Rio nakupenda sana kwa kumsaikiliza mama maana sania sio mke huyo nafurai ukiwa na zuu mashallah kazi nzuri na kuenda clinic 😂😂😂😂😂😂 kazi safi muendelezo zaidi
Hizi ndio ndoa za mkeka au? Alafu zuri kwn ako na mimba ngap za watu wangp?...Kwa house girl ako na mimba ya Kai...uku Kwa secret lov ako na mimba ya rio....hii inawezekanaje ??😅😅😅
Zatiti ni mwanamke bora sana uwe na maisha marefu
Nampenda zatiti jaman 😊😊
😂😂sania kapendeza jamani
Rio nakupenda sana kwa kumsaikiliza mama maana sania sio mke huyo nafurai ukiwa na zuu mashallah kazi nzuri na kuenda clinic 😂😂😂😂😂😂 kazi safi muendelezo zaidi
🙏🙏🙏
Kaz nzur sna
Kazi nzuri san nimependa zuu kaza mpenzi
Mr uky amekuharibia uhusiano wako jaman warida pole hv vitt vya 2000 vinatesa sana
Sania na tamaa zako umeachika ila nmefurahi kumuona Zuu anafuraha
😂😂😂jman mlieka nguo nyingi nyingi hizo mimba haswa zuu huez hata kutembea
Aminia✌️
Wow 👏👏👏kazi nzuri sana
Kwani wanawake wameishi mpaka haolewe Sania mcharuko
Safi cn nyote mumekuwa
Kwani saniya anajikuta nani?
Kila move yy ndiye mjuwaji na mdharau mkubwa yeyote bila uwoga?
Hii inabidi mlifanyie marekebisho 😢
Kz nzuri sn ila naomba muendelezo wa my mother plz
Movie tamu sana hii
Hivi hizi mimba za ukweli au 😮😊maana sahi mna mimba mkija kwa house girl amna mmmh ngunia zifanye kazi
😂😂😂😂
Hizi ndio ndoa za mkeka au? Alafu zuri kwn ako na mimba ngap za watu wangp?...Kwa house girl ako na mimba ya Kai...uku Kwa secret lov ako na mimba ya rio....hii inawezekanaje ??😅😅😅
Na mjuwe sania ako area....na hamupatani nae....😅😅😅
Ni ku act mwenzangu
@@Alsa1988MoonEbu waambie😂😂
Wakwaza leo tena jaman
😂😂😂😂😂 hizo mimba
Sania kama sania kubadilika nivigumu dah
wa pili jameni kutoka kenya
ILA ZUUH jamani😢😢
Yani kama mbelee
🔥🔥🔥
🎉🎉🎉
🎉🎉🎉🎉
Story nzri jaman
❤
Na mm wa 4
🎉🎉🎉🎉
🎉🎉🎉🎉🎉