Femi One - Hepi ft King Kaka & Mbithi (Official Lyrics) (INTRO) I like that I like that I like that Recipe ya Hepii I like that I like that I like that (Verse 1 - Femi One) Ukinibeba ufala nashuka haraka na jam Juu nangojwa maskani sana kwa hamu na gum Ka we si beshte damu me siwezi kuita fam Kuna minor kwa sherehe mshow anaitwa na mum Juu masaa ni ya hepi chunga masaa ni ya thambi I’ll see what I can do na wababa wa vitambi Kamkopo kalijipa basi leo sichangi changi Juu Mixture ni Remy na pombe Za kariobangi hangover kesho itakua ka ya watu wawili maramoja itabidi nimemeza mara mbili Lakini haithuru bora vako tuziseti Picha tunachoma Sana tu kwa sababu hepi (CHORUS) Recipe ya hepi Hepi Recipe ya hepi Maganji,washkaji vinywaji ndio recipe ya hepi Hepi Recipe ya hepi Hepi Recipe ya hepi Maganji,washkaji vinywaji ndio recipe ya hepi (Verse 2 - Mbithi ) Vau ndalani nenga kila mundu kile anadai kubuy Itema ike uvivywa ta nyama ya ufry Kaa ketawa kachathi Kunia musembi mwie ooke na twilitu na aithima mabrathe mkamba na mapoz Circle ilichange na veveka na maboss Niki come around si unajua how it goes Me si brag labda unikute kwa meno Niko floss ooh Dakika mbili tumebonga one hour tumemake el nino na ma champagne showers Tiba ya kuchapa si ni Pesa Ndio dawa Siri ya kukaa fly si ni pesa ndio mabawa ooh (CHORUS) Recipe ya hepi Hepi Recipe ya hepi Maganji,washkaji vinywaji ndio recipe ya hepi Hepi Recipe ya hepi Hepi Recipe ya hepi Maganji,washkaji vinywaji ndio recipe ya hepi (Bridge) I like that I like that I like that (Verse 3 - King Kaka) Niko na hanjam true story Why lie Nairobi Mji wa free Wifi Mkristo Nameza Divai Mi ni Heppi Till I die Tuko na who’s who yaani Nani Nani Tunasele maDesign ikiingia maGizani Utanipata na BOYZ wangu Unaishi kikuyu leo unalala roysambu Marashi tulishare Ulimi major razor Meza yetu Mathree aisee Beba Beba Friday tuko nameless na Nons Remmy , Nyake na Supuu ya Bones (CHORUS x2) Recipe ya hepi Hepi Recipe ya hepi Maganji,washkaji vinywaji ndio recipe ya hepi Hepi Recipe ya hepi Hepi Recipe ya hepi Maganji,washkaji vinywaji ndio recipe ya hepi (OUTRO x2) Hepi Hepi Hepi Maganji,washkaji vinywaji ndio recipe ya hepi
This is why i have wathched this song ober 100 times. anasema... hapa ndalani patia kila mtu kike anadai kupewa, pigia musyimi umshiw akam na madem juu hi ni sherehe, liver inachomwa kama nyama choma...... motoooooo
Femi One has finally completed her 10,000 hours! Her flow is lit and he calm delivery is testament of years of hard work! Femi One has arrived. Well done!
Lyrical Princess Surprising us daily 💥Mara Moja itabaki nimemeza mara mbili This song issa vibe Lazma ningei rewind mahn ✨Show love Femi keeping KE Music in top
As from today, this minutes, this hour. Femi one you have taken from Nazizi. The best female East African rapper and that should go public as from today.👏👏👏👏👏👏🔥🔥🔥🔥🔥✔️🇰🇪👊.
Femi on fireeee🔥🔥🔥🔥🔥🔥lakini who else realized that after they did properly with Nyash Femi been straight fire ever since...💯💯Nyashinski alifanya ile kitu...
Kaka Empire Is The Lifestyle I usually love Friday's Juu Kenyan Artists huwachilia Madoba Furahidays ndo tufurahiday Alafu Mbithi Umeweza Na Femi Uno Uko Yuuu😍
The hype in this music.... We definitely gonna enjoy this one for the rest of the year! S/O to Mbithi, amazing how dude pulls off an amazing music style blended with the kamba accent!
Femi One - Hepi ft King Kaka & Mbithi (Official Lyrics)
(INTRO)
I like that
I like that
I like that
Recipe ya Hepii
I like that
I like that
I like that
(Verse 1 - Femi One)
Ukinibeba ufala nashuka haraka na jam
Juu nangojwa maskani sana kwa hamu na gum
Ka we si beshte damu me siwezi kuita fam
Kuna minor kwa sherehe mshow anaitwa na mum
Juu masaa ni ya hepi chunga masaa ni ya thambi
I’ll see what I can do na wababa wa vitambi
Kamkopo kalijipa basi leo sichangi changi
Juu Mixture ni Remy na pombe Za kariobangi
hangover kesho itakua ka ya watu wawili
maramoja itabidi nimemeza mara mbili
Lakini haithuru bora vako tuziseti
Picha tunachoma Sana tu kwa sababu hepi
(CHORUS)
Recipe ya hepi
Hepi
Recipe ya hepi
Maganji,washkaji vinywaji ndio recipe ya hepi
Hepi
Recipe ya hepi
Hepi
Recipe ya hepi
Maganji,washkaji vinywaji ndio recipe ya hepi
(Verse 2 - Mbithi )
Vau ndalani nenga kila mundu kile anadai kubuy
Itema ike uvivywa
ta nyama ya ufry
Kaa ketawa kachathi
Kunia musembi mwie ooke na twilitu na aithima mabrathe
mkamba na mapoz
Circle ilichange na veveka na maboss
Niki come around si unajua how it goes
Me si brag labda unikute kwa meno Niko floss ooh
Dakika mbili tumebonga one hour
tumemake el nino na ma champagne showers
Tiba ya kuchapa si ni Pesa Ndio dawa
Siri ya kukaa fly si ni pesa ndio mabawa ooh
(CHORUS)
Recipe ya hepi
Hepi
Recipe ya hepi
Maganji,washkaji vinywaji ndio recipe ya hepi
Hepi
Recipe ya hepi
Hepi
Recipe ya hepi
Maganji,washkaji vinywaji ndio recipe ya hepi
(Bridge)
I like that
I like that
I like that
(Verse 3 - King Kaka)
Niko na hanjam true story Why lie
Nairobi Mji wa free Wifi
Mkristo Nameza Divai
Mi ni Heppi Till I die
Tuko na who’s who yaani Nani Nani
Tunasele maDesign ikiingia maGizani
Utanipata na BOYZ wangu
Unaishi kikuyu leo unalala roysambu
Marashi tulishare Ulimi major razor
Meza yetu Mathree aisee Beba Beba
Friday tuko nameless na Nons
Remmy , Nyake na Supuu ya Bones
(CHORUS x2)
Recipe ya hepi
Hepi
Recipe ya hepi
Maganji,washkaji vinywaji ndio recipe ya hepi
Hepi
Recipe ya hepi
Hepi
Recipe ya hepi
Maganji,washkaji vinywaji ndio recipe ya hepi
(OUTRO x2)
Hepi
Hepi
Hepi
Maganji,washkaji vinywaji ndio recipe ya hepi
Femi unakill💥
@@1234jush ktu unabonga haimake sense wacha mziki ibambe
I like that
@@1234jush Have you heard of her song called donjo? wewe focus na vitu unafanya mambo ya mziki wachana nayo.
Lit
I like how mbithi anaingia na kikamba 😂😂🔥🔥🔥🔥ata ka sielewi this collabo is faya
Should i elezea you the kamba part? 😄The trio issa hit🔥
kamba nation all the way up
It's so lit
Kamba never sounded that good 🤣🔥
This is why i have wathched this song ober 100 times.
anasema...
hapa ndalani patia kila mtu kike anadai kupewa, pigia musyimi umshiw akam na madem juu hi ni sherehe, liver inachomwa kama nyama choma...... motoooooo
Wapi likes za Mbithii 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 daamn this boy mehn ✌️🤘
Nimerudia ii verse ya mbithi Mara ka tatu🔥🔥🔥
ruclips.net/video/FGwprxXobVg/видео.html
I'm here for Mbithis verse it's 🔥🔥🔥🔥 wakamba nation
Y'all sleeping on Kamba Boy👑✅
I literally come to RUclips to check the notification "someone liked your comment"and you have a new subscriber..it always makes my day
Kwani unakula likes?
@@frankbauer2727 yah
Femi one. Ur 🔥🔥🔥
Pitia kwangu nimeslide kwako
@@teenbloody done pia
Mbithi needs more love coz I have been a fan from way back this Boy is straight 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
I’ve always felt this kabsaa 😂😂😂
This boi is🔥🔥🔥🔥
True💯💯💯
true this boy fire
I can Officially say Femi is my favorite female rapper of all time. A G.O.A.T💯
U r not alone
💯💥🇰🇪
👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍
👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊
You deserve that crown of a queen, mistari zimeenda shule 🔥🔥🔥💝
🔥🔥🔥
Queen Femi sounds right
Playing right now at a night club here in Kiev Ukraine and everyone loves it very much especially the Russian Soldiers
Huyu ni mkikuyu ako kiev😜
Seen this comment on Soo many videos!!
Lines zako Femi ni ngori💥🔥
🥃
🤣🤣🤣
Mbithi 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 that kamba dialect is exceptional 🔥🔥🔥🔥🔥🤗
I love how Mbithi rapped in vernacular then fused it with Swahili and English languages, so eloquent , so fluent. So talented.
Mbithi is a ticking time bomb, soon he will be international
Fans really be sleeping on him and i hate it
Mbithi repping ukambani vile inafaa
Everything hits good when it's Femi😍🎉
Femi Unoo❤❤❤
More Kenyan music here ruclips.net/video/zVElhSXM1HY/видео.html
Mbithiii👌aall the waay🤟
Issa banger😍
Tukalewe nayo sasa 😂😂
Tuko na who is who, yaani nani nani....Kaka
Mbithi killed it 🔥🔥🔥
This one killed it too ruclips.net/video/zVElhSXM1HY/видео.html
Femi one ni mkali bnaaa🥵🤭🤭😁
Comments ya kamba rapper likes zakee jooo lines zake😂🔥🔥🔥🔥
Kamba line imeweza
Femi ile design umekam raundii hii eeeish hii wataitana.....
Mbithiiii never dissapoints manzee hii nayo n mwoto hii nayo n mwoto Acha pia nitumie hii recipe ya hepi 🥂❤️
FEMi one and only 📢 Never disappoints 🔥🔥🔥💯 banger
Femi's street vibe always carries the day!
Rabbit we ni sungura 😎😎
Most underrated rapper Mbiithi
Winnie Odinga brought me here
When I see our former head girl back in high school rocking 🔥🔥I just feel proud 💯@Femione best female rapper in Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥hit
More Kenyan music here ruclips.net/video/zVElhSXM1HY/видео.html
🔥mbithi one of the greatest 🔥🔥💪
3 days na hii ngoma hijahit 1 milion views 🥺 Kenyans we can do better hii song ni banger 🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Kenyans don't support their own...this song is a banger but with less views surely!!
wakenya hukuwa busy sana na bongo music
Ndiyo huyo mimi naitwa na mum 😂👀
I swear the way Femi sets bars nowadays,, she's always been the best but lately all I can say is wueeeh!!!! 100%
Since properly ft Nyash....Nyash really made an impact
Bangeeeer sector,ama kuna mtu anapinga
The 2022 club banger is finally here 🔥🔥🔥
That's my fevoryt gyal ,,, Boomba
I think after Nazizi Femi one comes next...🔥🔥🔥 That Kamba Rap is on another level, beat iko on point...
King kaka❤and this song in 2024 still listening
Femi One has finally completed her 10,000 hours! Her flow is lit and he calm delivery is testament of years of hard work! Femi One has arrived. Well done!
Nice very few will understand the 10,000 hours concept. Only readers will get it. Keep it up!
Say less walai
FEMI UNO
Kenyans mko? Let's support our own...this hit should be 1m+ views
I personally love femi...alafu hiyo kikamba iko on point
Lyrical Princess Surprising us daily 💥Mara Moja itabaki nimemeza mara mbili This song issa vibe Lazma ningei rewind mahn ✨Show love Femi keeping KE Music in top
Who else agrees femis part is too short,,,
likes za femi na king mwenyewe simuok bana
Baddest kombi.....likes hapa kwao
These three icons are on another level. Mbithi is lethal man!
Hope si Mimi peke yangu nime notice lyrics ya Femi Ina sound ya kanambo na pia vile imepangwa and everything...
Mbithi still underrated..and its sad..
Femi one as usual coming with the flow and lyrical prowess .
King kaka ni ule ule tu .
Straight fire this one
😂😂😂😂😂 ati King kaka ni
Nooooooo,kaka ameua sana
Naona ikitesa hii June mpaka iitwe December 🔥🔥🔥
Kali sana!!!
Femi is a female version of OG. We love your flows
Did You hear Mbithi🔥🔥🔥💯🇰🇪
Confirmed by the King of vocals ADEJOMBA THE SUN 🔥🔥
OJANA Pia we uko apa
Anthem
Am here for Mbithi💥👑
Mbithiiii
Nagonja.... Femi uno ni 🔥🔥💯
Guys hio line ya kwanza noma kama fire😜 piga like yake hapa "Ukinibeba ufala nashuka haraka na jam...."
As from today, this minutes, this hour. Femi one you have taken from Nazizi. The best female East African rapper and that should go public as from today.👏👏👏👏👏👏🔥🔥🔥🔥🔥✔️🇰🇪👊.
Ati ukinibeba ufala?🔥🔥🔥
The Queen 👑 does it again...🔥🔥🔥
She more than a queen walai nlitry kumgoogle data ikadai
Si lie ilibidi nidandie heny koz ya wifi
Ya bar sikuketi Tena ilinibidi Io ikae nisiMAME
kamba nation represented 💛💛
Femi uno still remains undisputed artist 8n Kenyan industry...
#hepi🔥🔥🔥
Check this one out also ruclips.net/video/zVElhSXM1HY/видео.html
Mara Moja itabidi nimemeza Mara Mbili😎😎😎
Femi Uno never disappoints. One of top bars creator in KE if you ask me
Before ata niskie nilikua nime click like
Femi on fireeee🔥🔥🔥🔥🔥🔥lakini who else realized that after they did properly with Nyash Femi been straight fire ever since...💯💯Nyashinski alifanya ile kitu...
You were late for the show... it's always been that way... that's why Nyash spotted real...same as for Chris Kaiga...real knows real.
@@ianvitalis not really...I am a rapper...I know what I mean
This has been her style, hebu check her freestyle at HBR as a young girl and see how she "flew".
Recepiiiieeee🤗🤗
Kaka Empire Is The Lifestyle
I usually love Friday's Juu Kenyan Artists huwachilia Madoba Furahidays ndo tufurahiday
Alafu Mbithi Umeweza
Na Femi Uno Uko Yuuu😍
hapa uko ndani vizuri kabisa🔥🔥💯💯
Vile tunaingia weekend na hii banger Acha tu🔥🔥🔥💯
This guy mbithi🤐🤐🤐
Big up Femi and very wise kumshirikisha mbithi.. he has a future in the music industry
Karibu kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 ...
🔥🔥🔥Femi the lyrical genius
Hangover kesho ni kama ya watu wawili😩
Mbithi always knows how to flow and light up every beat, femi offlate understands her assignments than ever
TEAM KAMBA BOY 💥💥
She's back with a bang, alafu kamba boy over there, na King Kaka over here! Recipe ya hepi 🔥🔥🔥
🔥🔥🔥
This hits differently 💥 I mean Femi must be illegal her vibes usually gets mi high😜 plus I like the energy in this😇
Sauti ya Femiii ni iconic..juu ya mawingu zaidii
Mbithii came thru on that verse
Ndio maana mimi huogopa Kaka Empire, I mean sio siri oh! Nyi' ni killers.
Femi is undisputed female rapper in Africa
Colabo kali sana remix niitwe jooo🔥🔥🔥🔥🔥
another banger. Mbithi still coming in hot
Sawa
Rabbit empire never disappoint 😎👊🏽👊🏽
Huyo Maina anaitwa na Mum
The hype in this music.... We definitely gonna enjoy this one for the rest of the year!
S/O to Mbithi, amazing how dude pulls off an amazing music style blended with the kamba accent!
ruclips.net/video/zVElhSXM1HY/видео.html more Kenyan music here
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Bana still waiting femi one 🔥🔥🔥
ONGWARO TUKO RADAH🇰🇪🇰🇪🇰🇪😜😜😜
Kamba boy🇰🇪💯💯💯🔥🔥🔥🔥🔥
Wa rozari za ninii... A big tune outer king kaka empire....big op uno femi 👌🏿 ❤ nuff respect
he recipe imeweza
Femi murdered the beat😂🔥
Noma sana the video on point also
Can't get enough of femi one's verse ,,, the verse is sick demn ,, big up femi
More Kenyan music hereruclips.net/video/zVElhSXM1HY/видео.html