Mume wangu atanipa alichojaaliwa na mwenyezi Mungu ata akininunulia jogoo nile supu ntamshukuru kila mtu na uwezo wake wengine hata hzo soksi hawapati wanazitamani
Tuachen utan" Kila mtu anapenda azawadiwe zawad hii" na hakuna mtu aliejifungua asimshukuru Mungu " wengi tunamshukuru na zawad wanapewa wenye uwezo wao" ni vile tu tumetofautiana uwezo " kiukwel hongera yake mwanamke mwenzangu" SS wengine zawad zetu n maji y moto tu " lkn pia namshukuru Mungu japo mtu unajiuliza maswali mm namkos gan" yote kwa yote utabak kuwa Mungu IPO siku yangu tu ntabarikiwa 😭🙏
Cha kwanza uzae hao watoto wawe na akili manake wakiwa kichwa tupu watakuwa watoto Wa mama, mi tupendane tukipata tutamshukuru Mungu na amani ikiwepo ni zaidi ya gari
@@hellendaniel3809 kuna point umeongea hapo lakini sijailewa ukinielewesha nitafurahi sanaaa mama % ngapi na mzee % ngapi vile , kupongeza sina hiana kabisa huyo baba Mungu ampe zaidi ya gari na inawezekana kabisa wamechelewa kupata mtoto so kila mtu ana jambo kubwa linalomfanya aonyeshe hisia zake
@KhairatBundala suala sio kuzoea, ila mwenzio anapokufanyia jambo onyesha basi appreciate yako ili mwenzio ajihisi kuweza. Lkn unapokuwa umepoa ni kana kwamba unaona kha! Yaani kujitutumua kote ndo kazawadi kenyewe haka. Yaani hata ukipewa kitu kibaya onyesha kufurahia ili kumpa moyo mtoaji atoe tena na tena na tena achilia mbali udogo wa alichotoa
Jamani ata mm nmebeba mimba baada ya kutafuta miaka minne bila mafanikio nilikuwa na kiswaswadu mume wangu amenipa zawadi ya iphone 7 plus ni zawadi kubwa sana kwangu sijui kwa wengine huko mnataka magari mbwa nyie😂😂😂😂😂
Ningepewaje zawadi wakati najifungua najiringishia najua mwanangu ni first born kumbe mwenzangu huko tayari alikuwa na mwanamke mwingine na amejifungua mwezi mmoja kabla yangu, yaani watoto wamepishana one month, nimekuja kugundua mwanangu ana miezi mitano hata nilishindwa kulia wala kucheka iyo ndio surprise yangu
Shoga yangu huo ni moyo wa mtu kutoa tuna wanaume wana kila kitu ndo kwanza tukizaa baada ya kuambiwa pole unaambiwa kazi kushindana na mke mwenzio tu hayo ndio tuliokuwa tunazawadiwa hata maneno mazuri ni zawadi tosha
Siy mwanaum akijua thaman ya mwanamk hap hapo tunawalaum tyu wanapend san kufany hiv ila kipato tumetofautian jaman shid kipat kipenz mume wang saidia fund tumepang chumb kimoj alafu nije uku nisem rah ya mwanaum kujuw thaman ya mwanamk mim kikubw kupumua bas meng ya dunian ni safish macho tyu kala nyama mim ugal na kachumbar ila wote tumeshib vibay mno tujarib kurizik na hali za wanaum zetu awafanan kweny maish ila kikubw wanapambamb kweny familia zao
Mimi najua mume wangu hajajipata tu ananipa kadri ya uwezo wake❤
Mazda gari nzuri sana,alafu bei gali, mzee umeweza sanaaa , sio wanaume wengine hata uzae watoto mia hajali wala nini!!!!!!!
Mi nilijifungua mapacha akanambia twende kanisani tukamshukuru Mungu kwa sadaka ya shukurani ya pekee,na nikaridhika.❤
🎉🎉🎉
Hilo ni kubwa Sana klk gari
Sasa sushukuru alikwambia kanisani
Yaani hiyo ni zaidi hilo gari.Mungu anapenda kushukuriwa na kupewa nafasi ya kwanza.....mmebarikiwa Sana katika huo ufahamu
Michepuko mpo mama mijengo inaletewa mi saprize michepuko nyie mna hali gani
Hongera shemela umeweza. Na dada hongera kwa kupata mume anaejali. Mungu asiwapungukie hongera kwa twins
Mimi hata doti ya kanga sijapewa
Woooow 🎉🎉🎉 Mungu azidi kuwatunza jmnii
Mungu Awabariki na kuwajalia maisha marefu.
Du!! Hongera saan kwa wanaume wanaojua kuwapongeza wake zao kweli twins cyo mm mchezo mm nina madume hapa aise Mungu mwema mno
Mume wangu atanipa alichojaaliwa na mwenyezi Mungu ata akininunulia jogoo nile supu ntamshukuru kila mtu na uwezo wake wengine hata hzo soksi hawapati wanazitamani
Kweli shoga angu ndoo majaliwa yako kila mtu alivyoruzukiwa na mungu
❤❤❤❤
@@JoyceSamwel-f2s kweli my kikubwa uzima tu wallah
Tuachen utan" Kila mtu anapenda azawadiwe zawad hii" na hakuna mtu aliejifungua asimshukuru Mungu " wengi tunamshukuru na zawad wanapewa wenye uwezo wao" ni vile tu tumetofautiana uwezo " kiukwel hongera yake mwanamke mwenzangu" SS wengine zawad zetu n maji y moto tu " lkn pia namshukuru Mungu japo mtu unajiuliza maswali mm namkos gan" yote kwa yote utabak kuwa Mungu IPO siku yangu tu ntabarikiwa 😭🙏
Kikubwa uzima kiredio ukiingia leba ukijifungua ukitoka salama shukuru kuna wengine wanakufa uko uko leba
Hongera kwa wote maana sio kitu rahis mungu awape maisha maref yenye kheri
Na mm nashkuru mungu mume wangu alinizawadia ndege baada ya kumzalia watoto wanne😁😁😁😁😁😁
😂😂😂😂😂
@@LuciaMagoli-en7ebKwa kweli ulie tu makubwa
Ndege kasuku au kunguru😂😂😂
Hujafafanua vizur ni ndege yupi ?
@@KhairatBundala usikute mm ndio niligeuzwa uyo ndege
Ma shaa Allah hongera kwenu Allah awakuze watoto wawe wema
Mim sijawahi mzalia mwanaume najizalia mwenyew Kwa raha zangu Mungu Asante Kwa watot wazur boys anda girls
Mbona Haina sauti 🤦🏻♀️
Jna n kyando 🔥🔥 watan hongera saana
HONGERA SANA MR KYANDO KWA KUJALI,KWELI UMEMTENDEA HAKI HUYO BINTI
Kuna wanaume wanajua kupenda jaman hata Mungu anapenda hivyo
Uyu dada mbn kapoa san imekua sio surprise tena ss 😊
Gari ya mil 30 dada umepoa hv khaaaa
Mashaallah allah awakuzie❤❤❤
Huyo mwanamke kama kaona kawaida hajasuprizika kiviile😅
Bei gani hii gari😊😊 jamani
MUOMBEE SANA AENDELEE KUWA BB MWEMA
Cha kwanza uzae hao watoto wawe na akili manake wakiwa kichwa tupu watakuwa watoto Wa mama, mi tupendane tukipata tutamshukuru Mungu na amani ikiwepo ni zaidi ya gari
Acha hizo😂😂😂😂pongeza bhana. Kwani akili za mtoto zinatoka kwa mama kwa 75%.Km wewe dish mlaumu mzeee kwa kuchagua maza ambae IQ inasoma single digit
@@hellendaniel3809 kuna point umeongea hapo lakini sijailewa ukinielewesha nitafurahi sanaaa mama % ngapi na mzee % ngapi vile , kupongeza sina hiana kabisa huyo baba Mungu ampe zaidi ya gari na inawezekana kabisa wamechelewa kupata mtoto so kila mtu ana jambo kubwa linalomfanya aonyeshe hisia zake
Y @@hellendaniel3809
Hongereni saaana Kweli❤❤❤
Watu walozoea kupew zawad kubwa kubwa mwaya hata hajashtuka😊
Mimi naishia kumshukuru Mungu kwakuniwezesha kutoka leba salama na mwanangu.hizo zawadi naziona tu kwa wengine kama hivi.kikubwa uzima.
Jaman mimi wa kwanza nipeni like zangu kwajili ya kiredio
Mara paaaa, mzee mwenzangu sio biological father!!
😂😂😂
😂😂😂
Kama wang Allah awajalie maish marefu
Mimi tayari watoto 5 nimepewa hongera sana mke wangu nakupenda😂
HONGERA SANA MTANI WANGU UMEPATA MWENZA MWEMA,SOFA NA UTUKUFU NI KWA MUNGU
Hata akinilipia bill za hospital zone nashukuru tu
Kiredio wangu sio mhalifu mtoe kwenye hilo kundi ananipenda ni uchumi tu hana usitutukanie waume zetu ni uchumi tu haujakaa sawa
Waoooo dada kwani una mdogo ako wa kike❤❤❤
Mi sijampenda huyu mama kapoa juu ya surprise yote hiyo Kha!
Labda kwake ni vitu vya kawaida tu.
Ukute mwenzio kashazoea kupewa mazawadi😂
Nimeumia mbna kapokea kawaida sana😂😂😮
Alishazoea mwenzio
@KhairatBundala suala sio kuzoea, ila mwenzio anapokufanyia jambo onyesha basi appreciate yako ili mwenzio ajihisi kuweza. Lkn unapokuwa umepoa ni kana kwamba unaona kha! Yaani kujitutumua kote ndo kazawadi kenyewe haka. Yaani hata ukipewa kitu kibaya onyesha kufurahia ili kumpa moyo mtoaji atoe tena na tena na tena achilia mbali udogo wa alichotoa
Ukipata mwanaume wakijua thamani yako raha sana
Ukuten sas kwa bahat mbaaaay toto sio zake😢
Mda wanaendelea kupamba nisome comment sasa😅😅😅😅
Dah mpaka raha Mimi nimekimbiwa namume wangu nimeachwa na watoto TU tunapambana wewe baba umungu akuweke daima
Usijal mpenzi ni sehem ya mapito tu
Kiredio unafurahi sana 😂😂
WOW❤❤❤
ai ukifwatilia sana mitandao utahisi aupendwi😂😭😭
😂😂😂😂😂😂😂😂 kabisa
Kweli kabisa
Ivi mazda sh ngapi jmn hapo kwa tron☺
Milioni 45 cash
Naona watu wanajifariji mi nimejifungua ata asante ya mdomo sijapewa
Ila baba anapenda wanae atar mama yao sasa😢
Utakua na GUBU
😂😂😂😂 mama yao wakuzalishwa tu
😂😂😂😂pole mam,Mshukuru Mungu kwakua uko muzima
Mimi sijawahi kuambiwa hata pole
😂😂😂😂kwakweli nihuko kununuliwa soksi
Mbona Haina Sauti Mmefeli Mnajaribu Kuiga ila Baso
Hata ile hongera na pole hatupati wengine😢
baaada ya shughuli naombeni hizo marine board nikamalizie formwork ya kibanda changu🤣🤣😅
Kuna mimi niliambiwa hongera tu😢
Hata hongera sijapata....ila nyie😂
Mbona ata sisi tunanunua chupi 😅😅😅😅
😂😂😂😂😂
Izo nifitna unasemaje wwt siyo wake 17:46
Nalia mimi machozi ya furaha🤣🤣,maana nimebakiza miezi michache niingie labour alafu sijajua nitasuprisewa nini!!
Mume wangu naomba uje uone hii😂😂
@@d.m453 usiishi Kwa kuiga rizika na hali ya maisha uliyonayo
Hope walikaa muda mrefu bila kupata mtoto
Mungu na mm nijalie baraka katika familia yang
Amen🙏
Aamin
Nina wasiwasi sana na huyu kyando 😂😂😂
Mzee ametoa gari halafu baadae anagundua watoto sio wake 😅😅😅
😂😂😂😂😂
Mimi nimejifungua mapacha wa kiume na mwanaume kanitelekeza
Jamani ata mm nmebeba mimba baada ya kutafuta miaka minne bila mafanikio nilikuwa na kiswaswadu mume wangu amenipa zawadi ya iphone 7 plus ni zawadi kubwa sana kwangu sijui kwa wengine huko mnataka magari mbwa nyie😂😂😂😂😂
Hongera mamii
Ndio utukane
Mmetubania sauti sijapenda
Nazawadiwa ngono tuu kwa kweli 😢
Uko kama mm ngachoka mie
Tatizo lako unachelewa kushoot content unachukua mda mrefu sana
Ata ajachangamka kama alikuwa anajua kuwa anapewa zawadi
Tatizo lenu wabongo mezoea mpaka mtu apige kelele
Mnazingua mbn saut inakata kata
Wenye waume
Hahaha mbn mnawah kukoment kbla hamjaview😂
Anakumbatia kwa mkono mmoja yanai anapenda simu kuliko mume
Kwakwer ❤❤❤❤❤
Hii Dunia haina usawa kabisa hta kma wetu hawana basi waoneshe japo thamani tu
Wee acha tu
Hata mia sikupata
AFU WATOTO UNAKUTA SIO WAKE ALICHITIWA😂😂😂
Wacha wivu namakasiliko wewe mwenyewe mama alichit ukazaliwa wewe usihalibu shuguli za watu
😅😅😅😅😅😅
Acha uchawi na wivu nyoo
Hii Mazda Si ndo ile aliyoikataa yule binti wa graduation?!!
😂😂😂😂nihy hy kwel
Ningepewaje zawadi wakati najifungua najiringishia najua mwanangu ni first born kumbe mwenzangu huko tayari alikuwa na mwanamke mwingine na amejifungua mwezi mmoja kabla yangu, yaani watoto wamepishana one month, nimekuja kugundua mwanangu ana miezi mitano hata nilishindwa kulia wala kucheka iyo ndio surprise yangu
😂😂😂
Nmekuwa wakwanza Leo 😅😅 kiredio nine maua yangu
Kirediyo wacha zarawu kwahiyo Sisi tunaishi na wahalifu kweli sema hawana Tu pesa za kutununuliya jamani ila wanatupenda
Hela inaonekana ipo hapo
We kk we kk naomba namba yako jamani
Kikubwa uzima
hongera mwaya mm nilipata mapacha hata zawadi ya pipi skupewa
Maybe uwezo akuwanaho tufo tafauti sana mama
Pole sana
@@Abomcleak
Si kwa pipi huo ugali je ataumudu vip
@@FatimaAli-of4gh tegemeya kuachwa mambo ya michepuko 🤣
Raha naona mim jomon
Umhuuu turishakoseaga toka mwanzo ngoja tuone wenzetu tuu
Hi sindo ile ambayo yule dada alipewa na mamake akakataa
Ndio anatuzuga huyu 👀
Mmmmmh vitu siku izi vinafanana lakin😅
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂
Morice mwingne karibu😊😊😅😂
Ata wetu wanatupenda ni uchumi tu haujalainika 🥹
Siku nawez utapokea na utafurahia nakuombea❤
Shoga yangu huo ni moyo wa mtu kutoa tuna wanaume wana kila kitu ndo kwanza tukizaa baada ya kuambiwa pole unaambiwa kazi kushindana na mke mwenzio tu hayo ndio tuliokuwa tunazawadiwa hata maneno mazuri ni zawadi tosha
Sana
@@FatimaAli-of4ghKwa kweli sio lazima upewe kitu ila mtu alijua thamani yako inatosha
Watu wanapeana moyo hadi huruma jmn mtu hawezi kukujali kwa kidogo alicho nacho hata kikubwa huwezi kukupa
Kila siku ni hii hii Mazda CX-5
Mbona umekata saut
Siy mwanaum akijua thaman ya mwanamk hap hapo tunawalaum tyu wanapend san kufany hiv ila kipato tumetofautian jaman shid kipat kipenz mume wang saidia fund tumepang chumb kimoj alafu nije uku nisem rah ya mwanaum kujuw thaman ya mwanamk mim kikubw kupumua bas meng ya dunian ni safish macho tyu kala nyama mim ugal na kachumbar ila wote tumeshib vibay mno tujarib kurizik na hali za wanaum zetu awafanan kweny maish ila kikubw wanapambamb kweny familia zao
@@NoelaJohn-p5dnice
👍👍👍👍👍👍
Had raha jamn🎉🎉
Wazee wa "Leo me wa kwanza"😂
Hongera🎉
Baskeli hana alafu akanunue gari
😂😂😂😂
Waliogundua gari wanipe like
Au unatangaza biashara ya gari maana content za gari zimekua nyingi mno
Unampa gar uku umesahau kwenye ndoa zenu kuna watoto wetu😂😂😂
Wivu tu tafuta hela
Unaweza kuta hata hao wakwako ni wakwetu😂😂
Sauti
Km kweli hongera yake ila tunashaka nagali layule mdada wa chuo akakataa
Unazaa kwa kisu mara tatu unaambulia karaha
Kiredio wakee
Wewe mama yako alipewa nini na baba yako tuonyeshe
Heri yake mi nlijifungua km Leo kesho yake mwanaume ananiomba hela ya ges 😅 wanaume wengne mbwa kbs
😢😢😢😢
😢😢😢😢😂
😂😂😂😂😂😂😂
Mbwa weusi
😂😂😂
Mbna mmekata sauti mbwa nyie