Tuombee mama caro sana coz hao watu watatu wanaenda Kwa wagaga Ili case iwe Ina postponed mpaka itupwe and I cover the case and mama caro with the blood of Jesus Christ.
According to me and the way i know this courts i would go by advising mama carol awache hii case hiyo pesa yote apanue business yake God will punish the killers his own way.
Kwakweli Kenya hampo salama jinsi inshu ilivyo fwatiliwa mpaka kupatikana watoto jaji anasema ushahidi hauja kamilika kweli aise haki IPO kwa mungu tu hapadunia mwenye pesa na madaraka ndio mwenye haki
Seriously how do our judges work, don't they have humanity in their hearts. Where is justice in such situations people who are criminals given all the time to enjoy. Things must change surely.
Mama caro MUNGU akukumbuke mum niliacha caro akipelekwa hosi kumbe alipass pole saana jipe nguvu na uamini MUNGU mwenye Alie juu tutachanga ata 200 yenye mtu ata PATA hakuna shinda ya mtu mmoja
Mama carlo na ukumbuke zile pesa utalipwa zitakuwa zimetokana na kudhulumiwa kwa mtu mwengine kama vile tu ulidhulumiwa so hizo pesa zitakuwa za laana tupu.
Pole sana ma carlo,lakini unaweza kuwa kuna utapeli hapa. chunga usije ukapoteza hata hio 600k na usipate chochote jst forget this case coz no amount of money can replace ur daughter my dear. To my opinion naona tu uachane na hii case.
If the lawyer was confident about a favourable ruling, he would not insist on upfront payment. He would know that he will get 30% upon compensation - mutual alignment. He is derisking by asking for cash upfront which show very little faith in the current case. This is just a practical matter, she can fight on and end up with phyrric victory or can use the funds to improve herself.
Samaritan don't mislead people,a case cannot be determined within that period,once you are taken to court you can be given a bond,but it does not mean you are innocent ,the case is still going on
Sasa surely sama ulijuwa caro alikufa and you can't let us know.... Some of us we would love to attend the burial.. How is baby mash usikunje kutumbia pia yeye alikufa😢😢😢😢😢
Court will drain you more mamaa,let Caro rest God will prevail 😢😢
Hangeachia Mungu,,,, na atumikie Mungu,,,, na ata akilipwa ni mosese, SI Bado ni pesa ya kumwaga Damu,,,,
Alafu Bado anatanfaza Ako na hotel, pia ni hatari kwake
Mama Caro pole saana Hakika Mungu atakulipizia
Ngai, Carlo alipass, may God punish, Stella, jambi Na Moses 😭😭😭😭😭😭
Tuombee mama caro sana coz hao watu watatu wanaenda Kwa wagaga Ili case iwe Ina postponed mpaka itupwe and I cover the case and mama caro with the blood of Jesus Christ.
Ata angetaja kiasi Cha pesa,, ange yamazia,,,,
Dci Geff worked so so hard.😮😮
Mama Caro never give up please and we are with you from Namibia .
Pole sana mama carol
stella,mose na ruth inafaa raiya iwashugulikie
Enyewe
Mama carol God he will be your judge leave her in God hands
According to me and the way i know this courts i would go by advising mama carol awache hii case hiyo pesa yote apanue business yake God will punish the killers his own way.
True!! And again money talks in this country mnyonge Hana haki
Ala ....Samaritan can sing ❤❤❤
Tena, a beautiful song, imagine he is a total singer
Leta mama mash kwa studio sama
Pole mama calo mm nigekwabia wachana na case heri Uwachie God
Pole sana mm caro, wapeane tu kwa mungu.
Hugs mama Caro may God fight for you
Waaa Samaritan can sing congratulations ❤
I agree with mama Carol it’s compromising her safety
We kumbe weni msani sauti tamu hivo waaw
Serikali ya kenya mbovu kabisa wauwaji wana achiwa huru hamna haki ndio maana mauwaji mengi 💔
Kwakweli Kenya hampo salama jinsi inshu ilivyo fwatiliwa mpaka kupatikana watoto jaji anasema ushahidi hauja kamilika kweli aise haki IPO kwa mungu tu hapadunia mwenye pesa na madaraka ndio mwenye haki
Nafikiri waizi wa kuku ndio wanafungwa huku kenya, lakini sio wauwaji
Let the spirit not rest until she get justice 😢😢
True
Pole sana mama Caro najalibu kuvaa kiatu chako hakinitishi haki maumivu ya kupoteza mtt nimazito sana pole sana
Samaritan you're a marathoner and a good singer as well 😮.
Seriously how do our judges work, don't they have humanity in their hearts. Where is justice in such situations people who are criminals given all the time to enjoy. Things must change surely.
Money talks and we heard Moses saying so.
Hii Kenya kuna shida kubwa sana,Mtu akiiba mayai anafunga miaka mwingine akiua anawajiliwa
Mama caro MUNGU akukumbuke mum niliacha caro akipelekwa hosi kumbe alipass pole saana jipe nguvu na uamini MUNGU mwenye Alie juu tutachanga ata 200 yenye mtu ata PATA hakuna shinda ya mtu mmoja
Mama Caro jipe nguvu Mungu atakupigania, Let her continue resting in peace
Sam you can sing 🎶
MUNGU WA WANYONGE HALALI
Kuna true justice kwa God
600k ni pesa mob walai😢😢😢😢 huyo lawyer alipwe kidogo alafu after case hiyo 5m atoe yake hapo.
Caro alikufa mbona waliwachwa bado watafanya hivo lakini Dci ni mutu mngwana sana mungu akubariki atakama ulipitia wewe pia bibi alikua anaku chit
Wow Sama kumbe wewe ni musician 😅😅, you can rapp like seriously 😅
Aki hi Kenya ni Mungu tu,but they will never have peace.
Mama carlo na ukumbuke zile pesa utalipwa zitakuwa zimetokana na kudhulumiwa kwa mtu mwengine kama vile tu ulidhulumiwa so hizo pesa zitakuwa za laana tupu.
Wow congrats Sama pole mama Caro
Pole sana ma carlo,lakini unaweza kuwa kuna utapeli hapa. chunga usije ukapoteza hata hio 600k na usipate chochote jst forget this case coz no amount of money can replace ur daughter my dear. To my opinion naona tu uachane na hii case.
If the lawyer was confident about a favourable ruling, he would not insist on upfront payment. He would know that he will get 30% upon compensation - mutual alignment. He is derisking by asking for cash upfront which show very little faith in the current case.
This is just a practical matter, she can fight on and end up with phyrric victory or can use the funds to improve herself.
Sama and you can sing
Please mama achia Mungu
Wachana na kesi mtoto apumzike ukipata sapot utafute kitu ufanye tafadhali
Mm nataka mama mash
Pole mama caro😢
Sama congratulation
😢😢😭😭💔 Rip caro
God , na kidney ya caro kuna mtu ana survive nayo
Just imagine 😢😢😢
Hugs mum
Kuna vitu vya kuacha Kama vilivyo lakini swala lakuuwa hata mungu kasema aliye uwa auwawe ndio haki hiyo
Mash anaendeleaje
Kuna Mungu mama caro na anaelewa yote
Samaritan don't mislead people,a case cannot be determined within that period,once you are taken to court you can be given a bond,but it does not mean you are innocent ,the case is still going on
Justice for sale
😢😢
Sasa surely sama ulijuwa caro alikufa and you can't let us know.... Some of us we would love to attend the burial.. How is baby mash usikunje kutumbia pia yeye alikufa😢😢😢😢😢
Aliandika
What Kwani Caro alikufa
Si sama alisema aki
Kenya police na lawyer will never help you hapa unadeal na hao watu kivyako byball means ...
Stella na group yake watalipia
Congratulations musician Samaritan
Pole mama Caro.
💔💔💔💔
😢😢😢😢😢
Cynthia
Was it is real or jaba.i didn't see funeral??????
Enda nyuma uone the story. Moses and stellar
Its was real. I know from court
Stop mocking mama carol kindly
Akuna mazishi
You expected Samaritan to go and burial Videos surely ,had you watched the condition she was in @MargaretteQuite-me3xs
Sama don't put her number here
Hii ni ya lini nayo coz naona kama sikuionaga
It is like 5 months ago
Five months ago. It was long n threatening... 😢😢
SAMARITAN
KAMA HUYU LAWYER AKO SURE ATA WIN HII CASE NDIO 5million ITOKE, KWA NINI ASIFANYE HII CASE WAKILIPWA HIYO 5m ATOE HIYO 600 YAKE
@lynn ngugi intervene