BOB JUNIOR; HARMONIZE KAONGEA UKWELI WAKE / TABIA YA DIAMOND NAIJUA VIZURI TOKEA ZAMANI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 дек 2024

Комментарии • 200

  • @bakarimwashiuya6244
    @bakarimwashiuya6244 3 года назад +14

    Nimekuelewa sana. Huna mambo mengi namaanisha huna maneno mengiiiii. Majib yako Ni 💪💪Bob junior HESHIMA KWAKO

  • @muhibbualii4580
    @muhibbualii4580 3 года назад +17

    Bob junior tunamkubali tangu zamani huku Kenya akiimba oyoyo 🤗

  • @meaningoflife651
    @meaningoflife651 3 года назад +9

    Aisee uyu kaka ni so humble

  • @bekalovezone7578
    @bekalovezone7578 3 года назад +13

    Safi sana bob junior one love

  • @machudeissa113
    @machudeissa113 3 года назад +5

    Nimeikubali sana amapiano ya bb levo, unaweza sana junior.

    • @babiddi8620
      @babiddi8620 2 года назад

      Haja itengeneza yy hem fuatilia kwa umakini

  • @abdibilledahir5257
    @abdibilledahir5257 3 года назад +13

    Kila nikimuona Bob Junior nakumbuka ngoma yake ya zamani ya madem walaghai ❤❤❤❤❤

  • @zubeirzubeir9539
    @zubeirzubeir9539 3 года назад +11

    bob junio nakumbuka ngoma yako ile ya mista choklate inatok ilikua kwenye harusi mkesha kijijini ilinipaisha sana

  • @MBGolden
    @MBGolden 3 года назад +15

    Safi sana Blood

  • @asyamgeni9819
    @asyamgeni9819 3 года назад +19

    Si unaona bob junior alivyomsaidia daimond mbona hajakaa kila siku kusema kama alimsaidia mondi kama hapa si unaona tulikuwa hatujui kama album nzima kamfanyia yeye ndo kwanza hapa

  • @hgcbj635
    @hgcbj635 3 года назад +13

    Safi bob 💓

  • @MarkKariukiWaweru
    @MarkKariukiWaweru 9 месяцев назад

    Nice one . This is good. May God continue blessing you . @IBRAAH @HARMONIZE @KONDEMUZICWORLDWIDE @LOVEFROMKENYA🇰🇪🇰🇪🇰🇪 @TANZANIA🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @subirajohn728
    @subirajohn728 3 года назад +18

    Safi bob junior❤️❤️❤️❤️❤️

  • @dinnoboy6232
    @dinnoboy6232 3 года назад +7

    Bob junior Anaongea poa Sana👏👏👏👏

  • @zaiiomary8970
    @zaiiomary8970 3 года назад +32

    Mwaka huu tutayajuwa mengii mnooo😴😂😂😂

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 3 года назад +1

      Ujue mwaka unaisha vibaya huu haya mambo simadogo.mziki ulikuwa zamani siyo miaka yass nivita tu.ndomana sijawahi uweka kichwani mziki wa ubongo wa freva

    • @mrsinia3064
      @mrsinia3064 3 года назад

      Uliuweka wap matakon au 🙄

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 3 года назад

      @@mrsinia3064 ongeza tusi jingine halitoshi hilo

  • @annasanana5192
    @annasanana5192 3 года назад +1

    Oyoyo🔥🔥 bob junior❤❤

  • @philbertemmanuel7630
    @philbertemmanuel7630 3 года назад +26

    Bob junior 🔥🔥

  • @majiniuhaimnu9150
    @majiniuhaimnu9150 3 года назад +1

    Saf sana bobjunio unajitambua pia unasema ukwel utafk mbali

  • @officialmartin4432
    @officialmartin4432 3 года назад +14

    Diamond mchawi wa kupitiliza kawapoteza wote hawa haisee kweli mungu yupo

    • @wamoroboy8963
      @wamoroboy8963 3 года назад

      MCHAWI NA MUNGU WAPI NA WAPI SASA WEWE UPO UPANDE GANI

    • @kennedyluvegah9186
      @kennedyluvegah9186 3 года назад

      True ni mchawi sana

    • @mudhihirissa274
      @mudhihirissa274 3 года назад

      😂😂😂 sema tu unachuki na nasibu kwa maendeleo yake acheni bhana kumsingizia mtu mambo mabaya mungu hapendi riziki kapewa na mungu nyie mnasema mchawi

    • @ikouwasi7644
      @ikouwasi7644 3 года назад

      @@kennedyluvegah9186 mbona hata wewe mchawi

    • @ikouwasi7644
      @ikouwasi7644 3 года назад

      Mbona hata wewe mchawi

  • @angelkitandala3861
    @angelkitandala3861 3 года назад

    Unasauti nzuri mdada

  • @loicejohn6740
    @loicejohn6740 3 года назад +1

    Nakupenda Bob junio

  • @seiphsidysamata8708
    @seiphsidysamata8708 3 года назад +1

    saf broo hauna kinyongo na mtu ndo maisha yanayohitajika

  • @dollarskatembobob8896
    @dollarskatembobob8896 3 года назад +9

    Ninyi bengo 📺 jirekebisheni,ambacho mtu hajazugumza ndicho mnaweka kwenye caption. Ninyi wa nonko sana

  • @davidephrahim4298
    @davidephrahim4298 3 года назад +8

    1:44 Nani kasikia romance badala ya rumours kama mimi??

    • @aminmohammed4249
      @aminmohammed4249 3 года назад

      Huyu mtangazaji ni waki......kama hujui kizungu bora kukausha tu

    • @josephkapinga652
      @josephkapinga652 3 года назад

      Hata mm nmechekaaaa sanaaaa

  • @tabithajohn3352
    @tabithajohn3352 3 года назад +3

    😂😂💔forget the interview... izo glass kavaa zipo kama zangu ah meshtuka🥺😂💔

  • @anjelinakasembe845
    @anjelinakasembe845 3 года назад +11

    Oyaaaaaaaaaaaaamesikia another witness

  • @hakimsashamusic
    @hakimsashamusic 3 года назад +5

    Play don't worry by hakim Sasha please 🔥🔥🔥🙏

  • @sophiankwera9020
    @sophiankwera9020 3 года назад +1

    Bob junior kumbe yupo mweeee

  • @wise9268
    @wise9268 3 года назад +15

    Mbengo TV CAPTION NA CONTENT HAZIJAWAI KUSHABIANA #MNABOA

    • @mrope348
      @mrope348 3 года назад

      Kabisa, mimi ninawaunfollow

    • @Nassprince
      @Nassprince 3 года назад

      wasenge me mwenyewe nawa nishawa unsubcribe

    • @wamoroboy8963
      @wamoroboy8963 3 года назад

      @@Nassprince Tatzo nn sasa BANDO au

  • @doppewaxy282
    @doppewaxy282 2 года назад

    Jamaa mnafiki sana,tena jamaa ana njaa sana,kweli umasikini sio mzuri,huyu jamaa nyonzo,tena bob umekwama mzee,

  • @Atu966
    @Atu966 3 года назад

    Bob junior askii jamanii 😭😭nani ameona ilo

  • @nuryahsaid4226
    @nuryahsaid4226 3 года назад +5

    Good job

  • @ndekelaausi3301
    @ndekelaausi3301 3 года назад +1

    Kapoa huyo halafu anajikomba WcB noma sana

  • @estamsholo4076
    @estamsholo4076 3 года назад +4

    Hongera sanaaa junio

  • @armandoleonardo6966
    @armandoleonardo6966 3 года назад

    Falou certo Bob Júnior

  • @djtwinstar254
    @djtwinstar254 3 года назад +10

    👌👌👌👌👌🔥

  • @tualibojoaotualibojoaotual6603
    @tualibojoaotualibojoaotual6603 2 года назад

    Very nice

  • @balegadaffi801
    @balegadaffi801 3 года назад +8

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥😎😎😎

  • @asdfhdv9230
    @asdfhdv9230 3 года назад +1

    Tambuwa daimond anatumiy uvhawi uyo babu junior anamtengemey mungu

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 3 года назад +2

    Mtangazaji Kwanza Jua Namna Ya Kuuliza Mana Unaongea Kama Ndege Wakati Swali Dogo Sana Unatumia Maneno Mengi Kuliko Ulizo

  • @RuzoOwzy
    @RuzoOwzy 3 года назад +2

    Hizi channel km hii, sijui zinapataje subscriber. Title tofauti na video. Maswali yanaulizwa kwa uwoga uwoga. Harmonize ameshasema wazi ya kwake. Mwandishi wa habari anauliza kutupiana maneno. mmezingua sana wenye hii chanel.

  • @starfordalex4139
    @starfordalex4139 3 года назад +1

    Hatuhami WCB

  • @jemimabakari
    @jemimabakari 3 года назад +20

    "Romanzi" 😂😂=rumors ndugu mtangazaji

    • @nadyasalim7956
      @nadyasalim7956 3 года назад +1

      hahahaaa .hawa hawajasoma tatizo rumours sio romance hatariii hiii

  • @babaqueen5788
    @babaqueen5788 3 года назад

    Bob junior hatari oyoyo oyoyo dar

  • @sizannkondeye1227
    @sizannkondeye1227 3 года назад +2

    Big up to Bob junior...harmo siku akianza kujitambua atayatambua mapungufu yake.

    • @sixbertmwakaluwa5665
      @sixbertmwakaluwa5665 3 года назад +4

      Na akisema ukweli atasimama zaidi fungua akili yako ww unamjua diamond kuliko harmonize

    • @jokhamohammed976
      @jokhamohammed976 3 года назад +2

      Kwa yapi? Kusema ukweli ni kosa kavumilia vingi Sana zaidi ya hivyo alivyo viongea wewe ungefanyiwa hivyo ungefurahi usiongelee ushabiki kuwa na ubinadamu jifikilie ungekua wewe ungeweza kuvumilia Kama yeye alivyo vivumilia?!!!!!!!

    • @RuzoOwzy
      @RuzoOwzy 3 года назад +3

      Hebu tufafanulie vizuri tukuelewe. Ni vipi unaona harmonize hajitambui na yale aliyoongea hayana ukweli??

  • @saidomar5025
    @saidomar5025 3 года назад

    Daaah jamaa kwer anamjua sana sadala

  • @billylovebillybillylovebil580
    @billylovebillybillylovebil580 3 года назад +1

    Tume missi nyimbo zako jaman rudi kwenye gam

  • @ramadhanikilumile1363
    @ramadhanikilumile1363 3 года назад +9

    Watu wengi hawasemi kweli, Sharobaro ilikuwa pia ni mali ya Alikiba. Alikiba ndio alitoa kibali cha Diamond kurekodiwa Sharobaro.

    • @juniornamao527
      @juniornamao527 3 года назад +5

      Sharobaro ni mali ya bob junior

    • @chieframso3600
      @chieframso3600 3 года назад +2

      Huo sio ukweli kwani Ally kiba alikua anaitaja tu sharobalo record ila alikua anaidharau sana so diamond ndio kaja kuitambulisha sharobalo record ukweli ndio huo

    • @unclepwechnov1381
      @unclepwechnov1381 3 года назад +2

      Sharobaro records haijawahi kuwa label ya Kiba, they were just friends.
      Label ni ya Bob Junior 100%.

  • @jeremiahcharles6027
    @jeremiahcharles6027 3 года назад +13

    😁😁😁😁 walimwengu

  • @carloskallomo7953
    @carloskallomo7953 3 года назад

    Ambao wameangalia bila kulike embu like👇🏽hapa tujuane viburi

  • @devidirogasiani7286
    @devidirogasiani7286 3 года назад +3

    Inapendeza sana

  • @karimujuma6595
    @karimujuma6595 3 года назад +7

    Na we funguka c alikueka ndan wakti umempa msaada mkubwa Sana teje

  • @zuhurasalim4926
    @zuhurasalim4926 3 года назад +13

    Eeh huyu mchonganishi mtu wa habari simuoni kama ana ethics za utangazaji

    • @sashah_ace8598
      @sashah_ace8598 3 года назад +2

      bora aysee umejisemea simpendagi kiukwel hajui hata 😅😅nakaonaga huku kwetu kanajifanyaga hako katangazaji kamepatia maisha

    • @hussenhemed1050
      @hussenhemed1050 3 года назад

      @@sashah_ace8598 🤣🤣🤣 muhamasishaji wa Simba huyo jamani muacheni

  • @zenahbayeh7371
    @zenahbayeh7371 3 года назад +11

    Yap wasafi 4 life

  • @chieframso3600
    @chieframso3600 3 года назад +9

    Hakuna nini wala nini diamond kawaacha mbali sana ndio maana wanamdis sana

    • @uwimanauwimana7692
      @uwimanauwimana7692 3 года назад

      Umeona Eeeh wabongo fitna wamesha shindwa kumuangusha wameona bora waingie na fitna ya maneno ndo watakae mueza 😁😁

  • @onlymubbi9481
    @onlymubbi9481 3 года назад

    Ka ongeya vema sana

  • @sadikisaidy9640
    @sadikisaidy9640 3 года назад

    Baba levo siomsani wa wsb

  • @nikkimbishiunju2402
    @nikkimbishiunju2402 3 года назад

    Bongo bwana eti msanii anaomba label 🤔

  • @chembayaburudani4448
    @chembayaburudani4448 3 года назад +1

    MNAUTAFTA UBAYA WA DIAMOND ILI MKAPE YULE MWENYE MWILI WA NGURUWE AZIDISHE DRAMA ZAKE LAKINI KWA BOB JUNIOR HAMJAAMBULIA KITU MLICHOKITARAJIA, MBENGO TV ACHENI UNGESE HAMUELEWEKI

    • @ashaali7154
      @ashaali7154 3 года назад

      Hathubutu kumsema vibaya kwani kula yake iko WCB huyu sasa atatiaje kitumbua chake mchanga?

  • @omarkalita816
    @omarkalita816 3 года назад +5

    Nimegundua kitu hawa wana habari wakati mwengine niwa chonganishi

  • @sicaliusthobias2789
    @sicaliusthobias2789 3 года назад +5

    Huyu prizenta kuma kweli maswali yake yakigombanishi

  • @shamimusharifutv5098
    @shamimusharifutv5098 3 года назад

    Kweli kabisa Bob

  • @mwitarafaeli8967
    @mwitarafaeli8967 3 года назад +7

    Rais wa mashalobalo sema jambo

  • @beckermartin1885
    @beckermartin1885 3 года назад +1

    Bob junior

  • @Tanzania788
    @Tanzania788 3 года назад

    Nc

  • @shefamchina438
    @shefamchina438 3 года назад

    Hey niaje nonashida na nyie kwaajili ya inter vew

  • @mutambalafikiri8124
    @mutambalafikiri8124 3 года назад +7

    Yani ivi njoo nakubali kama baraka za mondi zina wakera sana njuu angekuwa maskini amungeongea

  • @subirajohn728
    @subirajohn728 3 года назад +7

    Mond❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

    • @stuartkudeba
      @stuartkudeba 3 года назад

      ruclips.net/video/TKfhD-CiLEU/видео.html

  • @hawamanirambona3039
    @hawamanirambona3039 3 года назад +5

    Mpwaa

  • @mariamnjama3963
    @mariamnjama3963 3 года назад +6

    Mwanaume haongei unguruma kwa vtendo vya sfa bwana mnakwama wap wasanii🤣🤣

  • @shabansalum9283
    @shabansalum9283 3 года назад +8

    Kukicha diamond mkiamka diamond jamani

    • @meshajoni5662
      @meshajoni5662 3 года назад +1

      Snichii uyooo,achaasemwee

    • @mayahassan1330
      @mayahassan1330 3 года назад

      😂 😂 😂 😂 Nipe mkono tushindane

    • @mwanauwanikhalfan1747
      @mwanauwanikhalfan1747 3 года назад +1

      Watasubiri sana ashuke mana yuko kwa trend kila siku bila kutaka wao wanaona wanamshusha kumbe wanazidi kumpandisha

  • @festokiraryo.6107
    @festokiraryo.6107 3 года назад

    Dada hujui kuuliza maswali

  • @yusuphukhamisy2799
    @yusuphukhamisy2799 3 года назад

    Kwel bob

  • @kingdeniscrocodile
    @kingdeniscrocodile 3 года назад

    Nakukubal always

  • @yunushamis2361
    @yunushamis2361 3 года назад

    Itamsaidia na nn porojo tu afanye kaz hatuingizi pesa kwa usengenyaji.

  • @donald7022
    @donald7022 3 года назад +7

    Nipee mkono tushindane 😥😥😥😥😥😅😅😅😅😅

  • @januaryjohn4771
    @januaryjohn4771 3 года назад +7

    Ukiwa na mafanikio lazima watu wakuattack sishangai hamonize anavomchafua diamond platnumz

    • @nacebamr4722
      @nacebamr4722 3 года назад +6

      Ujielew we jamaa ukikua utajifaafanua we unajua nn kuus maisha yake yey na harmo? yaan mwanaume mwenzako analilia ugal wake leo hii anatokea mtu wa kumkwamisha na asiependa mwana afanikiwe kias kile boya mmoja unakuja unaongea ovyo ungekua ww ungeonaje.

    • @shafiamustafa7856
      @shafiamustafa7856 3 года назад +1

      Kwa hyo ukiwa na mafanikio ndo uwaumize wengine

  • @husseingwanone7825
    @husseingwanone7825 3 года назад +1

    KONDE GANG 4EVERY BODY

  • @johnnysilayo3024
    @johnnysilayo3024 3 года назад +8

    Headlines ni tofauti mabwege nyiee

    • @cax1338
      @cax1338 3 года назад

      😂😂😂😂

    • @samaduabdallah9476
      @samaduabdallah9476 3 года назад

      Hivi viblog ndiomaana uncle Magu alivifungia kwa sababu ya ujinga kama huu

  • @mamuwamarlowmarlow1253
    @mamuwamarlowmarlow1253 3 года назад +2

    Bobu unajua toa ngoma

  • @officialreydiva7722
    @officialreydiva7722 3 года назад

    Gud

  • @sadikisaidy9640
    @sadikisaidy9640 3 года назад

    Huyoni chawa

  • @baltazarishayo3661
    @baltazarishayo3661 3 года назад +14

    Huyu Sister bana, interview zake huwa sielewi kabisa, anaongea kuliko msanii, anarudia maswali. Pls jipange bana.

    • @philippeter198
      @philippeter198 3 года назад +2

      🤣

    • @o.ballek.e4265
      @o.ballek.e4265 3 года назад +1

      😂😂😂Hautaelewa ata ukilazimishwa

    • @michealjoseph3207
      @michealjoseph3207 3 года назад +1

      Huyu dem nlimkuta pale Amsterdam kwa zena pale anaongea kuliko mteja mwenyewe huyu sijui mswahili wa wapi

    • @philippeter198
      @philippeter198 3 года назад +1

      @@michealjoseph3207 😁

    • @lavignevee5507
      @lavignevee5507 3 года назад +2

      Kweli Yani haeleweki

  • @mohaali770
    @mohaali770 3 года назад +5

    Dada uko na maneno mengi taacha uteam wa maungaa

  • @abdulrahmansaleh9903
    @abdulrahmansaleh9903 3 года назад +1

    kumbe nae huyu anarlement za uchawa

  • @kicheko1252
    @kicheko1252 3 года назад +1

    #smartbraintv

  • @cashmoneytz2759
    @cashmoneytz2759 3 года назад

    Muuni kichwa sana

  • @kimbazekimba1629
    @kimbazekimba1629 3 года назад

    Bado cjasikia hata swali moja la maana

  • @mohamedmanga8391
    @mohamedmanga8391 3 года назад +3

    Acheni headlines za uongo

  • @abubakarswahib3994
    @abubakarswahib3994 3 года назад +4

    Abubakari

  • @officialraymond4532
    @officialraymond4532 3 года назад +2

    Nice

  • @Lamarttown.
    @Lamarttown. 3 года назад

    kuweni proffesional kwenye kulinganisha caption na maudhui ya ndani tcra inabd iwafatilie watu km nyinyi wezi tuuuuuuu

  • @issa_yusontv9953
    @issa_yusontv9953 3 года назад

    Mtangazaji jifunze kuuliza maswali yamsingi

  • @tumuhadam8963
    @tumuhadam8963 3 года назад

    Kweli broo

  • @amosmgeta1718
    @amosmgeta1718 3 года назад +3

    Iv Bob junior alikua wap Kama alikua anajua? Aache kierehere kwa mwanaume sio good.

  • @mauwarashid4823
    @mauwarashid4823 3 года назад +1

    kaka junio_mpaka laha unajierewa_ sana kwakweri unauoendo

  • @mandyuwimana7735
    @mandyuwimana7735 3 года назад +3

    We traitor sa wameku chukuwa Kigoma ulisema nini ? Sulimkata Alikiba eti ana ona wivu kwa Mond...

  • @rajabdibwa6415
    @rajabdibwa6415 3 года назад

    Hii content mbona haiendani na kinachoongelewa?🤔🤔

  • @tiamo726
    @tiamo726 3 года назад

    Eh mateam yamenyamaza

  • @magneticofficialtz
    @magneticofficialtz 3 года назад +5

    ruclips.net/video/MpMTd_Z5mNU/видео.html
    He ni shidaaaa uchi wa mnyama kabisa duh...

  • @st.monicachoirsakinaarusha8282
    @st.monicachoirsakinaarusha8282 3 года назад

    Uyumtangazaji nimsenge