Dulla ama hakika unafanya vitu vikubwa unastahil kupewa tuzo...heshima kwako huwa nakumbuka xana ya Jana..unawapa heshima wazaman na sio hadi wafe....big up bro
Q jay unakipaji kikubwa sanaaa na unauwezoo wakuirudia ile nafasi yako uliyoiacha kwa Muongo mmoja sasa, kwaniii Bado uko smart na unajitambua, kazaaButii tunakumiss sanaaaa
We miss you ma brother unauwezo mkubwa sana wa kuimba c mchezo
Aiseeee dullaa umeuaaa semaaa nni mimi namuhitaajiii man x yuko wap
Q jay sio mtu mzuri maana jamaa anaimba mbaka sura inauma ayeeeeeeeh
Nakubali sana Dullah hii sio kazi ndogo unayofanya kwakweli wewe unahitajika kupata tunzo juu ya hili maana sio dogo hata
Daah kweli muziki wa zaman balaa
Dulla ama hakika unafanya vitu vikubwa unastahil kupewa tuzo...heshima kwako huwa nakumbuka xana ya Jana..unawapa heshima wazaman na sio hadi wafe....big up bro
Q jay unakipaji kikubwa sanaaa na unauwezoo wakuirudia ile nafasi yako uliyoiacha kwa Muongo mmoja sasa, kwaniii Bado uko smart na unajitambua, kazaaButii tunakumiss sanaaaa
Ebanaaa eee q jay ni noma saana duu jamaa ana Vocals za ajabu 💪💪💪
We miss this taste
Salute kwa dj
Eatv kiboko yaoo .iiiiivooo yan
T-pain wa bongo is back
18:00
17:42
daaah q jay q jay izo time acha tuu
18:00 nyimbo ya dulla planet bonyeza huo muda uone maajabu
18:00 nyimbo ya dulla planet
YANI KAMA RECORDED VILE HAYA SASA MA STUDIO VERSION WAZEE WAKUUNGA UNGA MNALO MWENYE YAKE KARUDI
EATV mtuletee kundi la Solid Ground Family na Mike tee!!!!!ivo yannn
Hao jamaaa walipotelea WAP?
17:52