Mngetuandalia series ya mwezi Ramadhan ingekuwa bora. Vipindi vyenu vina mafunzo makubwa katika jamii na vina lenga uhalisia wa maisha, haiachi nyuma wanawake,watoto,wanandoa ,wajane vinaenda sawia na maadili ya jamii. ALLAH awape nguvu na awalipe kwa kila faida tunazozipata katika tamthilia zenu. Ila ni maoni tu iwapo iitakuwa kuna mahali nimekosea kwa kuwasilisha maoni yangu ningeomba samahni.shukran
MASHA'ALLAH imenyooka kbsa na ndo hali halisi ilivyo kwenye madrasa zetu ALLAH atufanyie wepesi tuweze kutekeleza majukumu yetu dhidi ya MAUSTADH & MAUSTADHA WETU INSHA'ALLAH
Mashaallah mashaallah ❤️❤yani mimi ni mtanzania ila nawapenda sana wakenya wallahi ten natamani siku moja nifike ata kwa uchache tu yan dhaa nawapenda jmn ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Hivi ndivo wanavo semaga majumbani wala siutani,mtoto anaambiwa na mzazi wake nitakupeleka madrassa ukacheze na watoto wenzio lkn shuleni anaambiwa ntakupeleka ukasome,kiukweli walimu wa madrassa wanakazi ngumu sana ila jaza yao ipo kwa Allah mana wanadamu lao lawama tuu...!!!!ahsante kaka bujra kwa hii hekma ulo itumia...japo kwa kuigiza nina imani ujumbe umewafikia ila inasikitisha sna mch❤❤❤❤ wanangu wa nyumbani..!!!!
Shabiki wenu mpya huyu..Kwandza nampeana shukran za dhati kwenu walai Allah awaongoze sababu nimeguswa sana n kuvutiwa na na hii filam yenu pili kisahili chetu aky kinaweza n vipaji vinaonekan kikubwa bidii na kupongezan n kusapotian si kuvunjan moyo...Ukweli Tunaweza🎉
Kongole washiriki wote na pongezi Kaka bujra Kwa kujizatiti kushika mikono vijana wenzako kukuza vipaji vyao,na Amini IPo siku utakua mtu tajika katika hii tasinia.
Mashallah good educated movie parents should be serious and focus on our islamic religion and lets be appreciate anything small that we get from our husbands
Mimi huwa sio mtu wa kucoment sana ila kwa hii filamu fupi nilioiona acha tu niseme manshaallah!kusema ukweli nimeipenda, Mungu awafikishe mbali na kazi zenu nzuri.
Kwale county Yani Kenya yote tuungane hapa tusapoti vipaji
Nzuri sana❤❤❤❤❤❤
Mashaallah kutoka Kenya movie inamafunzo mazuri Sana.❤❤
Mngetuandalia series ya mwezi Ramadhan ingekuwa bora. Vipindi vyenu vina mafunzo makubwa katika jamii na vina lenga uhalisia wa maisha, haiachi nyuma wanawake,watoto,wanandoa ,wajane vinaenda sawia na maadili ya jamii. ALLAH awape nguvu na awalipe kwa kila faida tunazozipata katika tamthilia zenu. Ila ni maoni tu iwapo iitakuwa kuna mahali nimekosea kwa kuwasilisha maoni yangu ningeomba samahni.shukran
Naongezea km itawezekana kwakuwa watizamaji n watu tofauti tofauti mueke english subtitles
Sijawai ona movie hapa kenya ikanisisimua kama hii 😢 mwanamke mwema anaweza Jenga maisha yako kwa misingi ya dini
Mashallah movie Iko na mafunzo bora❤❤
Glafla nimetamani kua na mke mwenza kwa jinsi mulivyofanya kazi bora yenye burudani na mafunzo tele.
Jazaakumullahu khayr.
Mashaallah this is awesome......walimu wa madrassa wanatoa masomo kwa ziada ila wananyanyaska big up brother bujra❤
MASHA'ALLAH imenyooka kbsa na ndo hali halisi ilivyo kwenye madrasa zetu ALLAH atufanyie wepesi tuweze kutekeleza majukumu yetu dhidi ya MAUSTADH & MAUSTADHA WETU INSHA'ALLAH
mashaAllah sio makosa wala dhambi kuolewa mke WA pili ni Imani na pia wazazi wetu watuunge kwenye FURAHA za watoto wetu
Bujra watupa mafunzo masha Allah kweli twadharau madrasa
Mashaallah mashaallah ❤️❤yani mimi ni mtanzania ila nawapenda sana wakenya wallahi ten natamani siku moja nifike ata kwa uchache tu yan dhaa nawapenda jmn ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Wakaribishwa karibu sana ❤❤❤❤
@@aishamwachi7854 mashaallah shukran san ❤️❤️❤️❤️ nitafika tu inshallah 🙏❤️❤️
@@aishamwachi7854 shukran kipenzi cha Allah ipo siku tu
Twakupenda pia❤
Twakupenda pia❤
Mashallah umeupiga mwingi Bujra Mungu akutangulie🤲JIMBO MEDIA TO THE WORLD ❤🎉
Masha Allah tabarakallah nimefurah kwakweli🎉🎉🎉 najikuta tu 😢😢
MashaAllah mashaAllah Mr sticker Muendelezoo jamani❤❤big up
Hivi ndivo wanavo semaga majumbani wala siutani,mtoto anaambiwa na mzazi wake nitakupeleka madrassa ukacheze na watoto wenzio lkn shuleni anaambiwa ntakupeleka ukasome,kiukweli walimu wa madrassa wanakazi ngumu sana ila jaza yao ipo kwa Allah mana wanadamu lao lawama tuu...!!!!ahsante kaka bujra kwa hii hekma ulo itumia...japo kwa kuigiza nina imani ujumbe umewafikia ila inasikitisha sna mch❤❤❤❤ wanangu wa nyumbani..!!!!
Ina huzunisha kwa kwel
Hii story wallah imeninyongesha sana maustadha wanadharaulika sana😊
MashaaAllah mashaaAllah tabaarakRahmaan ❤❤❤❤❤❤
Allah akuzdshien kipaji zaid amiin amiin
Sayajaala Allah Baada Usri -Yusrah Mashallah nice move bro bujra (My moral of this story is ( wakati mgumu haudumu end you???❤
Mashallah Allah atuongoze Kwa darsa kubwa kama hili tuwe wenye kutekeleza mafudisho Aya ❤❤❤TAKBIR 🙏🏾
Maashaallah kazi nzuri bro ila mwambie huyo bibi ya mzee juma beka akaze buti bado hajawa makini hayko serious.
Hizi ndio movie twafaa kuona sasa....very real
Ukweli mtupu
Mashaallah movie imenipa hisia mtoto wa kiume machozi yatoka waaah 😢 hongera sanah wallah ❤🎉🎉
Keep it up....Iko smart wallah...Mungu awajaze fikra yakufanya Kaz nzuri
MASHA ALLAH MASHA ALLAH MASHA ALLAH kaz nzur xna❤❤❤❤
Mashaallh mashaallh ❤Mungu awajalie zaidi nyote mulioshiriki
MashaAllah kazi nzuri Jimbo media tunategea muendelezo
Maa Shaa Allah Tabaraka Allah❤❤❤nmejifunza mengi katka maisha💯
Ma sha Allah nimependa Allah awazidishie ufahamu ktk kz zenu in sha Allah
Big up team Jimbo TV hii movement iendele ivi ivi na Kenya itajivunia waigizaji wazuri ambao ni nyinyi 🙏🙏🙏
Mashaallah Mola awazidishie in Sha Allah mfike mbali🤲🏽
Story nzry mashaallah jamani commenters na maviewers tuongezeni wake😅😅🙌🙌🙌
Bujra kazi nzuri sana nimependa sana Allah akutie nguvu kwa kila subra barka kwa kila kazi ❤❤❤❤❤❤
Masha Allah.... Bro Bujra this is wonderful, we really don't value Religious teachers, revolution for change must be done
Labda tu niseme hio combination sio mbaya #kazi nzuri.HONGERA
Mashallah 🎉🎉...nmejifunza mengi mno...Mungu awajaalie Mema InshaAllah 🎉🎉❤
BUJRA AMAZING SANA KWA KAZI NZURI YENYE MAFUNZO❤
Masha Allah, kazi nzuri yenye na mafundisho katika jamii yetu ya kislamu
Masha Allah tabaraq Allah mungu awazidishie mufike mbali bujra unaweza na unaweza Tena na tena
Mashallah kaka na kazi nzuri ya kutufundisha
Kusema kweli mumeiva hii movie iko matawi yajuu sana nivito kidogo sana beka ajitahidi lafdhi ya kiswahili na vitu vyengine
Kazi nzur Sana mashaallah Allah awabrk
Shabiki wenu mpya huyu..Kwandza nampeana shukran za dhati kwenu walai Allah awaongoze sababu nimeguswa sana n kuvutiwa na na hii filam yenu pili kisahili chetu aky kinaweza n vipaji vinaonekan kikubwa bidii na kupongezan n kusapotian si kuvunjan moyo...Ukweli Tunaweza🎉
MASHA ALLAH HUU NI FILM MZUR SANA WA KUJIFUNZA
Masha Allah .ungu awazidishie vipaji vyenu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Zidisheni nguvu ndungu zangu 🎉🎉🎉
Mashallah good job wallahi Ina mafunzo mazuri
Mashallah tabaraka Allah 🥰 🥰 Allah bless you my brother
Kongole washiriki wote na pongezi Kaka bujra Kwa kujizatiti kushika mikono vijana wenzako kukuza vipaji vyao,na Amini IPo siku utakua mtu tajika katika hii tasinia.
Content nzuri Masha Allah yenye mafunzo.. nimeipenda sana Allah awabariki nyote mlioigiza na aibariki kazi ya mikono yenu. Amiin 🤲
watching from qatar amaizing story mashallah❤
Mashallah good educated movie parents should be serious and focus on our islamic religion and lets be appreciate anything small that we get from our husbands
From Zanzibar.. I really enjoyed this film
Mashaallah Kaz nzuri san nawapenda kuwafuatila ❤❤
Bujra Allah akuzidishie walai, kazi nzuri sana
Mashaallah nzuri sana yenye mafunzo ❤❤❤
Good work & seriuos talents mungu awajalie akili zaidi hiki mnachokifnya one ❤❤❤❤
Mimi huwa sio mtu wa kucoment sana ila kwa hii filamu fupi nilioiona acha tu niseme manshaallah!kusema ukweli nimeipenda, Mungu awafikishe mbali na kazi zenu nzuri.
Kazi nzuri sana ❤❤❤❤❤❤❤
Kumbe mke wapili huwa na nyota 😢na kufunguwa nuru ya maisha nimejuwa leo
Sometimes it's depend
Yategemea sio wote wanafungua nuru
Wengi wao balaa ila ukitanguliza Allah baraka huzileta
Pongezi Sanaa Kaka and your team, I Love this Sana kuna improvement kubwa sana na movies mbali mbali! Best of luck
Mashallah ❤❤❤❤❤❤❤❤ allah awajalie muweze kufika mbali kenya yetu isifike
Mashallah TabarakaRahman...mtafika mbali kwa uwezo wa Allah 🙏 🙏 #beka ni kulala unalala kwa mkutano😂😂😂 🙌 🙌
Buyra uko juu twangalia tukiwa saudia kazi poa broo
Hongereni kazi nzuri Sana ❤❤❤❤❤❤❤
Mashaallah kazi safi sana bujra
Masha'Allah, kazi nzuri sana na yenye manufaa ktk jamii❤
MashaAllah filamu nzur sana, hongereni jaman vipaji vpo kwe2.
Good work jimbo media,,mmetoa elmu katika filamu hii,,alafu bujra unashabaha yani wake wote wawili ni wajawazito😊
Congratulations Bujra👍✌️😄😁 movie iko🔥🔥😘
Beka jamani 😂kaah ila Alhamdhulillah bro movie nzur Masha Allah ❤
Beka haishi vituko😂😂😂😂
Mashallah nzur sana beka na wengine
Mm natamani sana kuolewa mke wapili ilashida ni babangu hataki kabisa
Babako si muislam kwani hajui ka dini yetu yaruhusu??
Mashaallah Mashaallah fupi lakini inamafundisho
Nimeisubiri hatimae imefika good job bro
Finally nimeingoja kwa Hamu😫😫..Bujraa keep it up.. my people Sophie Farida ,Beka🔥🔥🔥🔥 Wezaa kma kawaida
Kaz nzur kak kwakwel allah akuzidishie juu ya swal hil lakutupa mafunz lkn madikodiko yuwaa
MASHAALLAH.kka bujra kaz nzuri sana.tuletee ya ramadhni 🙏🙏
Mashallah nimeipenda sana❤jamani tuwasapot wazidi kufanya makubwa kwale👏💪
MashaAllah..nimeipenda❤❤
Mashallah nimejifunza mengi humu
Mashallah tabarakallah wote mlo shiriki ALLAH awajaze kher insha'Allah ❤❤ good job ❤
Masha Allah Masha Allah ❤nimeipenda sana Allah awafikishe mbali insha Allah
Mashallah kazi nzury ❤wangapi wakewe za wadundana humu ni mfano wa kuigwa kabisa❤❤
Mashaallah
MashaAllah Tabarakkah'Allah ❤❤ movie nzuri yenye mafunzo Allah awalipe kila la kheir waigizaji wote
❤❤❤❤ma sha Allah good job
Jimbo to the world...
Jimbo media mnaupiga mwingi sana 🔥🔥🔥
Mashallah ustadhi, naja pia mm,nisome
Wakaribishws❤❤❤
Mashallah kazi nzuri sana
MaashaAllah mungu awape nguvu na uzima msichoke kutupatia mafunzo
Umenikosha sana hiii kaka Allah ibarik
Mashaallah kazi safi sana mungu azidi kuwafungulia🙏🙏
Mke anagubu lakini anauvumilivu nimeipenda hiiiiiiiii
Mashallah Mashallah Mugu akuzidishie
MashAllah funzo kw wanawake ,wanaume wasiokuwa waadilifu kw nyumba zao
Jmn mwanikumbusha mbali uswailini na hao dadazetu vile machizi kazi kweli
Hii n kwel walimu w madras wanadharauliwa sana
Mashallah good work keep going jimbo media
Kenya is heading somewhere In Sha Allah..congratulations 🎉🎉🎉
Kazi nzur Allah awape nguvu In Sha Allah,n kwel walimu wa madrssa wanaachwa nyuma
Barakallahu, a wonderful piece of religious insight.
Bwana Bujira Mlungu azidi kukuphani maarifa na hekima
Movie nzuri yenye mafunzo big up team Jimbo TV