Story ya jamaa demu wake alikuja USA kwa ukimbizi na sasa anataka amlete mpenzi wake🇺🇸 njia ipi?

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 окт 2024

Комментарии • 17

  • @dayana5513story
    @dayana5513story 6 месяцев назад

    Asante bro Ubarikiwe

  • @muhammedjuma8966
    @muhammedjuma8966 6 месяцев назад

    Hey kaka nashukuru umetusaidia kutuelimisha sana manugu akulipe gheri nyingi tu na mm niongoni ndoto zangu kuja nimeomba green

  • @japhethromanus-zz9ht
    @japhethromanus-zz9ht 6 месяцев назад +2

    ❤❤❤❤

  • @Msafir99
    @Msafir99 6 месяцев назад +1

    Mimi ni mgeni nimejifunza mengi sn asante

  • @Johnmgogo
    @Johnmgogo 6 месяцев назад

    Je Mtu toka Tanzania anaweza kupata ukimbizi ikiwa ameingia kwa visiting visa?

  • @montanA.23
    @montanA.23 6 месяцев назад

    Niaje bro..had questions on how you joined the army

  • @charlesjohn9893
    @charlesjohn9893 4 месяца назад

    Kak mim nakufatilia san na unanifanya nipate dalasa kma nipo USA

  • @nduwimanaLaziz
    @nduwimanaLaziz 6 месяцев назад +1

    Brother habari yako mim huw ninakufatilia sana nina swali
    Ivi ninawez kuishi us hali yakuwa ninaulemavu wa mguu mmoja?je naninawez kuendesha gari na mguu wakushoto hali yakuwa mguu wakulia sina?

    • @mshanatheblacksmith
      @mshanatheblacksmith  6 месяцев назад

      Pole kwakupoteza mguu!! Kwakuendesha US. Hutoweza Ila kuingia US. Inawezekana kama una any skills, education or you get sponsor kukuleta US kwanjia yoyote

    • @nduwimanaLaziz
      @nduwimanaLaziz 6 месяцев назад +1

      @@mshanatheblacksmith ndio bro ninauwakik wakusafirish na niko nafamiya mke metoto 4 UNHCR ndio inagatilia case yangu kwahiy kwakuingia us itakuwa rahis kwang kupitiy shirika hilo

    • @ahadimuya
      @ahadimuya 6 месяцев назад +1

      ​@@mshanatheblacksmith😊

  • @daviddonatus8121
    @daviddonatus8121 6 месяцев назад

    Hapo kama mkoa wa kagera hiyo miti tatzo bongo rami hakuna

  • @caramamttv
    @caramamttv 6 месяцев назад

    Nina swali kaka mimi ni mkazi..wa Burundi 🇧🇮 Nina wife uko Usa tumesha funga ndowa uku Burundi..na tumesha pata mtoto uko ..turi tafuta visa toka mwaka Jana mwezi wa 9 sasa ivi bado hajatujiju…sasa watatujibu lini mbona iyo nyez irisha kuwa mingi

    • @mshanatheblacksmith
      @mshanatheblacksmith  6 месяцев назад

      Visa gani mmeapply maana unatakiwa kuapply immigrant visa website USCIS than unasubiri kwa average ya 4-6 months inategemea na wengi wa watu wanaodili nao(USCIS)ndani ya mwaka, especially spouse na mtoto under 21 age wanapewa kipaumbele na inaonekana umesubiri mda mrefu kama utaweza kuwa email kuuliza itakuwa vyema maana Mara ya mwisho USCIS walikuwa huwezi kuwapigia simu

    • @mshanatheblacksmith
      @mshanatheblacksmith  6 месяцев назад

      Mke wako ni Green card holder au US citizen?

    • @caramamttv
      @caramamttv 6 месяцев назад

      @@mshanatheblacksmith ni USA sitizen..amesha pata ulaiya

  • @caramamttv
    @caramamttv 6 месяцев назад

    Na tuliuliza wa katwambiya eti tusubiri kwa myezi 14