I can only imagine this guy as president of Kenya for a year.....for nothing but restoration of discipline and accountability in the civil service! Big up RC Mwanri for your exemplary service to the people of Tabora, awesome servant people of Tz.
Bravo Mh Rc, " nimepita kwenye Kamati ya siasa nimepitia a substantive report, sitaki conspiracy, mnazunguka zunguka ku-Conspire". Very suggestive reasons hii ndio aina ya viongozi tunaowataka hamuonei mtu.
Safi sanaaa mkuuu mm niko Pemba ila nakukubali sanaa tena sanaaa weww na mh Ayoub Mahmood mkuuu wa mkoa waa kusinii Unguja safi saaanaaa kmataaa haaaooo
Jamani eeh !! Kama huwezi kufanya kazi ya kutumwa tumwa, fanya kazi ya kujituma mwenyewe, hakuna atakayekubugudhi ukila mtaji atakaye adhirika ni wewe mwenyewe !! Kazi ya utumishi ni kujituma kweli na sio usubiri mpaka utumikishwe !
Hata Kama mnamuona kama Comedian lkn hili jamaa bana linawajibika viile vile na mkitaka kuamini zaidi mwangalieni yule Mkuu wa wilaya 😀alivyokuwa akichokonoa sikio lake Kila mda baada ya kupaliwa kwa sauti Kali ya mzee Guy From Toron 😀Huyu ni RC pekee anaekwenda ki sawasawa na mchakamchaka wa Mh Rais wetu Big Up.Rc🙏
Anaependa uyu jamaa ajekuwa rais agonge like tujuane
Chriss Jmunga 😂😂😂😂😂 yani apa kazi tu
Chriss Jmunga daah uyu noma sana hahahahahahaha
Tatizo mchaga atarudisha ndugu zake kwa system
nimekupenda bure muheshimiwa...
@@msowanelson5452 huo Sasa ukabila unaleta
Kweli kabisa Mkuu kazi ya Doctor ni kutibu watu siyo kujenga kisima.
Malipo hewa tumbua hao watu. Km unamkubali Mkuu wa Mkoa gonga like
Napenda saana Viongoz wa tanzania wanavo simamia kazi Zao from 🇨🇩🇨🇩
I can only imagine this guy as president of Kenya for a year.....for nothing but restoration of discipline and accountability in the civil service! Big up RC Mwanri for your exemplary service to the people of Tabora, awesome servant people of Tz.
Eeeeeeeeeeiii!!! This is my business baasi.., gonga like kama unampongeza muheshimiwa kwa kazi nzuri anayoifanya👍👍💪👊🇹🇿 currently 🇧🇭
Hata huyo mkuu wa wilaya,anatakiwa awekwe ndani,anaonekana na yeye yumo kwenye sakata hilo
Duh siopoa
SimaZetu
Azammax
Mambo
Bravo Mh Rc, " nimepita kwenye Kamati ya siasa nimepitia a substantive report, sitaki conspiracy, mnazunguka zunguka ku-Conspire". Very suggestive reasons hii ndio aina ya viongozi tunaowataka hamuonei mtu.
Huyu ni mzee wa SITE he is good leader 👏✍️
Huyu mzee, mimi ningekuwa Rais, huyu ningemfanya awe WAZIRI MKUU....
Mwamri ni mzalendo kweliiii
I love him very much!!
Heey This is my business you listen what am saying, waache wizi polojo nyingi watu mnakula hela za wananchi. Asante sana kwa kazi nzuri
Huyu ndie msaidizi nguli wa Mh Rais .... Safi sana Tabora juu👏👏👏👏
Tz people n passionate manze!!!! Napenda this guy, hakuna mchezo kwa kazi
Jamani wasaidizi wengine wa muheshimiwa Rais mumuige huyu Rc ili tusongembele
Nakubal
"Anafanya kazi nzuri sana uyu AGRREY MWANIRI"
R I P Magu ulituletea majembe pumzika mzee wetu
Aliesikia Mkuu wa Wilaya akiambiwa eeee this is my business gonga like
🤣🤣🤣
Wapi hukuelewa sasa.
Watu kama hawa ndo tunataka, sio unakuwa Kiongozi halafu hufualitii mambo. Gonga like twende pamoja
Safi sana arusha tunakukumbuka kwa kazi nzuri rc mwari karibu arusha mkuu
Kama unampenda na umeelewa gonga like
Hatari
Sana
Nakukubali Mheshimiwa na kazi iendelee.hakuna kubembelezana wakati hela inapotea kila kukicha 👍👍👍
the spirit of the late pombe magufuli is on this guy....hongera
If the Kenyan leadership was all like this we would now be light years away from our messes!
Shouldn’t leadership be in the hands of the PEOPLE?
Kama umesikia Namgongaa gonga like
Mbona kipande kifup Au picha linaendelea 😆😆
Shaban Kapona 😁😁😁
Namgonga
Hatari sana
Mshua hafai
Kama umesikia nitabadilika sura ya sura hap gonga like!😜😜😜
Anasema abadilishe sura wakat sura ishabadilika tayarii jamani
Fyekelea mbali sukuma ndani👏👏👏👏👏
Nimekubari, piga kaz mheshim
Hahahahaha huyu jamaa magu ypo nyuma
The best RC in tz akunaga mpeni ubunge tabora msituangushe 100%
Muze asante Sana , that’s what should be done in every single African country
So we can move forward.
Asante baba wewe ni chaguo sahii kwa baba magufuli
Kama unamkubal na kumuombea aje kua mrithi wa baba etu maguful like tujuaneee👊
Amne Idd hahahaaaaa
Mkuu uko vizuri sana Mungu akuongoze ktk harakati zako zote safi sana
Huuuuui Tanzania 🇹🇿 mmebarikiwa kweli hawa viongozi wakifika tu wanainchi tumepona.
Big up brother , we need leaders like you
Wanaomkubali Rc Mwanri Like Twende Sawa.
Dah namkumkumbuka baba yangu Mr mkazi, mungu na amrehemu
Huyu jamaa akiwa Rais naona atakuwa zaidi ya Jpm kwa huu moto sio wa kawaida🤣🤣😱😱😱
😂😂😂😂
Si Mchezo Jamaaa Na Gubu Kishenzi
Ana Swaga Za Kuwa Mwalimu Mkuuu Wa Sec
duh kwa kweli...ila kesha stafu uRC. sasa sijui atakuwa mbunge au?
Ndo inatakiwa iwe hivyo
Eeeeh this is my business you listen to what I’m saying 😂
Kama umeskia hiyo gonga like twende sawa vijana 😂😂
i like this he is so funny and serious
Haha
ndo ma boss wa africa ndio maana hatusongi mbele
Katika watumishi wote mkuu wa mkoa wa Tabora anafanya vzr aclimia 100
Oooooooooyes
Kuna yule wa Simiyu nae ni bonge moja la mtendaji aisee
@@kijangapeter5135 hakika
Tupo zanzibar hongera sana rc mwanri tunakupat vyema
Huyu mzee ni Raid wangu,ananikumbusha magufuli dah!namkubali sana!
Safi sanaaa mkuuu mm niko Pemba ila nakukubali sanaa tena sanaaa weww na mh Ayoub Mahmood mkuuu wa mkoa waa kusinii Unguja safi saaanaaa kmataaa haaaooo
Mungu akupe maisha marefu mzeeeee
Mtetezi wa Wana nchii, This is serious progressive leader
Mzee namuelewa yupo makin sana ad raha mwenyenz mungu amtye nguvu
Hahahahaha nitakugonga
Uyu muheshimiwa aje dar jaman kazi nxuri we love you
True!
Huyu mzee nitamkumbuka sana Agrey Mwanri ningeshukuru kama Mtwara tungepata mtu kama huyu
Full respect mzee was Toronto
strong leader ingawa huwaga anaonekana kama comedian. nahisi yeye anamuelewa vizuri muheshimiwa raisi si hao wengine wanaofanya maigizo kila kukicha
Jamani eeh !! Kama huwezi kufanya kazi ya kutumwa tumwa, fanya kazi ya kujituma mwenyewe, hakuna atakayekubugudhi ukila mtaji atakaye adhirika ni wewe mwenyewe !! Kazi ya utumishi ni kujituma kweli na sio usubiri mpaka utumikishwe !
Mmmmm haswaaaa
Nimekusoma
Nimependa sana maneno yako aisee
Ila mzee alkua sawa sana aisee nlitaman angeweza hamishiwa mikoa mingine aichangamshe iwe sawa
He deserve to be a President 2025.
Hata Kama mnamuona kama Comedian lkn hili jamaa bana linawajibika viile vile na mkitaka kuamini zaidi mwangalieni yule Mkuu wa wilaya 😀alivyokuwa akichokonoa sikio lake Kila mda baada ya kupaliwa kwa sauti Kali ya mzee Guy From Toron
😀Huyu ni RC pekee anaekwenda ki sawasawa na mchakamchaka wa Mh Rais wetu
Big Up.Rc🙏
Hey!! this is my business😂😂😂hakuna kuongea mtu hapa I like it😂
Hatar
Jamaa anatisha
Very serious regional commissioner
That man is supposed to be our president after president Dr John pombe magufuri
Tanzania leaders wako sawa, we support your work
Mh Henry tunaitaji uje dar es salaam tunaomba rais magufuli akulete dar
Na kweli maana Dar ujanja ujanja mwingi maneno mengi kazi hazifanyiki
Kabisa... Mawazo yenu ni mawazo yangu... Akija Dar huyu mzee watu wapenda vyepesi vyepesi watajinyea
Akija dar atapoa uyooo
Mm nataka awe waziri mkuu
I love this guy, huu ni wizii
😹😹😹😹😹😹😹😹anaecheka kama mimi huko alipo aje hapa nimwone🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣
Hahahaha 😂 😂 😂
🤣🤣🤣🤣
Mm
Haya Ni mambo serious sana sio hata yakufurahi watendaji weng ndo tabia zao
Nimemkubalii mwshimiwaaaaa💯💯💯💯💯🤸🤸🤸
RC Wengine watanzania nzima ebu fanyeni kama uyu Mzee alivyo kuwa anafanya namkubaliiii sana
DC Mungu akujalie
You are right,let them be attentive to the quetstions.they fear,thank you mzee.
I wish my president could be like this man,oh my God.
Huyu ndo mkuu wa mkoa wa toronto noma sana mboka #unyamwezini juu juu
Wagonge wote walokula pesa....mzee...unaspeed ya 4G mzee I like that
ruclips.net/video/5OKyrQ_QTwo/видео.html
Jifunze kuhusu CORONA 👆👆👆
Mwanri, Sabay, na Hepi are the best RCs aki
Plus makonda
Uko vzr mkuu wa mkoa usiangalie sula fanya kazi ipendeze mkuu uko vzr
Mungu akusimamie ktk kazi zako amin🙋♂️
Jamaa Nampenda Sana Yy Kazi Tu Haongelei Siasa hata kidogo
Hela zimeibiwa hapa gonga like
Sura ya kazi ndivyo inavyotakiwa hapa kazi tu twende babaaa
Huu mkutano wa kwangu hapa sitaki kuona mtu anazungukazunguka nyenyua cm uone😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣
Nakugonga🤣🤣
Nicko Tv mmmmmmmm,nakufa jaman
😆😆😆 Namgonga,
huyu mnyamwezi mwenzangu ni shida kweli kweli wamisha mpora bhebhe mwanri
this guy needs to be the president of Tanzania
Ana faa KUWA RAISI kama una mkubali gonga like
Umemlipa nani 🙏🙏🙏🙏
Shkamoo mkuu wa mkoa
pigakazi
Kongole kwa mkuu was mka mwandri ni kioo cha wakuu was mikoa yote kwa utendaji kazi wake big up sana huyu ni magufuli was tabora Hannibal
Tabora sikonge Hiyo Njia yngu Kubwa San Hy Miss you Sana apo
Mungu tuletee kiongozi kama huyu huku Kenya.
Nakukubali mkuu wa mkoa wa Tabora unajituma sana
Sana asee
Mzee utafika mbali xanaa na bado Mungu akusaidie
Tatizo Mnamchanganya wenyewe’ Tumieni fedha vizuri ‘ atawazingua huyo mzee...!
Hicho ni choo ama ni kisima. Watching from Lamu Kenya
Kama umecheka Kama mie gonga like
Nyenyua simu nikupige chini hapa.
Hongera mkuu
“Substantive report sitaki conspiracy hapa” aaaa RC umeuaaaa
Mwambaaaa
Nataman wakuu WA mikoa wote wangekua kama ww... Mungu akuongoze Sina kitu ila nataman nikupe zawad... Kama Hutojal naomba no yko baba...
Heeeeey this is my busness 😆 huyu mheshimiwa kiboko wllah
Mkuu twakuhitajiji n chini Kenya, Naomba raiis wer2 akuteuqw.
Hili dingi iposiku litachinja mtu wallahi😆😆
Hahahahaaaa
Umeona kk
🙉
Hahahaaa atanyonga mtu asee
Tena sana 🤣🤣🤣
Mama Samia Rais wangu Mungu aliekuchagua naomba usilete watu Kama hawa
CCM hoyeeee I ❤️YOU Tanzania 🇹🇿
Salute kwako mkuu wa mkoa wa Tabora
hataa kamaa nilikuwaa naangalia video nyinginee,nitaacha na kuplay video yakeeee comedy wangu🤣🤣🤣🤣🤣
yan ww ndo mimi naham kil siku tuletewe vdeo zakee jahahahahahahah
A serious comedian...ever
He is a brilliant comedian hapo anasukuma ndani
Haaaaaa
100% na nusu
😬😬😬😬🙏🙏❣️ mh. hongera kwa kaz nzuri
That's good coz vitu vngne vnakera sn
Huyu mzee akipewa nchi sidhani Kama Kuna mtu atajikuna yaani nchi itanyooka balaa na itakuwa shwari kila sekta,like JPM
Huyu baba huwa ananipa raha sanaaaaa😂😂
Anakupa nini???????.
Mkuu hakika uongozi mbwembwe unahitajika kusudi uende sambamba na watu unaowaongoza, mimi binafsi nasema ahsante sana.
Kama unamkubali huyu jamaa Kama Mimi gonga like hapa
Hongera mkuu wa mkoa tabora.
Uyu mwanajeshi atawaua 😃😃😃🙌🏿🙌🏿🙌🏿
Sukuma ndani pumbav huu ninitawala wa magu ufisadi tupia mbali sukuma ndani safi san mmwari piga kazi ngurumaaa simbaaaaa👏👏👏👏👏
Huyu aje kua rais hana tofaut namzee magu💥💥💥🔥ila tyu hela asizbane😂😂
Kweli kabisa, miaka mitano ya mwisho ya rais maguful awe waziri mkuu huyu