HARMONIZE 'DIAOMOND HAWEZI KUSAMEHE WANAMUWINDA KIBA MPAKA HURUMANATOA SIRI ZOTE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 янв 2025
  • HARMONIZE AAMUA KUFUNGUKA YA MOYONI DIAMOND HATAKI KUPITWA

Комментарии • 61

  • @rankinbazu7054
    @rankinbazu7054 3 года назад +12

    Despite the wrongs faced, Harmonize still calls him bro! Respect this man he really has a big heart. One love🙏🙏🙏

  • @florakaaya4559
    @florakaaya4559 3 года назад +6

    Mungu akulinde sanaa Harmo.tunakuombea.

  • @aliyageorge6794
    @aliyageorge6794 3 года назад +13

    Diamond, Diamond roho mbaya anaweza kumuuwa Harmonize.

    • @Dr.zaidi4
      @Dr.zaidi4 3 года назад

      We pray he be safe

  • @alexndihokubwayo8010
    @alexndihokubwayo8010 3 года назад +4

    Jeshi brother very sure you are the man 💪💪💪💪💪I’m with you konde boy keep faiting brother

  • @rahmarajab3688
    @rahmarajab3688 3 года назад +9

    Nasibu hata baraka ya babake hana,
    Na bado Aendelea kuwafanyia jealous wasanii wenzake,,,,

  • @labanndumano1743
    @labanndumano1743 3 года назад +4

    Some will hate you, pretending they love you, then behind they try to eleminate you, but who jah bless no man curse! Huyo ni Bob Malley aliimba ivo. Kweli dogo unapitia magunu ila jikaze God never gives challenges which one cannot tackle!

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 2 года назад +1

    Nyimbo tisa ndio milion mia sita😊tukiwaona kwenye screen tunadhan mna raha kumbe cha moto mnakiona dooo

  • @mudarisuburhan7182
    @mudarisuburhan7182 3 года назад +6

    Kichwa cha habari kipo kikuma Kuma tu

  • @kitunganolw
    @kitunganolw 3 года назад +2

    🇨🇦Mbona Title iko tofauti na content…🙄!!?? Sijapenda bwanaa

  • @amirmohamed2729
    @amirmohamed2729 3 года назад +1

    Wabongo wenyewe kwa wenyewe 💣💥🔥

  • @samiaismailmsabah8509
    @samiaismailmsabah8509 3 года назад +1

    Weeeh panapo Allah akunakitakachompata king Kumb MONDLICHAwi

  • @supertallone1902
    @supertallone1902 3 года назад +4

    Habar bila kutaja jina AliKiba hainog😂😂😂
    Mwachen KingKiba apumue jaman..msitafute viewers kipumbavu😅😅

  • @hishamadnan7289
    @hishamadnan7289 3 года назад +2

    Diamond ni freemason Hilo msenge tu wa kawaida...anataka mambo Yao ya kishetani aifanyie kazi Kila mahali apenda sana kuabudiwa Hilo Domo Kubwa kumamake!...anadai kusaidia...anasaidia kitu Gani!!..kuma Hilo Domo tu.

  • @barakamwaitulo5045
    @barakamwaitulo5045 3 года назад +3

    Alf wekeni kichwa cha habar kiwe na uhalisia

  • @shufaazamiry4155
    @shufaazamiry4155 3 года назад +2

    Wee Kumbe konde amaongea vzur hv 👍👍👍👍

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 3 года назад +3

    WASOMEE HALBADIRI YEYE NA WANAOMSAIDIA KUKUJENGEA UADUWI LAZIMA WATA ADHIRIKA 2 MSOMEE KILA WIKI MARA MBILI MUDA WA MWAKA WATAPUKUSIKA BILA KUSEMA MAJINA YAO M'MUNGU ANAWAJUWA MAADUWI ZAKO KULIKO UNAVYOWAJUWA WEWE WACHA KISOMO KIFANYE KAZI YAKE.

  • @abdallajuma2181
    @abdallajuma2181 3 года назад +3

    Duh ndio imeisha iyoo

  • @OshamTv001
    @OshamTv001 3 года назад

    Mwandishi always andika ukweli, pitia kazi yako kabla u post.....

  • @hajimaulidyhajimaulidy8131
    @hajimaulidyhajimaulidy8131 3 года назад +2

    andiken kichwa cha habar vizur mavi nyie harmo kaongea vingine nyie mnasema alikiba kafanyaje

  • @patshow4488
    @patshow4488 3 года назад +1

    Alaaaaa👨🏿‍🎨

  • @salumumwijai1312
    @salumumwijai1312 3 года назад +3

    Ungea ukweli hata kama unauma

  • @Susanwanjiru1989
    @Susanwanjiru1989 3 года назад

    God will bless you

  • @SM-fu1yv
    @SM-fu1yv 3 года назад

    Hilo diamond ana wivu roho mbaya

  • @chollejr_
    @chollejr_ 3 года назад

    Iloo jamaa🤣🤣nyuma ya harmonize limevaa jezi ya makolo linaachama achama cjui limechoswa na barakoa

  • @arleneilunga9202
    @arleneilunga9202 3 года назад +4

    Uyo domo kubwa ana roho mbaya 😏

  • @justinkasuku1460
    @justinkasuku1460 3 года назад +1

    Mnafki hana fadhira....

  • @masongreenward9063
    @masongreenward9063 3 года назад

    Kuliko umfadhili mwanadam bora umfadhili mbuz utamla nyama ,

  • @dainessmnaku800
    @dainessmnaku800 3 года назад

    Mm huwa simkubali diamond kwa chochote kile

  • @fetychina3273
    @fetychina3273 3 года назад +6

    Wapi kasema ali ya alikiba ilipangwa?hii channel naifatilia ila inaanza kuboa

  • @patrickmike7405
    @patrickmike7405 3 года назад +2

    💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥

  • @yohanaikaya6218
    @yohanaikaya6218 3 года назад +2

    Ya alikiba ndio yalinileta humu ila Dai hats ukimwangalia tu unamjua siyo mzuri kwa mafanikio ya mwingine

    • @pendorose8056
      @pendorose8056 3 года назад +1

      Yani hata mm nimekuj kwa ajili ya aly

  • @yusuphmpanga3044
    @yusuphmpanga3044 2 года назад +1

    Poa bro, lakini mtu akiamuwa kuku chukiya hauwezi tena kumfuraisha apana, kutoka (kongo Lubumbashi).

  • @mgayahpatrick6151
    @mgayahpatrick6151 3 года назад +2

    Tatizo hilo hawa walioandika kichwa cha habari ndio wasenge kama domo tu

  • @ip_header
    @ip_header 3 года назад +1

    But why? They keeping doing such kind of bad treatment for him...
    Hawa watu wanaroho ya wanyama ndio maana wanajiita majina ya wanyama wanao winda

  • @duncangichure6090
    @duncangichure6090 3 года назад +4

    Konde boy 4 life

  • @maimunakamenya3049
    @maimunakamenya3049 3 года назад

    Aloooo

  • @zainabujuma4278
    @zainabujuma4278 3 года назад +7

    Dai anaroho mbay jmn, yani hamo anaongea kutok moyoni.

    • @Dr.zaidi4
      @Dr.zaidi4 3 года назад

      Inaniuma hata mimi

  • @DM_15
    @DM_15 3 года назад

    Kumbe wasafi yenyewe kawekamzigo kusaga

  • @officialkassimu7791
    @officialkassimu7791 3 года назад

    Hiyo post anasema aliweka iko wapi

  • @KADALAtv255
    @KADALAtv255 3 года назад

    Toboa

  • @husseinbakromar5865
    @husseinbakromar5865 3 года назад

    ushetany una run dunia siku zote ukina shari jiepushe lisikufike

  • @nuhlayzer5347
    @nuhlayzer5347 3 года назад +3

    Sawa sawa

  • @flavianjoseph7961
    @flavianjoseph7961 3 года назад

    Hujafanikiwa bado unajioxha uonekane mwema kila mmja ana mabaya yake na mazr

  • @matokeomahubi7275
    @matokeomahubi7275 3 года назад

    Pambana kaka tupo nyumayako

  • @ifgodsayyes.nobodycansayno1796
    @ifgodsayyes.nobodycansayno1796 3 года назад +5

    DIAMOND SI MUNGU AANZE FATHILA KWA BABAKE AWE NI MZAZI AU MLEZI

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 3 года назад +1

      HANA FADHILA YULE MWANAHARAMU BAB JUNIOR ALIMSAIDI MBONA HATA HESHIMA HAMPI????

    • @allykika1603
      @allykika1603 3 года назад

      Respect broo never give up

  • @johnsonmbwana1405
    @johnsonmbwana1405 3 года назад

    We ushatoka fanya yako

  • @abdullmajengo9690
    @abdullmajengo9690 3 года назад +4

    Weka kichwa Cha habari chenye uhalisia ww utakuja kufeli

    • @kazunguemmanueliwantbakayo1558
      @kazunguemmanueliwantbakayo1558 3 года назад +1

      Watanzinia bana nawaobeni sna muungeni mkono Jessi,,,imgn kitu kama hii hajawai sema popot hio yot n juu anamuheshimu Diamond,lakn mbn yy anamfanya Jessi wetu mpk analia bna sio Poa kabsa,,jeshi Kenya tunakupenda xn

  • @sponsorboyofficialtz1191
    @sponsorboyofficialtz1191 3 года назад

    Kama mtu hataki mafanikio yako anakubalije umshirikishe kwenye wimbo wako maana kunabusting kubwa Sana anapokuwepo mondi kwenye ngoma Aya maneno ayaikingiii akilini we ulitaka ufanye mambo yako binafsi inje na uongozi yaani ujiamlie tu kushobokea akina burn boy na kumsema mondi, yaan me tusielewane na jiran yangu na ww upo kwangu alafu ukaweke urafiki pale inangia akilini kweli

  • @mozestz6931
    @mozestz6931 3 года назад +3

    Nakkbl

  • @maheromar7422
    @maheromar7422 3 года назад

    Unaharibu wewe unge kaa kimya

  • @hamadeddy3046
    @hamadeddy3046 3 года назад

    sema sema jeshi

  • @flavianjoseph7961
    @flavianjoseph7961 3 года назад

    Harmo huo ni ushamba uliimba mwenywe unakinyongo wcb usitoke kwa ubayaa utoto unakusumbua