Prof. A. Tibaijuka has remained being my very favorite leader she is Sincere on what she says, I wish our leaders especially top leaders who looks to fall short of knowledge and wisdom could gain wisdom and knowledge from her. Live long prof.
Mpendwa wetu Mh Tibaijuka kusema kweli Ulitujali sana pale ulipokuwa Mbunge ulikuwa hubagui ulimsikiliza kila mtu bila kujali ni tajiri au maskini mama tunakumbuka na umetusaidia sana Mungu akuzidishie akupe Maisha marefu Amina
Hongera sana mama Anna Tibaijuka, wewe ni mmoja wa wamama ninaowapenda sana unajitambua sana! Vijana hasa wa kike waige mfano wako mzuri mama mpambanaji. Asante sana.
Naipongeza crew mzima ya cloud fm iliyo vyoshiriki kumhoji na kuongea na mama Tibaijuka ,Maswali yote ulikuwa ya msingi na mengi yalizingatia utaifa na uzalengdo ,,❤ GBY CLOUD CREW.
In 1993 Convocation of the University of Dar-es-Salaam,I happened to meet the lady while facilitating the economic agenda of the regional activities as part of her input from her experience in economic research of the country.I admired her intellectual resources.God bless her life.
Huyu ndio mwana CCM mwenye msimamo.ni professor anaejiamini.big up kwako professor.ametangaza rasmi mikataba ni mibovu ndio maana haipelekwi bungeni.na watawala wamekua kimya hawajamjibu kwa sababu ukweli wa hiyo mikataba wanaijua wao.haya mjibuni professor
SALAMU DADA YANGU PROFESA ANNA TIBAIJUKA, ASANTE SANA KWA MAELEZO MAZURI NA HISTORIA HALISI... LAKINI NAPENDDA TU NIKUSAHIHISHE KWA JAMBO MOJA : INCHI YA KONGO ( DRC LEO ) HAIJAWAYI KUWA KOLONI LA MJERMANI, ILIKUWA KOLONI LA UBELJIJI.... KOLONI ZA MJERMANI KABLA YA VITA YA KWANZA YA DUNIA ZILIKUWA : TANGANYIKA, RWANDA, BURUNDI, NAMIBIA, CAMEROUN...........
Mama Profesa uko vizuri sana tena ingefaa uwe kiongozi wa pekee kuwaelimisha wananchi na wanasiasa. Kuna waioelewa na kuna wanaoelewa lakini wanaharibu makusudi kutokana na vyeo na vyeo hivyo kikubwa maslahi ya binafsi. Mama msomi saidia nchi yako maana usomi wako ukiutumia vizuri utabarikiwa na hiyo ni njia ya kufika mbingini. Viongozi wengi wanatafuta maisha yao binafsi akili zao zinawaza madaraka napesa hivyo kuelewa ni kugumu. Wasiolewa waelimishwe.
Kaka Kaizari, wakati mwingine jitahidi kitambua uwepo wa mwenzako. Umemfanya mtangazaji mwenzako kuwa backup yako. Yani ninafuatilia mahojiano huku ninahuzunika kwa mtangazaji mmoja kidominate. Siyo vizuri.
@@PoulFred ndo maana mamako alifirwa ukapatikana ww..Nguruwe wa kienyeji ww...mpaka uparamie comment yangu wapi nilitukana au kutoa lugha mbaya?? Firaun ww ulojawa laana ,usirudie kutukana watu Nguruwe ww
Huyu mama angefaa kuwa Raisi wa kwanza mwanamke ni mchumi na anamipango mikubwa anaondoka na mambo hayo mazuri kichwani kwake Angepewa hata miaka mitano tu Mama Tia nia 2025
Digrii ya wizi mliyokuwa nayo ccm tokea 1961 mnaiba mpaka leo 2024 hakuna maendeleo zaidi ya kujisifia Madigrii ya kuiba pesa na kudhulumu mali za Walalahoi, Mungu awatie motoni viongozi wote pamoja na madigrii yenu motoni mungu awalaani wote mliyotuibia na kututia umasikini.
Husuda za kijinga sana! Acha wivu wa kichawi, jifunze kuwa na wivu wa kimsendeleo. Asiye na uwezo wa kujenga ñguvu ya hoja huishia akili ya shuku na udhanifu!
We ni tahira ubongo umeganda haungalii fact bali unaendeshwa na wivu,roho mbaya,taharifa negative na uzwazwa..watu wa aina yenu hata ndoa inawashinda coz huna akiri..na mtu asiye na akiri hawezi mwelewa mwenye akiri
Wewe ni hazina ya maarifa. Ni zawadi na rejea ya muhimu ( library) iliyo hai. Jamani Tanzania Mwenyezi Mungu atupe nini kama hatuwatumii watu wa aina hii ambao tunao wa kutosha? Tukumbuke siku wakimaliza safari zao itakuwa kama kuungua kwa library na hazina yote iliyomo tutapata wapi mwendelezo wa hizi hazina? Jamani ni high time tuanzishe utamaduni wa kuheshimu hawa watu wenye hazina za taifa na maono na kuwatumia kurithisha kizazi kinachofuata. Library zilindwe historia isije kutuhukumu kwamba tulizichoma kwa kutozitumia zilipokuwa available.... @ DEOGRATIAS JOHN RUGABA
Prof. A. Tibaijuka has remained being my very favorite leader she is Sincere on what she says, I wish our leaders especially top leaders who looks to fall short of knowledge and wisdom could gain wisdom and knowledge from her. Live long prof.
Mpendwa wetu Mh Tibaijuka kusema kweli Ulitujali sana pale ulipokuwa Mbunge ulikuwa hubagui ulimsikiliza kila mtu bila kujali ni tajiri au maskini mama tunakumbuka na umetusaidia sana Mungu akuzidishie akupe Maisha marefu Amina
Utakumbukwa vizazi na vizazi prof tibaijuka ❤❤ nakupenda sana mama
Hongera sana mama Anna Tibaijuka, wewe ni mmoja wa wamama ninaowapenda sana unajitambua sana! Vijana hasa wa kike waige mfano wako mzuri mama mpambanaji. Asante sana.
Very insightful interview!!! Namkubali sana Professor Tibaijuka. Very honest and knowledgeable Professor. Alipikwa vyema sana Sweden
Mmesahau Sakata la Tegeta Escrow la sh. 1.6 billion na ndiyo akavuliwa uwaziri?
Huyo mtangazaji Siza anapenda kumkatisha prof, uwe unatulia basi
Mama kaongea ukweli sana. Machars mmesikia?
Kweli aisee,huyu mtangazaji anatunyima uhondo.huyu Mama yupo nondo sana.
Safi sana Mama.
Kweli huyu Kijana anaharibu interview.@@dismasvalentine9633
😊@@dismasvalentine9633
Mimi nakukubali sana, prof kwa kusimamia ukweli mara zote
Naipongeza crew mzima ya cloud fm iliyo vyoshiriki kumhoji na kuongea na mama Tibaijuka ,Maswali yote ulikuwa ya msingi na mengi yalizingatia utaifa na uzalengdo ,,❤ GBY CLOUD CREW.
🇹🇿Yeah !Huyu mama ❤Tibaijuka ni❤ hazina ya Tanzania.
This is my real Boss. I appreciate you Prof Ana u deserve what you have
Nakupenda Sana Prof.ulinipokea vizuri Sana muleba kipindi chose nilichokuwa muleba nilipata maarjfa mention Sana toka kwako. mungu akuweke Dada yangu
In 1993 Convocation of the University of Dar-es-Salaam,I happened to meet the lady while facilitating the economic agenda of the regional activities as part of her input from her experience in economic research of the country.I admired her intellectual resources.God bless her life.
Mbadilike kusumbua waheshimiwa na hayo ma Mike ya kizamani
Huyu ndio mwana CCM mwenye msimamo.ni professor anaejiamini.big up kwako professor.ametangaza rasmi mikataba ni mibovu ndio maana haipelekwi bungeni.na watawala wamekua kimya hawajamjibu kwa sababu ukweli wa hiyo mikataba wanaijua wao.haya mjibuni professor
Na kuongezea amesema anae pinga aje adharani 😂😂😂
Kimya hakuna aliemjibu😂😂😂
She's a straight talker, whether your like or not .Great leadership during her stint at UN Habitats in Nairobi. Loved by Kenyans
Interview za Prof. Tibaijuka zinakuwaga na viewers nyingi sana uyu mama ni kati ya wasome wazuri sana nchini
Sio msomi tu anamaarifa makubwa nje ya usomi wake
Kwa bahati mbaya Tanzania hawampi nafasi. Ni miongoni mwa Top 10
Tanzania ukisema ukweli kwajili ya kutetea watanzani bas jua imepoteza sifa kwaboda wako kszini
HAKIKA KABISAA HUYU MAMA NI MSOMI MZURI SANA.
Kwa kweli mama Mungu amemjaalia ..msomi mzuri na makini...Mungu ampe maisha ya amani na marefu...Ameen
Ila pale jangwani aisee kweli walio idhinisha pale kituo kijengwe ni 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Yaani mkiisha kuondoka madarakani.. Mnakuwa watu wazuri sana.. Hongera professor
Uko juu mama .mungu akupe maisha marefu.
I can listen to her all day 🙏🏾
Prof. Nimekuelewa sana hasa kwenye hoja wamasai pamoja na uhifadhi ..
Professor your right ,mikataba yote inayofichwa ni ni batili na inahujumu nchi.
I love her , she is very intelligent woman
Asante saaana mamangu kwaushauri wako mzuri mwenyezi mungu akuogezee maisha marefe
Mama upo juu sana big up unajua kutumia taaluma yako na unajiani safi sana. Mifumo mibovu inawatega wasomi wasiojiamini na maisha na kukosa uzalendo.
Moja ya interview bora sana
SALAMU DADA YANGU PROFESA ANNA TIBAIJUKA, ASANTE SANA KWA MAELEZO MAZURI NA HISTORIA HALISI...
LAKINI NAPENDDA TU NIKUSAHIHISHE KWA JAMBO MOJA :
INCHI YA KONGO ( DRC LEO ) HAIJAWAYI KUWA KOLONI LA MJERMANI, ILIKUWA KOLONI LA UBELJIJI....
KOLONI ZA MJERMANI KABLA YA VITA YA KWANZA YA DUNIA ZILIKUWA : TANGANYIKA, RWANDA, BURUNDI, NAMIBIA, CAMEROUN...........
Leopardville
wa congo mnachelewa kuelewa
Mtangazaji wakiume Tatizo ana anamapepe atoi nafasi ya Proff kumaliza maneno
Mama Profesa uko vizuri sana tena ingefaa uwe kiongozi wa pekee kuwaelimisha wananchi na wanasiasa. Kuna waioelewa na kuna wanaoelewa lakini wanaharibu makusudi kutokana na vyeo na vyeo hivyo kikubwa maslahi ya binafsi. Mama msomi saidia nchi yako maana usomi wako ukiutumia vizuri utabarikiwa na hiyo ni njia ya kufika mbingini. Viongozi wengi wanatafuta maisha yao binafsi akili zao zinawaza madaraka napesa hivyo kuelewa ni kugumu. Wasiolewa waelimishwe.
Uko vizuri prof
Muito obrigado mãe, foi uma grande aula, aprendi muito com essa aula
Nakutakia maisha marefu tuzidi kuvuna maarifa.
Mama very professional 👍👍👍👍
Barikiwa sana Prof. Tibaijuka, well said Mama. Nakupenda na Yehova akuweke
The best interview I have ever heard.
Mother anakichwa kizuri sana huyu "so bright"
ONGERA MM TIBAIJUKA. ❤❤❤❤🇸🇪🇸🇪🇹🇿🇹🇿 MUNGU JEHOVA HAKULINDE.
Sisi ni mbumbumbu na tunapenda umbumbumbu. Pole sana mama msomi. Tunajua tunavyokuudhi
Iwe heri kwako mama Tibaijuka
We love you mom...God bless you, Nairobi.
Hongera mama kwaujasili wakuzungumza ukweli ndani yaselikali yetu
Saluti mama kichwa chako bado kipo imala pamoja na uzee wako ila bado madini unayo salut kwako
Kaka Kaizari, wakati mwingine jitahidi kitambua uwepo wa mwenzako. Umemfanya mtangazaji mwenzako kuwa backup yako. Yani ninafuatilia mahojiano huku ninahuzunika kwa mtangazaji mmoja kidominate. Siyo vizuri.
Huyo Siza ni mpuuzi sana
Sawa Prof
Mama uko vizuri asante kutuelimisha
Ni bahati mbaya sana kuona watu km Prof Tibaijuka au Prof Joyce Ndalichako, hawako kwenye nafasi muhimu zaidi za kutusaidia..!
Hongera sana prof
Mimi ninakutafuta sana mama Anna Tibaijuka.
Knowledge is power, 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥
Safi sana mama Tobaijuka
Prof kwa Habari ya mikataba nimekuelewa safi sana
I always admire you mkaile
Ubarikiwe Prof Tiba
Asante mama Ujumbe umewafikia
Big up kwa wazigua kwenye kueneza Kiswahili
Hongera Sana mama yangu
Huyu Mama Tibaijuka haogopagi kuongea lolote huyu ,,ana misimamo Mpina haingii humu🎉
Mama kanyooka sana
Wewe nae mpina kaingiaje hapa kinacho endelea hapa ni mahijiano ya mama tibaijuka mpina hapa hayupo kama unaitaji comment zinazo mhusu mpina nenda kwenye interview zinazo mhusu mueshimiwa mpina
Mmmhh Mpina! Mpina ni namba nyingine bwana,labda sema anamzidi digrii tu
Sasa mpina haingii humu kivipi yaani unamanisha?Sasa wew unaingia wapi shenz
@@PoulFred ndo maana mamako alifirwa ukapatikana ww..Nguruwe wa kienyeji ww...mpaka uparamie comment yangu wapi nilitukana au kutoa lugha mbaya?? Firaun ww ulojawa laana ,usirudie kutukana watu Nguruwe ww
Hakika huyu mama ni muwazi sana na anasemaga ukweli tofauti na viongozi wengine
Mama unahakiri sana nyinyi ndio watu mliyopewa karama
Uyu mama mi nampenda sana anauwezo wa kupambanua mambo
Huyu mama angefaa kuwa Raisi wa kwanza mwanamke ni mchumi na anamipango mikubwa anaondoka na mambo hayo mazuri kichwani kwake Angepewa hata miaka mitano tu Mama Tia nia 2025
Kabisa, Samia minne inatosha
Unamjua eeh
Sana yuko vzr
Apewe nafasi gani zaidi ya alizopewa....
Angekuiba mpaka wewe
mama upovizuri sana mungu akubariki
Hawa ndo wanafaaa kuwa wakuuu wa Nchi sasa
very positive interview
She is highly like my mother daah uwa nikikuangalia namuona mama angu
Kunongona😂😂😂😂 nimekupenda sana mama
Very nice
Kutojua Sheria hakukufanyi uvunje Sheria
SIJAWAHI KUONA MTANGAZAJI MWEMYE WENGE KAMA LA UYU JAMAA SIJUI AMETOKEA WAPI.....HASUBIRI MAMA AMALIZE WOI
BE HUMBLE
Huyu mama ni Hip Hop 100% kinyama. Jah ambless miaka mia...!
Huyu mama kiongozi Mimi nampendaga sana, siku moja naomba nimshike Mkono wa heshima
Uko Vizuri Sana Tibaijuka
Upo vizuri
Uyo kaka anakera
Digrii ya wizi mliyokuwa nayo ccm tokea 1961 mnaiba mpaka leo 2024 hakuna maendeleo zaidi ya kujisifia Madigrii ya kuiba pesa na kudhulumu mali za Walalahoi, Mungu awatie motoni viongozi wote pamoja na madigrii yenu motoni mungu awalaani wote mliyotuibia na kututia umasikini.
Husuda za kijinga sana! Acha wivu wa kichawi, jifunze kuwa na wivu wa kimsendeleo. Asiye na uwezo wa kujenga ñguvu ya hoja huishia akili ya shuku na udhanifu!
Acha wivu kaka
Hamna degree ya wizi kama zipo kajaribu na ww kuiba
We ni tahira ubongo umeganda haungalii fact bali unaendeshwa na wivu,roho mbaya,taharifa negative na uzwazwa..watu wa aina yenu hata ndoa inawashinda coz huna akiri..na mtu asiye na akiri hawezi mwelewa mwenye akiri
Huna akili
Congratulations mother
Ugombee urais mwaka kesho
mama kamaliza chief God love apewe Degree yake
Wanalinda Ajira hawafanyi kazi
Uko vizuri mama .
nawapongeza waandishi ila huyo kaka awe anatoa nafasi kwa prof kuzungumza anamkatisha kila wakati naona haijakaa sawa next time atoe room
Safi sanaaaaaa
Safi sana
Naamini ukiwa mkweli utaongezewa maisha marefu prof.
Mama Yuko vizuri sana
Nimekuelewa sana mama
Nakupendaga mama
WAAOOOO MAMA❤❤❤❤❤❤❤
ukimsikiliza profesa vizuri utagundua wasomi wengi hawajapewa nafasi za uongozi hata wakipewa hawasikilizwi. shida ndio iko hapo.
Sana
Watawala wanawaogopa wasaomi ndo maana hawawapi nafasi
Mamma huyu kichwa sana watz waelewa tunamhitaji mama endelea kupambana tunajua huhitaji faida.
Mama we Profesaa sijali maneno ya watu nakukubali
moja ya mahojiano bora kabisa ya weredi na bashasha Great!!!
Nakumbuka kuna siku ulinishauri nisimpeleke binti yangu kwenye shule isiyo ya kiwango bora, hongera.
Mi nikidhani wanatania wahaya kumbe ni kweli
Mimi nakukubali sana professor, we ni role model wengi, scandal ni vita ya kawaida katika siasa
Wewe ni hazina ya maarifa. Ni zawadi na rejea ya muhimu ( library) iliyo hai.
Jamani Tanzania Mwenyezi Mungu atupe nini kama hatuwatumii watu wa aina hii ambao tunao wa kutosha? Tukumbuke siku wakimaliza safari zao itakuwa kama kuungua kwa library na hazina yote iliyomo tutapata wapi mwendelezo wa hizi hazina?
Jamani ni high time tuanzishe utamaduni wa kuheshimu hawa watu wenye hazina za taifa na maono na kuwatumia kurithisha kizazi kinachofuata. Library zilindwe historia isije kutuhukumu kwamba tulizichoma kwa kutozitumia zilipokuwa available.... @ DEOGRATIAS JOHN RUGABA
Alhamdulilah
Wanaoelewa mambo na wasema kweli huwa wanachukiwa sana!
Ana şifa zote za kuwa kiongozi makini sana
Uyu mama ni muelewa sana anatakiwa awe kiongozi
I can't wait kikeke kumuhoji huyu mama ambae ni Tunu yetu ya taifa.