JUMA NATURE ALIVYO MCHANA LIVE DIAMOND KUHUSU HARMONIZE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 дек 2024

Комментарии • 236

  • @bintichausa4744
    @bintichausa4744 3 года назад +9

    Inaniuma sana nikifikiria huwaganinalia ...inaniuma sana kila nachofanya kinakosekana.....inaniuma sanaaa demu wangu amepima amekutwa anangoma....nilikua naPenda sana ngoma zako mazee..

    • @blackhibiscus1876
      @blackhibiscus1876 3 года назад

      Siku nilipokutana naye alikuja kwetu usiku…

    • @twaibumikidadi7377
      @twaibumikidadi7377 3 года назад

      hiii ngoma inanikumbusha kipind nko std 6-7
      ilikuwa ngoma ikipigwa bas kwelii sherehe yako imenoga!!!!

  • @mosesg.pendael8381
    @mosesg.pendael8381 3 года назад +6

    J ni Prof. Huyu mwamba ni sir! Trust me. Akili ya kukwepa hilo swali sio ya kitoto! Hataki kabisa hayo mambo ila pia hataki kabisa tumsome 😄😄😄! Salyuuuu to sir Juma nature 🤜👊👊👊

  • @munashabani1376
    @munashabani1376 3 года назад +2

    Simbaaaaa Baba laooooooo mtasema sanaaa ata mkiuganaa matusi kututukana mond Baba laooooo

  • @richardsineno6720
    @richardsineno6720 3 года назад

    Wazi Juma umebwaga mistari ya nguvu big up may God bless from kenya ukunda bado tunakukumbuka tu sana.

  • @ijuwetehama705
    @ijuwetehama705 3 года назад

    Juma nimekukubali sana. Wajifunz kwa kusikiliza Nyimbo zako, Hakuna nyimbo isiyokuwa na Mafunzo kila nyimbo inaeleweka. Wasanii wanatukana Mfano hao jamaa kila utasikia Matusi tu

  • @juliejaphet2700
    @juliejaphet2700 3 года назад +3

    Juma Nature umekula nini jamani mbona hivyo 🤔🤔🤔🏃🏃🏃 ila Mungu aendelee kukulinda .

  • @djebby
    @djebby 3 года назад +13

    umeongea kitu Nature Respect you Legend.🙏

  • @aminamodi8927
    @aminamodi8927 3 года назад +18

    Nature angetaka fadhira sasa hivi ni MILIONEA na ndiyo maana yupo safi saana na hataki KIKI wala misifa big up bro yule ni masikini wa roho Tahiti wa DOMO

    • @patrickmukundichalamila3038
      @patrickmukundichalamila3038 3 года назад +2

      Usikiuke haki za Mungu bro,kwann tunaona Sasa mapungufu ya Mond bila kujua aliko mtoa? Alianza kutoka 0------- something. Binadam tosheka yetu ni mauti.

    • @tresormix7372
      @tresormix7372 3 года назад +1

      Achana nauyo mukunywa bangi na sauti yake

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 3 года назад

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @missmwayway4704
      @missmwayway4704 3 года назад +1

      @@patrickmukundichalamila3038 sasa kwani huyo mond hajalipwa fadhila zake kwa Pesa mil 6 ?

    • @khadijamohammed2855
      @khadijamohammed2855 3 года назад +2

      Nashangaa kulipwa pesa kalipwa labda anataka alipwe umaut

  • @neutraljimmy3158
    @neutraljimmy3158 3 года назад +1

    Salamu zimefika baba tuna subiria mzigo support mwanzo kati na mwisho aina kupingwa baba

  • @amirichabruma2006
    @amirichabruma2006 3 года назад

    i used to listern to him enzi hizooo. wee nature haukuwepo kwenye mziki kwani ulikuwa huli? mbona unaishi tu vzr kwanini usijiandae tu na safari ya kurudi kwa mola wako badala ya kuanza kumkasirisha Mola na mda unakwenda? mimi naihusia nafsi yangu na pia nakuhusia wewe sasahivi tutubie turudi. wee unajua kusoma Quran but nyimbo zako zinazuia na zinawakeep watu busy kumemorise badala ya kuwa busy kumemorise quran. mi nakukumbusha tu kwasababu mi mwenyewe muonyaji kishanitembelea tayari ambae ni Mvi. white hair my brother for us Muslims is a reminder . Turn to Allah My Brother, Nyimbo waachie wasio kuwa Waislam.
    I love you for the sake of Allah.

  • @monicanyamu2207
    @monicanyamu2207 Год назад

    Number one fun of Nature. Forever in my heart Nature.

  • @godfreydavid6267
    @godfreydavid6267 3 года назад

    nature umefanya featuring hujatumia pesa kukuza wasanii....Mr Mabange Juma Nature

  • @MRNEBS
    @MRNEBS 3 года назад +1

    Jamaa ana neno .....

  • @abdulaliabdul5461
    @abdulaliabdul5461 3 года назад

    Sir nature mkongwe nakukubali

  • @tricialonke7351
    @tricialonke7351 3 года назад +3

    Mapenzi mob from Kenya 🇰🇪.

  • @gastorbraity4649
    @gastorbraity4649 3 года назад +1

    Nature

  • @charlesmwaminifu5196
    @charlesmwaminifu5196 3 года назад +6

    Juma sisi wengine nishemeji zako kutoka shinyanga matanda namaanisha ukweni kwako shem kama unakunywa sana pombe tunakuomba upunguze ikiwezekana acha kabisa kamaunashindwa kuacha pombe uje nikupe dawa yakuacha pombe nihilotu kaaukijua tunakupenda sana

  • @nuuraynmadrasatulkigamboni4461
    @nuuraynmadrasatulkigamboni4461 3 года назад +18

    Kama humjui nature utaona Kama kalewa lkn jamaa ndio alivyo kama hujawahi kukutana nae live sikubishii

  • @womanofsteel1402
    @womanofsteel1402 3 года назад

    Nature Ni Teja ama vipi

  • @sixbertbudodi
    @sixbertbudodi 3 года назад +1

    Sir Nature!! Hatari sana jamaa!!

  • @ahmadiramadhan9419
    @ahmadiramadhan9419 3 года назад

    One of the best Juma nature TMK

  • @yasmeenaal4191
    @yasmeenaal4191 3 года назад +2

    Juma safi sana hutaki unafika na waja

  • @sgftztv187
    @sgftztv187 3 года назад

    Mwandish wa habar rudi shule bado Sana unamaswal ya kiduanz

  • @zuhurasalim4926
    @zuhurasalim4926 3 года назад +1

    Mbengo TV 📺 ni alama ya kengele si kengere hemu tofautisha R na L

  • @chantalharakandi2576
    @chantalharakandi2576 3 года назад +3

    Saluti Juma upo sawa hautaki unafki

  • @shukrankalugo1472
    @shukrankalugo1472 3 года назад

    Watu wabaya wapole sana, huyo nature akishika mic anaua, moto sana

  • @DoublevisionTVKE
    @DoublevisionTVKE 3 года назад +5

    What happened to Juma Nature our legend. He doesn't look okay

    • @shad966
      @shad966 2 года назад

      I think he's dope already. And where's that place? a ghetto ?

  • @MubarakaSaid-w7w
    @MubarakaSaid-w7w Год назад

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤ wakudumu

  • @munashabani1376
    @munashabani1376 3 года назад

    WA bongo bwanaa 😁😁😁😁😁😁😁😆😁😁😁😁😁😁😁 awasikilizi maneno ivi wapo kwenye sauti ya juma

  • @deosixkawishe6062
    @deosixkawishe6062 3 года назад

    We bangi zimekuharibu kaka acha zitakuua

  • @maimunamartha8853
    @maimunamartha8853 3 года назад +2

    Nikiwa iraq nmpongeza sana juma nature anaongea pointi zamaana sana nampongeza

    • @Pedeshee01
      @Pedeshee01 3 года назад

      Huogopi na machafuko ya iraq

  • @davidelias6730
    @davidelias6730 3 года назад

    Natural kama natural nakukubali sana mzee baba

  • @titorybkenyamusic3984
    @titorybkenyamusic3984 3 года назад

    Noma

  • @missmwayway4704
    @missmwayway4704 3 года назад +2

    Daaaaaahhhh aiseee Huyo ndo Juma bhana 😂😂😂😂😂😂😂🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽

  • @deusmallya6932
    @deusmallya6932 2 года назад

    👊👊👊👊
    Legend

  • @khadijanurdin3163
    @khadijanurdin3163 3 года назад

    Wàandsh wachochez sana na wagombànishi

  • @buyukubwa9713
    @buyukubwa9713 3 года назад

    Fanyeni kazi maneno hayajengi waswahili tupo kimajungu sana you muda mnamuhoji juma nature acheni majungu huyo humonice na diamond nyie ndiyo mnayakuza

  • @mfalmepharao
    @mfalmepharao 3 года назад

    Mfalme JUMA NATURE

  • @joshuechiluba2004
    @joshuechiluba2004 3 года назад

    Deme

  • @fundikingazi384
    @fundikingazi384 3 года назад +4

    sauti kama greda ya mbao

  • @teresiajohn63
    @teresiajohn63 3 года назад +2

    sema baba,wambile wasikile

  • @ummiti4784
    @ummiti4784 3 года назад +1

    I like this guy,, tunakusubiri kwa hamu saana

  • @izmarcrystalcabz9245
    @izmarcrystalcabz9245 3 года назад +1

    True nature wasanii waibe ngoma ya mafunzo nakujenga inchi

  • @husnahusnakhamisially3823
    @husnahusnakhamisially3823 3 года назад +2

    Yani kulewa si kulewa mgonjwa si mgonjwa 😂😂😂🙌

  • @soragufu9133
    @soragufu9133 2 года назад

    Legend mwenyewe.

  • @jaycleanmusic
    @jaycleanmusic 3 года назад

    Very wise...big up my G mad respect...

  • @funnytime1423
    @funnytime1423 3 года назад +4

    Hapo sawa kabisa 💯

  • @andrewjulius6796
    @andrewjulius6796 3 года назад +13

    Sauti ya injini ya katapira.!!..📌📌🤣

    • @saidollarchain2895
      @saidollarchain2895 3 года назад

      😅😅

    • @harunasuleiman6883
      @harunasuleiman6883 3 года назад

      😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣 nimechek kabl ya coment yako nilipoiyo coment yako nimeanguka kwa kucheka 😂😂😂😜

  • @saidamour6938
    @saidamour6938 3 года назад +4

    Uyo ndo nature bhana mda wote tungi

  • @nicolastitus568
    @nicolastitus568 3 года назад +6

    Da we kweli mkongwe umeongea point sana tunakusubiri kwenye game

  • @emakasalile3732
    @emakasalile3732 2 года назад

    Juma natule walanini ww

  • @nekashash2190
    @nekashash2190 3 года назад

    Kijasho kitakushuka telemka!!!
    Hyo mibangiii""

  • @tipabaseyhassan2733
    @tipabaseyhassan2733 3 года назад

    Bg up sar nature juma
    Mkweri wa wakweri

  • @Farajahelene23031
    @Farajahelene23031 3 года назад +4

    love juma

  • @isaacwilson7529
    @isaacwilson7529 3 года назад +14

    Akili nyingi Sana Nature

  • @juliejaphet2700
    @juliejaphet2700 3 года назад +1

    Ila unaakili sn Juma Nature pambana urudi tn kwa gem🙄🙄🙄

  • @mbenambena5158
    @mbenambena5158 3 года назад +3

    Penda sana kaka yake 🔥♥️

  • @mammam4701
    @mammam4701 3 года назад +10

    Mzur uyu kaka 😘 😋sema kalewa 🤣🤣🤣🤣16 kasema 18😂😂😂

    • @missmwayway4704
      @missmwayway4704 3 года назад

      😂😂😂😂😂😂😂we nae mbona Unamchosha Juma ?

    • @keithkimiti1209
      @keithkimiti1209 3 года назад

      🤣🤣

    • @mammam4701
      @mammam4701 3 года назад

      @@missmwayway4704 🤣🤣🤣🤣😅

    • @mymussept3662
      @mymussept3662 3 года назад

      Live mda huu diamond kumjibu hormonize
      ruclips.net/video/fpJagbrsHwM/видео.html
      ruclips.net/video/fpJagbrsHwM/видео.html

    • @ummiti4784
      @ummiti4784 3 года назад

      😂😂😂😂🤣🤣🤣

  • @nashassan1850
    @nashassan1850 3 года назад

    Mgambo tunaruka nakukanyagana

  • @theprodigalorphankibrapedi5600
    @theprodigalorphankibrapedi5600 3 года назад

    Kalewa juma nature

  • @geraldlyimo2859
    @geraldlyimo2859 2 года назад

    Mbona juma anaonyesha km ni mtu wa maji saanaaa jamani msaidieni asiangamie

  • @emmanuelsagire9961
    @emmanuelsagire9961 3 года назад +2

    Hiv MBNA mkakazia fadhila za diamond kwa harmo he Bob junior kwa huyo mjinga

    • @missmwayway4704
      @missmwayway4704 3 года назад

      Wana chuki tu hao hawana lolote .....! Kwanza huyo mond si kashalipwa Fadhila na Harmonize kwa Mil 6 sasa cjui wanataka Fadhila gn mbuzi hizo

  • @wachiraalex6598
    @wachiraalex6598 3 года назад +3

    Nature dem days...noma sana

  • @lgdnce3052
    @lgdnce3052 3 года назад +3

    nature una rangi nzuri hila uhmmm

  • @deusdeditswebe8930
    @deusdeditswebe8930 3 года назад +1

    Nature...Nature..

  • @kirajlovely8115
    @kirajlovely8115 3 года назад +1

    Nature asema ajua kusoma kulaani sio quran

  • @Wajuatv
    @Wajuatv 3 года назад +15

    Daaaaah sauti kama anashusha mzigo mgumu toilet🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @kitamarya7375
      @kitamarya7375 3 года назад +1

      😅😅😅😅😅

    • @brendajadevera9597
      @brendajadevera9597 3 года назад

      🤣🤣🤣🤣🤣

    • @bintichausa4744
      @bintichausa4744 3 года назад

      🤣🤣🤣🤣kings Sana wewe

    • @rahmarajab3688
      @rahmarajab3688 3 года назад

      Hahahahahahahahaha,
      Duuuh,
      Juma Nature Ni Original,
      Nyimbo isiwe na matusi,
      Wasanii chukueni maneno ya maana haya,
      Dickson,,,,
      Acha uchokozi!!!!!

  • @bosssoul2552
    @bosssoul2552 3 года назад +2

    Soon as possibare.. tunasubiri

  • @edlumala9428
    @edlumala9428 3 года назад +1

    Steve B, nature.. venture …

  • @sallygrace1495
    @sallygrace1495 3 года назад +2

    Respect brother, God bless 🙏

  • @pamelaemmy8180
    @pamelaemmy8180 3 года назад +1

    Hiyo sauti vipi?

  • @saidollarchain2895
    @saidollarchain2895 3 года назад +5

    Legend Kama legend

  • @anuaryally6177
    @anuaryally6177 3 года назад

    Unaweza kusema tu ushawai kwenda kwa waganga sababu daktari wa hospital ni mganga pia

  • @aminamayala8373
    @aminamayala8373 3 года назад +1

    Juma punguza bangi, sauti inasepa

  • @fadhilisheckimweri2512
    @fadhilisheckimweri2512 3 года назад

    Mwamanchiiiii

  • @wellbrand3415
    @wellbrand3415 3 года назад

    I can't wait to see you back in the game.
    🔥🔥🔥

  • @norbertlilungulu5018
    @norbertlilungulu5018 3 года назад

    Jani limekolea

  • @jp1780
    @jp1780 3 года назад

    Kunakusaidia na nakupewa contract ili u sign juwa utofauti awa watu wa media inabidi warudi shuleni. Mondi namba one!

  • @uledihassan6065
    @uledihassan6065 3 года назад

    Huyu mlevi tu aliyepoteza dira

  • @neemayusuphu1591
    @neemayusuphu1591 3 года назад +2

    Utake usitake mondi juuu

  • @mdabwa9814
    @mdabwa9814 3 года назад

    Yupo njweeee 🤣kalanduka mbaya

  • @emmamatemu8225
    @emmamatemu8225 3 года назад

    Simu ya kitochi inaita anaikaushia

  • @gerry_macopper3808
    @gerry_macopper3808 3 года назад

    Kiroboto the legendary

  • @sunwizy608
    @sunwizy608 3 года назад

    Kaka sauti iyoo nimecheka mpka nime paliwa

  • @emmanuelqwaray6223
    @emmanuelqwaray6223 3 года назад +1

    Much nature

  • @geraldtarimo2550
    @geraldtarimo2550 3 года назад

    Nibangi au? Sauti kuntu

  • @mhehear
    @mhehear 3 года назад +1

    akili ni mali.. kila mtu anazake.. wewe umeongea kwa akili sana.. hongera sana.

  • @navidafelix2772
    @navidafelix2772 3 года назад

    Cool

  • @amado9339
    @amado9339 3 года назад +29

    Mbona sauti kama ya bwakila? 🤣

  • @jei_maimu6957
    @jei_maimu6957 3 года назад

    Sauti Mbili Mbili🤣🤣🤣..Kashapewa hela huyo na Konde boy🤣🤣🤣🙌🙌

  • @wafiq4
    @wafiq4 3 года назад +8

    Sikuelewa vp jamaa kahepa swali naona kaongea tu kameza chura ... 😏

  • @radaonlinetv1922
    @radaonlinetv1922 3 года назад

    Madawa au

  • @uvuvweweonyetenyevwe1348
    @uvuvweweonyetenyevwe1348 3 года назад +6

    Sauti kama exoz ya subaru wrx 🤣🤣

  • @amirmohamed2729
    @amirmohamed2729 3 года назад

    Hanisi daimond huwezani na vichaa

  • @ufugajiwetu7782
    @ufugajiwetu7782 3 года назад +3

    Ivi nyie waandishi mnasoma vyuo gani,una muhoji mtu yupo ivi unategemea upewe majibu gani,nature amejibu kwa hekima tu ila mtangazaji auna maadili hata kidogo

  • @elizabethkajana9528
    @elizabethkajana9528 3 года назад

    Mjinii Jotoo bila kiki ya Diamond mamboo hayaendiii

  • @kdloon2030
    @kdloon2030 3 года назад

    Tunaishi kidivo Divo (Devil)

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 3 года назад +2

    Juma pombe ni shetani la maendeleo ipotezee .Jenga musiki wako mbona upo vizuri kimziki .Huyu anahitaji msaada pombe inammaliza mikono kama inatetemeka .

  • @plumbingandtilesservce5271
    @plumbingandtilesservce5271 3 года назад

    Umeuliza swali vibaya

  • @mosesbarnabas3379
    @mosesbarnabas3379 3 года назад

    Nature mbona Kama kapiga gongo kashalewa