Wife alipewa talaka na rafki yake so they are no longer friends, happy new year friends mimi nae sijawapa talaka I'm watching this from migori county 😂
Nilijua mwisho wa single mother utafikia wapi. nakumbuka wazazi wakiniambia nitakuwa na nitayaona na nikayaona kwa macho yangu na leo nayaona kwa Banga banga😂😂
mungu awape uwezo muzidi kutuelimisha na kutufuraisha
Huyu mbajuni anajua sana MaashaAllah
Semeni pole pole mtoto atawaskia harusi ya Bure😂😂😂
Mtoto nae ajambo 😂😂allah amueke kidada
Ameen Ameen thumma Ameen Yaa RABB
😂😂😂😂😂Asmaa jaamani eti nkitembea na baba huyu aninunulii kitu
Masha Allah, sasa tutakua tuna-enjoy video tulikua hatu-enjoy kwa sababu simu ilikua mpaka tuismamishe na saa zengine simu iko kwenye charging
Motto amewaza Masha Allah 🎉🎉🎉
😂😂😂 mia imetoka hio.
Ntabu kamwe😂😂😂thwenende
safi saana tanzania 🇹🇿
Mombasa hapa🇰🇪
Mbajuni kwa mataa kabaki kuwatwa. "Kuti lampukutika, nafuu kwa mwekeza".😅😅😅❤😅😅
Respect kwa mbajun
mtoto huyoo😂😂😂 tobaa
Wife alipewa talaka na rafki yake so they are no longer friends, happy new year friends mimi nae sijawapa talaka I'm watching this from migori county 😂
Kazi nzry sna😂😂😂😂😂
Nilijua mwisho wa single mother utafikia wapi. nakumbuka wazazi wakiniambia nitakuwa na nitayaona na nikayaona kwa macho yangu na leo nayaona kwa Banga banga😂😂
Mashallah
😁😁😁 Amazing, Masha'Allah keep going 💪🤩
Nakubali anty SoFi ❤❤❤
😂😂😂 napenda asma aongea pole pole
Nikweli watu mombasa wana lamu wabahili sana sina pesasina pesa msemowao
❤❤🎉
😂😂😂😂😂masterpiece
Ila duh na tumbo juu kumbe lanje 😂😂😂😂😂
😂😂😂hii imenivutia sana
Masha Allah tabaraqallah asma anaongea vzr❤
😂😂😂bwamadi bakuu kumbe cku zote hzo umekaa n mke wa jubra 🎉
I like your content aki 🎉
Jamn asma umezid😂😂😂😂
Iyomimba fanya ujifunguwe tunahamu tumuone kijacho ww
Asma acha ulimi😂😂
Babako amevaa kikoi na champale iyo pesa ya pipi ataitoa wp😂😂😂
😂😂😂😂mwezi wa mbili😂😂😂❤❤nani mwingine ameskia hiyo?❤❤
asmaa kiboko
😂
😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉
Shingi Miaoyaaa😂😂
😂😂😂😂❤😂❤😂❤😂🎉🎉
Ni akae eda baafa ya kuzini
Masauti parangwii parangwii hayana maana nawala sio ubunifu yaondoeeni tafadhali tucheke wenyewe bila msaada sautizawatu
❤
😂😂😂
😂😂😂😂
😂😂😂Peremede ya 5😂
Khee
The future Heroes
😂😂😂😂😂
😂😂😂
😂😂😂
😂😂😂