Azam FC yafunguka sababu za kumtimua kocha wake Youssouph Dabo na wasaidizi wake

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 ноя 2024
  • СпортСпорт

Комментарии • 14

  • @martinlema4192
    @martinlema4192 Месяц назад +1

    Kwasababu ameshaondoka tusiongee sana. Ila Azam mnaonekana mnakilakitu mnafungwafungwa hovyo!

  • @ranst9309
    @ranst9309 Месяц назад +1

    Mnaweza mkaanza na Mgunda.....nikocha mzuri asie thaminiwa....fanyeni uamuzi mapema wapenzi wa azam wafurahie

  • @ce-08
    @ce-08 Месяц назад +2

    Azam mdomon mpo vizur ila vitendo aaaah

  • @MaloHasani
    @MaloHasani Месяц назад +1

    Tumetia aibu sana sisi

  • @imanimpenda6232
    @imanimpenda6232 Месяц назад +1

    Mnajua mechi inayofuata mnacheza na nani

  • @AbisinaRashidi-c8d
    @AbisinaRashidi-c8d Месяц назад +1

    Nabado hasa wew unamdomo sana matendo hakuna nafasi ya pili mliitaka. lakini wapi wasenge nyie.mkome

  • @RodrickKabogo
    @RodrickKabogo Месяц назад

    Amuerewek

  • @ce-08
    @ce-08 Месяц назад +1

    Kwa hela mlionayo mlikubaliaje Nabi aondoke Tz yan palepale ameicha yanga mngepanda dau aje kwenu abaki Tz

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 Месяц назад +1

    Kimataifa kafanya hovyo sana

  • @stanslausbereghe3819
    @stanslausbereghe3819 Месяц назад +1

    Mmezoea kuongea ongea sana. Hakuna cha upepo, ni kutokuwajibika ipasavyo kwenye umoja wa timu, no winning patterns, pasi zinaishia njiani, accurate long balls spears hazina target na hazina mchanganyiko wa kumchanganya adui, hazifiki mahali pake kuwakuta wamaliziaji kwenye maeneo ya wazi ili pasi ziwakute wachezaji maeneo ya mikimbio ya kujitengenezea nafasi za ushindani, middles zote hazikimbii, kutafuta target mahali sahihi pa kupasia na kupokea mipira ili kufunga goli mahali lilipo eneo sahihi, wachezaji hawana pumzi za mikimbio, kila mchezaji akiingia uwnjani anakamia mechi na ubinafsi wa kujituma hawana kiwanjani. No collaborations in different angles patterns. Milango ya adui haizibwi ipasavyo. Maelezo mengi ni ya kiumbeya mwingi na hii inatokana kukosa kuulizwa maswali ya kiujuzi zaidi kwa waulizaji.

  • @vincentkatabalo286
    @vincentkatabalo286 Месяц назад +1

    Tatizo ni goli 4 za Yanga

  • @JeremiahWilliam-d6d
    @JeremiahWilliam-d6d Месяц назад +1

    Chukueni nabi

  • @albertvalentino130
    @albertvalentino130 Месяц назад

    Tatizo lenu nyie,msimu mzima mechi kwenu ni pale mnapocheza na Yanga ---- yaani azam mkicheza na Yanga mnauma meno na kutoa macho utadhani mnacheza fainali ya Club bingwa ya Dunia agast Real Madreed " mtaendelea kufukuza Coaches sana " ndani ya umri wa miaka 20,tayari MNA Coaches 26" msipokuwa makini,muda si mrefu,mtaweka rekpdi ya Dunia "