijila1092 54 минуты назад

    Thank you so much Liberata. That's quite a history!! Well explained and clearly understood

  • @deodartngaiza6664
    @deodartngaiza6664 Час назад

    Dada, asante sana. Wakola muno.

  • @hemedmwipopo780
    @hemedmwipopo780 56 минут назад

    Mama Uko vizuri

  • @NepporSabith
    @NepporSabith 2 часа назад +3

    Huyu atapigwa vita naviongozi wa CONGO,kwasababu anazungumza ukweli,m23 wanapigania haki zao mpaka mwisho

  • @mujunibikombo764
    @mujunibikombo764 33 минуты назад +1

    Me naona ukubwa siyo tatizo,tatizo ni utawala wa ndani,raslimali ambazo wazungu wanachukua hapo.

  • @richardhosea8827
    @richardhosea8827 Час назад +1

    Balozi usisahau Congobravile ilikuwa ndani Congo

  • @hoseawilliam1135
    @hoseawilliam1135 2 часа назад

    Jamani

  • @geraldluiso6792
    @geraldluiso6792 Час назад

    Ili inchi itulie inahitaji vitu vitatu 1). Kusiwe na Ubaguzi 2). Haki iwepo 3) uhuru uwepo.

  • @PamelaPatrick-g4t
    @PamelaPatrick-g4t 3 часа назад +1

    Baada ya mkutano wa Berlin nchi ya congo walikubaliana iachwe huru Kwa Kila mwenye kuona fursa ya rasilimali asizuiwe. Mberigiji alikiwa kiranja TU na hakuruhusiwa kumzuia yeyote. Tujitahidi kusoma wanazuoni. Tuwasaidie wenzetu wa congo wameteseka Kwa miaka mingi. Ukubwa si sababu. Mifumo ya ndani itazamwe vizuri

    • @muhsinyusuph6456
      @muhsinyusuph6456 2 часа назад

      44😂

    • @rumk-b3n
      @rumk-b3n 2 часа назад

      Ni sababu hata marekani inatawalika kwa sababu imegawanyika kwenye majimbo na yana mmlaka ya kufanya mambo yake.

  • @humphreylaban6871
    @humphreylaban6871 Час назад +1

    Sasa itabidi makubaliano yale ya tarehe 23 yatekelezwe

  • @hoseawilliam1135
    @hoseawilliam1135 2 часа назад +1

    Ukubwa siyo tatizo mbona America bara zima hakuna shida watu zaidi ya milioni 300? Sema watawala wenyewe

    • @Enugundani8299
      @Enugundani8299 50 минут назад

      America ipi? Kusini, kati au kaskazini?

  • @johnmichaellukindo21
    @johnmichaellukindo21 Час назад

    Tatizo congo hakubali kama m23 ni wakongo

  • @EmayNgayda-in9gx
    @EmayNgayda-in9gx Час назад

    Kweli nchi isaidiwe kuwa na jeshi,kisha igawanywe katika mikoa itakayoongozwa na wakuu wanajeshi,kila mkoa ukiwa na kambi ya jeshi, Jeshi liandaliwe kujenga miundombinu mipya ya kiutawala katika mikoa itakayoundwa mf kuanzisha makazi mapya.

    • @mosesg.pendael8381
      @mosesg.pendael8381 Час назад

      Hao wakuu wa mikoa watageuka watawala wa hiyo mikoa na hawatataka kuingiliwa

  • @samwelmatemu8873
    @samwelmatemu8873 2 часа назад

    Hakuna jeshi congo

  • @thedriver.michael.3975
    @thedriver.michael.3975 2 часа назад

    We get to find solution to this pollution we don't want course once we know it cause

  • @MichaelKavavila
    @MichaelKavavila 2 часа назад

    Watuambie kilifichika Nini kwenye mkataba wa march23.maana Ili kina limeficha mengi

  • @gidongailo7174
    @gidongailo7174 2 часа назад +1

    Kwa maelezo haya ya mama yetu, ni dhahiri M23 wana haki kabisa, na wala hawapaswi kuchukuliwa kama waasi

    • @NyatseLogistics
      @NyatseLogistics Час назад

      Issues za uraia msipotake care nazo mapema baadae ni kizungumkuti. Ona yaliyowakuta Ukraine vs. Urusi ; royalty inakuwa issue....tz pia tusilale

    • @silvesterrichardhelenya1319
      @silvesterrichardhelenya1319 30 минут назад

      Wale ni raia wa kongo

  • @papymayani8796
    @papymayani8796 2 часа назад

    Yote umesema Mama inaonyesha ni uporaji wa mali ya Kongo ndio sababu Kongo kukosa amani. Mengine yote ni excuses yaku iba.

  • @richardnganya2311
    @richardnganya2311 29 минут назад

    DR Congo ni kubwa kuliko Akgeria ??? Kwa hiyo data ziluzopo ni feki ??

  • @hamidmussa838
    @hamidmussa838 Час назад

    Balozi yy Mtusi

  • @hamisidale2704
    @hamisidale2704 2 часа назад

    America mbona inatawalika?

  • @samwelmatemu8873
    @samwelmatemu8873 2 часа назад

    Hakuna historia Happ hao wataka kuiba madini.hakuna Cha ukabila hapo

    • @banajuliana758
      @banajuliana758 Час назад

      Warudishwe kwao pamoja na sehemu yao

    • @silvesterrichardhelenya1319
      @silvesterrichardhelenya1319 31 минуту назад

      Ni ukabila madini wanaomiliki ni wasauzi na wachina na watu wa magaharibi sasa hivi ni ukabila hakuna mgodi unaomilikiwa na Rwanda

  • @PamelaPatrick-g4t
    @PamelaPatrick-g4t 3 часа назад

    Baada ya mkutano wa Berlin nchi ya congo walikubaliana iachwe huru Kwa Kila mwenye kuona fursa ya rasilimali asizuiwe. Mberigiji alikiwa kiranja TU na hakuruhusiwa kumzuia yeyote. Tujitahidi kusoma wanazuoni. Tuwasaidie wenzetu wa congo wameteseka Kwa miaka mingi. Ukubwa si sababu. Mifumo ya ndani itazamwe vizuri