Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Mnaicheleweshaaa jmn mpk tunaisahauuu Kam unakubaliana na mm weka likee bs❤🎉❤🎉❤🎉❤
Maua kayabanangaa yamemkutaa wahenga walisema mwanamke mjinga huvunjaa ndoa yake kwamikono yake mwenyewe wanawake kunachakujifunza hapaa 🙏❤️❤️❤️
Sio wahenga ni biblia🏃
Sio wahenga ni biblia 🏃
Khaa papi nae kapenda I 😂😂😂 maneno kama yote ili lamama aelewe lakini kisasi hapa hapa duniani nayeye yatamkuta maana anependa 😂😂😂
Yani humu badala ya kutoa ushauri au kucoment mnakaa kuomba like tu... Basi bhana na mm naomben like zangu 😅
😂😂😂
😂😂
Ttz hii movie inachelewa sana😢 ila n mzur san big up✌️💯
Kwanza mi hadi niliisahau😢😮😢😮😢😢😮
Kabisaaa inachelew sanaaa jamn mjitahidi kuwahisha
@@Hadijawashuma kabsa yn
@@MamuDavid lkn ulimalza movie kwanz kabla ya kuja kwny coment section 🤔🤔🤔😂??
Hiyo ni kweli kabsa
Maua mtoto mzuri nakupenda mnooo love you MD romantic.
Mimi wa pili leo naomba laik zangu
Kazi nzuri Mungu awatiye nguvu
Aisee muvi nzuri sana na inafundisha
Kila mtu Ni Wa Kwanza uku,,,mm Ni Wa pili,,wapi likes zangu
Fanyien kaz kila mtu kuwalalamikia mnachelewesha hamuoni kua shida hiyo
Maua. Moyo ukichoka hutoa. Maamuzi.acha. Kikurambe. Uliowaona wana. Thamani Leo. wote. Wamekuruka
Haaaaaaa ,umenifurahisha pap unachana mstar ,eety hisia zinatengenezwa maua yako🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hako kawimbo jamn
Jmn m piah nakapenda
Movie nzuri sama mnachelewesha Jaman jitaiid
WA Kwanza Leo mnipee like zangu please 🥺
Chukua😂
Napenda mafundisho yenu 🎉🎉🎉
Hivi hizi like mnazoomba nichakula ama
Papi kumbe unapesa mbona usimsaidie maua na alikuwa akikusaidia kipindi ww ulikuwa huna nikwel ukipendewa pesa na zikiiaha penzi limeisha papi ww Mungu akuone
Kaka hongera sana hii move ninzuri mno ubarikiwe
Mimi wa nwishooo Sasa staki shobo za like
Na mimi wakwanza kutoka burundi tujuane
Niuzie hio simu maua❤
Mwanaume siku zote sio ndugu yako ndiyo maana tumeambiwa tukae nao Kwa akili upo nyonyo 😂
pole nmejifunza kitu kwako madiya❤❤❤❤
King noely mnaichelewesha sana hii move ni tamu sana
Yan movie n nzuri lkn shida inachelewa kishe n fupi sana waaa🎉🎉🎉❤❤
Kweli hii ni game of love maua umetisha
Kweli kabisa move nzur hadi nzuri tena shida nikuchelewesha rekebisheni hyo kitu
❤pe🎉ndan sana hii move ila mnachelewesha mauwa umeyadabanga
Hii movie bn maua alivyokua na noel papi alikua anamtaka sasa ameachwa na yy kaamua ajikatae 🤣
Kazi nzuriiii kaka nimependa natamni nijiunge n nyie sem nd hiv,nawaombea tu ndugu zangu
Kwakweri munacherewesha kutuma munakaa muda murefuu Sana
Kingine move inakaa mda mrefu kipande kimojaaa papiii anajieleza.sanaa matunyima vipande vingine
Yaan had kero
Jmn kama unaungana na mm gonga like,, Noel n handsome 😋 jmn
Sijui hii movie inafurahisha au inahudhunisha 😊😢
Mapenzi n game 🔥Papi pink😂
Mbona hii movie inachelewa sana jameni
Daaaa!! Fundisho kubwa Sana kwenemaisha🙏🙏
Kazi nzuri hata kama inaenda slow mpambana donta tv munatisha
Umeyatakaulimfanyiya maovu
Kwakua inachelewa kutoka weken B's ht dakika 50
Jamani mbona mnatuachia pazuri alafu mnatoa mojamoja uhondo unabakia njiani shida Nini jaribuni kutoa hata tano Basi Kama mko na Mimi naombeni like🎉🎉🎉
nawapenda nyote mungu awabaliki
Nzuri kinoma ila vipande vichache
Msichelew iv bn
Move Kali Sana I'll inachelewa king nakukubali
1 JD like please ❤🎉🎉🎉
Waaah nimeisubiria sanaa❤🎉 big up king Noel💪
King nimeupenda msemo wako wa big time nitautumia sana
Wapili nimimi leo nipeni like zenu
We papy upo vzuri kwenye mistari dar umetisha mwamba nimekielewa Sana kipande chako big up
Maua mh mh mh
Nakubali sana kaka
Mnachelewa sana sisi tunachoka kusubili😢😢
Mpaka tunaisahau jitaidi broo kaz nzur sanaaa Ila mnacheleweshaaa
Maua hela ya Kula huna ya kulewa unayo? Nimeipenda 🤣🤣
Tunangoja sana bana hii story n ya kubamba
Mbona mwachelewesha bana ,nafile ilinvio tamu ,alafu mwachewasha ,fanya chapu bana
Good work 🤝🤝🤝👏👏👏👏
Aki mnachelewesha lkn i really love this ❤❤
Nikiolewa sitaki utani nitakua makin asanten kwa kutuleyea mov yenye mafunzo
Wanaumee tutafute jamn alafu tupunguze kupenda sana
Ni mzuri kwa kinawatu kama Hawa hapa duniyani ambao hawabadiliki hata usemeje
Unakaa Sana kwann
King big up kwakweli
Jamn jirekebishn xx kama mashabk zenu mwatukalisha Sanaa 😢nn mbaya wajmn ila twapwnda sanaa❤❤
Mjitaid bc muwe mnawai kutoa move nzuli sana
Maua Bado ajasema yaaaan mpaka aseme🤣🤣🤣kazi nzuri
Kazi nzuri bro
🎉wanaume kama wanapenda kuingilia waume wenzie hawajuwi kufanya au maamuzi yeyote
Jamani mnaichelewesha sana ila ninzuri sana
Nzuri lakini maua uje uchukue dawa yakutoa sugu kwenye vidole
Mung awatie nguvu ya kufanya vizuri zaid
Munachelewa Sana kutoa episodi kwa wakati changamkeni kutoa episodi kwa wakati ila mziki upo poa sana
N kwel wanakaa sana
Mnachelewesha sana, hadi tunaikatia tamaa!
La mama siumuelewe Papi aky 😂😂😂😂😂😂😂
Jamn umejua kumnyoosha maua big up
Ila t vipande vyenu sehem1 inachukua mda maongez yanakuwa meng
Nabapenda❤❤🎉🎉🎉
Akh naombeni like ❤❤❤
humu ndani nmekuta majeruhi wengi sana wanaomba like wamekanyagwa vichwa😂😂😂 acha niite gar la wagonjwa😂😂😂
Nani mwingine ameona tunyonyo twa maua 😂😂😂
Movie nzur san lakn mnachelwsh kurush jamn mjithd mwahsh
Fanya kaz king 🤛
King noel leta nyngne chap iko safi japo inachelewa
Mauw ww ni hatar wape v2❤❤❤❤❤😊😊😊😊
Mnachelewa sana kuitoa
Yaan ngoma droo nimepenta hii movi yani king noeli love u❤❤❤
Kazi mzuri lkn heee mnaichelewesha sanaa tuu jitahidini kidogo
Waoooh❤❤❤
Daaah😂😂😂🙌🙌🙌
Nimeua@@ZephaniahSekwa-fl2go
Wapo wengi haooo ulikua hujui😅😅😅umepigwa apo pole toka ukatafte kszi 😂😂😂😂
Muwe mnatoa muendelezo kwa wakati mnatukata steam mashabiki zenu
Mpo vzur
Unakoelekea mauwa utajiuza utakuwa zaidi yadanga dadadeki zako
Sema kweli wanachelesha
pole sana mauwa 😂
Hii movie ya fundisha Yani mpango wakando Huwa hapendi Bali kuvunja na akivunja huondoka
Majuto ni mjukuu .Mwanamke mjinga huivunja nyumba kw mikono yake mwenyewe❤❤❤❤❤ .Papi nakuona unavyo mwaga misitar😂😂😂😂
Movie ni nzuri sana ila wanachelewesha sana
King umetisha sana🎉🎉🎉🎉❤❤❤