Mungu akubariki,Na uendelee kuwaongoza watu katika Njia ya haki na kanisa LITUSAIDIE!! mkuu ana maanisha makanisa yoote that's why hlo neno linamtoka kila mda,Hongera mkuu!
Mkuu huyu nilikuwa napata whatsap viclips vyake vifupi nkajiuliza nani huyu,anamatatizo ya akili nn huyu Mkuu ikabidi nifuatilie kwa undani kumbe ni awesome person👏👍yuko vizuri ni mcheshi na presentation yake haichoshi😂😂😂
Hakika we ni mfano wa kuigwa katika wakuu wote wa mikoa nakuachia ujumbe mfupi Isaya 41:10 usiogope, kwa maana mimi ni pamoja nawe; usifadhaike, kwa maana mimi ni Mungu wako; nitakutia nguvu, naam, nitakusaidia, naam, nitakushika kwa mkono wa kuume wa haki yangu.
Jamani Mungu akubariki mkuu wa mkoa wa Tabora Mwanri kuwakumbusha wana Tabora na kanisa kwa ujumla kukazana ktk maombi kumlilia Mungu kuiokoa Tabora Yenu mbarikiwe
drimaz one choice ilifka kipindi farao najeshi lake likashindwa kabisa, nandio alikuwa anaaminiwa, ila ck moja halikiri kwakinywa chake, kusema tupate wap tena mtu kama huyu!! mwenye roho yamungu ndani yakeee!
Mkuu wa mkoa Mh. Mwanri MUNGU azidi kukuinua.Tanzania inahitaji watu kama wewe. Tena tukipata watano tu! Nchi inapanda kiuchumi kwa kiwango cha juu sana
kiukweli watuma crip za wasp tumeni mambo ya busara sio hivo mlivotuma. yaan nilijua mkuu kachanganyikiwa kumbe daa! BABA YUPO VIZURI NIMEMWELEWA SANA MUNGU AKUBAROKI MKUU WA MKOA
Mwanri wewe ulibarikiwa na uongozi, wengi wanasoma kuwa viongozi bali wewe ulizaliwa nao. Kipaji toka kwa Mungu. Kutoka Kenya nakutakia kila la kheri upate kuongoza Tanzania.
Sio kumkubali tu jikosoeni watu watabora scheni maaswi kumbukeni kuna mwisho wa dunia hii nanilazima mtarudi kws aliemileta hapa duniani. Mtamuambia nini wakati mshafanya masswi sana yubuni mpateondoleo la dhambi .acheni kufanya mioyo yenu migumu. .nikumkiri yesu tu .utakua umeokoka .nadhambi zako zitafutwa zote
Mm Niko Kenya lakini haki mungu kama kuna kiongozi. Ambaye nampenda ni huyu mzee.mzee mjanja halafu tena msomi.pia baba huyu ni mzee wa mjini.fyekelea mbali.sukuma ndani bibi harusi haaaaaa
Leo ndo nimemwelewa mwishimiwa nilikuwa napata clip tu hata sielewi anaongeleaga nn ila Leo nimemwelewa vzr tu zile clip fupi fupi huwa zinapotosha sana
_“Mungu uliyeko juu mbinguni, ninakuomba mke wangu atakapo kuomba na atakaponiombea ukamkubarie maombi yake. Na kila atakachokuambia kuhusu mimi, kila kitu umkubarie”_ 😊 - *Mh. Aggrey Deaisile Joshua Mwanri*
Mungu akubariki,Na uendelee kuwaongoza watu katika Njia ya haki na kanisa LITUSAIDIE!! mkuu ana maanisha makanisa yoote that's why hlo neno linamtoka kila mda,Hongera mkuu!
Hakika huyu ni kiongozi.Mungu aliyekutuma awe nawe siku zote.I have never ever seen a good RC like Mwanri blecd.uko sahihi mkuu
Hakika Mwamri umebarikiwa na Bwana Yesu. Wewe umtumishi wa Bwana. Ubarikiwe sana bw Mwamri
Nakupenda sana Mh Agrey Mwanri kwa kuwafundisha watu neno la Mungu lililo kweli,Huo ndio utumishi ulio tukuka,Mungu akubariki
Amen
Ubarikiwe mkuu...
Mambo vp?
Hongera mwanri. Ni mchapakazi tunakutamani DODOMA uwe mkuu WA mkoa
charles ally 😂 Awee mkuu wa mkoa
Wa Dodoma ili Akutane na RPC wa Dodoma duh! Mtapata Taabu Sana 🤣🤣
Tutakasawa
Mh.Aggrey Mwanri...utaendelea kuwa kipenzi chetu Tabora....Mungu akuzidishie unyenyekevu...pia ushupavu ktk kazi zako
Kama na w ni mmoja wapo ulopenda sehemu alotamka #BEHEWA tupia like yako tuone tuko wangapi
Zakayo Moshi tabora itakuwa kama toroontoo
namkubali sana rc wangu
Hotuba nzuri sana Mh Mwanri
Ubarikiwe na Mungu akulinde na aibu sala zako kwa Jina la Yesu. Neno unalijua
Mungu atakupigania babangu kwa kuwa umekimbilia sehemu salama, Na kazi yako itasimama
Anaongea kama utani ila ujumbe mzito sana anatoa na huwezi choka kumsikiliza hii ndio maana halisi ya Uongozi. Barikiwa sana Mkuu wa mkoa.
Mungu akusaidie mungu akulinde ww ni Mtumishi
Nmekupenda Sana baba mkuu wa Mkoa Mungu akutunze unajua ww ni mtu wa Mungu
Mkuu huyu nilikuwa napata whatsap viclips vyake vifupi nkajiuliza nani huyu,anamatatizo ya akili nn huyu Mkuu ikabidi nifuatilie kwa undani kumbe ni awesome person👏👍yuko vizuri ni mcheshi na presentation yake haichoshi😂😂😂
Victor sir-nga jaman tuwe tunatuma vitu vyapoint sio upotoshaji uliotumwa
amepelekwa uko mbali awamu hii ila alikuwepo miko hii maarufu iliyo mijini kwa awamu zilizopita. Hana makuu huyu jamaa
Victor sir-nga ,hata Mimi nilimuona wasap
Asee mie mwenyewe nimtafuta kweli yani nikiongoziii etii
Victor sir-nga nimempenda bure
Mkuu wa mkoa watabora tunakuombea uwendelee hvy hvy na utumishi wako na mungu atakuona za vzr kwenye maisha yako
Thanks A lot Sir..! Ni Ujumbe Mzuuri kwakweli jamani. Na Ubarikiwe Baba Mwanri. Mungu akutangulie kwa kila jambo.
Hakika we ni mfano wa kuigwa katika wakuu wote wa mikoa nakuachia ujumbe mfupi Isaya 41:10 usiogope, kwa maana mimi ni pamoja nawe; usifadhaike, kwa maana mimi ni Mungu wako; nitakutia nguvu, naam, nitakusaidia, naam, nitakushika kwa mkono wa kuume wa haki yangu.
Diamond
Mh. Anafaa sana, Mungu amuweke tuzidi kufurahi👍
Kwa kweli kwahaya ayafanyayo Ni nguvu ya Mungu ndio inayowez kufanya hivi tuu,Bwana awabariki watumishi km Hawa wapo wengi,tunawaombe viongoz km hawa
Ubarikiwe Mkuu wa mkoa wa Tabora. Ongea Mungu atajibu maombi yako watu wako na wananchi wa Tabora watakuwa vizuri kwa mkono wa Mungu
I real appreciate you RC. Nimekupenda bure.ww ni MTU wa watu sana, Mungu akubariki sana
👍👍👍
Jamani Mungu akubariki mkuu wa mkoa wa Tabora Mwanri kuwakumbusha wana Tabora na kanisa kwa ujumla kukazana ktk maombi kumlilia Mungu kuiokoa Tabora Yenu mbarikiwe
This is so powerful... Mkuu wetu kaongea yote.. Tabora tunahitaji maombi
RC wetu wa Tabora yuko Vizuri sana sana
jayplus investment ltd ebhna naja uko asee.,imani angu nitakaribishwa uzuri
Arudi moshi uku., mnamchosha Sana mzee.
Mati Hosceah mama yule tena hafai ama!
Hello
Mungu akubariki mkuu wa mkoa wa Tabora,natamani uwe mkuu wa mkoa Dar es salaam.
Dah uyu mzee nishida namjua sana toka kitambo
Yes Mungu anao watakatifu kwa ajili ya kazi yake mkuu wa mkoa Mungu amesikia na anatenda hata tulio mbali tunaomba kwa ajili Ya Taifa letu Tanzania
GEOFREY USWEGE fny turudi twnde tbr
Amen mkuu una utumishi mkubwa ndani yako,nimependa,barikiwa sana baba
Nmekuelewa sana mwanry... We ni noooma
Nakupenda sana ufaa sana sana
Mungu akuongezee hekima kama Mfalme Suleiman upate kuwaongoza watu wako vyema. Nimebarikiwa sana na hotuba yako Mh. Mwanri
Kweli mh mkuu wa mkoa Mtumishi wa kiroho nimempenda sana!!!!!! Mungu amemtumia kwenye hayo makambi
Ubarikiwe sana RC wa mkoa wetu, upo vzr
Yupo vzry sana uuuu mzee
Ubarikiwe mkuu umenifurahisha sana
Upo sawa mkuu nilipoona clip yako sikukuelewa sasa nimekuelewa Mungu akubarikisana
Sjawahi kuwakubali wakuu wamikoa, ila huyu nimemkubali ukiachilia yote, Biblia anaijua vizuri.
Upo wap
Nipo habari za siku.
katunzi upogo bado tabora
Tshaaaaaa sanaaa
J. JOSE noma sana uyu jamaa
Hongera Mkuu wetu wa Mkoa wa Tabora
Nampenda Sana ni mpenda maendeleo kama umemwelewa, vizuri Sana
Sukuma ndanii....fyekelea mbalii
Hahahaaaaa
Tutaka awe mkuu wa mkoa wa Dodoma
drimaz one choice
Raage Abdi WATAKA!!?
drimaz one choice ilifka kipindi farao najeshi lake likashindwa kabisa, nandio alikuwa anaaminiwa, ila ck moja halikiri kwakinywa chake, kusema tupate wap tena mtu kama huyu!! mwenye roho yamungu ndani yakeee!
Afaa kuwa mchungaji ubarikiwe sana
Leo ndo nimemwelewa Rc ,
Waandishi mungu anawaona
Mkuu wa mkoa Mh. Mwanri MUNGU azidi kukuinua.Tanzania inahitaji watu kama wewe. Tena tukipata watano tu! Nchi inapanda kiuchumi kwa kiwango cha juu sana
nakukubali sana mkuu wangu wa mkoa huwa naenjoy sana nikitazama crip zako
Safi sana mkuu wa mkoa wetu wa tbr
Rais, jamani unawapata wapi hawa, ubarikiwe
Hahaaaa umenichekesha hakika yuko tununu
kiukweli watuma crip za wasp tumeni mambo ya busara sio hivo mlivotuma. yaan nilijua mkuu kachanganyikiwa kumbe daa! BABA YUPO VIZURI NIMEMWELEWA SANA MUNGU AKUBAROKI MKUU WA MKOA
Ni kweli Watsapp Na Instagram wanapotosha. Mbona nimepata Elimu Nzuri Sana.Lecture Tamu Haichoshi
huyu jamaa yupo vzr hata mimi nilivyoona ile clip fupi kwa whatsp niljua ni miyeyusho kumbe ni mtu anaejielewa ana anaijua vzr bibblia
Ubalikiwe sana mh mkuu wa mkoa
Mungu atakuongoza
barikiwa sana mkuu wa mkoa wa tabora na pia rais wetu wa tanzania akae miaka 20 kwenye uongozi wako baba barikiwa sana
Ubarikiwe sana mkuu Wa Mkoa
Mkuu wa mkoa yupo vizuri aisee sio yule........
Mungu akubarik
Mwanri wewe ulibarikiwa na uongozi, wengi wanasoma kuwa viongozi bali wewe ulizaliwa nao. Kipaji toka kwa Mungu. Kutoka Kenya nakutakia kila la kheri upate kuongoza Tanzania.
😂😂😂😂 mkuu wa mkoa hakika nimekukubali
Sio kumkubali tu jikosoeni watu watabora scheni maaswi kumbukeni kuna mwisho wa dunia hii nanilazima mtarudi kws aliemileta hapa duniani. Mtamuambia nini wakati mshafanya masswi sana yubuni mpateondoleo la dhambi .acheni kufanya mioyo yenu migumu. .nikumkiri yesu tu .utakua umeokoka .nadhambi zako zitafutwa zote
nimekuelewa kinoma mkuu wa mkoa tabora
dah huyu mzee huwa ananifulahisha sana
Mungu aendelee kukupa nguvu mheshimiwa mwanri.
Mungu yu nawe
Wow! hongera sana baba mwanri
jambo mkuu, New Tbr iz inakuja.
Mungu akubariki Aggrey Mwanri
Mkuu wa mkoa huyu anajua Sana nimempenda mno
Uko vizuri kiongozi
Nakukubali Mh A.M kazi yako inaonekana Mungu akutie hekima busara na maarifa
Mungu akutete
Amen sana mh kweli Malaika yupo ndani yako
Yaani nimecheka cna
Mh Mwanri ukitumbulia naomba ushike Bible uhubiri Injili
Mm Niko Kenya lakini haki mungu kama kuna kiongozi. Ambaye nampenda ni huyu mzee.mzee mjanja halafu tena msomi.pia baba huyu ni mzee wa mjini.fyekelea mbali.sukuma ndani bibi harusi haaaaaa
Safi yupo vizuri saaana
Mzee wa siha Sanya juu
Hii imani ni kubwa sana
Hekima ya mungu imo ndani yake
Leo ndo nimemwelewa mwishimiwa nilikuwa napata clip tu hata sielewi anaongeleaga nn ila Leo nimemwelewa vzr tu zile clip fupi fupi huwa zinapotosha sana
Yuko vizuri sana huyu mzee stay blessed muheshimiwa
Nimekukubali sana hizi ndizo busara zinazotakiwa kiuongozi
Upo vizuri kiongozi Mungu akubariki sana
Mkuu yupo vizuri atafanikiwa sana!!!
Mungu akupe nguvu Mh aggry
chikiiichikiii eeeeeeeeeeeeeeaaaaaaaaah chikiiichikiii eeeeeeeeeeeeeeaaaaaaaaah
😂😁😂😁😂😁
Haaaaaaaaa 😀 😀 chikichik. Sukum ndani wote
Huyu Jamaa duuuh!!
nakukubali sana baba
Sukuma ndani hata waliobeba wali namna hii👊👊👆
Amina mh
Sasa nimekuelewa baba, huyu ndoo Agrey ninaye mfahamu
Mkuu nakukubali sana unastahili
Duuu nimecheka hadi nimelia RC wetu nakukubali
haaahah
Kwa kweli Mh. Magufuli upo makini sana katika kuchagua wasaidizi wake, Mungu akubariki sana Raisi wetu.
nimempenda mheshimiwa bure mkuu wa mkoa tabora
Kiongozi yupo vzr sana
mwanri umetisha.
Hongera RC
Great leader
_“Mungu uliyeko juu mbinguni, ninakuomba mke wangu atakapo kuomba na atakaponiombea ukamkubarie maombi yake. Na kila atakachokuambia kuhusu mimi, kila kitu umkubarie”_ 😊
- *Mh. Aggrey Deaisile Joshua Mwanri*
Amina Mungu akubariki sana mkuu Wa mkoa.Magufuli hoyeeeeee
Daaaaaah kiongozi agrey ww c mtumishi wa serikali na ww ni mchungaji mhubili unafaaa
njoo mwanza bas
Amenii
Umeongea ki busara saaana# ubarikiwe
Kenya tunayo mkuu moja kama huyu mwanri. Fred Matiangi
Noma sana
Nimekukubali mweshimiwa
Sukuma ndaniii🐣
simshangai BABA YETU AGGREY MWANIRY NIKAWAIDA YAKE,NA NI HAZINA YA KUDUMU KWA TAIFA LETU.
Nilikua namtafuta Sana nione clips zake
nice speech
sukuma ndoni👏👏
Nimeelewa sasa
Mzee wa fyekelea mbaliiii