tangu niko njuka naitwa famous, waaay back nimeanza shika hizi bugana waay back versace, dolce n gabana i'm not new to that kabla hizi za mchina wajanja hawajaanza kuzileta dar... been in the game since i was a teenager , d no abano A mano see major but I said i'm gonna make ma mama proud na nimeweza, now I live my life on this rap i'm a legend ,alhamdullilah i'm living my life na siku hizi usiponiona dar i'm busy in dubai, Mo naitwa landlord na sijidai... nilianzaga kwenye mjengo kabla ya ndai..waliofeel utani now i'm living upstairs ,waliozani haiwezekani wamepotea n cut from a different cross I've got no pair , R.I.P ALBERT MANGWAIR.
Hongera sana kwa msanii Country Wizz na J Moe kwa kutoa nyimbo ya "Wayback" ambayo imekuwa ikisikika sana na kuvutia masikio ya wapenda kazi zao! Mnastahili pongezi kwa kuleta kipande cha sanaa kinachong'aa na kuwafanya watu kufurahia. Asante kwa kujitolea kufanya muziki unaoleta furaha na msisimko kwa wapenzi wa muziki wenu. Hongera tena! Naombeni like zang kam mmankubal father of new generation ❤
Wizzy Kanata na beat Arafu brother Mchopanga kaja kauwa kabisaa nyie i like this combination one lv hphp, ur welcm again South Africa 🇿🇦 cape town homie boys
Alooo country unamtaaa wako kijijini kwetu huna mwenzako tz aloooo ngoma zako unatumia akili kubwa sana sema kuna siku sio tz tu dunia nzima itakunyooshea mikono an amini ngoma zako hazichokeki masikioni mwangu aloo fundi wa muziki tz
Hii ngoma ni kubwa sana San sana sana
Kama unaamini hii ndio ngoma kali ya mwaka 2024 gonga like hapa
Im here Guys 🙋🏽♂️🙋🏽♂️lets talk ❤️🔥
Way Back out worldwide 🎶
Way back to the world
I was waiting for this video congrats you did it 100%
Big way back 🔥
Wizzy came in Paris 🇨🇵 my bro u're welcome
Mmeua kinoma Kwenye huu mdudee
Baba jaymoy still the legend kakuumiza vibaya mno humu ndani
Sijapata kuona kazi kama hii aisee ngoma kali Chupahatar
tangu niko njuka naitwa famous, waaay back
nimeanza shika hizi bugana waay back
versace, dolce n gabana i'm not new to that
kabla hizi za mchina wajanja hawajaanza kuzileta dar... been in the game since i was a teenager , d no abano A mano see major but I said i'm gonna make ma mama proud na nimeweza, now I live my life on this rap i'm a legend ,alhamdullilah i'm living my life na siku hizi usiponiona dar i'm busy in dubai, Mo naitwa landlord na sijidai... nilianzaga kwenye mjengo kabla ya ndai..waliofeel utani now i'm living upstairs ,waliozani haiwezekani wamepotea n cut from a different cross I've got no pair , R.I.P ALBERT MANGWAIR.
Wizzy promote your song inje ya nchi nkali sana
Siku zote uko bora broo
Hongera sana kwa msanii Country Wizz na J Moe kwa kutoa nyimbo ya "Wayback" ambayo imekuwa ikisikika sana na kuvutia masikio ya wapenda kazi zao! Mnastahili pongezi kwa kuleta kipande cha sanaa kinachong'aa na kuwafanya watu kufurahia. Asante kwa kujitolea kufanya muziki unaoleta furaha na msisimko kwa wapenzi wa muziki wenu. Hongera tena!
Naombeni like zang kam mmankubal father of new generation ❤
Like mbele
Hits
🔥🔥🔥🔥
Egend
Noma
Kazi nzuri sana hongereni ndugu zangu💪
Goma kali wizzy😍
Way back 2016🎉🎉🎉🎉
Hii ngoma imenichukua siku nzima kuitizama
father since way back.........💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿
🔥🔥🔥 wizzy
Unyamaaa saana 🔥🔥🔥
Hii goma la kitaaa noma sana
Faza wa new generation nzimaa
Keep going bro 🔥🔥
Hatimaeeee unyamaaa umeachiwaaaa🙌🏾🙌🏾🔥🔥🔥. Nakubali kazi toka WAYBACK
RIP Albert Mangwea…. that line is spiritual to me!
Yeah a medicine 💉
Xanaaaa maniga Rip ngwear 🙏🙏
RIP Genius ngwea
Kwa mtu anaejua yeyote hako kaline kana mgusa
Kama kusu swagger toka way back❤
🔥🔥🔥🔥 classic hii track.
Legend he's a legend
thats how shows how d legend u are
u just kill it bro
big five legend@more tec
Kazi nzuri
Ebana eeh zee la kukomesha ushamlza kile tulichokua tunasuri 🔥🔥👊
Been a fan toka Way back,much love from Kenya,
Gaddafi one more time ❤
Deeeiiiiiiimmmmm......way back moto Sana....
Kila nyakati unakua bora broo
unavosikiliza hingoma unataman isiishe kabisa ni🔥🔥
Wizzy ujawai kosea mzee🔥🔥
Wizzy Kanata na beat Arafu brother Mchopanga kaja kauwa kabisaa nyie i like this combination one lv hphp, ur welcm again South Africa 🇿🇦 cape town homie boys
HILI GOMA KAMA DAWA NAAMKA NALO NA NIKITAKA KULALA NALALA NALO NIKIWA NASIZI NASIZI NALO OYAA WIZZY GOMA LA MWAKA HILI🎉
Director apewe mauwa yake🎉👊
Moooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo we mbayaaáaaaaaaaaaaa babuuuuuuuu
Lile goma la mwaka
Napata ladha ya RoddyRich safiii
Kabisaaa yn
Iko very sana hii NGOMA
Wayback it's my song of the year
Unyama ni mwingi sana humu
Bigting wizzy❤❤❤maua yako upewe tu🎉🎉🎉
Look what really chap do ..... watoto wa father tupo apa 🔥
Country broo unakila sifa ya kuitwa msanii kwanza sauti unazo nyingi, muonekano, swags kuvaa unajua
Appreciate big brother ✊🏾✊🏾✊🏾✊🏾
Alooo country unamtaaa wako kijijini kwetu huna mwenzako tz aloooo ngoma zako unatumia akili kubwa sana sema kuna siku sio tz tu dunia nzima itakunyooshea mikono an amini ngoma zako hazichokeki masikioni mwangu aloo fundi wa muziki tz
Country ni mmojA
Mdundo mkali umetulia mdogo mdogo unakula flavour!!!
BABA 🌹
My role model..... Niatchieni likes plz
Mandingoo 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥
Appreciate my bro 💪
Mbakiaji❤
Kaka upewe maua yako 🙌🙌My Best video of the year 🔥🔥
Country kipaji kikubwa sana nahisi muda utafika kila mmoja atasema huyu mwamba hana mwenzake
Unyama mwingi mno ,much love from the 254 ❤🇰🇪
Mmefanya vizuri video kali❤
Goma kaliii
lyrics 100
flow 100
beat 100
#country wizzy
Kizazi chetu🎉
Way back is Hot 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥
Daaah hii ni ngoma kali ya rap ya mwaka toka uanze ni Quality quality project,
Wizy away back 🔥🔥🔥
Hakuna njia kmmk hiii ndo komesha lao
ngoma flan ambyo ina flow nzuri ryhmes country forever
Unyama ni mwng
Bonge la hit 💯🫡🔥🔥🔥
Kama kuhusu swaga toka way back
Nimeiangalia mpaka duuh
Buganaaa, chupa la kwenda ngoma ya kwenda
Shiih bongo rap to the next level😂
Good work my brother wizzy 👍👍👍👍 much love from Moz 🇲🇿
one bloood ninjaaaaaa
Duh.!!!Amazing 🌎🌎🌎🎤🎶🎶🎶 Country.. Wiz. Gang🔥🔥🔥SMART GANG. 💸💸💸💸💸
Hii ndo ngoma sasa, upcoming artists njooen mjifunze hapa
Way Back 🔥🔥🔥🔥👊🏾👊🏾👊🏾👊🏾☝🏼☝🏼☝🏼
Ovaaaaaaaaaaaa back
We feel proud of u diamond platnumz from Tanzania
Way back ni ngoma ambayo nikiskiliza inanifanya nakuwa hustle sanaa umetishaa mkaliii country wizzy✊🔥🔥🔥🔥🔥
Toka way back🎯
🔥🔥🔥🔥🔥
Ili dude konyo kinoma
Noma mmmhh upo juu hapo bongo wizzy
Tangu niko njuka way back
Shout out from Cape Town 🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦..
Pops 🎉🎉🎉🎉🎉 🎉
Mko on fire gadafi
Faza wizzy ❤❤🔥🔥🔥
Hii ngoma ni mpaka 2030 country hunashida ya kutoa Nyingine aloo kwa hii siamini kama ngoma kama hiii kuimbwa tz
Wizzy ❤❤
Jay moe a legend for real
Kiukweli jaymo kwa pamba umu kakalishwa na fada
Jay to the moe
Pamoja kizazii, tuna fido, then tuna goma la mtaa wowooo
Big content big content 🔥🔥
Wizzy on the top
Wajna🎉🔥
Nomaaa
Wizzy 🔥🔥
Wizzy 🐐
Ughwe umenyeee 🔥🔥🔥
Wizzy Jay🤙🏿..
God bless you buddy